ð— ð—®ð˜€ð˜‚ð—³ð—¶ ð—ªð—®ð—½ð—²ð—»ð˜‡ð—¶ ð—ªð—® ð— ð—®ð—¸ð—®ð—³ð—¶ð—¿ð—¶ ð—¡ð—® ð—œð—¯ð—¹ð—¶ð˜€ - ð‘´ð’–ð’ð’Šð’›ð’†ð’ð’Š ð‘±ð’–ð’‡ð’“ð’Š
à¸à¸±à¸‡
- เผยà¹à¸žà¸£à¹ˆà¹€à¸¡à¸·à¹ˆà¸ 18 พ.ย. 2023
- ð—–ð—µð—®ð—»ð—»ð—²ð—¹ ð—µð—¶ð—¶ ð—¶ð—»ð—®ð—µð˜‚ð˜€ð—¶ð—¸ð—® ð—»ð—® ð˜‚ð˜ð—¼ð—®ð—·ð—¶ ð˜„ð—® ð—ºð—®ð—³ð˜‚ð—»ð˜‡ð—¼ ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ ð˜†ð—® ð—±ð—¶ð—»ð—¶ ð˜†ð—® ð—¸ð—¶ð—¶ð˜€ð—¹ð—®ð—ºð˜‚ ð—¶ð—¸ð—¶ð˜„ð—²ð—ºð—¼ ð——ð—®ð—¿ð—®ð˜€ð—®(ð——ð˜‚ð—¿ð˜‚ð˜€) ð˜‡ð—® ð—ºð—®ð˜€ð—µð—²ð—¶ð—¸ð—µ ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ ð—»ð—±ð—®ð—»ð—¶ ð˜†ð—® ð—žð—²ð—»ð˜†ð—® ð—»ð—® ð—»ð—·ð—² ð˜†ð—®ð—¸ð—² ,ð—ºð—®ð˜„ð—®ð—¶ð—±ð—µð—®, ð—¸ð—µð˜‚ð˜ð—¯ð—®ð—µ, ð—³ð—®ð˜ð—®ð˜„ð—® ð˜‡ð—® ð˜„ð—®ð—»ð—®ð—°ð—µð˜‚ð—¼ð—»ð—¶, ð—¤ð˜‚ð—¿ð—®ð—», ð—»ð—® ð—ºð—®ð˜€ð—µð—®ð—¶ð—¿ð—¶ ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶
ð‘»ð’‰ð’Šð’” ð’„ð’‰ð’‚ð’ð’ð’†ð’ ð’†ð’ð’ˆð’‚ð’ˆð’†ð’” ð’Šð’ ð’•ð’‰ð’† ð’…ð’†ð’ð’Šð’—ð’†ð’“ð’š ð’ð’‡ ð’—ð’‚ð’“ð’Šð’ð’–ð’” ð’•ð’“ð’‚ð’Šð’ð’Šð’ð’ˆð’” ð’Šð’ ð’•ð’‰ð’† ð‘°ð’”ð’ð’‚ð’Žð’Šð’„ ð’“ð’†ð’ð’Šð’ˆð’Šð’ð’, ð’Šð’ð’„ð’ð’–ð’…ð’Šð’ð’ˆ ð‘ªð’ð’‚ð’”ð’”ð’†ð’” (ð‘«ð’–ð’“ð’–ð’–ð’”) ð’ð’‡ ð’—ð’‚ð’“ð’Šð’ð’–ð’” ð’”ð’‰ð’†ð’Šð’Œð’‰ð’” ð’Šð’ ð‘²ð’†ð’ð’šð’‚ ð’‚ð’ð’… ð’Šð’•ð’” ð’ð’–ð’•ð’”ð’Œð’Šð’“ð’•ð’”, ð’”ð’†ð’“ð’Žð’ð’ð’”, ð’ð’†ð’„ð’•ð’–ð’“ð’†ð’”, ð’‡ð’‚ð’•ð’˜ð’‚ð’” ð’ð’‡ ð’”ð’„ð’‰ð’ð’ð’‚ð’“ð’”, ð‘¸ð’–ð’“ð’‚ð’, ð’‚ð’ð’… ð’Šð’”ð’ð’‚ð’Žð’Šð’„ ð’†ð’…ð’–ð’„ð’‚ð’•ð’Šð’ð’ð’‚ð’ ð’‘ð’ð’†ð’Žð’”
🪩EMAIL:
ð—Œð–ºð—…ð–ºð–¿ð—‚ð—’ð–ºð—.ð—ð—@ð—€ð—†ð–ºð—‚ð—….ð–¼ð—ˆð—†
#AhlulAthar, #salafi, #abdallahhumeid, #yusufabdi, #alihsaantv, #sufi
Dah yan masuf kaz yao kuzua tu kaz kusema salaf tunalipwa mara waseme tunapokea posho kwa wayahudi ila wakidaiwa ushahid kona kona kibaooooo. Haya sas leten ushahid km huo tulioleta sisi ili watu wabainike muache kuzulia watu uongo.. ALLAH akuhifadhi sheikh abul khattwab abdullah humeid...
شكر الله سعيكم وثبتكم الله على الØÙ‚.
العقيدة أولاً لو كانوا يعلمون
Ingelikuwa mimi sufi, kwa clip hii tu ningeukana Usufi. Mimi nawachukia makafiri midhali ALLAAH anavowachukia makafiri
Jufry anapenda iblis lkn hapendi vitendo vyake kama anavyo penda mayahudi lkn hapendi vitendo vyao
Duh mtihani kwa kweli huyu ndio sharifu wanaemtegemea
Sheikh endelea kupigania haki
Tengezeni fitna tu hio ndio njia sahihi kwenu
KWAHAKIKA ANAHUSHURIA ALLAH MALAIKA ZAKE NA MITUME WOTE
{Ùمن يكÙر بالطاغوت ويؤمن بالله }
الله تقدم إنكار الطاغوت ثم الإيمان،من لا يكÙر بالطاغوت إسلامه باطلا
ما هو الطاغوت؟
ÙÙŠ اللغة :هو يتجاوز به العبد Øده من معبود أو متبوع أو مطاع[الطغيان،المعتدى،الطاغى]
وما ÙÙŠ الشرع :هو الشيطان
وقال الله تعالى{ولقد بعثنا لكل أمة الرسول أن اعبد الله وجتنبوا الطاغوت}
Hakuna tauhid ya mungu anamkono mungu ana maguu
Kasome acha upumbavu wew
Wewe mwenye clip hii unajisuta mwenyeweðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ 🦊
Misufi walifeli kwenye aquidah wanafeli Kila kona
WALOKOKE WALIOPO NDANI YA UISLAM NI VICHAA
Hi salafy Miaka ya 70 sasa tujiulize karne 10 TANZANIA UISLAM upo sasa uislam huo ulikua ukafiri au
Huyu jamaa hajui wala hana elimu wallah ibilisi kuna amri kabisa ya kumlaani na kumchukia na kumfanya adui ila hakuna andiko lilotwambia kua tuwachukie watu kwasababu nikuwalingania ndo laumuhimu hivi yule yahudi alokufa mtume akasikitika ilikua nini?
Utamsilimisha vipi ikiwa utawatenga manaswara
لا يضيق صدرك أيها الموØد إن كنت ÙˆØدك على او التوØيد وعامة الناس على الشرك
عن أبي هريرة رضي الله عنه قال،قال رسول الله صلى الله عليه وسلم(إن الله يبعث على هذه الأمة على رأس مئة سنة من يجدد لها دينها)[رواه أبو داود] المراد من يعيد الأمة إلى الدين الصØÙŠØ Ø§Ù„ØªÙˆØيد الذي بعث به النبي،والمراد من ÙŠØيي من درس الناس من العمل [الكتاب والسنة] وإماتة من البدعة والمØدثات
HUMEID WAPOTOSHA WATU KWA KUTOFAHAMU KWAKO
Weee sasa tuambie ukweli wee sasa
Humeydi nimekuskia unaropoka ropoka bilaya kujielewe afadhali aljufri aonekanwa live we type yake niipi
Jibu hoja zake kwanza
Kwahiyo makafiri wameumbwa na Nani?
Wewe wachekesha kosa lajufri likowapi kwani mayahudi siviumbe wa allah tafuta maneno yakuzngumza
Allah kaharamisha kuwapenda Makafiri badala ya Waumini wewe
We unaongea sijui abuujah Abdullahi ibnu sallul.unawaongelea hawa wote ni wajamaawako.wemwenyewe ukona towhidi tatu unayaamini.sijui mtume gani aliekuletea na wahyi aliupatawapi?
We shekhe ni mnafik unajuwa mayahudi ni boss wako na boss wa baba yako
Ushahidi huo,Jufri anasema naaaam😂
Huu upuuzi wa salafi mbn ulikuw haupo umekuj Sasa hv kuuchafua uislam mnalipw kwl n mayahud mping maulid na kufarakanish waislam
Ukweli umeonekana hamna ushahidi wawazi labda muuuzuwe bila ushahidi
Eti masufi wapenzi wao makafiri na ibilisi .kinyume chake wewe na mawahabi wenzio makafiri na nimaibilisi fikiria unachosema
Nyinyi mawahabi ni wa shenzi haswa ww humeyd wewe huna ujuwalo hujui hata kizungumza ni juha wa mwisho yaani katika majuha ww namba 1
Wakasirika kisa ukweli wenu yuwaudhirisha
Ukweli ni kujua jinsia yako tu mengine ni ufahamu wako juu ya dalili, Mungu ndiye mjuzi wa yote ,na nyie kazi yenu ni kuvuruga umma wa kiislamu,.​@@AjatAJAT-ef8tm
Makafiri wa kiwahabi walitufundisha yoyote asiyekuwa muislamu tumchukie😂😂😂 kumbe wao wenyewe ndio makafiri kama wakristo wengine,,ila hatujighafilishi kwa kukuchukieni kwa kuwa akili za visalafi koko na viwahabi ziko ktk mikono ya masufi hivyo hatubabaishwi
Jufri anakwambia naaam 😂
MAWAHABI TIHANI KWELI KWELI
ALLAAH amesema mwenyewe hawapendi makafiri. Masufi ni wapenzi wa Iblisi, Fir-aun na Abuu Jahal
NYINYI MASALAFI WOTE NI MAKAFIRI WAKUBWA POTE LA MAYAHUDI NA MANASWARA, TAWHID YENU NA YAO ZINAFANANA. NYOTE MNAAMINI MUNGU AMEFANANA NA BINADAMU ANA MACHO ANA MIKONO. JIANDAENI KUWA KUNI MAFASIKI WAKUBWA.
Kadhdhab ushahidi ukowapi toa ushahidi kama Humaidi
Basi haifai kuwachukia... hhhhhhhhhhhhh 😂😂😂😂 wapende mawahabi chukia vitendo ama ulisahau???? Ama mnampenda iblis lakini masalafy hamwapendi....
Pote la mayahudi ,anaesema naaam anaa uhibbu yahuudi😂
Ww abdala humeyd una chuki kwanza jufri achana nae humuwezi ibara zenyewe wazisoma makosa kwanza ww waweza kusimama vitani keti ule kuku na soda wafikiri vita nimchezo
Kwa hivyo wewe waeza ukija na mtwari
Kwendeni huko mawahabi nanj asio wajua kua nyie mlitengezwa na mayahudi kazi zenu ni kuwachafua wanachuoni na hayo ndio malipo yenu mbona kama kweli nyie mawahabi kama mlisha hukumu masufi wanaenda jahanam basi kwani kila cku munawaandama kwani wao hapa duniani wao ndio makafiri peke yao
Acheni kuwakoroga waislamu kwa sasa ukweli umesha dhihirika.mawahabi munajifanya wajanja wa maneno lakini nyie mamwehu tuu..
😂😂😂Asa ndoumeongea nini ww nae...watu wanakupa fact. Unachukia ....Allah keshasema adui wake tusimfanye rafiki..sasa hii ni itikadi gani kaitoa wapi huyu jufri??? Yakumpenda myahudi wakati tumeambiwa waziwazi kua hao nimaadui zetu??
@@selasboy3966 wewe uko ulimwengu gani na mawahabi wenzako wako wapo kikopo wenu ambae ndie mkubwa wenu east africa amewaunga mayahudi mkono kwa kuwauwa wapaletina ama wewe ndie wale mnajifanya hamnazo.sheikh jufri uwezo wake wakupenda haufikii wa allah allah hao mayahudi ni viumbe wake na kama akiondoa mapenzi juu yao yeye mwenyewe ndie atakae wafuta kwa hii dunia sheikh haja sema vibaya vitendo ndio vyenye kuchukiwa kama vile nyinyi mawahabi munavo watukana mashehe na kuuwa waislmu na kuwakufurisha hilo ndio jambo lina stahili kuchukiwa ndugu yangu.
😂😂wewe tumia akili yako vzur...maana hata unachokiongea pia haukielewi masikini...yan bidaah zimewaaribu akili
@@mudybeka6698 wewe umefungwa na akili ya kuabudu miungu mitatu ya rububia kwa hio hutaweza kunielewa.
@@user-bo1ew3xq6w ndugu yangu soma dini na fuatilia kauli za wanawazuon vzr utaelewa tu...mimi nilikua huko ulipo ww lkn kwasasa alhamdulillah nimeitambua haki
Humeydi nimekuskia unaropoka ropoka bilaya kujielewe afadhali aljufri aonekanwa live we type yake niipi
Kwahyo hoja ya kumchukia Humeid n kwakua haonekani kwenye video? Kweli masufi mmenyimwa mambo meng sana katika uislam huu Kaa usome wacha ushabiki.