Muhtasari: 1 Timotheo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2021
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha 1 Timotheo, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha 1 Timotheo, Paulo anamwonyesha Timotheo jinsi ya kurudisha utaratibu na kusudi katika kanisa la Efeso lililovurugwa na waalimu wa uwongo.
    #BibleProject #Biblia #Timotheo
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus na Eternal Entertainment
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 5

  • @iboraheights3142
    @iboraheights3142 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera!

  • @bettygesare5948
    @bettygesare5948 ปีที่แล้ว

    Be blessed

  • @barakashayo2416
    @barakashayo2416 ปีที่แล้ว

    Humu umezungumzia ibaada ya Jumapili ,umejuaje Jumapili nisaidie hapo

  • @laclassic1336
    @laclassic1336 10 หลายเดือนก่อน

    Yaan kwa maelezo haya,,BIBLIA imejaa mawazo ya mtu tu na msimamo wake kama anavyo dhani yeye,,,ukwel BIBLIA iliharibiwa,,na hii sio injili original

  • @manassekyalondawa2477
    @manassekyalondawa2477 ปีที่แล้ว

    Swali: mwanamke kuwa mtume, mwalimu, mchungaji au shemasi, inaandikwa wa ktk agano jipya?