Muhtasari: Maombolezo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 มี.ค. 2022
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Maombolezo, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Maombolezo ni mkusanyiko wa mashairi matano ya mazishi yaliyotolewa kwa niaba ya Yerusalemu baada ya kuangamizwa kwake na Babeli.
    #BibleProject #Biblia #Maombolezo
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •