ð— ð˜€ð—¶ð—²ð—»ð—±ð—² ð—žð˜„ð—® ð— ð˜‚ð—³ð˜ð—¶ ð— ð—²ð—»ð—¸

à¹à¸Šà¸£à¹Œ
à¸à¸±à¸‡
  • เผยà¹à¸žà¸£à¹ˆà¹€à¸¡à¸·à¹ˆà¸­ 30 ม.ค. 2024
  • ð—–ð—µð—®ð—»ð—»ð—²ð—¹ ð—µð—¶ð—¶ ð—¶ð—»ð—®ð—µð˜‚ð˜€ð—¶ð—¸ð—® ð—»ð—® ð˜‚ð˜ð—¼ð—®ð—·ð—¶ ð˜„ð—® ð—ºð—®ð—³ð˜‚ð—»ð˜‡ð—¼ ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ ð˜†ð—® ð—±ð—¶ð—»ð—¶ ð˜†ð—® ð—¸ð—¶ð—¶ð˜€ð—¹ð—®ð—ºð˜‚ ð—¶ð—¸ð—¶ð˜„ð—²ð—ºð—¼ ð——ð—®ð—¿ð—®ð˜€ð—®(ð——ð˜‚ð—¿ð˜‚ð˜€) ð˜‡ð—® ð—ºð—®ð˜€ð—µð—²ð—¶ð—¸ð—µ ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ ð—»ð—±ð—®ð—»ð—¶ ð˜†ð—® ð—žð—²ð—»ð˜†ð—® ð—»ð—® ð—»ð—·ð—² ð˜†ð—®ð—¸ð—² ,ð—ºð—®ð˜„ð—®ð—¶ð—±ð—µð—®, ð—¸ð—µð˜‚ð˜ð—¯ð—®ð—µ, ð—³ð—®ð˜ð—®ð˜„ð—® ð˜‡ð—® ð˜„ð—®ð—»ð—®ð—°ð—µð˜‚ð—¼ð—»ð—¶, ð—¤ð˜‚ð—¿ð—®ð—», ð—»ð—® ð—ºð—®ð˜€ð—µð—®ð—¶ð—¿ð—¶ ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶
    ð‘»ð’‰ð’Šð’” ð’„ð’‰ð’‚ð’ð’ð’†ð’ ð’†ð’ð’ˆð’‚ð’ˆð’†ð’” ð’Šð’ ð’•ð’‰ð’† ð’…ð’†ð’ð’Šð’—ð’†ð’“ð’š ð’ð’‡ ð’—ð’‚ð’“ð’Šð’ð’–ð’” ð’•ð’“ð’‚ð’Šð’ð’Šð’ð’ˆð’” ð’Šð’ ð’•ð’‰ð’† ð‘°ð’”ð’ð’‚ð’Žð’Šð’„ ð’“ð’†ð’ð’Šð’ˆð’Šð’ð’, ð’Šð’ð’„ð’ð’–ð’…ð’Šð’ð’ˆ ð‘ªð’ð’‚ð’”ð’”ð’†ð’” (ð‘«ð’–ð’“ð’–ð’–ð’”) ð’ð’‡ ð’—ð’‚ð’“ð’Šð’ð’–ð’” ð’”ð’‰ð’†ð’Šð’Œð’‰ð’” ð’Šð’ ð‘²ð’†ð’ð’šð’‚ ð’‚ð’ð’… ð’Šð’•ð’” ð’ð’–ð’•ð’”ð’Œð’Šð’“ð’•ð’”, ð’”ð’†ð’“ð’Žð’ð’ð’”, ð’ð’†ð’„ð’•ð’–ð’“ð’†ð’”, ð’‡ð’‚ð’•ð’˜ð’‚ð’” ð’ð’‡ ð’”ð’„ð’‰ð’ð’ð’‚ð’“ð’”, ð‘¸ð’–ð’“ð’‚ð’, ð’‚ð’ð’… ð’Šð’”ð’ð’‚ð’Žð’Šð’„ ð’†ð’…ð’–ð’„ð’‚ð’•ð’Šð’ð’ð’‚ð’ ð’‘ð’ð’†ð’Žð’”
    🪩EMAIL:
    ð—Œð–ºð—…ð–ºð–¿ð—‚ð—’ð–ºð—.ð—ð—@ð—€ð—†ð–ºð—‚ð—….ð–¼ð—ˆð—†
    #ahlulathar #muftimenk #salafi

ความคิดเห็น • 231

  • @jahfar37
    @jahfar37 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +4

    Allahumma Barik Mufti Menk

  • @rambazojournalist666
    @rambazojournalist666 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    I LOVE MUFT MENK

  • @ismailmohamed41
    @ismailmohamed41 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +5

    ALLAH AWAHIFADHI WALINGANIZI WA HAKI WA MANHAJ SALAFIYUN. HATA MKACHUKIA MANHAJ SALAFIYUN NI HAKI. BARAKA ALLAH LAKUM

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +3

    KUNAHITAJIKA HEKIMA YA HALI YA JUU KTK SUALA ZIMA LA KULINGANIA DINI.

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    SubhanaAllah 💔 😢

  • @hassanboru
    @hassanboru 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Mola hatufamishe anayejua mengi ni ALLAH â˜ï¸

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      Salafi wanahisi wao tu ndo wanosoma

  • @djsma255
    @djsma255 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +13

    tusiwe kama nzi, kutafuta mapungufu ya waja na kuyakuza, atakapo kosea anarekebishwa kwa hekima na mawaidha mema, hi guvu ili tumika kumshambulia ingetumika kubainisha nn sheria ya uislamu inasema, na kumkaribisha na kumwambia kwenye masala kadha wakadha ulisema manon ambayo yanashiria unaenda kinyume na manhaji ya kislamu, kwa dalili hizi na hizi, je unakubaliana na haya au una maelezo tofauti....

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +3

      Kwa hiyo kukataza munkar ni kuwa nzi kaka???
      Mbona mnakua wajinga sana nyinyi funutics!!!
      Yani maswahaba kuonya dhidi ya khawarij ni nzi???
      Ulamaa kuonya dhidi ya ahlul bida3 ni nzi???
      Naona nzi ni wewe na wajinga kama wewe!!!

    • @mwalimuyussuph6469
      @mwalimuyussuph6469 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      We unafikili dini ya wazazi wako?

  • @ISSAMAALIM-sk6hg
    @ISSAMAALIM-sk6hg 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Allah wahifadhi mashaikhi wa kisalafi kwani wako katika daawa ya haqqi

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +4

    Hasan as somali yupo sawa huwez pendwa na kila mtu kama we ni mtu wa haqq

  • @stakexchaintanzania9236
    @stakexchaintanzania9236 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Worth statement Allahu aalam

  • @sihammohamedthabit9832
    @sihammohamedthabit9832 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Amiin yaraby alamin

  • @litimbaify
    @litimbaify 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +4

    I love all for the sake of Allah, I love Menk, I love Mafuta, I love Islam, I love Muslim, Ya Allah protect us from Hasid, grant us easy in any difficulties, accept our pray Amiin

    • @abumuadh1053
      @abumuadh1053 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      You want to mix truth and false, and you are person who follow his desire not kitab and sunnah

  • @user-re4gv3dp1f
    @user-re4gv3dp1f 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Shekhe Uko sawa Huyu Mufti Anafanya Mambo ya Ajabu sana

  • @FanTube0001
    @FanTube0001 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    I think just recognising God is what i need to get rahma ya mungu ... even if i pray still God is decider

    • @abumuadh1053
      @abumuadh1053 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Confused creature

  • @fatmahassan4790
    @fatmahassan4790 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    HasbunaLlah Wa Neemal Wakil. Jamaniiiiiiiiiiiii tumefika hapa?. Kwanini hamumpati Mwenyewe mukajua ukweliiii?. Allah Atuhifadhi

    • @othmanmohd3721
      @othmanmohd3721 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      ukwel wa nn ww au na ww waunga mkono wa ushoga mbn huyu ameogea hadharan mitandaon anaunga mkono ushoga huyu

  • @NakiatAbdul
    @NakiatAbdul 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Masha Allah

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    SubhanAllah 😭

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Muft menk is so inteligent

  • @rashidhamad3538
    @rashidhamad3538 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Subhanallah, Allah amuongoze , hapo ameteleza , huwezi kutoa mawaidha ya kuridhisha watu lazima uwe na msimamo

    • @maweni5332
      @maweni5332 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Una uhakika gani kama hiyo sauti Ni yake sio ya kutengeneza?

    • @rashidhamad3538
      @rashidhamad3538 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Wallah Sina uhakika ndugu yangu, yote tunamwachia Allah na mtume wake, Sheikh Menk anafuatiliwa na watu wengi sana hataMimi, lkn anapokosea lazima akosolewe na kama ni fitna hii basi Allah ndie atakae deal nao walio anzisha na wanaoizambaza

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      ​@@maweni5332 mulimuuliza alipokuja akasema ni uongo??? Yeye mwenyewe hakatai wala hajakanusha... mulimuuliza ama mliogopa???

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Dhana ni mbaya katika hii dunia.Hakuna kitu kibaya kama dhana.Nahakuna alie kamilika ktk hii dunia kila mtu anamakosa kama alikosea nikitambo.Napengine alijua makosa yake akajirekebisha.Sio mambo yalio pita myalete hapa kila mmoja ana imani yake naanae jua ni Allah peke yake sio binadamu.

  • @user-qm9re3hc1n
    @user-qm9re3hc1n 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +4

    Hiyo c sauti ya Menk waziiiiiii haifai munavyosema

    • @UB40X1
      @UB40X1 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Amka baba!!!

    • @nasirmohamed1589
      @nasirmohamed1589 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      Hiyo ni edit ya wazi kabisa lakini allah hajalala anawaona tu.juzi wanasema menk ameleta koran mpya ni husda wivu na chuki tu manina zao.

    • @m.s767
      @m.s767 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      Kweli kabisa imekaa editing

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +13

    Allaah muhifadhi sheikh wetu Abdallah humeid mzidishie ilmu tuzidi kuelimika katika dini yetu ,,aaamiin

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

      Amiin amiin

    • @AnwarMahmoud-xr7rw
      @AnwarMahmoud-xr7rw 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

      Allahumma aaamin

    • @hassanboru
      @hassanboru 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

      Amiiin 🤲

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

      Amin Amin

    • @HamadNur-uz5pu
      @HamadNur-uz5pu 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      أمين

  • @niffonlinetz7214
    @niffonlinetz7214 4 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Na mtangazaji alkuwa anamuliza maswali ambayo anajua kbsa yamekatazwa kwenye dini ya uislam

  • @khadijanassor7698
    @khadijanassor7698 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +3

    Hizo ni edit ya Allah muhifadhi huyu sheikh

  • @user-fo6ph7vb3s
    @user-fo6ph7vb3s 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Allah ambariki mufti menk

  • @Masoudmohamed001
    @Masoudmohamed001 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Subhanallah💔

  • @user-zg2ey2sx9v
    @user-zg2ey2sx9v 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Tobaa😢

  • @MuhammadShali69
    @MuhammadShali69 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Huyu mpuuzi atukana kila shekhe mashallah..je ww ndo ulokamilika kma MOLA WETU ALLAAAH?? Ungependa na mapungufu yako pia yawekwe hadharani? Jiangalie sana na ujiheshimu habib...daawa zako zote ni ukali wa kupotosha mashekhe huna mada nyingne...khais wahed ww

    • @abumuadh1053
      @abumuadh1053 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Mpuuzi ni wewe usioelewa kati ya haki na bwaatil, tena wewe dayuthi huna ghira na dini yako

  • @football964
    @football964 4 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Yes he said look for him correct him exposing him or telling other not to listen how can that help

  • @musakibwana4596
    @musakibwana4596 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hapo Menk kachemsha vibaya sana atuibe kwa hilo

    • @maweni5332
      @maweni5332 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Una uhakika gani kama hiyo sauti Ni yake sio ya kutengeneza?

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      ​@@maweni5332Hilo ndio swali nawambia mbona isiwe vedeo ni audio huyu humeid afanya dini kua NI ya family yake tuu sio ya mungu

    • @user-ok8se1ok3d
      @user-ok8se1ok3d 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Ni sauti yake acha kutetea balaa mbwa wewe au na wewe shoga kenge wewe

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@user-ok8se1ok3d babako ndio shoga mshenzi kwani mashoga sitwawajua walipo msa

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@user-ok8se1ok3d shoga ni www na alio kuzaa babko mshenzi na nusu

  • @abdallahkabuto8392
    @abdallahkabuto8392 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Toa kwa ukamilifu madhumumni ya msemaji ,usichuje unapo pataka tu ndio ushambulie.

  • @user-qm9re3hc1n
    @user-qm9re3hc1n 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hiyo si sauti ya Menk waziiiiiii haifai munavyosema

  • @khamisoothman5294
    @khamisoothman5294 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Tumeona mahojiano ya wazi sauti na video hatujaona ama hicho alichodaiwa kusema tumesikia sauti tu haitoshi kumtuhumu mpaka tuwe na uhakika sababu siku hizi sauti zinaeditiwa

  • @saydsultan9499
    @saydsultan9499 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    SubhaanaAllaah

  • @alisharifsalim
    @alisharifsalim 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mufti Menk ni salafi mwenzako 😂😂😂😂

  • @khadijanassor7698
    @khadijanassor7698 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Hio sio sauti ya mufti menk

    • @IbrahMiracle-em4sh
      @IbrahMiracle-em4sh 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Muulizeni akija acha ujinga ww iv unadhani cc tuwe na chuki na yy kijinga jinga hivo mbna kuna mashekhe wakubwa wabidaa kuliko yy tumesgindwa kuwazulia tumzulie yy iv unadhani hii dawa na kinafq hivo iv hujui kma maduat wa kisalaf wakimsingizia hata mtu wa bidaa wna radiwa mpka na masalafi wenzao c wapo wakina yahya al hajury kma mfano acha ushabiki

    • @byankitommy
      @byankitommy 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Nyinyi mna matatizo mbona? Hiyo kadhia tayari imeshafanyiwa uchunguz na iyo interview ni kweli kafanya wala hapo hamna editing ao. It is very true.

  • @muqbulmuqbul7589
    @muqbulmuqbul7589 4 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    I think the voice is AI generated.

  • @user-in2ey5iw2n
    @user-in2ey5iw2n 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Hamna kitu kibaya kama kumsikiliza mtu kwa kutafuta sehemu ambayo atakosea ili upate kumkosoa

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Nyinyi mngeishi wakti wa mtume swalla llahu aleihi wasallam mngewatetea wanafik sio ajabu!!!

  • @fuadnoor1480
    @fuadnoor1480 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Huyu sheikh hupenda kulalamika sana

    • @abumuadh1053
      @abumuadh1053 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Alikulalamikia nini? Mbona unazungumza kama juha vile?

  • @RamadhanRamadhan-uq2qi
    @RamadhanRamadhan-uq2qi 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Wewe Abdallah Humeid ndio shoga

  • @Kingkongchuma
    @Kingkongchuma 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Wallahi uta ulizwa mbele ya Allah kwa nini ume post hii na kukemea kabla hauja hakikisha ni yeye kweli.

    • @byankitommy
      @byankitommy 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Nyinyi mna matatizo mbona? Hiyo kadhia tayari imeshafanyiwa uchunguz na iyo interview ni kweli kafanya wala hapo hamna editing ao. It is very true.

  • @abdulhamid2000.
    @abdulhamid2000. 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    الشيخ حسن الصومالي Ø­Ùظه الله â¤

  • @user-hr3ky6gs2p
    @user-hr3ky6gs2p 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mbona mwanzo alikuwa anaongea mwenyewe ila hapo mmeweka sauti tu sasa tutaamini vp km ni yeye

  • @user-pb2yu8dk9r
    @user-pb2yu8dk9r 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Kwanini msimulize uso Kwa uso. Naona hiyo vide nikama tafauti na voice recording

  • @user-abuhassanshabiby
    @user-abuhassanshabiby 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hiyo interview ya mufti menk ilikuwa 2019, kitambo sana, kabla hata AI haijakuja, na ilikuwa yeye, na ilithibitika hilo

  • @RamadhanRamadhan-uq2qi
    @RamadhanRamadhan-uq2qi 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Tena ukasome sana huna elimu wewe elimu yako ya miezi sita haiezi kukufanya wewe uwe mwenye kukufurisha watu

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    JE SAUTI PEKE YAKE INATOSHA KUMJUWA NI YEYE?

  • @YalkinAlkindy-nt2hf
    @YalkinAlkindy-nt2hf 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Ivo hawezi kusema jaman mcheni Allah ,,mm ni salafi ila tuweni makini katika kutoa habari na tuchunguze kwanza kabla kutoa

    • @nassor6333
      @nassor6333 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

      Labda salafi wa kuchora.

  • @bagalucha
    @bagalucha 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Ningeomba hili la sauti ya Menk lichunguzwe,naamini ni sauti ya kuigizwa,iliyoonesha picha yake juu,masheikh wetu tahadharini na hili,tusijetukachewa akili zetu.

    • @abuabdurrahmaan6637
      @abuabdurrahmaan6637 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Hii sauti ni yake haina video, alihojiwa na radio reporter

    • @bagalucha
      @bagalucha 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @user-yt2qs7vv9v Hayo uliyosema ni kweli,atakapokuja atiliwe sauti na kuulizwa,ndio tutakapopata kulichambua hilo,lakini tuwe na tahadhari na maadui wa dini ya Allah na mbinu zao,haÅŸa katika wakati huu wa teknolojia,tusije tukajilaumu.

  • @akhtarbegum1219
    @akhtarbegum1219 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    AI....AI.....AI....I DOUBT IF ITS MUFTI MENK.

  • @user-do8hi3oo1d
    @user-do8hi3oo1d 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Mara tusiende kumsikza mara twende tukamuulize maswali tushike lipi twende tusiende 😂

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Bro mwenye hii channel @salafi hiyo audio ambayo anaongea (kuhusu Homosexual) ikionyeshwa picha peke yake tu nna wasiwasi nayo. AI ina mambo mengi bro.

    • @abdulhamid2000.
      @abdulhamid2000. 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Ai pia inapumzi, na ku hema hema ama?, Je ai pia yasema ah ah, ikiwa yazungumza?. Skiza vizuri pumzi na njia yaku zungumza, tuwache sauti kwajili umesema ni ai. Ww skiza pumzi, hizo ah ah, nakuchagua maneno. الله يبارك Ùيك

    • @UB40X1
      @UB40X1 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Huyo ni yeye. Hata mwenyewe alikubali akajaribu kuleta mkorogo kujitetea.

    • @user-abuhassanshabiby
      @user-abuhassanshabiby 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Akhii, hii ilikuwa ni yeye, na ni kitambo kidogo hata kabla AI haijakuja, ina miaka kadhaa, na ilithibitika kuwa ni yeye

  • @Y.u.suf.
    @Y.u.suf. 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Huyu haana aibu kwa kua hana elimu AI ilikuwa hapo mwanza internet ikianza kwani zenyewe zinatumiwa kuendesha social media yote.have shame and confirm before jumping into conclusion

  • @zaharanijuma
    @zaharanijuma 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Kwa uhakika ile ilikua sauti yake,na kosa alilifanya usawa alikua atangaze msimamo wa dini unaeleza nini?

  • @walidmaguha7487
    @walidmaguha7487 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Sema tuwe makini skuhizi kuna AI

    • @user-ok8se1ok3d
      @user-ok8se1ok3d 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Huna jambo mtu wa matamanio kenge

    • @Namanda425
      @Namanda425 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Kaka, huyu si mwanachuoni wa kwanza kumzungumzia menk.huyu menk ana fitna si uongo

  • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
    @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Allah atufahamishe manhaj salafi

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Walahi huyu mufti sijapataga kumsikiliza wala kumpenda sijui kwann leo nimepata jawabu

  • @UB40X1
    @UB40X1 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Mufti wa kutetea ushoga

    • @AnwarMahmoud-xr7rw
      @AnwarMahmoud-xr7rw 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      Swadakta

    • @maweni5332
      @maweni5332 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Una uhakika gani kama hiyo sauti Ni yake sio ya kutengeneza?

    • @UB40X1
      @UB40X1 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@maweni5332 Yaonekama uko nyuma sana. Yeye mwenyewe kakubali baadae alisema ETI alikua hajui kama anarekodiwa. Ina maana kama hurekodiwi waeza tetea ushoga. Mimi ni mmoja nilikua nikimsikiliza lakini baada kumsikia hayo niliwacha kumsikiliza KABISAAA!!!

    • @UB40X1
      @UB40X1 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @user-yt2qs7vv9v Endeleeni kulala

    • @user-ok8se1ok3d
      @user-ok8se1ok3d 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Kenge wewe hiyo sauti ni yake acha kujifanya chizi

  • @user-dy9xh8ob3v
    @user-dy9xh8ob3v 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Tushawajua muwakose watu ndoo mpate umaarufu kila mtu yuko wrong nyie ndoo mko right kundi la kuwasengeya waoslamu

    • @user-zd3ol4sf8v
      @user-zd3ol4sf8v 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Hii dini aina short cut kenye Allah na mtume wake amefundisha ndio ya kufatwa akuna cha umaarufu ukiwa scholar chunga kenye inatoka kwa kinywa yako ndio usipoteze umma,kweli mufti ameteleza hapo Allah ndie anajua kwanini lakini ukiwa muislamu shupavu uwezi ogopa kusema ukweli hata mbele ya adui nabii musa a.s alimwambia firauni hana kwa hana

  • @naimaabdallah4002
    @naimaabdallah4002 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Wewe mwenyewe hufai kusikizwa mafuta

    • @alibadran438
      @alibadran438 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      Hayaa kawaskilize makhurafi kina izzudin maanake mwawapenda sanaa kuskiaa baatwil na kuikimbia haqi na pia huyo si mafuta ni SHEIKH ABDALLAH HUMEID ALLAH AMHIFADHI

    • @UB40X1
      @UB40X1 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Lakini Sheikh Abdallah hajatetea ushoga wala hajatetea bidaah.

    • @awatifomar5185
      @awatifomar5185 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Chuki hio kwa kua umepewa ukweli

    • @AnwarMahmoud-xr7rw
      @AnwarMahmoud-xr7rw 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Hata jina lake hajui

    • @fatmaabdul2873
      @fatmaabdul2873 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Tutakwenda tupate ukweli kutoka Kwake mwenyewe hilo swali ataulizwa tena tuthibitishe

  • @user-zg6hx6xi3x
    @user-zg6hx6xi3x 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Waeke video yake tuone anavyosema hayo mbona waeka sauti

    • @user-zg6hx6xi3x
      @user-zg6hx6xi3x 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Very true mbona hawaeki video? Sheikh mafuta plz hiyo sio njia yakuelemisha watu na kutatua hali kama hii , mahakama yoyote lazima utoe ushahidi Sasa Hamna ushahidi wa video tutaamini vipi

  • @zuberihamza-pd3cm
    @zuberihamza-pd3cm 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    have you made research about such words that was really came from MUFTI MENK!!! Some voice is edited.

  • @SWABRASWALEH-nc2lf
    @SWABRASWALEH-nc2lf 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Hatujaoni mufti menk akishika mwanamke mkono

  • @m.s767
    @m.s767 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hiyo sauti ya kushake hands na homosexual je ni hakika ni yy .siku hizi kuna dhulma nyingi za kuedit sauti za watu

  • @mahershadhil2493
    @mahershadhil2493 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Huyu jamaaa asilikizwe yeye tuuh dah unakataza watu wasimfate mufty menk wamfuate mwamposa au

    • @mahershadhil2493
      @mahershadhil2493 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Humeid shekh mzur ila anafeli hapa tu unakataza watu wasimfuate wakufate peke yako au

  • @modilocks
    @modilocks 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Ajaabu Hii, You are contradicting yourself ...Mwanzo una sema watu wasiende kumsikiza alafu unawaabia nendeni muka muulize ?? Which is which..

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Unakusudiwa mjinga kama wewe unaemtetea mulize... ama masalafy ndio hawendi....

  • @hassan8122
    @hassan8122 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hakuna kitu kibaya chuki my friend ikiwa wewe humuelewe wengine wamuelewa na kufaidika

  • @mylastwords4you
    @mylastwords4you 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hakusema hio ilikua Ai imi editiwa.. sauti tatazo la kujificha ficha na majuba hamtaki kujua Mitandao ina madhara gani. Hiii sio sauti halisi ya mufti menki tatzo mnapapara hata mnakurupuka tu

  • @fadhilimohamed5069
    @fadhilimohamed5069 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    SIO SAUTI YAKE MMEAMUA KUMCHAFUA

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Mlimuuliza akasema ni uongo????
      Ama mliogopa??? Ikiwa kweli mnampenda mungemuuliza!

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Wewe aliyesema kuwa unahaki ya kusikilizwa Ni Nani?

  • @Twayibzain
    @Twayibzain 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hii ime editiwa na si nanyi masalafi wacheni ku tangaza bila ya uhakika kwa sababu ulimwengu huu kuna fitna mingi wame edit hiyo sauti

    • @user-ok8se1ok3d
      @user-ok8se1ok3d 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Wewe ni kiziwi au kipofu au matamanio yanakuzidi au wewe pia ni shoga mbona watu mpo hivi nyinyi hata huoni kuwa ni muft menk yu azungumza na sio mahala pamoja wewe nikuite mbwa ndio manzila yako kama si. Ngurue

  • @abdulshakurmshindo9040
    @abdulshakurmshindo9040 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Umekuwa nani mpk kukataza watu wasiwasikilize madai ya wengine maana wewe mwenyewe una upuuzi mwingi na watu wanakusikiliza

  • @waladulikhlaas7870
    @waladulikhlaas7870 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Mtu amesilimisha watu amefanya daawah ulimwengu mzima...leo waja wewe kumkashifu kisha wataka tukufate wewe wakati watu wa msa wenyewe hawakutambui kma ni msomi au ni shekhe...wakati lugha zenyewe ni za kihuni na ufidhuli

    • @UB40X1
      @UB40X1 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Kwa hivyo wewe huna tatizo na ushoga?

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      Kusilimisha watu sio dalili ya mtu Yuko kwenye haqq,,,mufti menk ni mpotoshaji na hafai kusikizwa ,,,mtu ambae halinganii watu katika tauhid na Sunnah anafaida gani katika ummah?
      Alafu nyinyi watu lini mtazinduka lakini yani sheikh humeid anajuhudika kuelekeza watu katika usawa na kutahadharisha watu na walinganizi wapotofu ili watu wapate salama katika dini yao ,hamtaki?Sasa mwataka nini ndipo? Kuelewa haqq ni taufiq from Allah ,, alhamdulillah sisi tunaelewa haqq anayoilingania Wala hatuna Shaka kabisa ,sheikh humeid daawa yake ni ya haqq

    • @abdulraheemhussein1832
      @abdulraheemhussein1832 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Makhurafi kuelewa ni balaa..Allah atuongoze sote na kutuokoa na WALINGANIZI wa baatwil.

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Hawa ni watu wa kukurupuka hawafanyi uchunguzi wa mambo sasa mtu kusema marafiki zake wengine ni mashoga ndo kosa sasa marafiki wako wa aina nyingi wengine walevi wengine wateja sasa ndo uwafukuze ata kama umesoma nao nyie vp sasa utapata nafasi vp ya kuwalingania ?

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@khamisrubea5083 wewe umeskia hapo tu kuwa baadhi ya rafiki zake ni mashoga ,,,mufti wako anaulizwa je mtu akitaka kuwa shoga utamwania nini? Mufti wako anajibu asema hakuna shida mwenye kutaka kuwa shoga ni awe kwakuwa ni haqi yake ,,yani ivi hujaskia hapa ama huelewi kizungu ,,,Jambo la qaumu luthwi ni Jambo ovu ni Jambo la laana alafu kuna mtu eti sheikh analizungumzia Kama ivi ,,,,ivi ni sheikh kweli hyu ,,,,Basi ukipofu au kiziwi wa aina gani wewe ambae sheikh humeid amejitolea kukusafishia mazingira ili uwatambue walinganizi wapotofu ,,,bado hutaki kuelewa!

  • @Dr-ubaida965
    @Dr-ubaida965 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    WANAFIKI NYINYI WAHABI MNAOTENGANISHA UMMA....
    HUYU HUMEID NIACHIENI MIMI NIMSHUHULIKIE SHENZI SANA.

  • @BashiruDigital
    @BashiruDigital 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Sorry,, Nikweli kumbe

  • @user-eh1do9lb4x
    @user-eh1do9lb4x 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hii sio sauti ya imam Menk

    • @byankitommy
      @byankitommy 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Nyinyi mna matatizo mbona? Hiyo kadhia tayari imeshafanyiwa uchunguz na iyo interview ni kweli kafanya wala hapo hamna editing ao. It is very true.

  • @Abuusaad-uy5cx
    @Abuusaad-uy5cx 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Zingine ni edit ... muogope Allah...

    • @user-abuhassanshabiby
      @user-abuhassanshabiby 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Haya yalithibitika kuwa ni yeye, Allah akuhifadhi, na amuongoze mufti

  • @saadallah6287
    @saadallah6287 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Wenye akili iliyo yasawa tu ndiyo watawaelewa masalafi

  • @HamoodKharboosh-sw4qu
    @HamoodKharboosh-sw4qu 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hatushangai kwa msemayo.Watu wanamchukia ALLAH,wanawachukia Manabii,masahaba,watu wema hatushangai nyie kumchukia MENK...ALLAH AMLINDE SHEIKH MENK NA HUSDA ZENU.

  • @sharifsayyidalmahdal
    @sharifsayyidalmahdal 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mbona usiemtafute ukimwambia

  • @AhmedMohamed-wm5zk
    @AhmedMohamed-wm5zk 4 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    AI generated clip

  • @abdulkarimmuhammad8831
    @abdulkarimmuhammad8831 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Achenii fitnaa mutaulizwaa keshoo mufti ywaongeaa kwa video twatakaaa video akisemaaa ywakubali hicho kitendoo ww mtu hunaa maaana kbsa wajifanyaa hidayaa iko kwakoo mkononiii

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Nyie masalafi washenzi kabusa yaani uhasidi unewajaa kwa kika mtu

    • @AnwarMahmoud-xr7rw
      @AnwarMahmoud-xr7rw 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Xx apo uhasid wak nin jamaaa

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    je mumefanya ucbunguzi kama ni yeye??

  • @user-it3ee7zq2y
    @user-it3ee7zq2y 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Tukimuuliza utajitokeza waziwazi utangaze kuwa umemdhulumu mwenzako
    Na ww hufai kusikilizwa
    إن جاءكم Ùاسق بنبأ Ùتبينوا

  • @omariabdalla6105
    @omariabdalla6105 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Wewe sheikh.... mahubiri yoooote ya mufti menk umeona hiyo tu??!!!

    • @user-ok8se1ok3d
      @user-ok8se1ok3d 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Wewe mbwa kama na wewe ni shoga kaa kimya acha wanaotaka kuongoka wafikishiwe haqi shekh kayaona yote ndio maana kakosowa hayo mbuuzi na muovu mkubwa wewe shika adabu yako kenge

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Wanachekesha hawa ni watu wa kukurupuka

  • @salimkhatri8064
    @salimkhatri8064 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hawa masheikh ubwabwa wa kuagiza wali mweupe kwenye shughuli ya Arobaini wanajua maana ya maneno "Secular Right"? Mufti Menk kafanya kazi kubwa ya kuutangaza Uislamu duniani kuliko nyiye wote...
    Hamna kazi ya kufanya isipokuwa kueneza fitna na chuki miongoni mwa Waislamu. Dini mmeifanya kitega uchumi ila mkumbuke kesho siku ya kiama mtakuwa na kazi kubwa mbele ya Allah.

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Ya wasakh mashayikhil yuu3 ni hao unaowafuata!!! Huyo shkh ni mtu wa sunna na tena ni muarabu!!! Ubwawa mnajua waliwa wapi!!!
      Watetezi wa mashoga nyinyi!!!

    • @salimkhatri8064
      @salimkhatri8064 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@user-bp6fb6wo5umkajifunze lugha za watu kabla ya kuparamia mambo msiyoyajua.

  • @user-zs7eq8up5s
    @user-zs7eq8up5s 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Alitakiwa atafutwe menk aulizwe kama ni yeye au si yeye mchezo watu wanaiga sauti za watu af ktk uislam hakuna ushahid huo wa pich wala sauti..

    • @byankitommy
      @byankitommy 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Nyinyi mna matatizo mbona? Hiyo kadhia tayari imeshafanyiwa uchunguz na iyo interview ni kweli kafanya wala hapo hamna editing ao. It is very true.

    • @user-zs7eq8up5s
      @user-zs7eq8up5s 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@byankitommy alikubali hayo ??

  • @Hussein-Abu-Fathiyyah
    @Hussein-Abu-Fathiyyah 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Kwa wale wanaosema sauti in AI, basi ndio hii radi yake miaka tatu iliyopita. AI haikukuwa imevumbuliwa. th-cam.com/video/xtgiuYppgY4/w-d-xo.html

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mbona usioneshe vedeo akijibu Hilo swali la ushoga ni audio twajuaje kma mekua edited na watu wakienda kumsikia watachukua mazuri Haji kuubiria watu wawe mashoga .

    • @user-ok8se1ok3d
      @user-ok8se1ok3d 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Mbwa kaa kimya kama wewe pia ni shoga

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@user-ok8se1ok3d umbwa mamako na babako mshenzi kabisa fanya heshima usione kila mtu kma ww kuma ww

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@user-ok8se1ok3d ndio kasema mwafanya hii dini ni siasa kutusi watu na namna hioo kisha mwajifanya mna dini Leo umefika matusi nitakutusi mpkawalio kuzaa

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@user-ok8se1ok3d mbwa babako na mamako na shoga kubwa lile dambwi ni ww nababako alie kufunza ushoga

  • @abdangembe4339
    @abdangembe4339 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hayo mengine siwezi sema ila kuhusu hlo suala la kumshika mkono mwanamke mbona ni sauti tu hakuna video. Siku hizi kuna mambo ya Artificial Intelligence watu wanageuza mambo.
    Sijawahi ona video ya wazi ambayo anampa mkono mwanamke.

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    😂😂😂 nimesema kama huyu Abdallah humeid ni mlevi Sasa ona mpka mawahabii wenziwe anawaponda 😂😂

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Khurafi basi pia wasema??!! 😂😂😂😂😂 wewe tubia na kuabudu makaburi na kuabudu wafu!!!
      Wewe jinasue na upumbavu wa kikhurafi kisha njoo kwa wanaume useme. .... hapa wanaongea waume tu

    • @ABUUALLY-tv8rl
      @ABUUALLY-tv8rl 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Mimi siabudu makaburi Wala siabudu wafu Bali mimi namuabudu Allah s.w pekee Wala simshirikishi na kitu Kwa hiyo izoo chuki zako ziweke pembeni kazi kujazwa chuki tu na kufundishwa ujingaa na hasad basi hamuna jengine , nyinyi ni wanafik tu hamuna tofauti tabia zenu na kiburii mulichonacho kinaonesha wazi kwamba nyinyi ni wanafik tu mimi nipo tayari kuwa shiaa kuliko kuwa wahabiii 😂😂 nyinyi sifa zenu kuu kumpachika viungo Allah s.w na munachukuwa ayaa mutashaabihat ndio munazitumia katika mambo ya itiqadi 🤣😂 wapuuzi nyie

    • @ABUUALLY-tv8rl
      @ABUUALLY-tv8rl 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Mimi siabudu makaburi Wala siabudu mfuu unanikoseaa ila Kwa vile kwenu uwongo ndio vazi lenu ndio maana munadiriki bila ya khofu kuwazulia waislamu wenzenu ,nyinyi munachuki na hasad hamuna jengine na Allah sw anakungojeeni akakuchomeni motoo Kwa fitna zenu

  • @AishaAmeen-vp8mh
    @AishaAmeen-vp8mh 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +3

    Kama Una ushahidi WA video ambao mufti menk ameongea hayo maneno ya LGBTQ tuoneshe usiweke hiyo ya audio..sauti ZA watu zinaigizwa Sana. Onesha video ya yeye anaongea ndio tunaweza Amini..mitandao Ni Hatari Sana.

    • @alibadran438
      @alibadran438 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      Hiyo ilikuwa interview kma kwa simu ssa vedio ataitoaa wapi na kma wamtetea sanaa mbna akatoaa quraan ambayo ina 86 chapters si kamili na si kwa mpangilio tafta mtandao ni mkubwa usije ukaja hapaa ukaropokwa tu

    • @AishaAmeen-vp8mh
      @AishaAmeen-vp8mh 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@alibadran438 usirukie mambo Bila kuwa na uhakika nayo..hakutoa Qur'an hicho kitabu Sio Qur'an WALA hakikuandikwa Kwa kiarabu..Ni kitabu kinacho ongelea sura na wapi ziliposhuka..na hiyo Simu ukisikiza vizuri hiyo aloongea in English nikama robot TU.wala Mimi simtetei muislamu mpe sababu 70.

    • @UB40X1
      @UB40X1 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Ukhti yaonekana uko nyuma sana. Kayasema hayo KWELI na wala hajakataa. Alipoulizwa alijichanganya mwenyewe.

    • @IbrahMiracle-em4sh
      @IbrahMiracle-em4sh 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      We mpuvuuuuuuuu sana kingereza hujui hu sikii anacho sama apo si video inaonesha acha ujinga ww

    • @AnwarMahmoud-xr7rw
      @AnwarMahmoud-xr7rw 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Sio mjinga Bali anajibarazusha hiz akili au hajui kizungu

  • @abdulhalimomar5329
    @abdulhalimomar5329 4 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Video ya mwanzo inayoonesha picha anohojiwa mufti mek wale wanomuhoji wanafichwa sura zao wote wawili
    Pili video ya pili ambayo kma sauti inamuohoji kuhusu homosexy ni kma sauti za machine na ikaunganishwa na kuwekwa picha ya mufti mek juu ina tatizo
    Haki inafuatwa haipingwi ila izo baadhi ya video apo haziko saw izo uyo mwanamke ni robote kabisa
    Ni vyema tukaonana nae live tukamuuliza

  • @faisalmuktar1652
    @faisalmuktar1652 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Huyu mzee anaongea hajui kuna Artificial Intelligence sikuhizi na wanaeza tu wakatengeza sauti yake kama hivo tu. Comfirm everything before you start talking bad about others.

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Sasa ao mashoga kama hujakaa nao karibu utawalingania vp au mashoga hawafai kulinganiwa

    • @HafidhAli-lt5xt
      @HafidhAli-lt5xt 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Kulingana na Quran shoga anafaa kufanywaje?

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Jee hafai kulinganiwa aache ? Ww unawaona mashoga tu kumbuka kuna wazinifu ,wezi ,walevi ,wasengenyaji ,wananowazulia wanawake wema uongo hawa wote sheria zao zimetajwa ktk dini swali jee haifai kuwa nao karibu kuwalingania waache ?

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mnaocoment kumtukana Abdalah mwana wa Humeid,hawa elmu NA dini ya uislaam!!
    MENKI hazingatiwi kuwa NI ktk masheikh wa kiislasm!
    MENKI NI ktjk waharibifu wa DINI ya uisilam!!
    Abdullah mwana wa Humeid ALLAH Akulinde no MAHASIDI Uzidi kuwabainishia watu haki bila kuogoa yeyeyote !!!

  • @sokomoko6757
    @sokomoko6757 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Kwa nini hukwenda wewe kumuuliza mbele za watu kisha uthibitishe maneno yako?

  • @user-sn4iq6cu1f
    @user-sn4iq6cu1f 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Masalafi wacheni chuki kwan nynyi ni nani bwana

    • @user-ok8se1ok3d
      @user-ok8se1ok3d 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Wewe makalio ya nguruwe kaa kimya kama na wewe ni shoga acha uchafu huo kisha acha chuki mbwa wewe

    • @user-sn4iq6cu1f
      @user-sn4iq6cu1f 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@user-ok8se1ok3d ivi kweli ww ni muislam kweli au ni mnafik? Ww sio katika waislam uislam hautufundishi kutamka maneno machafu kama hayo ndugu yangu kama ni muislam kweli bs badilika kisha utubu kwamola wako mm naamin uislam hauko hivo.

  • @thabitjumbe6527
    @thabitjumbe6527 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Tunajichunga na nyinyi pia.

    • @thabitjumbe6527
      @thabitjumbe6527 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @user-yt2qs7vv9v mna jeuri hiyo,mngejiita salafi