Rᴀᴅᴅɪ Kᴡᴀ Mᴜꜰᴛɪ Wᴀ Mᴡᴇᴍʙᴇ | 𝗠𝗮𝗮𝗻𝗮 𝗠𝗮𝗸𝘂𝗻𝗱𝗶 𝗬𝗼𝘁𝗲 𝗠𝗼𝘁𝗼𝗻𝗶 𝗜𝗹𝗮 𝗠𝗼𝗷𝗮 𝗧𝘂

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 เม.ย. 2024
  • ‪@IzudinAlwyDin‬ ‪@AlIhsaanTv‬ ‪@fauzproduction‬
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 78

  • @AjatAJAT-ef8tm
    @AjatAJAT-ef8tm 2 หลายเดือนก่อน +10

    Shekhe abdallah humaidi anakupa hadithi kama dalili lakini shekh izudiin anawaeleza anavyo elewa yeye sasa tufate maneno ya Mtume anayoyatoa Abdallah ama numfate izudiin
    Weee

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 2 หลายเดือนก่อน +7

    Allah atuongoze katika hakki

  • @abuuaminah5655
    @abuuaminah5655 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh Izzudin yuko sahihi.

  • @baarutmazrui5186
    @baarutmazrui5186 หลายเดือนก่อน

    ان للمتقين مفازا

  • @AsasAllykwasalafivitavyamasaha
    @AsasAllykwasalafivitavyamasaha 26 วันที่ผ่านมา

    Tatizo haki iko kwenu tu.Na Radi ni sehemu kubwa ya lbada.Sh.Izudin hakutaja maiti.Maswahaba wenyewe walitafautiana kwenye mapokezi ya makundi 73.Mfano Mimi nna kunuti wewe huna tayari makundi mawili.Mmoja wao hapo ni motoni?

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tumekuelewa shekh wetu izzuddin wala hatuna shaka

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ahaa uyumufti WA mubetayar akilizake hayamaneno au alipasha kdg ndo akakaa hapo na kuanza kupotosha jamaani ebu wanuseni midomo awamaghurafiy subuhanallah Allah amuongoze Sisi na wao ktk kuifahamu haki na kuifata na kudumunayo

  • @UB40X1
    @UB40X1 2 หลายเดือนก่อน +13

    Nauliza nani alimpa mimbar huyo kibonzo wa mwembe tayari?..Huyo hafai hata madrasa ya chekechea.

    • @aminaliwasa9438
      @aminaliwasa9438 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe hata hekima hauna sijui nini umesoma cartoon wewe..waita sheikh mbele za huma kua akili wewe

    • @abdiabdu7179
      @abdiabdu7179 2 หลายเดือนก่อน

      Mtume ali taabiri tu watu kama wewe Maana baba yenu ndio alio mshikia mtume shingo aka mwabia afanya uwadilifu Mpaka sasa hakuna hoja Huyu muhuni anae pija watu raddi daily na mskiti wake una line 4 kelele nyingi tu

    • @muhammadkarama9996
      @muhammadkarama9996 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani wingi wa watu ndio yaonyesha ni haqi? Ndio nyinyi wa kupima haqi kwa wengi wa watu kumbe ​@@abdiabdu7179

    • @faisalmohamed727
      @faisalmohamed727 2 หลายเดือนก่อน

      Karkosi huyu😂😂😂

    • @khalifaahmed5232
      @khalifaahmed5232 2 หลายเดือนก่อน

      Ingekua mzazi wako ambiwa ivo ingekua Sawa kwako?? Tueni na adabu kwnza na ilo ndio wengi tumefeli nako kaxi hukmu tuu ka izo pepo Nixa babu zetu

  • @ahmednoor694
    @ahmednoor694 2 หลายเดือนก่อน +6

    Brother mbona utukane shekhe nenda umuombe msamaha bro cz utakuja simamishwa siku moja uulizwe mbona ulimtusi mjaa wangu ? Mashekhe wamepewa elimu na Allah na warithi wa mtume mbona uvuke mpka bro hakuna shekhe atakaye tutia peponi wala moto ni kutuonyesha to njia ya pepo na njia ya moto so tuwache kujigawanya

  • @user-bk2de8ov6c
    @user-bk2de8ov6c 2 หลายเดือนก่อน

    Bismillah

  • @oxygrp7393
    @oxygrp7393 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni ujinga kwenye Dini ya Allah na michezo ya kitoto 😢

  • @user-qk8np3vu3r
    @user-qk8np3vu3r 2 หลายเดือนก่อน +4

    Atapoteza majaheel hana maa na

  • @zaitunnurhanahmed2031
    @zaitunnurhanahmed2031 2 หลายเดือนก่อน +1

    Munarudisha uislamu nyuma.makafiri watasemaje wakiona viongozi wa kiislamu kazi yao kusutana kama wanasiasa wa kenya.

    • @nassifsuleiman9860
      @nassifsuleiman9860 2 หลายเดือนก่อน +2

      kaa chini usome kisha utaelewa, hii ndio njia ya kuuhfadhi uislamu na kuwakhofisha walinganizi waovu na waongo

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 หลายเดือนก่อน

      @@nassifsuleiman9860 Hii ni suna au faradhi ya nani ndugu yangu soma kwanza elewa mtume MUHAMMAD S. A. W hakuwai kuwa na dharau, kejeli au kujikweza kujiona bora zaidi kuliko wengine na hakuwai kufanya ukosoaji kwanjia hii mnayoitumia ninyi zaidi alikuwa anatumia njia ya kukufuata na kukunasihi kwa hekima na busara na ndio maana hata watu walipendezwa na tabia zake na kisha kuslimu. Jee hiki anacho fanya huyu shekh kitaleta umoja au mtafaruku? Jee Tabia hii itawavutia watu wasio waislam kuslimu? Kila muwamba ngoma huvutia kwake ni ipi ilikuwa desturi ya mtume MUHAMMAD S. A. W katika kunasihi waislam na wasio waislam? Jee alifanya nasaha zake kama anavyo fanya shekh huyu? Shida ni kundi wala sio uislam na hili ndilo tatizo linalo tutafuna. Kama analengo zuri asiwe na hiana aandae au aombe mnaqasha na shekh anae hisi kufanya nae mjadala Wa elimu. Sio kurushiana maneno mitandaoni ni haramu na haifai kwakuwa alie ongea bado yuko hai amfuate kabla ya kutoa radii zake mitandaoni. Mtume MUHAMMAD S. A. W hakuwai kufanya ukosoaji kwa mwislam mwenzako akiwa hayupo tena kupitia mitandao ya kijamii kama hii ya sasa, Kama alifanya hivi shekh wenu aendelee na kupiga marungu yake.

  • @user-qk8np3vu3r
    @user-qk8np3vu3r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amesoma kwa masharifu Tarim hadhramaut

  • @abdullfatah5326
    @abdullfatah5326 2 หลายเดือนก่อน

    Nampongeza sana huyu sheikh izudin anajuwa sana kuelimisha dini najuwa ujumbe umefika ndiyo maana watu wanakosowa huku wakificha sura zao kwa kutokujiamini ni dhairi kama ni wavunja dini hawa paka wanaoficha sura zao ni wingi kama huyu aliefanya hichi

    • @nassifsuleiman9860
      @nassifsuleiman9860 2 หลายเดือนก่อน +1

      kwahyo ukidhihirisha uso wko ndio upo ktk haqqi, weye mbona sura yako umeificha kwahyo maneno yako ni ya kipuuzi tu baki nayo mwenyewe

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuh! Hili jahil la kisufi kweli mtume katofautisha,makundi ya kinasawara na kiyahudi na umati wangu walomkubali yey watatofautiana,sasa hili jahili la kisufi hizudini unasemaje kakae chini usome,unaptosha umma

  • @abuuaminah5655
    @abuuaminah5655 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mufti wa nyali angekuwa binti tungemuoza mufti wa mwembetayari

  • @zaitunnurhanahmed2031
    @zaitunnurhanahmed2031 2 หลายเดือนก่อน +2

    Abdallah humeidi watafuta Kiki.umekuwa kama wanasiasa kila ukipanda mimbar wawasuta masheikh wenzio.kama mtu amekosea fanya muonane mujadiliane.sio kusuta masheikh wenzio kwa media.

    • @bashkamohamed3041
      @bashkamohamed3041 2 หลายเดือนก่อน +3

      WCha kueleweke sheikh Abdullah humeid tunafaidika saana

    • @tigerroar3545
      @tigerroar3545 2 หลายเดือนก่อน +3

      Ukiharibu lazima uwekwe sawa,

  • @majidsaid08
    @majidsaid08 2 หลายเดือนก่อน +3

    Iliambiwa kuwa itafika zama watu ambao hawana ilmu wataonekana ndio wana ilmu na wenye ilmu wataonekana hawana......ndio hawa vijana wa kisasa wao wajifanya wajuwa sanaaa. Na pia zitafika zama kutatokea mashekhe wa kugawanya umahh ndio hawa vijana wa kileo...... dilele ukae usikize mawaidha ya watu ambao huwapendi kisha utafute kuwakosowa......bro toa darsa kulingania umahhh sio wewe kujifanya ndio kuwa wajuwa sana ama msafi huna kasoro ama makosa.......... badilli ya kutengeza akhera yako waharibu

    • @UB40X1
      @UB40X1 2 หลายเดือนก่อน +1

      Baba hatuna haja na umoja feki. Hatuchanganyi asali na sumu tukanwa kama nyie.

    • @husseinjuma8005
      @husseinjuma8005 2 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo unataka ktk hii din kila mtu azungumze la kwake kwa ufahamu wake?

  • @abdullfatah5326
    @abdullfatah5326 2 หลายเดือนก่อน +1

    Somesheni nanyie kama munajuwa kweli acheni kuwakosowa walimu

    • @husseinjuma8005
      @husseinjuma8005 2 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo unamaanisha hawasomeshi na kusomesha mpk iwepo youtube?

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli kejeli,matusi na dharau haziwezi kuwa sunna na tutahadhari sisi tunaojigamba kuwa masalafi.Ni daawa gani hii?

  • @user-ql2om7qj3v
    @user-ql2om7qj3v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mufti wa mwembe tayari agekuwa bora wa dereva wa matatu. Hi daawa haiwezi kabisa

  • @user-wj8xg4fr9t
    @user-wj8xg4fr9t 2 หลายเดือนก่อน

    Kullu hizbin bimaa ladayhim farihoon

  • @Abdulrahman.84
    @Abdulrahman.84 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi hakuna kitu na chukia kama nifaq na chuki na hasad..na kusema hivi na kusudia hawa wanaojita Masalafi kina Qassim mafuta Abdalla Humeid na wengineo...wao siku zote hawa na kazi ila kuangika picha za Madaaii..nakuwa kejeli kwa matusi na huku wakidai kuwa picha ni Haramu...Jamani ndugu zangu katika imani nisaidieni kuhusu hili...Jee kweli ni sawa hivyo Jamaa?

  • @mchumiboy2972
    @mchumiboy2972 2 หลายเดือนก่อน

    Mnaendekeza ujinga wenu nyie mtakuwa mmetumwa na mayahudi

  • @afyatv7151
    @afyatv7151 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mkosoaji anahitaji kusoma zaidi. Watu wanachambua lugha sana mpaka wanapotea. Umma wa mtume ni upi katika hadithi hii.. mbona inajieleza katika simplest form. Umma wa mayahudi na manaswara si umma wa mtume wetu.. hao wamedandia umma kwasababu walikua na mitume wao. Mtume umma wake ni baada ya kupewa utume. Wakiwamo makafiri na walioamini. Sasa hapo ndipo makundi yatakapotoka. Na kundi lake la uislamu ni moja tu na ndio sahihi. Sheikh Izzudin yuko sahihi.

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 7 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo khawarij walio muuwa Ali walikuwa sahihi kaka?
      Mashia wako sahihi na wanamtukana Aisha na kumpagaza uchafu?
      Na mawahabi pia wako sahihi??
      Na wewe maa shaa Allah muelewa sana kuliko ulamaa, ambao shkh wako mufti wa mwembe tayari hawataki!!! Mbona hoja zako dhaifu unaona sasa???

  • @sumeyasaeed3301
    @sumeyasaeed3301 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa mimi swali langu kila siku sipati jibu.. kama kurekebishana kwanini iwe mitandaoni?hii haileti manufaa kwetu ila kueneza chuki baina ya mashekhe, sasa huu ni usalafi gani aliofanya mtume wetu kuitana majina ambayo hayawafurahishi wenzio..hapo hata wewe huna usalafi kuita watu mufti wa mwembe tayari, shekhe wa jamaica, mashekhe wavivu etc mtume aliyafanya yote haya? Isitoshe sote binadam hakuna alokamilika..subhanallah twaelekea wapi sisi? 😢 wasiokuwa waislamu wanatucheka.

  • @IbrateKing
    @IbrateKing หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna itu kma hiyo manhaj yaukweli ni salafi

  • @AliAliyan-ib3sr
    @AliAliyan-ib3sr 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona wewe huonyeshi sura zako. Na wewe ilmu yako ni mada za wengine tu mizozo tu huna mengine

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 2 หลายเดือนก่อน +1

    هو سماكم المسلمون
    Afu baadae,akikosea wahabi,ooh hajui lugha,si twajua hyo ni sabqu llisaan,lkn nyie bwanaaa,akikosea wahabi oooh koosaaa😂,balaa zito saiv tukonalo waislamu

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Dilele Anaonekana anavuta bangi Chooni kisha anaenda towa waadhi msikitini

    • @user-eh9gy5ul9z
      @user-eh9gy5ul9z 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wacha ukumbavu hishima kuwa masheekh wewe ndiyo una vuta bangi ya kisumu

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 2 หลายเดือนก่อน

    Nani kaomba maiti wewe??

  • @user-xo9rb7wj7s
    @user-xo9rb7wj7s 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna haki gani ya kutumia picha ya mtu mwingine na kuitumia ,, ya kwako haionekani, ndo haki hio ,,,

    • @user-xo9rb7wj7s
      @user-xo9rb7wj7s 2 หลายเดือนก่อน

      @user-yt2qs7vv9v sawa,, yeye kaweka,, wewe una haki gani kuitumia picha yake,,,? Tena kwa hoja ya kumkejeli na kumdhihaki kwa mambo ya kiimani,,

    • @user-xo9rb7wj7s
      @user-xo9rb7wj7s 2 หลายเดือนก่อน

      @user-yt2qs7vv9v sawa,, yeye kaweka,, wewe una haki gani kuitumia picha yake,,,? Tena kwa hoja ya kumkejeli na kumdhihaki kwa mambo ya kiimani,,

  • @Abuu-lr5bz
    @Abuu-lr5bz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kitu cha kushangaza ndugu zetu nyinyi hamtaki kuonekana kwenye video mnaongea huku mmeficha sura zenu lkn hapohapo mnaemradi mmemuweka anaonekana kwenye video kwani isingetosha kuwekatu sauti yake kama wewe ambaye umeweka tu sauti yako kwahiyo wewe unaitakidi VP kuhusu kudhihiri mtu katika video

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hii nidalili kua wewe hujielewi wewe mtume ulimuona mbona unamjua au abubaakir ulimuona omar hamza nk mbona husemi unaka haq au sura za mtu huoni kua nidalili kua watu hawaki umaalifu ispkua haq inayofikishwa au pinga kwa dalili sio vituko vya picha sasa ukiona picha sura ndo haq? Khaa?😮

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 2 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo Salafi, Salafi Jadida, na Ansari sunna nilipi hapo alilokusudia Mtume lapeponi😂

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 7 วันที่ผ่านมา

      Naam kulingana na maneno ya shekhe letu hayo makundi yako sawa yote, mbona wewe unakejeli maneno ya shekhe??? Ama wote wako sawa ispokuwa masalafy??? Mnaona upumbavu wa masufi????
      Huku unaambiwa umma wote peponi na huku wanakandamiza masalafy??? Ehee waelewa hapo??? Ama chali pingli wewe pia???

  • @user-uj7yv1ch6y
    @user-uj7yv1ch6y 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wewe na mtume nani anajua?kasema uma wewe unasema waislam acheni ujinga kwenye dini huu ndio uma wa mwisho uma ni wote mnaelimu ndogo sana wajinga nyinyi

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna shaka yoyote juu ya "definition" ya shaykh huyu anayejiita salafi. Yupo sahihi kiukweli. Lakini uadilifu wa kielimu hawana. Kwani wanapomuongelea mtu walieamua kumchukia humzulia na hata wafuasi wao kumtusi. Pia wanapoamua kumfanyia Rududi mtu pasina hoja za msingi hufanya jambo:"comments turned off " hii ni kuonyesha namna gani wamekosa uadilifu. "Be aware "Hiyo si sawa kwani wamejitukuza nafsi zao na wanasema uongo hali yakuwa wanajua .

  • @ellyndaprincess3235
    @ellyndaprincess3235 2 หลายเดือนก่อน

    HATA KAMA NIKUELIMISHANA SIO KWA KUVUNJIANA HESHIMA NA KUITANA MAJINA YA AJABU NYIE VIJISALAFI UCHWARA MAVI KUNUKA TAKATAKA LAAANA MYIE MDASHIDA SANA DAAW YENU NI KUVUNJIA HESHIMA WATU😂😂

    • @mzammilumkurumbona4747
      @mzammilumkurumbona4747 หลายเดือนก่อน

      Ni ajabu Sana baada ya Sheikh Abdallah humayd Allah amuhifadh kutoa bayana ya sawa ila watu wasiopenda haqi Kama nyie mnashkilia Jambo lakuwa ety kuwavunjia heehima masheikh wenzie, je nikuulize ww na wenye fikra Kama zako mwaweza kututajia matus gan aloyasema ktk kbaynisha kwake? Ala ww unaesema Ana matus sheikh wetu mbona ww umetoa maneno machafu Sana ktk comment yako? Je inakuwaje unaumizwa na matus Hali yakuwa ww ndo mwalimu wa matus? Bali nyinyi mnaosema katkana hatma yake ndo mnaporomosha mitus ya hovyo kabisa hii ni kuonyesha mnachuki tuh Bali hampo tayali kufata ubaynifu manaloangalia Ni Hilo tu bas.

  • @alvenmunroe9980
    @alvenmunroe9980 2 หลายเดือนก่อน

    Ayo matusi yenu ndo sunna?

    • @user-eh9gy5ul9z
      @user-eh9gy5ul9z 2 หลายเดือนก่อน

      muna stahiki hamutaki kusoma Wala kusomesha

  • @user-qy9qx5hd2u
    @user-qy9qx5hd2u 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dilele usitutajie maimamu tafsiri hadithi kama ulivyo kwani huyo imam swanaan ni mtume?hakuna hadithi ya mtume inayozungumzia makundi ya waislam au madhahab..sasa twende makundi matatu ya answaar sunna..salafi swalihin..na majadida..hao kundi moja au makundi matatu na lipi sahihi?😊😊

    • @bashkamohamed3041
      @bashkamohamed3041 2 หลายเดือนก่อน

      Ww pia taja imamu kama unaweza ama utulie

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe una Ujinga kweli

  • @Issa_negro
    @Issa_negro 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uislamu hauswihi makundi makundi... Nyinyi wasenge mwatenganisha waislamu Kuma za mama zenu laanatullah... Nyinyi ndo mwatufanya waislamu kutengana

    • @mohamedshariff9156
      @mohamedshariff9156 2 หลายเดือนก่อน +1

      Watukana na maneno machafu mama za watu tena mwogope Allah tofauti zako kwa misimamo yako isikutie kwenye dhambi bratha.

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 2 หลายเดือนก่อน +1

      Lugha ya mjinga hua ni matausi😂

    • @yussufhamad3721
      @yussufhamad3721 2 หลายเดือนก่อน

      Kunafaida GN kutukana mcheallah nduguzangu hii ni ishara ya ujinga uliopo juuyako Allah akuongoze

    • @Issa_negro
      @Issa_negro 2 หลายเดือนก่อน

      @@mohamedshariff9156 so na wewe unawa-support wanavo gawa waislamu makundi makundi

    • @Issa_negro
      @Issa_negro 2 หลายเดือนก่อน

      @@yussufhamad3721 so na wewe unawaunga mkono jinsi wanavo gawa waislamu makundi makundi