02 AGANO JIPYA KATIKA BIBLIA INA MAANA GANI? Jinsi Agano Jipya ni Bora Kuliko Agano la Kale

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @SmilingBasketball-yo5eu
    @SmilingBasketball-yo5eu 9 หลายเดือนก่อน

    Download

  • @majaliwabisama9360
    @majaliwabisama9360 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

    • @gannongus2419
      @gannongus2419 3 ปีที่แล้ว

      pro trick : you can watch series on Flixzone. Been using it for watching a lot of movies lately.

    • @waynefrancis5843
      @waynefrancis5843 3 ปีที่แล้ว

      @Gannon Gus Definitely, I have been watching on Flixzone} for months myself =)

  • @mohdali2408
    @mohdali2408 ปีที่แล้ว

    Mbona nyie mnamsimhirikisha Mwenyezi Mungu munasema ana mtoto

    • @ushahidifilms2011
      @ushahidifilms2011  ปีที่แล้ว

      Hatumaanishi kwamba Mungu alimzaa mtoto kwa jinsi ya mwili au kibinadamu. Ila quran inaamrisha kwamba tuhukumu kwa yaliyoteremshwa katika Injili.
      Yesu alisema Yn 5:21-23: "Maana kama Baba awafufuavyo wafu na kuwahuisha, vivyo hivyo na Mwana awahuisha wale awatakao. Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote; ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba aliyempeleka."

  • @josephwamana85
    @josephwamana85 2 ปีที่แล้ว

    Nje agano la kale liliondolewa baada ya mungu kuleta jipya?

    • @ushahidifilms2011
      @ushahidifilms2011  2 ปีที่แล้ว

      Sheria Ilibatilishwa Ebr 7:12, 18-19 na 2 Kor 3:11. Agano la Kale limeshakuwa kuukuu. Ebr 8:13

  • @alexlema6074
    @alexlema6074 4 ปีที่แล้ว +1

    Dalod

  • @mohdali2408
    @mohdali2408 ปีที่แล้ว

    Kama agano la kale halitumiki kwa nini isije chapa ya agano jipya pekee kwenye biblia

    • @ushahidifilms2011
      @ushahidifilms2011  ปีที่แล้ว

      Chapa zinapatikana za agano jipya peke yake. Ila hatusemi kwamba maandiko ya kale hayana faida tena.
      Rum 15:4: "Kwa kuwa yote yaliyotangulia kuandikwa yaliandikwa ili kutufundisha sisi; ili kwa saburi na faraja ya maandiko tupate kuwa na tumaini."

    • @amulimugisho925
      @amulimugisho925 ปีที่แล้ว

      Unashida ya kuelewa kaka