DR.SULLE SHEIKH SHAFI NA SHK.OTHMAN MICHAEL WALIVYO MSHAMBULIA PASTA NDACHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2023
  • #drsulle #tanzania #islaamic

ความคิดเห็น • 252

  • @drruhanitz8161
    @drruhanitz8161 7 หลายเดือนก่อน +41

    KAMA TUPO PAMOJA NA DR SULE Naomba weka like yako hapa

    • @noot-oe2mw
      @noot-oe2mw 7 หลายเดือนก่อน +1

      🙏🙏🙏🙏🧑‍✈️🧑‍✈️🧕🧕

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 7 หลายเดือนก่อน +7

    Sheikh Othman ni mpole, nampenda kwa ajiri ya Mwenyezi MUNGU 🙏🙏🙏

    • @issamushi6389
      @issamushi6389 7 หลายเดือนก่อน

      Allah amlinde

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 7 หลายเดือนก่อน

      @@issamushi6389 inshallah 🙏

  • @user-nt4qc4zg7y
    @user-nt4qc4zg7y 7 หลายเดือนก่อน +4

    Allah Awafanyie wepes InshaAllah

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 7 หลายเดือนก่อน +2

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAHU BAARIK 🤲

  • @zuenajuma-si7wp
    @zuenajuma-si7wp 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah masheh zangu mungu awaongezee elim zaidi

  • @FatumaAlly-dy7cb
    @FatumaAlly-dy7cb 7 หลายเดือนก่อน

    Allah atujaalie mdaharo umalizike salama amiiiiin❤❤❤❤

  • @paulmwangi3438
    @paulmwangi3438 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana dr. Sule kwa kukubali mdahalo baina yako na pastor Ndacha. Nakusihi ujipange vilivyo manake huyu nimemfuatilia saana katika midahalo aliyoifanya na waisilamu na kuwabwaga kwa hoja nzito ajabu. Nilikuwa nimechanganyikiwa sana niufuate uisilamu ama ukristo lakini kupitia mwl. Ndacha nikaamua kuwa mukristo ingawaje bado kujiunga na kanisa lolote.

  • @mwazanikibwana3013
    @mwazanikibwana3013 7 หลายเดือนก่อน

    Allah awongoze ktk haki makafiri watakaohuzulia na watakaohuzulia sikiliza ishaallah

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 7 หลายเดือนก่อน +1

    mashallah uwislam nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

    • @erickmaisha4773
      @erickmaisha4773 7 หลายเดือนก่อน

      Mahali kuna majini kuna Nuru toa andiko

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 7 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah AllahuAkbar

  • @user-tn5ny2vc7h
    @user-tn5ny2vc7h 7 หลายเดือนก่อน +3

    SUBHANNALLAH WALHAMDULLILLAH WALAHU AKBAR ❤❤❤❤

  • @rashidrajab1391
    @rashidrajab1391 7 หลายเดือนก่อน +4

    Ndacha kwanza amesha kubali yesu hakuzaliwa Xmas hio ni moja ya haki ALLAH amuongoze aione haki kama shekh Ramadhan kuria bin kaguo

    • @ernestcharles4288
      @ernestcharles4288 7 หลายเดือนก่อน +1

      Sio amekubar ndio ipo ivo mbona inajulikana iyo

    • @erickmaisha4773
      @erickmaisha4773 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hio shida sinikweli siokama wewe unaambia mkristo yesu mwislamu na unafurahia na unajua uongo😂😂

  • @NoorynMuddy
    @NoorynMuddy 7 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Othuman Michael namm ni miongoni mwa kuomba dua Allah awafanye makafili wote waingie ktk khaki ya Allah naumpenda huislam na masheikh wote Mwenyez Mungu hawafanye watu wote watakao udhulia ktk uhadhara huu walio kua wakristo na wadini tofauti wote waingie ktk Uislam.

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 7 หลายเดือนก่อน +4

    Msimsahahu sheikh mwaipopo
    Yupo vzr mno nakuomba
    Dr sule fuatilia ombi langu
    I

  • @jumannemuhammad2073
    @jumannemuhammad2073 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤mashaallah

  • @nasramusaro
    @nasramusaro 7 หลายเดือนก่อน

    Allah awaongoze waislamu na mwalimu wetu awathibitishie makafiri kuwa quruani ni kitabu kitukufiri cha Allah sw

  • @benjaminbenmo5616
    @benjaminbenmo5616 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaalah dr sure umefanya vizuri kumchukua othman michael nakukubali na pia namkubali othmani ni mwalim

  • @user-tn5ny2vc7h
    @user-tn5ny2vc7h 7 หลายเดือนก่อน +1

    MANSHALLAH ❤❤❤❤

  • @user-if4du9ll7o
    @user-if4du9ll7o 7 หลายเดือนก่อน +2

    Allahu Akbar❤❤❤🇿🇲🇿🇲

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 7 หลายเดือนก่อน

    Allah awajalie kheri inshallah

  • @abubakarially059
    @abubakarially059 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Allah awaongoze kwenye jambo kubwa kama hili

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo 7 หลายเดือนก่อน +4

    usimsahau mwaipopo yupo vizur ombi langu naomba awepi bidhnillah

  • @nguvuyamaalifa5191
    @nguvuyamaalifa5191 7 หลายเดือนก่อน +6

    Naomba iwe live Ili sisi wambali tuweze kushiriki

  • @user-xt4mi5zs2s
    @user-xt4mi5zs2s 7 หลายเดือนก่อน

    Subhanaa llah Niko mbali ntafatilia Allah awafanyie wepes

  • @miishhassn
    @miishhassn 7 หลายเดือนก่อน

    Allah awatangulie ❤

  • @user-cz5zy1ck2k
    @user-cz5zy1ck2k 7 หลายเดือนก่อน

    Allah sw ,awakunjulie vifua vyenu,mseme yaliyo SAWA,na wasio kuwa waislam,,, waione HAKI Warejee ktk DINI ya haki,
    IN SHAA LLAH.
    Allah SW , anasema:::ni nani mwenye kauli nzuri SANA, kuliko yule Anayewaita watu ktk njia ya Allah SW.,
    Allah SW,Atawatangulia, in shaa llah..

  • @hamishatibu1007
    @hamishatibu1007 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha anakuja kuslimu Tanzania

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 7 หลายเดือนก่อน

      Thubutuu. Hatoki ukristo yule

  • @tynardkerry7148
    @tynardkerry7148 7 หลายเดือนก่อน +5

    From Kenya tuko pamoja thank you for hosting our dear pastor Ndacha May God of Israel bless you Dr.Sulleh and your team and may you find Allah through Jesus christ of Nazareth

    • @samxx411
      @samxx411 7 หลายเดือนก่อน +4

      Acha kufuru Mungu ni viumbe wote sio israeli hata maandiko hamsomi

    • @tynardkerry7148
      @tynardkerry7148 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@samxx411 ungekua msomi ungenielewa ndugu yangu...mfano waislamu uamini mungu wa Muhammed ,wakristo uamini Mungu wa israeli(Jacob)....

    • @user-dn9cp1pi1z
      @user-dn9cp1pi1z 7 หลายเดือนก่อน +4

      First bro know the difference between muslims' allah with issa bin maryam and Jesus christ of Nazareth.....Once you do, you will realize Allah and Jesus Christ are like night and day- giza na nuru!! ...

    • @samxx411
      @samxx411 7 หลายเดือนก่อน +2

      @@tynardkerry7148 hakuna mfano huo, Mungu ni wetu sote sio wa mtu fulani labda nyie ndio mna Mungu huyo wa yakoub...kwani Mussa si Mungu wake, Adam si Mungu wake, ibrahim si Mungu wake..huyu Mungu ana jina lake...litafute ulijuwe......

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@tynardkerry7148muongo mkubwa. Toka lini waislam wakamuabudu mtume Muhammad s.a.w

  • @rahmaMohamed-op9mk
    @rahmaMohamed-op9mk 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @MirajiAbdul-ed7oz
    @MirajiAbdul-ed7oz 7 หลายเดือนก่อน

    اللء سبحح وتعل atawaonesha njia wagalatia insha Allah

  • @user-tn5ny2vc7h
    @user-tn5ny2vc7h 7 หลายเดือนก่อน

    ALLAHU AKBAR ❤❤❤

  • @angle3600
    @angle3600 7 หลายเดือนก่อน

    Inshallah,ushindi niwako Sule

  • @Saidesaideinacio
    @Saidesaideinacio 7 หลายเดือนก่อน

    Waslamu 100 mkrito 1 tu Ndacha💪 anawatosha.mtaoona chantema Kuni maumivu bila Kufa mtamuona kuwa huyo ndio Ndacha haswaa muombeane mashekhe vinginevyo uislamu utaanguka tz kesho kutoka hapa msumbiji🇲🇿🕊️

  • @josephmuchina3051
    @josephmuchina3051 7 หลายเดือนก่อน

    Nashuru Mungu kwaba amewakusanya vingongo wao ili Ajiinue na amwiinue mwanaye Yesu Kristo kupitia kwa mtumishi wake Ndacha na wezake.
    Roho Mtakatifu atashughulikia guvu zote chafu za Majini katika jina la Yesu Kristo

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 7 หลายเดือนก่อน

      Ushavimbilwa kitimoto ata unachokiongea ukijui!! kafiri mkubwa ww

  • @selemanendemangandemanga
    @selemanendemangandemanga 7 หลายเดือนก่อน

    Allah akbar❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @tatuhassani3769
    @tatuhassani3769 7 หลายเดือนก่อน

    Mwalike mwai popo na habibuazinge🙏

  • @musalumbi8490
    @musalumbi8490 7 หลายเดือนก่อน +2

    Waa waa waa! Kumbe mdahalo huu una vigogo miamba ya Waislamu! Nilidhani Dr. Sulle tu kumbe hata Sheikh Michael na Shafi' wamo? Ndacha kayakanyaga leo. Hana bahati. Kwa miamba mitatu hii sina khofu wala huzuni maana nimeanza kufurahia kitakachoenda kumfanyikia Ndacha hata akaenda na walimu mia wa Kikristo.

    • @ernestcharles4288
      @ernestcharles4288 7 หลายเดือนก่อน

      Uzur ndacha yeye anakuwa peke yake na msomaji wake nyie kusanyikeni

  • @sharifumajaliwa-pc8kd
    @sharifumajaliwa-pc8kd 7 หลายเดือนก่อน

    Maashallaaa kikosi kimekamilika

  • @user-lm8xl4pc1d
    @user-lm8xl4pc1d 7 หลายเดือนก่อน

    Naam tumuombe Allah akuafikishe Salam kufika hyo kesho ila tu tumuombe mchungaji ndacha asikatae vitabu make tunamjuwa

  • @thedon8467
    @thedon8467 7 หลายเดือนก่อน

    PAMOJA SANA BADO TUNAWAPENDA MASHEIKH WETU ALLAH AWALIPE WEMA

  • @HassanKipyego-cs5ff
    @HassanKipyego-cs5ff 7 หลายเดือนก่อน

    Hii imeenda

  • @glorywoodtv
    @glorywoodtv 7 หลายเดือนก่อน

    Mwaonaje, mkristo kusema hallelujah bwana asifiwe anapo muuwa mwislam kwa bunduki. Kama tu vile mwislamu anavyo sema takbir Allau Akbar anapo muuwa mkristo kwa bunduki

  • @rastakataka
    @rastakataka 7 หลายเดือนก่อน +1

    Greetings. Kaka vipi walimshabulia wakati wakati mda ni dakika 4 kipidi kimeaza.yaani ngeli ni tatizo.

  • @jeturdasimon4851
    @jeturdasimon4851 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yani nyinyi kusanyeni wote walimu wenu mnaowaamini ila nawambie ndacha namwamini sana mungu amusimamie

    • @jamaldeenhussein
      @jamaldeenhussein 7 หลายเดือนก่อน

      Ww muamini tu kesho ndy utajua unamuamin au laa

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@jamaldeenhusseinndacha atashinda ni mjanja mjanja sana

  • @user-tn5ny2vc7h
    @user-tn5ny2vc7h 7 หลายเดือนก่อน

    Nawa pendha hali ya juu ❤❤❤❤😂❤❤️❤️🙏🙏🙏

  • @rastakataka
    @rastakataka 7 หลายเดือนก่อน +4

    Dr Sulle anatoa mwelekeo kistarab wewe unatumia akili za waadishi wa magazeti.

  • @ginazngo4317
    @ginazngo4317 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂❤❤❤ mashhaalla mmmwaaaaa kwa ajili ya alla

  • @tatuhassani3769
    @tatuhassani3769 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha ameomba mdahalo aione haki bi idhinAllah akaribie kwenye uislam

  • @vyamunguabdulkarim4313
    @vyamunguabdulkarim4313 7 หลายเดือนก่อน

    Asalamualaikum warahmatullah wabarakatuh naomba saidi kinyogori awepo

  • @halimakenya3632
    @halimakenya3632 7 หลายเดือนก่อน

    MI pia nitakesha kwa ajili ya dini ya Allah kwaiyo sheikh othumani tutakesha wengi inshaallah ndacha na wafwasi wake waweze kuiona haki na waifwate

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah 😅😂💯💯💯💯

  • @shaphiasabani5760
    @shaphiasabani5760 7 หลายเดือนก่อน

    Mnamatatizo nynyi dini mfumowake ushawekwa toka zamani

  • @nourlaboratory
    @nourlaboratory 6 หลายเดือนก่อน

    Jaman mbona mnazungumzaa zungumza tuu nenden kwenye mdahalo kwa ndacha achen kujisifu na hamna hoja😂😂😂

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 7 หลายเดือนก่อน

    Ukiwa makini utaona uelewa wa jambo linalizungumziwa kuhamishwa pengine. Irrelevancy. Hapo wenye uelewa watajua usahihi na ukweli wa Neno.

  • @JumaOnyancha-se8lu
    @JumaOnyancha-se8lu หลายเดือนก่อน

    Hata Mje wote hamtamuweza ndacha

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 7 หลายเดือนก่อน

    Ndacha anaakili nyingi na uwezo mkubwa saana,hawataweza kumsambaratisha,watasambaratika wenyewe.

  • @alexandermulilison5844
    @alexandermulilison5844 6 หลายเดือนก่อน

    Dah kumbe Dacha aliutetemesha ulimwengu wa waislamu

  • @ShafiImamShafi
    @ShafiImamShafi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaomba umdahalo uwepo live biidhnillahi wengine tupo mbali kwelkwel

  • @AbuubakarLinus-sr5ox
    @AbuubakarLinus-sr5ox 7 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kuwa mkristo bira kuamini Yesu ni mokozi wako na Mungu mkuu. Kasema Paulo na huko kukufuru kuliko kukubwa sana. Mashekhe Allah awafanyie wepesi mwape makafiri elimu.

    • @tynardkerry7148
      @tynardkerry7148 7 หลายเดือนก่อน

      Eti kufuru daah!...Acha nikupe swali nyepesi,kwa mujibu wa quran ya mohammed yesu ndiye atakaye hukumu...je atahukumu kama nani??

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 7 หลายเดือนก่อน

      ​@tynardkerry7148 anaye hukumu ni Mungu. Si yesu. Yesu yuko mbinguni kakaa upande wa kulia wa baba yake. Baba yake yesu wewe nani wako

    • @tynardkerry7148
      @tynardkerry7148 7 หลายเดือนก่อน

      @@Catherine-mh8sw Babake yesu ndiye Mungu wa pekee wa kweli ambaye amempa mwana mamlaka yote duniani na mbinguni.....sister just go do your own research on who will judge this world am sure you will thank me later

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 7 หลายเดือนก่อน

      @@tynardkerry7148 yesu ahukumu mtu. Anayehukumu no Mungu tu. Ambaye unamwita baba yesu. Yesu akihukumu Mungu atafanya kazi gani siku ya kiama

    • @AbuubakarLinus-sr5ox
      @AbuubakarLinus-sr5ox 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@tynardkerry7148yaani nyinyi wakristo mnaakili za kushikiwa sana hivi Yesu anatoe hukumu na mwenyezi Mungu atakuwa na kazi gani ? Yesu ni binadamu tu kama wewe yeye mwenyewe anaswali la kujibu mbele ya Mungu. Swali la Yesu ni hili ataulizwa kuwa uliwambia watu huko duniani wakuite Mungu na mama yako ni mama wa Mungu ? Yesu atakata katakata. Ndugu yangu amka acha ujinga.

  • @user-ec4fp7ix7c
    @user-ec4fp7ix7c 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mnababaika?

  • @fahminasser3855
    @fahminasser3855 7 หลายเดือนก่อน

    Dr sule natamani umualike yule anaejidai afufua kwajima siku ukimnyoosha yule utanifurahisha sana uwe wewe na mazinge

  • @jumamkwelengala4599
    @jumamkwelengala4599 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwaipopo na Mazinge wajumuishwe hapo

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh 7 หลายเดือนก่อน

    izo ni porojo za mskitini,akuna miujiza Muhammad kafanza bana,mathayo 22:29 waislamu nyote mmepotea kuanza na masheikh wenu!

  • @desderiushaule4264
    @desderiushaule4264 7 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi dr.sulle kwamba huwezi kuupata ukristo bila biblia pia huwezi kuupata uislamu bila koraani na koraani ni kitabu kilicho teremshwa kikapokelewa na mtume muhamad iweje muislamu aseme Yesu kristo alikuwa mwislamu?

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dr. Sulle usimwachi USTADHI Shafi na Juma Kinyongoli hawa vijana ni moto wa kuotea mbali.

  • @drruhanitz8161
    @drruhanitz8161 7 หลายเดือนก่อน +1

    Binafsi NAMi sina shaka na maalimu Dr sule

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy 7 หลายเดือนก่อน

    Kwanini mmetoza kiingilio kwenye kusikiliza neno la mungu?

  • @giftsumari2653
    @giftsumari2653 7 หลายเดือนก่อน +2

    Damu ya Yesu ikufunike Ndacha usiiogope Yesu atakufundisha uwafundishe hao waislam hayo ni maneno tu

    • @StumaiIssa-nh8bo
      @StumaiIssa-nh8bo 7 หลายเดือนก่อน +1

      Jaman ebu tumuongope mungu yaan kusoma usijue yaani unashindwa kujua haki ilipo! Namshukuru Allah kuzaliwa kwenye dini ya kislam alhamdulillah

    • @StumaiIssa-nh8bo
      @StumaiIssa-nh8bo 7 หลายเดือนก่อน

      Jaman ebu tumuongope mungu yaan kusoma usijue yaani unashindwa kujua haki ilipo! Namshukuru Allah kuzaliwa kwenye dini ya kislam alhamdulillah

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@StumaiIssa-nh8boAllhmdhullah nijamb la kumshukuru Mungu sana kuzaliw kwenye uislam Allhmdhullah...hyo Issa mwenyew ambae ni Mtume ni binadamu kam ss amezaliwa kam ss tofaut ni kuwa ni Mtume ila watu wanasem ni Mungu wao Subhanallah 😢

    • @StumaiIssa-nh8bo
      @StumaiIssa-nh8bo 7 หลายเดือนก่อน

      Ni mtihani sana kwa kweli ni msiba wenzetu wanasema nabii issah ni mungu na mungu huyo huyo anazaliwa ni mtafaruki kweli kweli

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi 7 หลายเดือนก่อน

      @@StumaiIssa-nh8bo ajabu awajiuliz kam ni Mungu hvi Maryam nae kaumbwa na nani na hyo wanae muita Mungu lkwa ajazaliw?? Allah awaoneshe njia ya Haki Inshaallah manak kila kitu kipo wazi ila Allah zaid

  • @user-wo4do5pk8z
    @user-wo4do5pk8z 7 หลายเดือนก่อน

    Twataka mada ya Christmasi

  • @godfreystabie8409
    @godfreystabie8409 6 หลายเดือนก่อน

    mbona mna penda uongo lakini

  • @hilamvicent6720
    @hilamvicent6720 7 หลายเดือนก่อน

    Mnashndana na one man army of JESUS😳

    • @salimchimwaga8384
      @salimchimwaga8384 7 หลายเดือนก่อน +1

      one man umaambiwa atakuwa pekeake?
      Halaf hakuna mkristo hata mmoja anamfauta huyo Jesus hilo mwalijua ila mwajitia viziwi,kwa mfano mwasema Yesu ni Mungu wakat yeye mwenyewe Yesu alikuwa na Mungu wake😂😂

  • @saitotisapiyo5997
    @saitotisapiyo5997 7 หลายเดือนก่อน

    Alafu ungeweka siku 7 najua ungejua ujui .

  • @ramadhanmgumba3680
    @ramadhanmgumba3680 7 หลายเดือนก่อน +5

    Nmependa hii tim imetimia apo ndacha na makafil wenzie hawatok

    • @amanilucy
      @amanilucy 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa mbona ndacha atawaharibu sana

    • @luckygmdegela8477
      @luckygmdegela8477 7 หลายเดือนก่อน +1

      hivi una mjua kafiri wewe au unaongea tu
      Yuda 1:4 Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.

    • @amanilucy
      @amanilucy 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa iyo kuruani yenye imeletwa na shetani Soma kuruani 4:79 apo ndio alipo pewa utume kumaliza Soma kuruani 2:97 ametajwa aliye teremsha kuruani

    • @amanilucy
      @amanilucy 7 หลายเดือนก่อน

      @@luckygmdegela8477 tumsubirie ndacha awashuhulikie kutumia iyo kuruani na kinabuhari , sahih Muslim, na vitabu vingine venu tunavyo visoma

    • @robertmwangiotieno6183
      @robertmwangiotieno6183 7 หลายเดือนก่อน

      True

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 7 หลายเดือนก่อน

    Sule Bora ukimbie,

  • @erickmaisha4773
    @erickmaisha4773 7 หลายเดือนก่อน

    Yani wanaume kumi mmeenda kando mmeshtuka😂😂😂😂😂😂😂

  • @fadhiliandrew2186
    @fadhiliandrew2186 7 หลายเดือนก่อน

    Bila ndacha kuwepo😅😅😅😅😅

  • @andrewdokhoya1318
    @andrewdokhoya1318 7 หลายเดือนก่อน

    Hakuna debate ambayo pastor ndacha hajui hizo zote enye umetaja amewahi fanya wacheni ufala ya kujipamba na kupendekeza bure.

  • @jumarobertonyancha8605
    @jumarobertonyancha8605 7 หลายเดือนก่อน

    Waongo nyinyi wadanganye wale hawawajui😂😂😂😂😂😂

  • @user-cb4ns5wp3o
    @user-cb4ns5wp3o 7 หลายเดือนก่อน

    Subileni mujioneye Kisi huyo ndacha adakosa maneno yakujiteteya ukristo wake🤷sematu padasilimu watu miyatano, insha'Allah 🙏❤

    • @abubakarmpole4000
      @abubakarmpole4000 7 หลายเดือนก่อน

      Miyasaba na zaidi

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 7 หลายเดือนก่อน

      @@abubakarmpole4000 au miyanane na saidi

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi nime mchagulia jina ndacha, ataiwa Omar

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 7 หลายเดือนก่อน

    imani sio kama unavyo takanyie

  • @Saidesaideinacio
    @Saidesaideinacio 7 หลายเดือนก่อน

    Waslamu I 100 mkrito 1 anawatosha ndacha Jeshi la Mungu haliwi lá kutisha Olá Mungu anakuwa na UPAnde WA huyo mmoja

  • @Saidesaideinacio
    @Saidesaideinacio 7 หลายเดือนก่อน

    Munatetema sana muna wasiwasi sana

  • @jjtm164
    @jjtm164 7 หลายเดือนก่อน

    Mwa mwoogopa kweli

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 7 หลายเดือนก่อน

    Hajawahi kushinda ndacha zaidi ya ushabiki abaki sure huyu mwingine ni shabiki ataalibu mdaharo

  • @jjtm164
    @jjtm164 7 หลายเดือนก่อน

    Ndacha Hana kujibiga kifua

  • @hajiyussuf-jm2ct
    @hajiyussuf-jm2ct 7 หลายเดือนก่อน

    Wakristo msifuate mkumbo, soma ujue usisubiri porojo za ndacha tu , ndacha yupo kanisani kibiashara

  • @samuellubunga1728
    @samuellubunga1728 7 หลายเดือนก่อน

    Waoga wote hao
    Atutaki probaganda mpira dakika 90 twendeni huwajani ndiko matokeo yatahamua
    Kisha wenye akili watachanganua mambo
    Mchele na mpunga

  • @SirikwaMollel-kj9zu
    @SirikwaMollel-kj9zu 7 หลายเดือนก่อน

    Unajua nyinyi waislamu hamujibu hoja za wakiristo lakini wakiristo wanajibu hoja zenu halafu mnajifanya munajua

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 7 หลายเดือนก่อน

      Hoja Gani haijajibiwa

  • @justine-2707
    @justine-2707 7 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kitu Muhammad alitenda ni story za kutunga leo mtaoshwa

  • @benjathekingofficialshows
    @benjathekingofficialshows 7 หลายเดือนก่อน

    Uoga huo 😂😂😂

  • @dodgerwakitaa2658
    @dodgerwakitaa2658 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo Ndacha atahangaika sana hapo kwa Dr Sule ni moto wa kupotea mbali

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 7 หลายเดือนก่อน

      Ndacha atashinda kwa sababu ni mjanja mjanja sana

    • @dodgerwakitaa2658
      @dodgerwakitaa2658 7 หลายเดือนก่อน

      @@Catherine-mh8sw hoja hujibiwa kwa hoja na sio ujanja ujanja huyo Ndacha ajiange kwa hilo

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 7 หลายเดือนก่อน

      @@dodgerwakitaa2658 ndacha janja nyingi nakwambia

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 7 หลายเดือนก่อน +1

    SULE MDOMO MWINGI ILA NDACHA ,SO WA KUMCHEZEA UYO..

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 7 หลายเดือนก่อน

      Kama Mungu wako yesu Ali chezewa nama yahudi itakua uyu kafili mwenzako ndacha tulieni tu hamna Dini nyie Nima kafili tu

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 7 หลายเดือนก่อน

      Ndacha atashinda kwa sababu ni mjanja mjanja.

  • @saitotisapiyo5997
    @saitotisapiyo5997 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 hutu tumutu porojo ndiyo wako nayo

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 7 หลายเดือนก่อน +4

    mchango wetu unawafkiaje kwa sisi tunaotumia namba za M-pesa Kenya

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 7 หลายเดือนก่อน +1

      Waislamu mtagalagazwa mapema sana ushauri wangu jikusanyeni mfike mpka kumi ndipo kidogo mtaweza kukabiliana na hoja kali za mwalimu Ndacha bila hivyo Dr Sule na wenzako mtaaibika

    • @islaahislamictv9085
      @islaahislamictv9085  7 หลายเดือนก่อน +2

      +255 752 517 751 Inafika direct kwa Dr Sulle

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@ramadhanmahongole9293 Kafir hawezi kushindana na wenye haki tukashindwa.Amka ulipolala usije ukajisaidia kitandani.

    • @omarsirleem7105
      @omarsirleem7105 7 หลายเดือนก่อน

      @@islaahislamictv9085 Shukran

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@ramadhanmahongole9293kabisaaa

  • @user-tn5ny2vc7h
    @user-tn5ny2vc7h 7 หลายเดือนก่อน

    SALALAHU AALEYHI WASALAAM ❤❤❤❤❤

    • @erickmaisha4773
      @erickmaisha4773 7 หลายเดือนก่อน

      Alierogwa ama unasema Nani?

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@erickmaisha4773muogope M/mungu, maana hulijui ulitendalo

  • @user-so3gy2io8l
    @user-so3gy2io8l 7 หลายเดือนก่อน

    Mtajua hamjui huyo ndiyo Ndacha

  • @benjathekingofficialshows
    @benjathekingofficialshows 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 hapo akaja onekana mtu wa kumzibiti ndacha !!! 😂😂😂 umeyavulia nguo , haya hapo mbele yenu 😂

  • @allysaidlyambange4500
    @allysaidlyambange4500 7 หลายเดือนก่อน

    WATU WAKIJUA HISTORIA YA UKRISTO BASI WATAINGIA KTK UYAHUDI NA KUUACHA UKIRISTO

  • @mwanafbii7
    @mwanafbii7 7 หลายเดือนก่อน

    mnawekaje masharti hivi kwani hamjiamini kama mna uoga semeni vitabu ndio zitasema sio ndacha na hivyo vitabu ni zenu sasa mbona mkatae oooh vitabu wacha kesho ifike tunajua majini yamefanya dua hayo yote ni bure uongo na giza ni mbingu na nchi

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 7 หลายเดือนก่อน

      Obareerick majini yanapatikana kanisani ndio kila siku mnapandisha majini