Kᴀᴍᴘᴇɴɪ Yᴀ Uᴍᴏᴊᴀ? | 𝗨𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗪𝗮 𝗨𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶 𝗡𝗶 𝗨𝗽𝗶? | Kᴜɴɢᴀɴᴀ Kᴜɪᴍᴀʟɪᴢᴀ Dᴀᴡᴀ Sᴀʟᴀꜰɪʏᴀʜ!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ค. 2024
  • ‪@IzudinAlwyDin‬ ‪@AlIhsaanTv‬ ‪@maahadsheikhilislaamibntay1203‬ ‪@SheikhYusufAbdi‬ ‪@fauzproduction‬ ‪@duruuszadkt.islammuhammadsalim‬ ‪@KishkiOnlineTV‬ ‪@alhaajartvkenya‬ ‪@BABDEOMILADU‬ ‪@naswaha‬
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 141

  • @salafi.
    @salafi.  2 หลายเดือนก่อน +12

    ٱلَّذِينَ قَالَ لَهُمُ ٱلنَّاسُ إِنَّ ٱلنَّاسَ قَدۡ جَمَعُواْ لَكُمۡ فَٱخۡشَوۡهُمۡ فَزَادَهُمۡ إِيمَٰنٗا وَقَالُواْ حَسۡبُنَا ٱللَّهُ وَنِعۡمَ ٱلۡوَكِيلُ

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 2 หลายเดือนก่อน

      Wacha Chuki Na Dr. Islam.Hivi ni kuulize Katika hilo hizb Salafi Mulilo nalo mulianza Mukiwa wangapi na wamebakia wangapi?? Wangapi Muliokuwa nao Baada ya kuenda kusoma Madina wamekuacheni?? Mm nakuhakikishieni pale Mulipoanza Kuingia katika Zalaa za watu wa Ahlu sunnah hapo ndipo mulipopotea.Rudi Ukasome kitabu cha Sheikh Abdul Muhsin Al abad Ndio mutaelewa Dr.Islam mbn kasema vile.Maulama Wangapi Mumewatoa katika Sunnah kwa ijtihadi za Baadhi ya Maulama...Sheikh Muhammad ibnu Haddi,Sheikh Muhammed imam,Sheikh Suleiman Ruheyli na wengineo Hawa wote C chochote kwenu Atasalimika nani??? Wangapi kati yenu walifanya Ghuluu dhidi ya Sheikh Rabii ibnu Hadii na mukawanyamazia ?? Hivi Huu ndio Usalafy ?? Wengi wa maduat wenu c wasome Bali wako katika marhala ya kwanza kabisa inafikiwa kuwatoa watu katika manhaj kwa ikhtilaf za Fiqh Huo ndio Usalafi kumtoa mtu kwa sababu ya video na ilhali iko na khilaf ya wazi kabisa. Mm nakunasihi wacha chuki na Ahlu sunnah.

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 2 หลายเดือนก่อน +3

      قال الشيخ محمد صالح إبن العثيمين:
      وَقَدْ وَقَعَتْ تَحتَ سَمعِي وَبَصرِي قِصَّةٌ في (مِنًى) ذَاتَ يَومٍ مِنَ الأَيامِ أتَى إلَيَّ مُديرُ (التَّوعِيَة) بِطَائِفتَينِ مِنْ إِفريقيَا، وَكُلُّ واحِدةٍ تَلْعَن الأُخْرى وَتُكَفِّرُها، وَاشتَدَّتِ الأَصوَاتُ وعَلَتِ الأصْوَاتُ، فجَاؤُوا إليَّ، قالَتْ إِحدَاهُما: السُّنةُ في القِيامِ أَنْ يَضَعَ يَدَه اليُمنَى عَلى اليُسرَى، وقَالَتِ الأُخْرَى: السُّنةُ أنْ يُرسِلَ اليَدَيْن، وَكُلٌّ مِنهُما تُكَفِّر الأُخْرَى -أَعوذُ بالله-! فَهذهِ مَسأَلةٌ فَرعِيَّةٌ سَهْلةٌ، ولَيْسَتْ مِنَ الأُصُول وَالفُروضِ!فَقَالَ أَحدُهم: لَا، لَيْسَتْ سَهلةً، فالنَّبِيُّ ﷺ يَقولُ: «مَنْ رَغِبَ عَنْ سُنَّتِي فَلَيْسَ مِنِّي»، وهذا كُفرٌ تبَرَّأ مِنهُ الرَّسُولُ.
      فَبِنَاءً علَى هَذَا الفَهْمِ الفاسِدِ كَفَّرَتْ إِحدَاهمَا الأُخرَى مِن أجْلِ مَسْأَلةٍ اجتِهَادِيَّة وَسَهْلةٍ بِالنِّسبةِ لِغيرِهَا مِن أُمُور الدِّينِ.

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah 2 หลายเดือนก่อน

      yuko wapi leo sheikh ibn uthaymeen Allah amrehemu aje aone balaa na janga hili liliotuingilia

    • @UB40X1
      @UB40X1 2 หลายเดือนก่อน +3

      @@GOP-Abdallah Sheikh ibn Uthaymeen ashatanguliya (Allah Amrehemu) lakini sasa ukitaka kumfahamu yeye vizuri muulize Sheikh Fawzan utamuelewa vizuri ibn Uthaymeen.

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah 2 หลายเดือนก่อน

      @@UB40X1 ndo unsema nini sasa?

  • @user-ne4fj6pl2i
    @user-ne4fj6pl2i 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mzidi kumchukiya Allah asha muinuwa Allah akuifazi dr islam

  • @user-ne4fj6pl2i
    @user-ne4fj6pl2i 2 หลายเดือนก่อน +7

    Dr nimwiba kweni na muomba Allah akuifazi dr islam

  • @ahmedabry293
    @ahmedabry293 2 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akuhifadhi dr isalm❤

  • @SaidAbdallah-sm1ft
    @SaidAbdallah-sm1ft 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mashallah Allah awahifadhi mashekhe wa kisalafy wote duniani wanajuhudi kubwa juu ya kubainisha haki ni ipi mashallah

    • @abunajreenELSESANY
      @abunajreenELSESANY 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hakuna JUHUD waliyo nayo .
      Wamejaa CHUKI na HUSDA

    • @SaidAbdallah-sm1ft
      @SaidAbdallah-sm1ft 2 หลายเดือนก่อน

      @@abunajreenELSESANY hapan umeniusia uwadilifu na Mimi nakuusia uwadilifu akhy yangu Hawa mashekhe wakisalaf watu wengi hawajawaelea lakin wanakusudia kher kwa UMMA SEMA kasoro hakuna aliye kamilika

    • @bakariweko3958
      @bakariweko3958 2 หลายเดือนก่อน

      Wanapenda DUNIA masheikh wetu

    • @SaidAbdallah-sm1ft
      @SaidAbdallah-sm1ft 2 หลายเดือนก่อน

      @@bakariweko3958 mi nakuuliza suwali akhy yangu wewe kwaufuwatiliyaje wako ktk mashekhe wepe unaona wapo sawa ktk daawa zao ukiacha makosa ya kibinaadamu

  • @ismailmohamed41
    @ismailmohamed41 2 หลายเดือนก่อน +5

    JAZAKA ALLAH KHAIRAN. ALLAH AWAHIFADHI WALINGANIZI WA HAKI WA MANHAJ SALAFIYUN. HATA MKACHUKIA MANHAJ SALAFIYUN NI HAKI. MANHAJ SALAFIYUN NDIYO DINI ALLAH ALIORIDHIYA NA NEEMA KUBWA ALIYOITIMIZA KWA VIUMBE VYAKE. ATAKAE SHIKAMANA NA MANHAJ SALAFIYUN PASI NA SHAKA AMEFAULU. WAKUHIMIDIWA NI ALLAH KWA NEEMA YA UISLAMU NA SUNNA. BARAKA ALLAH LAKUM ❤

    • @jumafaki2891
      @jumafaki2891 2 หลายเดือนก่อน

      atakae fuzu ni walewale alotuambia mtume atakaefuata kitabu na suna na ametuambia Karne ilo Bora mawahabi wamezuka Jana na dini mpya

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 2 หลายเดือนก่อน

      @@jumafaki2891 Rudi ukalale Huku hakukufai Kama Huna Elimu Nyamaza ufundishwe

    • @user-dy9xh8ob3v
      @user-dy9xh8ob3v 2 หลายเดือนก่อน

      Wacha urongo ni utalafi tu😂😂😂

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 2 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah. Vijana tunazid kuipenda Dawatu Salafiya hkika twawapenda mno Masheikh zetu nyote. Allah akulipeni kheri

  • @Abdihassan-gl3py
    @Abdihassan-gl3py 2 หลายเดือนก่อน +5

    Abdullah humeid Allah am hifadhi

  • @abdirahmanshawkani
    @abdirahmanshawkani 2 หลายเดือนก่อน +2

    جزاك الله خيرا أخي الكريم

  • @ramadhanlipendelee3496
    @ramadhanlipendelee3496 2 หลายเดือนก่อน +2

    Twatakiwa kuwa Waislamu,, basss. Haya mambo ya madhehebu ni kutengana tuu, sababu tumeambiwa tushikamane katika kamba moja na tusifarakane, sasa kama ni kamba moja, madhahebu yatatusidia nn. Kama kuna Dhehebu alilokuwa nalo Mtume wetu, nijulishwe nami nilifuate. UISLAMU, UISLAMU, UISLAMU, BAAS.

  • @okwirioby3803
    @okwirioby3803 2 หลายเดือนก่อน +1

    الحقيقة ستنتصر دائمًا بارك الله فيكم

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน +3

    Acheni uongo na kuwasingizia,Waislamu. Waelekezeni watu katika Haqqi kwa "Hikma na Mawaidha mema ".Achaneni na matamanio ya nafsi.

  • @ahlulhadeeth
    @ahlulhadeeth 2 หลายเดือนก่อน +1

    جزاك الله خيرا mpaka kieleweke

  • @user-it3ee7zq2y
    @user-it3ee7zq2y 2 หลายเดือนก่อน +3

    Niwachaga kweli dr islam

  • @AbdallahMpemba
    @AbdallahMpemba 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah aihifadhi dawat salafi

  • @ahmedabdalla4836
    @ahmedabdalla4836 หลายเดือนก่อน

    Awesome awesome ♥️♥️♥️😎😎 oi❤❤❤❤❤❤😂🎉😅😊

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 2 หลายเดือนก่อน +1

    MBONA MWAJIFICHA NYUMA YA PAZIA KAMA WARII

  • @mamamayally8990
    @mamamayally8990 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umoja wa waislamu ndio hazina yetu, kitu ambacho maadui wa uislamu wanapambana kisije kikatokea, , tuache kulumbana waislamu , kutofautiana kwenye baadhi ya mambo lazima kutakuwepo mradi sio nje ya quraani na hadithi, na Allah ndie ajuae zaidi, tusishabikie kufarakana hakutusaidii Ila ni neema kwa maadui zetu

  • @GOP-Abdallah
    @GOP-Abdallah 2 หลายเดือนก่อน +5

    hamuna ukweli, dalili ni kuwa clip ya daktur alipotaka kumtaja yule alienukuu kwake maneno yake, mumekata hio sehemu.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 หลายเดือนก่อน +8

    MASHIA,MAHIZBI,MASUFI,MAKHURAFI,WATU WOTE WA BID'A,UNGANENI KUPINGA MASALAF,HAMTAWEZA!!!

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah 2 หลายเดือนก่อน +4

      hatutaweza kwa sababu nyinyi si watu wa ilimu,bali matusi na kejeli ni fanni yenu,tutaezapi?

    • @user-ug8hc4yh5k
      @user-ug8hc4yh5k 2 หลายเดือนก่อน

      Masalafiya jadidah acheni kuwahita watu wa sunaa mahizb

    • @abdulhamidyahya5904
      @abdulhamidyahya5904 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@GOP-Abdallahpia hili wapinga

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah 2 หลายเดือนก่อน

      @@abdulhamidyahya5904 napinga uwepo wa daktur kwenye hio list,hilo tu

    • @aishathabit3732
      @aishathabit3732 หลายเดือนก่อน +1

      Sisi hatuungani kupinga masalafy
      Sisi tunaungana kupinga watawala wa magharib na vubaraka wao watawala wa nchi za Arabun
      Kisha masalafy ndio vinara wa kuwatetea matwaghuut

  • @abubaker8399
    @abubaker8399 2 หลายเดือนก่อน +4

    My understanding Islam is not dependent on quantity but quality or to be precise not in big numbers only but also in following Islam according to how the Prophet(saw) and his Sahabis and those after them taught the Muslims. This is the only condition incumbent for Muslims to flourish. The mashaikh who speak about unity is somewhat contradictory. How can there be a united Ummah when we each one of us practice Islam the way we want and not strictly as per teachings of the Quran and the Sunnah. If the protectors of the Sunnah stop speaking out Muslims would end up being like Christians and jews who have completely lost direction. Unity can be achieved by following the Quran and the Sunnah of the prophet (saw)

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 2 หลายเดือนก่อน +2

      Exactly, We must stand foreward to identify rights and wrongs.
      Sunnah must stand up against innovations

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ofcourse we do suppose. That's right. But we should be trustworthy for what is being expressed by everyone. Some others are lying according to the enmity attitudes they do have in their hearts.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tell the truth without fabricating or elaborating anything else in praise of fulfilling your desire. Our references should be from The Glorious Quran and Sunnah,as well as they understood Prophet's companions.

  • @user-ec9md6cp4c
    @user-ec9md6cp4c 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sisi wengine tunaitwa masufi lakin kwa kukaa na mashia kiama kitasimama hatutaelewana kama hawakataka kubadilisha akida

  • @abuubakarihussein2664
    @abuubakarihussein2664 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tangulini Halali na haramu zikawa Sehem Moja unganeni nyie masufi na mashia na watu wabida'a na maibadhi. NK. Sisi masalafiy alhamdulillaah tunaelim natunafaham nususi vzr nyie kaeni nawashirikina wenzenu

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 2 หลายเดือนก่อน +2

    Rudini katika kitabu na sunna tu

  • @binseif2216
    @binseif2216 2 หลายเดือนก่อน

    Salafy wallahy wagomvi sana sijaona wamesilimisha mtu kuja kwenye uislamu wao nikufarakanisha sjajua mwisho wao hawa watu wataenda kujibu nini kwa Allah

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Natamani siku Moja na izo picha zenu za Wakuj wa genge lenu tuzipte alaf kitacho fuata ndio mtajua

  • @waleedahmed6530
    @waleedahmed6530 2 หลายเดือนก่อน +11

    Allah amuhifadhi duktoor islam na hasad za masalafy

    • @alfaroukshabani6445
      @alfaroukshabani6445 2 หลายเดือนก่อน

      Chuki zmezid et Dr Islam anachanganywa na masufi

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 2 หลายเดือนก่อน

      Masufi wenzenu

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 2 หลายเดือนก่อน +2

      Yaani kuna masheikh wapumbavu sana,
      Yaani wanafanya shirk, kufuru, halafu wanataka umoja
      Huyo ni umoja wa mayai na mawe kwenye kapu moja

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mkitaka umoja linganieni Tawheed na Sunnah
      Bila ya hivyo lazima mpigwe radd

    • @alfaroukshabani6445
      @alfaroukshabani6445 2 หลายเดือนก่อน +1

      Taja kufur na shrik ya Dr Islam

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 หลายเดือนก่อน +3

    Na kama tunatamani kuwa Salafi wa ukweli tuachane maneno ya kihuni uhuni ktk Dini. ALLAH A'ZZA WAJALLA Amewajaalia Waislamu uwezo wa kupima mambo "Haki na batili "Huenda wanaokosolewa wana mapungufu.Je, usulubu mnaoutumia upo sahihi??? Sana tunashudia :vijembe, na kauli za kizembe na kijinga.

  • @S.SWarfa
    @S.SWarfa 25 วันที่ผ่านมา

    Umefika wakati maulamaa mkalishuhulukia hili jambo
    Tatizo kubwa baadhi ya wanadawa hawajui jiografia wanasema Saudi na Afrika Mashariki tunapishana siku nzima. Sasa suluhisho maulamaa Waalkeni maulamaa wa Afrika Mashariki na muwaalike wanajiografia wawaelimishe baadhi ya ulamaa mwezi ni moja na tunapishana madaa sio siku nzima. Hakika mjitahidi kwani watu wengi hawaelewi wanafunga siku ya eid ambayo ni haramu.

  • @nayef3903
    @nayef3903 2 หลายเดือนก่อน

    Humeid wafaa upelekwe nyali police station ama central kwa sababu umezidi kwa kutukana

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 27 วันที่ผ่านมา

    Humunkwenye ku comments ndimo kwenye fitna .
    Sote (laa ila ha ilalwa muhammad rasululwa)
    Ushikamano usiwe wa FEKI .
    TUKEE MAASI

  • @sophiakassim6979
    @sophiakassim6979 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wenye kutaka kiki ni nyinyi mbona mwa mpa cheo amesema yuakitaka???Muogopeni Allah na uzushi ALLAH Amuhifadhi sheikh Humeid kwa tuhma zenu ampe IKHLAS kwa kazi nzuri anaoifanya hakuna mtu aliyelazimishwa kuifuata haki hata ALLAH Mwenyewe kalibainisha hilo.....

  • @amirmape6474
    @amirmape6474 หลายเดือนก่อน

    Namuona mwanaume hapo Abubakar shekau

  • @user-wl9gg6km7u
    @user-wl9gg6km7u 2 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akuhifadhi daktur islam. Hata usishulike nao. Acha daawa isonge mbele.ni hasad hakuna kingine walicho nacho.

    • @salimawadh5783
      @salimawadh5783 หลายเดือนก่อน +1

      Sheikh wako asema hakuna riba bank kuna riba nafuu

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 28 วันที่ผ่านมา

      Nyie masufi ni mijitu mijinga sanaa tuta kaaa vipi pamoja na mashia akati mashia wana watukana maswahaba wa mtume.

    • @salimawadh5783
      @salimawadh5783 28 วันที่ผ่านมา

      Dawaa gani watu wafundisha vitabu zaidi 30 na yy islam afundsha vtbu 3 na hata havijamalizwa kuna ni juhudi ama husda wacha kuplekwa kma upepo kaa naww pia uwanze kusoma utaacha hizi husda

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 2 หลายเดือนก่อน

    HAWA JAMAA HAWANA KAZI YAKUFANYA ILA WAO WAME KAA MISIKITINI KAZI YAO KUCHAFUA MAJINA YA WATU.

  • @AbooHaarith
    @AbooHaarith หลายเดือนก่อน

    3:01 what he failed to mention is upon what the sahaba where upon that’s they main issue.

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน

    MPASHUKUNA DILELEEE

  • @user-tw4nf6bv8b
    @user-tw4nf6bv8b หลายเดือนก่อน

    Msishie tu kutaka umoja tunaungana kwenye vitu gani kwa sababu akida ni tofauti ivi kundi linalousia waislam turudi ktk kitabu na sunnah tuache kuzua mazoea tusome ifundishwe dini aliyokuja nayo Mtume wa Allah

  • @GOP-Abdallah
    @GOP-Abdallah 2 หลายเดือนก่อน +3

    alafu mimi naona dhilele tumfanye awe mufti wetu waislamu wote, na admin wa hii chanel awe naibu wake

    • @abumuhammad7802
      @abumuhammad7802 2 หลายเดือนก่อน

      Labda awe Mufti wa matusi na wajinga wake

  • @as-salafy354
    @as-salafy354 2 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha mpaka kueleweke

  • @user-po9wi5lh1o
    @user-po9wi5lh1o 2 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi ndio wamewakalibisha mayahudi ndio mana ndio mana hawaongei kuhusu parestina maana ndio walio iuza

  • @salimhamad4363
    @salimhamad4363 2 หลายเดือนก่อน +5

    acheni ujinga wenu masalafia jadida wapuuzi nyinyi picha kharamu lakini zawenzenu mwaeka

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      Haha hapo ndipo ninapo check.Hawa masalafi njaa tu hawana ishu

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah 2 หลายเดือนก่อน

      tena wanajulia editing hata kushinda wasiopinga picha😂

    • @ummulkheiromar3640
      @ummulkheiromar3640 2 หลายเดือนก่อน

      Allāh atuongeze ktk njia ilio nyooka

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      @@ummulkheiromar3640 Amin.lkn siyo njia ya mawahabi maana njia ya mawahabi imepinda sana

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 2 หลายเดือนก่อน

      Acha upuuzi ww wwo wenyewe kwanini wanajoposity. Kama. Nyie vijihizbii vidogo hamtaki mihizibbii mikubwa ipositiwe iambieni baasi iache kujiposity

  • @CubeedCali
    @CubeedCali 2 หลายเดือนก่อน

    سيعلمون غدا من الكذاب الأشر

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib หลายเดือนก่อน

    NYINYI NI MAMLUKI WA MAREKANI.

  • @ImamuDossa
    @ImamuDossa 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni ujinga.Mtu atamtukanaje Abubakar na Umar na Muaawiya kisha niwe pamoja naye.

  • @husseinadam1278
    @husseinadam1278 2 หลายเดือนก่อน +2

    sasa mjisajili kama chama cha siasa kwa kampain yenu ya chuki

  • @bakariweko3958
    @bakariweko3958 2 หลายเดือนก่อน

    Aya Madhehebu tumeletewa na mayaudi ili tusiwe kitu kimoja wao wazidi kututawala sisi tukiwa twagombana mimi ni kundi ili mwengine lile twaenda wapi sisi waislam mtume akuwa na dhehebu isipokuwa Quran tu na sisi katuachiya kala ALLAH kala Rasulu ALLAH

  • @GOP-Abdallah
    @GOP-Abdallah 2 หลายเดือนก่อน +3

    umoja original ni upi?maana nyie munaojiita masalafi,nyinyi kwa nyinyi twawaskia mukitoana kwenye usalafi,sasa tufuate salafiya ipi?huku mombasa tu,kuna salafiya karibia nne
    كُلُّ حِزْبٍ بِمَا لَدَيْهِمْ فَرِحُونَ

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official 2 หลายเดือนก่อน +1

    وقل جاء الحق وزهق الباطل

  • @musakibwana4596
    @musakibwana4596 หลายเดือนก่อน

    Yaani tungoje hadi ulimwengu mzima waislamu wawe salafy ndo tutafute umoja?

  • @user-tw4nf6bv8b
    @user-tw4nf6bv8b หลายเดือนก่อน

    Ivi linachukuliwa kwamba ni kundi ovu hakuna umoja bila kurudi ktk sunnah na quran huo ndo msingi wa umoja watu

  • @abuubakarihussein2664
    @abuubakarihussein2664 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu kichaa anasema muache afanye atakavyo hahahaha DINI nipana LKN siyo kwaumoja wenu hahahaha

  • @lusitoally5623
    @lusitoally5623 2 หลายเดือนก่อน

    Kasuku hajielewi na mfuga kasuku hajielewi

  • @abuubakarihussein2664
    @abuubakarihussein2664 2 หลายเดือนก่อน

    Zudini hata shia pia huwajuwi Hadi leo innalillah wainnaillahi Rajiuon.

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mafuta jihuni sana.yeye hana mafundisho bali kukashifu wenzake.naskia alivamiwa kwao TZ,hata afadhali angepatikana masuni wakaishi kwa umoja,ameleta mgao mkubwa .ajifanya yeye ndie ajua kila kitu

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 หลายเดือนก่อน

    Salafy wameundwa na mayahudi kuzuia umoja wa a
    Waislam
    Lakini Shia lazima waache kutukana maswahaba
    Hatuwezi kuungana na mtu anaye mtukana Omar na Abuubakri
    Kwahili Shia hatuhitaji umoja wenu
    Yani Omar awe kafiri?

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 2 หลายเดือนก่อน

    Masalafi ni vibaraka wa marekani na israel

  • @rodgersmartin7336
    @rodgersmartin7336 2 หลายเดือนก่อน

    Mahizbii mtakielewa mwakaa huu upuz mtaacha

  • @amirmape6474
    @amirmape6474 หลายเดือนก่อน

    Kuwa kitu kimoja na shia siwezi kamwe

  • @MuhammadShariff-ji9ye
    @MuhammadShariff-ji9ye 2 หลายเดือนก่อน

    Mayahudi wametutenga inisha makundimakundi

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi ni majahili tu hawana wajualo.kwanza hadithi ya firka 73 kwa waislam ni hadith dhaifu kwasababu inapingana na Quran. Quran inasema huu ni umma bora. Kwahiyo umabora hauwezi kugawany8ka kushinda mayahudi na wakristo. La pili hadith hiyo inamgongano.kwenye hadith nyengine mtume anasema maswahaba watafukuzwa wasinywe kwenye haudh kwasababu kwa mabadikiko watakayo leta katika dini.sasa vipi mtume atwambie tufate maswahaba ambao yeye anasema watabadilisha dini.pia kuna maswahaba waliyotukana na kuuwana.sasa tufate maswahaba wapi? Kwahiyo mafuta hoja zako hazina mashiko. Pia mifano yake ya Afghanistan inathibitisha ubaguzi wamawahabi.yani Afghanistan ina makundi mbalimbali lkn mawahabi wanataka wawatenge wenzao katika uwongozi kama ambao wao si sehemu ya nchi hiyo.ubaguzi huwohuwo ndiyo waliyouleta Yemeni .ndani ya yemeni mahudhi ni asilimia 45 .lkn mawahabi walitaka kuwabagua makhuthi wasiwe na na nafasi yoyote ndani ya uongozi wa yemeni kama vile mahuthi si wayemeni.matokeo yake wakasababisha mapigano na mauwaji yasiyo na sababu.kwahiyo sera ya ubaguzi ni sehemu ya itikasi yakiwahabi. Nahapa Tanzania wanaendela kuiyeneza iliwatu wafarakane na wapigane. Sasa tunawaomba mawahabi kama hizo ndiyo sera zao wazipeleke kwa mawahabi wenzao Saudia sisi hatuna haja nazo.

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe Ndio Jahil MURAK'KAB wewe pamoja na Mwalimu wako shafi (Shia) Hizo Zote ni porojo za vijiweni wala hakuna Hoja za kuidhohofisha Hadith Mashhuri bali swahihi kwa kila kitu...Kijana Wewe Rudii ukasome dini C ushabiki wa yanga na Simba😂😂😂 Shia Kwetu Sisi Ahlu sunnah Wal Jamaa Ni makafiri Na Hilo Lajulikana tangu wakati wa Maswahaba

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      @@user.-_5943 Haha nyinyi majahili wakiwahabi hamna jipya zaidi ya ngonjera tupu ambazo haxina mashiko. Nikupa maelezo kwa mifano.sasa yapinge kwa hoja. Nimekwambia hadith hiyo ni dhaifu kwasababu inapingana na Quran. Wewe twambiye wapi uliona hadith sahihi ikipingana na Quran?

  • @user-cu6ol4zb8e
    @user-cu6ol4zb8e 28 วันที่ผ่านมา

    acheni chuki namawahabi

  • @abubakarmahsan877
    @abubakarmahsan877 2 หลายเดือนก่อน

    Kelele tu

  • @user-ws2zx1pn6y
    @user-ws2zx1pn6y 2 หลายเดือนก่อน

    Haiwezekani waislamu wote wako pamoja nyinyi mawahabi mujitenge HUKMU ANATOA MUNGU SIO WEWE KACHARA eti salafi
    Wewe wahabi nenda saudia ukarekebishe MNAKUFURISHA WATU KAMA NYINYI NI MIUNGU MKIAMBIWA UKWELI MNAVIMBA ACHENI UJINGA NA CHANNEL YENU YA KIPUMBAVU HII

  • @rushu1232
    @rushu1232 2 หลายเดือนก่อน

    Katika bidaa kubwa nikueka hizi clips na hizo chanel kuziita za kisalafi na masufi na mashia hatuko pamoja twahishimiana tu kual mtu na rai yake hutuendi miskiti yao wala wao hawaji kwetu.

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 2 หลายเดือนก่อน

    Dr.islam kiboko yao.mafuta mungu akutolee tena hao magaidi wakumalize mgawanyiko umalizike baina ya sunni

  • @AbooHaarith
    @AbooHaarith หลายเดือนก่อน

    5:33 SubhanaAllaah does he really know the creed and believe of the Shia?

  • @UB40X1
    @UB40X1 2 หลายเดือนก่อน +2

    HAATUTAKI UMOJA FEKI!!! Nyie mahizbi, maibadhi, mashia, na masufi mbona hamuungani? Tuacheni sisi Salafiyyah peke yetu.

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe Salafiyyah...kitu gani kinachokufanya wewe kuwa salafiyyah ??

    • @UB40X1
      @UB40X1 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@user.-_5943 Ni msimamo wangu wa Quran na Sunnah kwa ufahamu wa Salaf wa ummah huu. Wala sitetei wazushi na kupinga rudud za kielimu.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@UB40X1Huna lolote la usalafi wewe jahili wakiwahabi. salafi gani anafata itikadi za kikafiri za ibn taymiyah. Eti wanadai mungu ni kijana kitoto,mara wanasema mungu ninmzito kiasi kwamba hawezi kubebwa na malaika.yani huo ukafiri na uyahudi ndiyo usalafu huo?

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah 2 หลายเดือนก่อน

      umoja original ni upi basi?tuonesheni na sisi

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 2 หลายเดือนก่อน

      @@abiabi9353 Naam Ni Usalafi Huo...Wala Ibnu Taymiyyah C wa mwanzo Kusema hayo maneno bali yalisemwa kabla ya Kuja ibnu Taymiyyah...Wacha Chuki kwa Sheikhul Islam...Wewe Kwa Muonekano wako wewe ni Shia Rafidhwa Ambao C waislamu ...Ndugu nakunasihi Rudi katika uislamu

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 2 หลายเดือนก่อน

    SASA KAMA PICHA NI HARAMU MBONA MUMEWEKA PICHA KWENYE CHANNEL YENU?

  • @ramadhanlipendelee3496
    @ramadhanlipendelee3496 2 หลายเดือนก่อน

    Twatakiwa kuwa Waislamu,, basss. Haya mambo ya madhehebu ni kutengana tuu, sababu tumeambiwa tushikamane katika kamba moja na tusifarakane, sasa kama ni kamba moja, madhahebu yatatusidia nn. Kama kuna Dhehebu alilokuwa nalo Mtume wetu, nijulishwe nami nilifuate. UISLAMU, UISLAMU, UISLAMU, BAAS.