Dini ni dalili Mashaalah na umetupa dalili za wazi wazi. Na sisi tulikua wapenzi wa maulidi ila baada ya kupata elimu hiiii nimeachana na mambo ya maulidi.
Shekhe Muhammad watu wanadhani wazushi wakutukana tu burebure!!! Wanajua wewe unawaadhirisha, kwa ukweli na hoja nzito unazo zitoa kuthibitisha uongo wao. Allaah akupe umri mrefu na akuzidishie Elimu na Maarifa ktk Dini
Bachu hamo na nyinyi hamumo mbona hasemi ukweli mawahabi tawhed tatu amezitoa wapi alafu aseme wazazi wa mtume yuko motoni mawahabi kasomeni aliengia motoni ni ami yake Coz mtume alitumilizwa ami yake akakataa kusilimu bachu wapoteze tu watu
ndugu yangu mimi ni mtu wa maulidi lakini asemayo huyo shekhe namsadikisha maana nimefatilia hadithi zote na baraanji vipengele vyote nikaona yupo sahihi ila ndoivo tutafanyaje ndugu tusibishe haki
SubhanaAllah.Wewe wataka uambiwe na Mtume Muhammad (S.A.W).Basi tafakari msg zimekufikia .Uamuzi ni wako.Hata Mimi nimemuelewa vizuri sana.Yuko sawa kabisa.
@@mhogomchungu7168 acha ujahili wako.Hawa washairi wa kiarabu ni hodari sana kwa lugha ya kiarabu na wanazijua lugha za mafumbo .Tatizo mawahabi ndio wanatuharibia dini yetu.Barzanji ni mtaalamu wa lugha ya kiarabu hata wasaudi,mawahabi na mayahudi wanamuogopa kwa elimu yake.
NIME AMINI HUYU KIJANA HANA RADHI NA ANAZO CHENGA AKILINI MWAKE ,ALLAH MVUWE MARADHI ALONAYO NA UMTENGENEZE NDIMI YAKE ASIWE SABABU SISI KUKOSA REHMAZAKO NA KHERI ....
Hadithi kutoka kwa Annas:Mtume (SAW) anasema MIMI NIMETOKA KWENYE NDOA WALA SIKUTOKA KWENYE ZINAA KUANZIA ADAM MPAKA NILIPOFIKA KWA BABA YANGU NA MAMA YANGU. BASI MIMI NI MBORA WENU KINAFSI NA BABA YANGU NI MBORA KULIKO BABA ZENU!! Hio hadith unayoitoa hujaelewa mafuhumu yake coz neno Abii / Abuu hutumika hata kwa baba mdogo au mkubwa kwa lugha ya kiarabu!! Mtume hapo alimmaanisha Baba yake mdogo Abuu lahabi!!
Katika aheria ya kiisalmu ndoa inatambulika hata ikifungwa kanisani au mila, ndomana mtu akisilimu na mkewe hawafungishwi ndoa upya... Bab yake na mama yake mtume walioana lakin haimanishi waliowana kwa sheria ya kiislamu.... Ni ndoa ya mila... Mtu kweli sio mtoto wa zinaa, hilo ni hakika... Lakn haimanishi wazee wake ni waislamu... Wallahi aalamu
shekhe wewe hiyo hadithi yako bado kabisa haina upinzani hata mimi kama wazazai wangu wangekua waikristo kisha mimi nikasilimu ukubwani japo wazazi wangu ni makafiri ciwezi sema kuwa mimi ni mtoto wa zinaa eti kwa kuwa wazaz wangu hawakufungua ndoa ya kiislamu namaanisha kupitia ndoa walofunga tayari inahesabika ni ndoa hata mtume alimuo bikhadija kabla ya kupewa utume na bado ni ndoa halali
Ndiyo kama ulivyo sema baba wa Ibrahim na mke wa nuhu na mke wa lut wako motoni ni kwa sababu wali onywa wakakata maonyo but wazizi wa mtume nani aliwa onya wakakata na mingu mwenyewe ame sema hanga mizi mtu ila akikata ma onyo hata firauni haku anga miziwa ila baada ya yeye kupiga wajumbe wa mungu
wanyooshe baba huna mpinzani mpaka sasa wa kuyatetea maulid m.mungu akuweke miaka mingiii wanakuchukia kwa msimamo wako ila sio msimamo wako huu ni msimamo wa dini na hakuna wa kuupinga
Hata waliopita kabla ya sisi hoja zao zilikua ni kusema tumeyakuta haya tokea mababu zetu wao walikua wakiyafanya, 👉Tusomeni tuifahamu dini ya uislamu na sio kufata mambo ya kurithi toka kwa mababu na mabibi.
Hii naona imeeleweka,hayakuwepo maulid na hakuyaacha Mtume wetu (SWA). So tujiepushe na bid'a. Ustadh naona wameelewa tufunze vitu vyengine In Shaa Allah.barakaAllah fiik
@@Yu-jr9uf ahaa sawa Sasa somo la Nahau limezuka mtume halijui wala hakuna mtume aliyesoma na vilevile spika za msikitini mtume hakutumia ni bidaa hapo je vipi au navyo sio dini
Innalillahi waina ilaih rajiuun!! Uchache wa elimu ndo unakufanya uongee usiyojua...nenda kaisome nasaba ya mtume (s.a.w) umjue Abdullah alikua nani kwa baba yake,,je ni hakua muislamu au alikua anafanya ibada ziliochwa na nabii Ibrahimu!! Nenda kamsome Abdull mutwalib (babu yake mtume) alikua vp,,Kamsome Hashim na jina lake halisi ni nani , na kwann ameitwa Hashim,kamsome Abdul manaf na jina iake halisi ni nani na kwann anaitwa Abdul-manafi!! kasome nasaba yake yote mpaka ya Adinani utawajua ubora wa kizazi cha mtume (s.a.w)
@@suleymansalim5732 hadithi ni ya kweli lkn inataka mafuhumu sababu neno Abuu/ abi hutumika hata kwa baba mkubwa au mdogo! Na hapo mtume (s.a.w) amemmaanisha Abuu lahabi ambae alikua baba yake mkubwa!! Hadithi inayoonesha ubora wa baba yake mtume moja wapo ni hii kutoka kwa Annas kwa Mtume (s.a.w) amesema Na nimetoka kwenye ndoa wala sikutoka kwenye zinaa kuanzia kwa Adam mpaka Baba yangu na Mama yangu, basi mimi ni mbora wenu kinafsi na baba yangu ni mbora kuliko baba zenu!! Na ukisoma nasaba ya mtume mpaka kwa Ismaili(a.s) wote hawa walikua wanamuabudu Allah na kufuata mila za nabii Ibrahim (a.s) !! Nakushauri isome hii nasaba kwa undani..Zipo Hadithi za mtume zenye majaz na kinaya ndani yake mfano mtume alipomjibu yule kibibi kizee kwamba Peponi hawaingii wazee ,,, maaanake kuna kinaya sio kwamba wazee wataingia motoni bali pepon tutaingia kwa umbo la ujana!! Kufasiri Qur-an ,hadithi au beti kama hzo hitajiii tu kujua lugha na nahau!! Bali kuna fani za usuulu , Balagha , Mantwik na kujua kilichokusudiwa !! Huyo Barzanji anaemkosoa hapo alikua ni Mufti wa Madina katk Uhai wake na Alifundisha darsa zake katk Msikiti wa Mtume (s.a.w) sasa yeye anakurupuka kufasiri beti kwa kiarabu cha kawaida hvo vnampa tabu sana!! mfano mtu wa darasa la saba kumpa kitabu cha mashair ya wasaka tonge akute shairi la jiwe si mchi , Mvuja jasho au Mfereji maringo alafu atafsiri kwa kawaida bila kujua dhamira za tungo hzoo!! Tusomeni Dini , tupo kwenye zama za fitna!! Hivo kamsome Abdullah bin Abdul-mutwalib ambae alikua ni mtt wa mwisho wa Abdul-mutwalib
Huyu haha akili eti yeye ndo mkweli na hao walioifanya kazi yote mpaka wakatunufaisha kielimu kwa mijeledi ya vitabu ni waongo الجنون فنون والاحمق من المجنون
Kwanini mnaoshabikia mawlid mnakuwa na jazba mnaponasihiwa ukweli? Kwani hiyo Barzanji maneno yake na ubora wake washinda Quran? Yeyote anaetafuta haki kwenye dini yampasa arudi kwenye mafundisho ya Quran na Sunnah.. vyenginevyo hatoifahamu haki na batil ikiwa atakuwa ni mwenye kushabikia itikadi walizofanya mababu zetu wakitakidi kuwa ni mambo ya dini...
Hashim mzee,nataka mimi na wewe tufundishane Qur'an na sunna,kisha tuje kumfundisha Mwamedi bachu,Wewe uje na tafsiri ya Qur'an nami In Shaa Allah nitakuja na Ta'awil ya Qur'an tujadiliane,tufundishane na tuelekezane kwa adabu na utaratibu mzuri kisha tuje kwa mwamedi bachu pia.
Nenda kazidi kutafuta elmu kwa wanavyuoni hicho unachokisema ni uwongo mtupu hasa shida ya sasa hivi mkishajuwa kusoma kiarab basi tayari mshakuwa wasomi wa dini
Ww kuwa na adabu na wazazi wa mtume Juzi tu Mohammad mafuta kamtaja babako kukosa usalafi ukajawa na jazba mpaka kuwakosea heshima kina kasim mafuta Keif hao wazazi wa mtume unawakufurisha
Jamani kumbe kuna watu wagonjwa kweli ee sasa wewe nani alikuambia kama mtu akitunga kitabu ndio yupo sawa, sasa mimi nakuambia barzanj ni kitabu kilichojaa shirki shirki shirki za waziiiii na uongo mkubwaa
Umma w Kiislamu unaandamwa kila kona na makafiri, sheria za Allah s.w.t hazitekelezwi duniani. Bado mpaka leo mada ni "MAWLID" ndo Uislamu wetu umeishia hapo?
Kabisa, yaani badala kufindisha watu Tawhid na mengineyo yao huyu ni mrongo,huyu ni mzushi huyu ni hivi. Subhana Allah sijuwi twaelekea wapi ,mola atupe fahamu na Tawfiq tuweze kujuwa batil katika dini bila kutegema sheikh yeyote😢
Kwa kweli huyu bado anathibitisha ni mchache wa elimu kila siku anaharibu yeye. Kwani ukisema baba kwa kiarabu inakua baba mzazi? Kwa kweli mudi unawapotosha watu na utakwenda kujibu. Ami na babu pia unaweza kuita Abii. Aabaaukum mababa zenu
فسئلوا أهل الذكر إن كنتم لا تعلمون Hili ndio tatizo la mtu kuacha kuuliza wajuzi wa jambo, Anaamua kujiuliza mwenyewe na kujijibu mwenyewe Kisha anajipongeza kwamba kapatia kujijibu!
Akasome wapi nae ahahitimu kitabu cha kupinga maulidi mengine hajui ya kufundisha manake kuna watu watamani hata hii twahara hawajui km engelifundisha angalipata thawabu ngapi?
Ndio walivo watu wamaulid wasema msitafsiri kitabu Cha maulid kina malagha kubwa subhanallah kitabu Cha maulid kina malagha kubwa kuliko Qur-aan nayo imetafsiriwa
Samahani nielewe vizuri nimekwambia kuna mbao ya muhimu kufundisha watu sikupinga maulidi kuna watu hata hii swala hawajui kwanini asifundishe watu na ndicho kitu cha kwanza kaburini tutaulizawa
Tuseme ndio hujui kulingania au vipi, mbona kila sikua wasoma maulidi wanaongezeka tu tena hadi staili mpya za maulidi zinaanzishw, wallah ungekua hujikwezi na kujisifu bac watu wangekuelew
Mm sina elimu lakini siku zijazo makafiri watakuwa wakija kwny debet watakuwa wana uliza maswali khs maulid,kwny mihadhara itakuwa hvy hvy innahlillah wainnalillah rajuun!!!!!!!
Kwa hakika tumewaona mashekhe walokutangulia WA kiwahabi Vigo wakisawasawa hawajadhubutu hats siku moja kuwatukana swahib barzanji Wala waliotunga vitabu vingine
mrongo wewe, kuwa na adabu, mashekhe wote ulimwenguni sijawasikia wakisema kuwa wazazi wa mtume wetu Muhammad wamekufa ilhali mushrikina, umevuka mipaka wewe, wewe ni kazi yako kubishana TU
Huyu bwana siauliwe hakuna mtu wa kumuuwa huyu bwana anatukana watu kwa chuki zake anataka tuwe magaidi kama baba yake alie uliwa kule kenya na jeshi la Kenya
✓ وعن ابن مسعود وابن عباس رضي الله عنهم: من أفتى في كل ما يسأل فهو مجنون. ✓ وعن الأثرم: سمعت أحمد بن حنبل يكثر أن يقول: لاأدري؛ وذلك فيما عرف الأقاويل فيه. ✓ وعن الهيثم بن جميل: شهدت مالكا سئل عن ثمان وأربعين مسألة، فقال في ثنتين وثلاثين منها: لاأدري. ✓ وعن مالك أيضا، أنه ربما كان يسأل عن خمسين مسألة، فلا يجيب في واحدة منها، وكان يقول: من أجاب في مسألة فينبغي قبل الجواب أن يعرض نفسه على الجنة والنار، وكيف خلاصه؛ ثم يجيب. ✓ وقال الشافعي: ما رأيت أحدا جمع الله تعالى فيه من آلة الفتيا ما جمع في ابن عيينة، أسكت منه على الفتيا. ✓ وقال أبو حنيفة: لولا الفرق من الله تعالى أن يضيع العلم، ما أفتيت؛ يكون لهم المهنأ وعلي الوزر.
Wewe unaelimu kaka au waongea tu sikiliza hoja tu zakielimu sio unabisha alafu hujui kitu kama kunashekhe yoyote anajiamini kihoja za maulid azilete online mbn wapo kimya
Huna mengine ya kuongea mtu wewe ni Mawlid tu? Kuna mengi yakuongea jamii imepotoka yahitaji kurekebishwa...nyinyi ni Mawlid tu utapasuka kundru angalia ya muhimu boss
Wewe Sasa unaakili kweli ❓❓❓❓❓Sasa Izuddin na othman maalim wameyapata wapiiii hayo maulidi na hayo maneno yaliopo kwenye hayo mabarazanje, na simtuddurari......... Pia hawana ilmu kumshinda mtume hat imaam shafiy hawamkuti
Barzanji alikua mshairi na hakuwa mwanachuoni wa dini , soma quran 26.224 وَالشُّعَرَاء يَتَّبِعُهُمُ الْغَاوُونَ 224. Na watungaji mashairi (yasiokuwa na faida ) wanafuatwa na watu wapotofu (wenye akili zao hawafuati watu hao). Tafsiri ya Sheikh Abdallah Saleh Farsy Hivi unafikiri hiyo aya imeshuka kwa bahati mbaya ?
Apo Mmesema kweli Wazazi wa Muhammad walikuwa makafiri Na kwa mojibu wa Biblia kitu Kichafu akiwezi kutoa kitu kisafi Kwa msingi huwo Muhammad ni Nabii feki
Amelaaniwa yeyote mwenye kusema na kuamini ya kuwa Wazazi wake Mtume SAWW waliishi na wakafa katika Ukafiri. Wahhabism is the most disgusting distorted belief.
Assalam Alykm, ndugu usitsfute hoja ya kupinga maulidi... Waulize wanaofanya wametumia hadithi gani, au aya gani, au swahaba gani au imamu gani shafi, hambal, maliki, hanifa... Nani alifundisha maulidi... Hao ndio maimamu wa kutegemewa... Kama ni mtu tu kaja nayo basi hiyo si ibada.. So usiulize kwanin haifai, uliza kwanin watu wafanye jambo ambalo si mtume, wala swahaba, wala taabin, wala maimamu wanne wakubwa amewahi kufanya hilo
Dini ni dalili Mashaalah na umetupa dalili za wazi wazi.
Na sisi tulikua wapenzi wa maulidi ila baada ya kupata elimu hiiii nimeachana na mambo ya maulidi.
😅
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا ونبينا وحبيبنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين ومن تبعهم بإحسان إلى يوم الدين
Shekhe Muhammad watu wanadhani wazushi wakutukana tu burebure!!!
Wanajua wewe unawaadhirisha, kwa ukweli na hoja nzito unazo zitoa kuthibitisha uongo wao.
Allaah akupe umri mrefu na akuzidishie Elimu na Maarifa ktk Dini
Bachu hamo na nyinyi hamumo mbona hasemi ukweli mawahabi tawhed tatu amezitoa wapi alafu aseme wazazi wa mtume yuko motoni mawahabi kasomeni aliengia motoni ni ami yake Coz mtume alitumilizwa ami yake akakataa kusilimu bachu wapoteze tu watu
Allah akupe umri mrefu wa kher ili tuendelee kupata elimu kutoka kwako shekh wetu.
Maadam mtumi swalla Allahu alayhi wasallam ametuusia kuhusu nyama za wanazuoni nisumu twendeni tutafika
Maasha Allah
tupo pamoja kwa ajili ya .Allah Subhaanahu wataghala
Mungu awaswamee masheke nyinyi mulitajwa katika quruani
Sasa hizi hadithi anazo soma inamaana ni za uwongo?
SALAAAAAAALA UMEFIKIA HAPO MOHD BACHU KWANI WEWE NI MUHADITH WA KUTAFSIRI HADITHI UNAVO TAKA
Sheikh unapotosha tafsiri kwa mawazo yako sio elimu , unawapotosha watu saanaaa
Muogope allah sw
sikiliza vizuri ndg yangu utaelewatu
bas kama yeye ana potosha wewe rekebidha
Serengeti: kaa kimya, huna Ubongo ila Tope
Ndio hawa waliopews funguo za pepo na moto na kuwatia motoni mpaka wazazi wa mtume S.A.W kijana waelekea pabaya sana
ndugu yangu mimi ni mtu wa maulidi lakini asemayo huyo shekhe namsadikisha maana nimefatilia hadithi zote na baraanji vipengele vyote nikaona yupo sahihi ila ndoivo tutafanyaje ndugu tusibishe haki
Soma qurani wacha uswahili
SubhanaAllah.Wewe wataka uambiwe na Mtume Muhammad (S.A.W).Basi tafakari msg zimekufikia .Uamuzi ni wako.Hata Mimi nimemuelewa vizuri sana.Yuko sawa kabisa.
Hiyo Hadith ni sahihi bro
Lakini wewe ambaye USO na Akili na upungufu WA elimu wamwita barzanji mrongo na kumpakia urongo kukifasiri kitabu cha barzanji Kwa fikra zako
Km niuongo itakua anatafsir bibliaa
Huyu mtoto ni jahil na anataka kuwafanya wanazuoni wetu waonekane majahil kama yeye.Allah atuhifadhi na shari zake yeye na mawahabi wenzake
Barzanji hakuwa mtu mwenye elimu ya dini, alikua ni mshairi tu kwahiyo nafasi ya kukosea ni kubwa
@@mhogomchungu7168 acha ujahili wako.Hawa washairi wa kiarabu ni hodari sana kwa lugha ya kiarabu na wanazijua lugha za mafumbo .Tatizo mawahabi ndio wanatuharibia dini yetu.Barzanji ni mtaalamu wa lugha ya kiarabu hata wasaudi,mawahabi na mayahudi wanamuogopa kwa elimu yake.
Ukweli hamuutaki mshazoea mziki ndio dini yenu
Yaani ww mpotoshaji sana mshenzi kama ww daah
SubhanAllah.haya amepotosha wapi?hebu tuelimishe.
Kwa hakika vijogoo vinavyowika viko vingi....tuweni makini sana...Allah akusamehe mdogo wetu....
mh pole yako
Pole sana kaka yussuf
Yusuf: Ama kweli wewe Bongolala kabisa, hivi hata maelezo haya huelewi! Tulikuwa wote shule ya msingi ulikuwa hivihivi! POLE
Sikujui!
Allah akujaze kheri shekh Bachu, endelea kutuelimisha, wanaokasirika huwenda wanamanufaa na hayo. Allah atuongoze
NIME AMINI HUYU KIJANA HANA RADHI NA ANAZO CHENGA AKILINI MWAKE ,ALLAH MVUWE MARADHI ALONAYO NA UMTENGENEZE NDIMI YAKE ASIWE SABABU SISI KUKOSA REHMAZAKO NA KHERI ....
Anasema Kweli
Hadithi kutoka kwa Annas:Mtume (SAW) anasema MIMI NIMETOKA KWENYE NDOA WALA SIKUTOKA KWENYE ZINAA KUANZIA ADAM MPAKA NILIPOFIKA KWA BABA YANGU NA MAMA YANGU. BASI MIMI NI MBORA WENU KINAFSI NA BABA YANGU NI MBORA KULIKO BABA ZENU!! Hio hadith unayoitoa hujaelewa mafuhumu yake coz neno Abii / Abuu hutumika hata kwa baba mdogo au mkubwa kwa lugha ya kiarabu!! Mtume hapo alimmaanisha Baba yake mdogo Abuu lahabi!!
Katika aheria ya kiisalmu ndoa inatambulika hata ikifungwa kanisani au mila, ndomana mtu akisilimu na mkewe hawafungishwi ndoa upya... Bab yake na mama yake mtume walioana lakin haimanishi waliowana kwa sheria ya kiislamu.... Ni ndoa ya mila... Mtu kweli sio mtoto wa zinaa, hilo ni hakika... Lakn haimanishi wazee wake ni waislamu... Wallahi aalamu
shekhe wewe hiyo hadithi yako bado kabisa haina upinzani hata mimi kama wazazai wangu wangekua waikristo kisha mimi nikasilimu ukubwani japo wazazi wangu ni makafiri ciwezi sema kuwa mimi ni mtoto wa zinaa eti kwa kuwa wazaz wangu hawakufungua ndoa ya kiislamu namaanisha kupitia ndoa walofunga tayari inahesabika ni ndoa hata mtume alimuo bikhadija kabla ya kupewa utume na bado ni ndoa halali
Kwani hakuna ndoa za ki mila???? tumia akili wapagani hawana wake?
Masha ALLAH ndio maana umeambiwa huja baleghe ni kweli si kwamba ni kiumri kumbe ni kiilimu ndio huja baleghe
Haja balehee vip nyie wajinga hadis sahihi za mtume hizo anawasomea mtadanganywa mpaka lin na uzush
@@awadhally1052 hawajielewi hawa
@@awadhally1052 ww kasome na bachu wako mpotoshaji hana ilimu sisi tutasoma tukutane siku ya kiyama
Ndiyo kama ulivyo sema baba wa Ibrahim na mke wa nuhu na mke wa lut wako motoni ni kwa sababu wali onywa wakakata maonyo but wazizi wa mtume nani aliwa onya wakakata na mingu mwenyewe ame sema hanga mizi mtu ila akikata ma onyo hata firauni haku anga miziwa ila baada ya yeye kupiga wajumbe wa mungu
wanyooshe baba huna mpinzani mpaka sasa wa kuyatetea maulid m.mungu akuweke miaka mingiii wanakuchukia kwa msimamo wako ila sio msimamo wako huu ni msimamo wa dini na hakuna wa kuupinga
Uyo babaako akipinga maulid lkn hakufikia kusema hayo daaaah
Hata waliopita kabla ya sisi hoja zao zilikua ni kusema tumeyakuta haya tokea mababu zetu wao walikua wakiyafanya,
👉Tusomeni tuifahamu dini ya uislamu na sio kufata mambo ya kurithi toka kwa mababu na mabibi.
Hii naona imeeleweka,hayakuwepo maulid na hakuyaacha Mtume wetu (SWA). So tujiepushe na bid'a. Ustadh naona wameelewa tufunze vitu vyengine In Shaa Allah.barakaAllah fiik
Bas tusipande ndege wala basi maana ni kitu kulikua haipo unasema hapo
@@adamsamata8754 bado unaulizaga hayo maswali ndg yangu??? siku zote bidah zinazoongelewaga ni bidah ndani ya dini katika ibada
@@Yu-jr9uf ahaa sawa Sasa somo la Nahau limezuka mtume halijui wala hakuna mtume aliyesoma na vilevile spika za msikitini mtume hakutumia ni bidaa hapo je vipi au navyo sio dini
@@Yu-jr9uf kama hujatosheka nikuongeze
@@adamsamata8754 spika ni ibada??? unajua maana ya ibada lakini ndugu yangu??
Innalillahi waina ilaih rajiuun!! Uchache wa elimu ndo unakufanya uongee usiyojua...nenda kaisome nasaba ya mtume (s.a.w) umjue Abdullah alikua nani kwa baba yake,,je ni hakua muislamu au alikua anafanya ibada ziliochwa na nabii Ibrahimu!! Nenda kamsome Abdull mutwalib (babu yake mtume) alikua vp,,Kamsome Hashim na jina lake halisi ni nani , na kwann ameitwa Hashim,kamsome Abdul manaf na jina iake halisi ni nani na kwann anaitwa Abdul-manafi!! kasome nasaba yake yote mpaka ya Adinani utawajua ubora wa kizazi cha mtume (s.a.w)
Kwahiyo hiyo hadithi bi yauongo? Mtume hajasema kua baba yake yupo huko motoni??? Naomba nijibu tafadhali
@@suleymansalim5732 hadithi ni ya kweli lkn inataka mafuhumu sababu neno Abuu/ abi hutumika hata kwa baba mkubwa au mdogo! Na hapo mtume (s.a.w) amemmaanisha Abuu lahabi ambae alikua baba yake mkubwa!! Hadithi inayoonesha ubora wa baba yake mtume moja wapo ni hii kutoka kwa Annas kwa Mtume (s.a.w) amesema Na nimetoka kwenye ndoa wala sikutoka kwenye zinaa kuanzia kwa Adam mpaka Baba yangu na Mama yangu, basi mimi ni mbora wenu kinafsi na baba yangu ni mbora kuliko baba zenu!! Na ukisoma nasaba ya mtume mpaka kwa Ismaili(a.s) wote hawa walikua wanamuabudu Allah na kufuata mila za nabii Ibrahim (a.s) !! Nakushauri isome hii nasaba kwa undani..Zipo Hadithi za mtume zenye majaz na kinaya ndani yake mfano mtume alipomjibu yule kibibi kizee kwamba Peponi hawaingii wazee ,,, maaanake kuna kinaya sio kwamba wazee wataingia motoni bali pepon tutaingia kwa umbo la ujana!! Kufasiri Qur-an ,hadithi au beti kama hzo hitajiii tu kujua lugha na nahau!! Bali kuna fani za usuulu , Balagha , Mantwik na kujua kilichokusudiwa !! Huyo Barzanji anaemkosoa hapo alikua ni Mufti wa Madina katk Uhai wake na Alifundisha darsa zake katk Msikiti wa Mtume (s.a.w) sasa yeye anakurupuka kufasiri beti kwa kiarabu cha kawaida hvo vnampa tabu sana!! mfano mtu wa darasa la saba kumpa kitabu cha mashair ya wasaka tonge akute shairi la jiwe si mchi , Mvuja jasho au Mfereji maringo alafu atafsiri kwa kawaida bila kujua dhamira za tungo hzoo!! Tusomeni Dini , tupo kwenye zama za fitna!! Hivo kamsome Abdullah bin Abdul-mutwalib ambae alikua ni mtt wa mwisho wa Abdul-mutwalib
Kweli
@@abdallahmkomboz2679
ALLAH AKUPE UMRI WENYE BARKA .
NA MOYO ULIVO NIDUNDA .
KUMSIKIA MTU ANASEMA MAMENO MAZITO JUU YA RASULULLAH. ALLWAAHUAKBAT.
Huyu haha akili eti yeye ndo mkweli na hao walioifanya kazi yote mpaka wakatunufaisha kielimu kwa mijeledi ya vitabu ni waongo الجنون فنون والاحمق من المجنون
Naomba mawasiliano yako shekhe
Mtasumbuka Sana lakini Allah (sw) ndiye mjuzi wa yote
Wazazi wa mtume Mohamad s.a.w wapo peponi tena janatul firdaus ww ni laaana zakusumbua
Asalam aleikum warhmatulah wabarakatu angaliya kauli zako kaka
@@kukww2024 soma dini kaka acha kukurupuka wewe
Tupe hadithi inayosema hivo.... Maana hata sisi twatamani wangekuwa peponi..... So Tupe hadithi yaonekana umesoma sana ndg
tuliza mshono kaka acha kukurupuka
tumia hoja kasema mtume mwenyewe wewe nanai tukisikiliza wewe kajambe mbele
@@kukww2024 mbona usimwambie bachu achunge na wanazuoni na mtume alikataza kuwatusi wanazuoni
Bachu kasome baba wa mtume aingie motoni swali alifkiwa na ujumbe akaupinga mungu hamuadhbu mtu mpaka afkiwe na ujumbe
Kwanini mnaoshabikia mawlid mnakuwa na jazba mnaponasihiwa ukweli? Kwani hiyo Barzanji maneno yake na ubora wake washinda Quran? Yeyote anaetafuta haki kwenye dini yampasa arudi kwenye mafundisho ya Quran na Sunnah.. vyenginevyo hatoifahamu haki na batil ikiwa atakuwa ni mwenye kushabikia itikadi walizofanya mababu zetu wakitakidi kuwa ni mambo ya dini...
Kwani wewe maneno yako na quraan bora yepi ni muhim kufaham kwa hiyo quraan .ukiwa hujaifaham basi .utayumba bora tusali na fardhi tujitahidi .
@@karimdaud3993 kwan Quran inaonyesha wapi kama maulid ni ibada
Hashim mzee,nataka mimi na wewe tufundishane Qur'an na sunna,kisha tuje kumfundisha Mwamedi bachu,Wewe uje na tafsiri ya Qur'an nami In Shaa Allah nitakuja na Ta'awil ya Qur'an tujadiliane,tufundishane na tuelekezane kwa adabu na utaratibu mzuri kisha tuje kwa mwamedi bachu pia.
Nenda kazidi kutafuta elmu kwa wanavyuoni hicho unachokisema ni uwongo mtupu hasa shida ya sasa hivi mkishajuwa kusoma kiarab basi tayari mshakuwa wasomi wa dini
Wewe una elimu? Omba nafasi ktk mimbar tukusikie, acha chuki wakati huna ujuacho
Ww kuwa na adabu na wazazi wa mtume
Juzi tu Mohammad mafuta kamtaja babako kukosa usalafi ukajawa na jazba mpaka kuwakosea heshima kina kasim mafuta
Keif hao wazazi wa mtume unawakufurisha
We mfitnishaji tu na mvunjaji nakaziako kupotoa watu tu hauna jengne
MaAshallah SHEIKH! THANKS SO MUCH!
Kichaa siokuvua nguo tu
Astaghfirullaaaah kwaio wamaanisha kwamba mamaetu bibi amina ataingia motoni daaah we jamaa hufai hata kdg yaani tena ww mshenzi tu sii sheikh
Siyo Mshenzi tu Huyu mtoto Wa Bachu ana laana na imemshika hasa
Siyo Mshenzi tu Huyu mtoto Wa Bachu ana laana na imemshika hasa
hujatunga hata kitabu cha kurasa 10 Leo hii wamkosoa barzanji Kweli una upungufu WA elimu na Akili
Kwa kweli ww ni mjinga dah pole sana zero brain
Ww unakijua au ni kufuata tu bila kujua ulisemalo
Jamani kumbe kuna watu wagonjwa kweli ee sasa wewe nani alikuambia kama mtu akitunga kitabu ndio yupo sawa, sasa mimi nakuambia barzanj ni kitabu kilichojaa shirki shirki shirki za waziiiii na uongo mkubwaa
Muhammad umeowa wake wawili umewaweka nyumba moja hata mtume hakufanya hivo kwa hiyo nawewe pia mnafik
Mshaa Allah
Sheikh Abdallah Humeid(Dilele) alivyokuwa akisema mulimwita maneno kibao na kusema ana matusi lakini sahii mwaona maneno mazito alokuwa akiyasema.
Hamna Elimu hapo , kuna chuki tu na kiburi
MAULIDI NI UWONGO KWELI WALA HAIFAI..ILA NASHANGAA MASHEKHE WOTE WANAMSEMA BACHU..KWANZA VP UTASHEREHEKEA SIKU YAKUFA
Umma w Kiislamu unaandamwa kila kona na makafiri, sheria za Allah s.w.t hazitekelezwi duniani. Bado mpaka leo mada ni "MAWLID" ndo Uislamu wetu umeishia hapo?
Hizo sheria tekeleza ktk family yako huwezi waminisha watu unacho amini wewe
@@michaelthobias9967 kufa kwa chuki zako
@@michaelthobias9967 Huna ulijualo katika uislamu endelea na upuuzi tu ila maisha ya kweli yapo baada ya kufa.
Baadae utaelewa tu inshallah na upumbavuwako uwo
Sibitisha baba wa mtume kuwa ameabudia sanamu?
th-cam.com/video/CM7mX19MBM0/w-d-xo.html
Raddi kwa Muhammad Bachu jee katika Barzanji kuna shirki (1)
Sheikh said Omary kijana kaanza tena fujo tunataraji afundishwe tena tangu.
Unawazimu bachu umeishiwa na darsa
Ukosefu wa elimu na kukosa adabu ndiko kunakokupelekea kuzua hayo unayoyazua,
Sheik sikiliza vzr uwelewe upate faida
Mashehe kama hawa ndio mimi nawafuata maashaallah
Fuata upote wapotoshaji hawa bachu mpotofu
Masheikh tulobaki nao.... Kubwa ni kuzungumzia madhehebu .
Ebu jikite kutoa elimu kama Ustadh Othman maalim watu waelimike wachague wenyewe.
Kabisa, yaani badala kufindisha watu Tawhid na mengineyo yao huyu ni mrongo,huyu ni mzushi huyu ni hivi. Subhana Allah sijuwi twaelekea wapi ,mola atupe fahamu na Tawfiq tuweze kujuwa batil katika dini bila kutegema sheikh yeyote😢
We nae masikio huna huoni kuwa Anaongea point
Daaaah we jamaa jahilia sana mpumbavu kabisa yani Allah akuongoze uijue dini Aaamin
Masha’allaah tabaarakallah
Allahumma baarik fyikum
Mshapotezwa
Allah akulinde
Kwa kweli huyu bado anathibitisha ni mchache wa elimu kila siku anaharibu yeye.
Kwani ukisema baba kwa kiarabu inakua baba mzazi?
Kwa kweli mudi unawapotosha watu na utakwenda kujibu.
Ami na babu pia unaweza kuita Abii.
Aabaaukum mababa zenu
Nilidhani yeyote anayepingana Mowlid ni salafi, kumbe mahizbi na maikhwani pia wanapinga mowlidi.. yaa hizbiyuun mwanzo jirakibisheni Na Biddah zenu ‘
Wewe hujui ki2 sikiliza tu kaka
We Muhammed Bachu Uchizi kama chizi wengine tu.
Sabasibul Kubra... pwaguzi wako
خالف تعرف ،
فسئلوا أهل الذكر إن كنتم لا تعلمون
Hili ndio tatizo la mtu kuacha kuuliza wajuzi wa jambo,
Anaamua kujiuliza mwenyewe na kujijibu mwenyewe
Kisha anajipongeza kwamba kapatia kujijibu!
Muhammad utakuja kudhurika ndugu yangu nenda ukasome, haya yote ni kwasababu hujakaa kusoma kwa ambao zimesakimika sanadi zao za ilmu.
Akasome wapi nae ahahitimu kitabu cha kupinga maulidi mengine hajui ya kufundisha manake kuna watu watamani hata hii twahara hawajui km engelifundisha angalipata thawabu ngapi?
Ndio walivo watu wamaulid wasema msitafsiri kitabu Cha maulid kina malagha kubwa subhanallah kitabu Cha maulid kina malagha kubwa kuliko Qur-aan nayo imetafsiriwa
Nyie mnaemwambia akasome hamjui lolote na km hamjui lolote utajuaje kua Hana elimu ililhali wewe mtupu
Wacha mambo ya kudhurika kama uko na hadith ambaye ni kinyume alivyo sema sheikh leta
Samahani nielewe vizuri nimekwambia kuna mbao ya muhimu kufundisha watu sikupinga maulidi kuna watu hata hii swala hawajui kwanini asifundishe watu na ndicho kitu cha kwanza kaburini tutaulizawa
Tuseme ndio hujui kulingania au vipi, mbona kila sikua wasoma maulidi wanaongezeka tu tena hadi staili mpya za maulidi zinaanzishw, wallah ungekua hujikwezi na kujisifu bac watu wangekuelew
Huna ELIM dogo ndo maana hujui kitu soma Kwanza chali
Mm sina elimu lakini siku zijazo makafiri watakuwa wakija kwny debet watakuwa wana uliza maswali khs maulid,kwny mihadhara itakuwa hvy hvy innahlillah wainnalillah rajuun!!!!!!!
Haina uzito hiyo hoja pale ni Quran na baibo . Sasa ajekuulza barzanje nikitabu cha mashairi sasa aulize vina au
Huna adabu mtoto wa bachu
Kwa hakika tumewaona mashekhe walokutangulia WA kiwahabi Vigo wakisawasawa hawajadhubutu hats siku moja kuwatukana swahib barzanji Wala waliotunga vitabu vingine
Kwani huyu shekhe pia? Hata hana quality za mashekhe. Amejaza roho yako chuki kinyume cha mafundisho ya mtume..He is in a lot of pain..namuhurumia.
mrongo wewe, kuwa na adabu, mashekhe wote ulimwenguni sijawasikia wakisema kuwa wazazi wa mtume wetu Muhammad wamekufa ilhali mushrikina, umevuka mipaka wewe, wewe ni kazi yako kubishana TU
Kunavitu kama huna elimu huwez kosoa Nahw uliyo nayo na Lugha Hsikutoshi kukosoa
Naona umengangana kupotosha watu wewe nimchanga ktk elim kasome huna elim yakuzidi sayidinaa jaafari
Nenda ukasome tena, usiropokwe mambo usiyoyajua.
Hauna akili ivyo ulivyo elewa wewe jiulize maneno yako yana akili? Acha kutukana wanawazuoni nenda kasome uelewa wako mdogo sana, Kisha jifunze kuwaheshim Wana zuoni ili uelewe, ndo maana hujui na hutojua mpk kiama, maana wewe unawatukana wenyej kujua kwa umbumbumbu wako
Wewe bado kielimu japo kua mtoto wa shekhe
tupe wewe elimu sasa
Ndugu zangu yauma kweli na nichungu sana lkn yabidi turidhike na tumize madamu dalili zimedhibiti
Kah hiisijawai kusikia wazazi wake mtume walikua washirina
Bidaah ni uzushi tu katika dini baaas hakuna lingine
Huyu bwana siauliwe hakuna mtu wa kumuuwa huyu bwana anatukana watu kwa chuki zake anataka tuwe magaidi kama baba yake alie uliwa kule kenya na jeshi la Kenya
Asalam aleikum warhmatulah wabarakatu shukran sana sheikh nakukuba Allah akuweke akupe husnul hatima
Mtakoma watu wa Bid'aa, hamumuwezi huyo
Mwanzo kamsome barzanji ni nani ndio alafu umkosoe
Akamsome kivipi?sisi tunatafuta ukweli tupate muongozo
Wewe ulimuona ama kumskia mtume ulisoma madrassa gni una kibri
Wewe unejifunza jihadi kwa ajili ya kupigana na waislamu wenzako
Huo ukweli wako ww twambir
Maashaallaah. Allaahu akubaariki.
✓ وعن ابن مسعود وابن عباس رضي الله عنهم: من أفتى في كل ما يسأل فهو مجنون.
✓ وعن الأثرم: سمعت أحمد بن حنبل يكثر أن يقول: لاأدري؛ وذلك فيما عرف الأقاويل فيه.
✓ وعن الهيثم بن جميل: شهدت مالكا سئل عن ثمان وأربعين مسألة، فقال في ثنتين وثلاثين منها: لاأدري.
✓ وعن مالك أيضا، أنه ربما كان يسأل عن خمسين مسألة، فلا يجيب في واحدة منها، وكان يقول: من أجاب في مسألة فينبغي قبل الجواب أن يعرض نفسه على الجنة والنار، وكيف خلاصه؛ ثم يجيب.
✓ وقال الشافعي: ما رأيت أحدا جمع الله تعالى فيه من آلة الفتيا ما جمع في ابن عيينة، أسكت منه على الفتيا.
✓ وقال أبو حنيفة: لولا الفرق من الله تعالى أن يضيع العلم، ما أفتيت؛ يكون لهم المهنأ وعلي الوزر.
Wewe mjinga kweli kuna makahaba yanafanya yatakayo miziki aina tofauti tena yanaharibu watoto sibora upigevita hayo machafu wewe
Unatetea uzushi katika dini
Mitume wengine walikuwa na dini gani kama watu walokufa kabla ya mtume kutumilizwa wataingia motoni ambao ni ahlu fitra
Mbona upo kama bunju, yani bado tu hajaelewa, au ni kusudi tu. Ndo nyinyi watoto wa barzanji 😁
Hana ilmu
Wewe unaelimu kaka au waongea tu sikiliza hoja tu zakielimu sio unabisha alafu hujui kitu kama kunashekhe yoyote anajiamini kihoja za maulid azilete online mbn wapo kimya
wewe una kichaa ndugu hana elimu haya wewe mwenye elimu njoo utuelimisha au kawatafute mashekhe wako wapiga madufu waje watuelimisha on line
Huna mengine ya kuongea mtu wewe ni Mawlid tu? Kuna mengi yakuongea jamii imepotoka yahitaji kurekebishwa...nyinyi ni Mawlid tu utapasuka kundru angalia ya muhimu boss
Shekhegani wewe uliekosa busara na adabu
wewe bado tuu umekazana maulidi niuongo wajuao ilimu hawapingi maulidi athman maalim na ezdin huashidi kwa ilimu hawapingi maulidi una nini wewe kijana ama umepewa pesa upwa yukwe mtumi mungu amemsifu alianza mungu kumsifu mtumi usitusemeshe kijana tafuta ilimu kwanza wewe huna ilimu bachuuu wacha kusema maulidi niurongo wewe ndie mrongo huna ukweli kabisa
Wewe Sasa unaakili kweli ❓❓❓❓❓Sasa Izuddin na othman maalim wameyapata wapiiii hayo maulidi na hayo maneno yaliopo kwenye hayo mabarazanje, na simtuddurari......... Pia hawana ilmu kumshinda mtume hat imaam shafiy hawamkuti
Thibitisha uongo wa Muhammad Bachu maana upuuzi wenu wa vitabu vitabu vya kipuuuzi kama barazanji
Barzanji alikua mshairi na hakuwa mwanachuoni wa dini , soma quran 26.224
وَالشُّعَرَاء يَتَّبِعُهُمُ الْغَاوُونَ
224. Na watungaji mashairi (yasiokuwa na faida ) wanafuatwa na watu wapotofu (wenye akili zao hawafuati watu hao).
Tafsiri ya Sheikh Abdallah Saleh Farsy
Hivi unafikiri hiyo aya imeshuka kwa bahati mbaya ?
wewe mwalimu wako haja kupa ilimu maulidi ni sera ya mtumi huna ilimu wewe tafuta ilimu kwa wasomi
Ww kazi yakufanya huna unatafuta mashekhe wameteleza wapi upate ukosowe wachana na waislam wenzio kugombana nao ila nimekumbuka nimipango yenu malumu munalipwa kufanya hivo na viongozi wenu
Apo Mmesema kweli Wazazi wa Muhammad walikuwa makafiri
Na kwa mojibu wa Biblia kitu Kichafu akiwezi kutoa kitu kisafi
Kwa msingi huwo Muhammad ni Nabii feki
kibaleghee weee
Huyu jamaa ana akili duni hana busara hata kidogo.... Ajiandikishie kitabu chake asipuuze vitabu vya wenyewe
Huna akili we😂😂😂
na ww mwandazim mbona husem kama huna akili timam
Kushachelewa ww shekhe, tutasoma maulidi mpaka kiama
Uwongo je wewe ulikuepo
Piaya stusemee yakweli usisome uwongoo ttuu
Bachu unatia kichefuchefu
Amelaaniwa yeyote mwenye kusema na kuamini ya kuwa Wazazi wake Mtume SAWW waliishi na wakafa katika Ukafiri. Wahhabism is the most disgusting distorted belief.
Eeee mwanawee vip kwani mbona unapotosha watu we kama hunakaz nenda kauze njugu darajani dahhh kaz
Hee mtihani kwa kweli mie kwa hapa sikubali
Hukubali lipi? Tueleze msimamo wako ni upi? na umesoma wapi maandiko tofauti na hayo?
Kwakweli sijaelewa hoja zako za kupinga maulidi kwahiyo mama yake mtume hakuwa mwema
Assalam Alykm, ndugu usitsfute hoja ya kupinga maulidi... Waulize wanaofanya wametumia hadithi gani, au aya gani, au swahaba gani au imamu gani shafi, hambal, maliki, hanifa... Nani alifundisha maulidi... Hao ndio maimamu wa kutegemewa... Kama ni mtu tu kaja nayo basi hiyo si ibada.. So usiulize kwanin haifai, uliza kwanin watu wafanye jambo ambalo si mtume, wala swahaba, wala taabin, wala maimamu wanne wakubwa amewahi kufanya hilo
Mtihaaani kwa kweli.
Fanya adabu na mashekhe sasa na wewe utamuuliza vipi mtume natayri ushakataa kuwanuri yke haiko ushamba mwingi kasome
Wacha upuuzi na ujinga ww kijana kaa chini ukasome
Innaa lillahi wainnaa ilaihi raajiuu ni msiba mzito sana
Huyu badchu jamaa yuwajua anachoongea