𝗗𝗷 𝗦𝗮𝗶𝗱𝗶 𝗔𝘀𝗼𝗺𝗲𝘀𝗵𝘄𝗮 𝗨𝗵𝗮𝗿𝗮𝗺𝘂 𝗪𝗮 𝗗𝘂𝗳𝘂 | Aʙᴜᴜ Uᴍᴀʀ Qᴀꜱɪᴍ حفظه الله

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 342

  • @MunahyaMubaraka
    @MunahyaMubaraka 3 หลายเดือนก่อน +1

    ALLAH atuepush

  • @adamabubakar7569
    @adamabubakar7569 11 หลายเดือนก่อน +4

    Maalim said wahalalisha mziki sasa innaalillah wanna ilaihi raajeuun

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe mpuuzi HIVYO unaona DUFU (ngoma) ipigwe KWENYE shughuli.wewe kwa upotoshaji huu.Mwenyezi Mungu akulipe

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 10 หลายเดือนก่อน +4

    Al rajuli yadhrib dufufu wahuwa makhnuth!

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 11 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu Said ana balaa sana wallah..
    Allah amuongoze kama hana kusudi.
    Ikiwa anafanya kisudi Allah amlipe na ailinde dini yake.

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ww kasome mwanzo

  • @AbuuSiiriin
    @AbuuSiiriin 10 หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe kheri zote ❤

  • @haridyhillaryndembo1946
    @haridyhillaryndembo1946 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu sheikh kichwa sana, Mungu amuhifadhi

  • @AbdulFadil-g7y
    @AbdulFadil-g7y 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ustadh said acha kupoteza w2 muogope mungu

    • @KomoraMohamed
      @KomoraMohamed 5 หลายเดือนก่อน

      Alimfanya bachu akakojoa kwnye kiti

  • @seifsalum3018
    @seifsalum3018 11 หลายเดือนก่อน +9

    Allah amuongoz huyu jamaa, maan anawapoteza weng sana

    • @KomoraMohamed
      @KomoraMohamed 5 หลายเดือนก่อน

      Wacha ujinga ww katili wa kumwaga damu za w2

  • @suleimanadim6522
    @suleimanadim6522 11 หลายเดือนก่อน +4

    ALLAH ATUONGOZE KATIKA NJIA ILIO YOOKA ILA TUWE MAKINI TUSIMSINGIZIE MTUME SWA JAMANIIIII

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 11 หลายเดือนก่อน

      Sasa mtume s a w hajasingiziwa na hadithi mumepatiwa subhanallah wale wanawake pia walimpokea mtume s a w kwa twari

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa kuonesha picha za watu wema na wanachuoni .wewe huoneshi picha yako kwavile unajua haina nuru niya jambazi shayaatwinu nnasi

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 11 หลายเดือนก่อน +9

    Mbabaishaji sana dj Allah amwongoe

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 11 หลายเดือนก่อน +2

      Ninyi mnaona hayo yakupiga dufu lkn hamujioni ninyi mnakufuru katika Aqiidah Mara Allah anamiguu anamikono miwili

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 11 หลายเดือนก่อน +1

      Masalafy wakosoaji wakat kihakika wao ndowamepotea Zaid Aqiidiyah

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 11 หลายเดือนก่อน

      wewe umeongoka? km mwajipa kazi ya uungu, hy aswali afunga mwata aongoke vp? au kafiri huyo? acheni usenge mbwa nyie

    • @IbrahimRamadhan-nc6hu
      @IbrahimRamadhan-nc6hu 11 หลายเดือนก่อน

      ​​@@mafiatv5479 hakuna mwenye kupinga kama sala yakataza maovu. Vp kwa mwanaume mwenye kupambania mambo ya wanawake kisha akadai anasal je sala yake itakua iko sawa ???

    • @مبغضالبدع-ع9ص
      @مبغضالبدع-ع9ص 11 หลายเดือนก่อน

      ​@mafiatv5479 ndugu kwa kweli unafuatilia sanaa darasa za masalafy kisha ukishasikia hoja za nguvu unaanza kutusi vibaya sana, kumbuka tu kila Unachoandika kitabaki baada ya kuondoka duniani, na kila atakae soma utabeba madhambi kaka, nasaha kwako hupungui kitu kutumia lugha nzuri hata ukiwa mpinzani wa haki basi kuwa na adabu.

  • @ahmedrage9664
    @ahmedrage9664 11 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akuongoze said Bado hujasoma

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 11 หลายเดือนก่อน

      Ndio kamyamazisha bachu

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe je?

  • @dr.jakayeherbalist5848
    @dr.jakayeherbalist5848 11 หลายเดือนก่อน

    Allaah azibaarik zaidi jitihada hizi za kuuhifadhi uislamu sahihi aliotuachia mtume wetu muhammad (swalla Llaahu alayhi wasallam) na amlipe kila mwenye kushiriki ndani yake ujira mkubwa utakao mfaa siku ya hisaab.
    Angalizo langu kwa ndugu zangu waisilam na hasa vipenzi vyangu masalafi
    Baada ya tawfeeq ya Allaah juu yetu kutupa hidaya na kutuongoza ktk kujenga imani na misimamo yetu juu ya hoja sahihi za kisheria ndugu, zangu kisha adabu nzuri imekuwa ni sababu kubwa ya kuipamba haqqi tuliyoafkishwa juu yake na kupendeza ktk nyoyo za watu hata wasio kuwa waislaam
    Allaaha Allaaha ndugu zangu, wallaah tujitaahid kujichunga ktk maneno
    Huenda mtu akaikataa haqqi kutokana na namna alivyosemeshwa
    Ni kweli watu huudhi, kwani huzama ktk ubishani wa mambo wasiyo na ilmu nayo, tena wakti mwingine kwa kuwatusi watu wa haqqi na vipenzi vyetu, laakin sisi tuna kigezo kwa wema tunaojinasibisha kwao, na litutoshe somo la vitendo kwa mtume(swalla Llaahualayhiwasallam) kwa wapinzani wake kwani yeye himma yake kuu ilikuwa ni kuongozwa wao pia ktk haqqi aliyonayo, hakuwatusi wala kuwaanza ubaya.
    Allaah atuhifadhi sote ktk njia hii ya haqq na awabaarik mashekhe zetu wote walio ktk haqq na awaongoze ndugu zetu wote ktk njia ya sawa ili tupate sote ujira wa kumpenda mtume (swallaLlaahualayhiwasallam) siku ya kukutana na Allaah mwepesi na mwadilifu wa hisabu.
    Allaah awa

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 10 หลายเดือนก่อน

    Una sema sawa sawa ila kuna dunia iko mbali jaribu kufanya vitu vye maslahi makubwa kwa Uma

  • @MussaMtingwa
    @MussaMtingwa หลายเดือนก่อน

    Subhaana Llah!!!!!!!!
    Mimi nilijuaga kasuku ndo hua anaongeaga maneno asiyoajua, kumbe hata binadam tumoo!!!
    Km dufu alipiga mwanamke Sasa vp wewe mwanaume umeingiaje hapooo.
    Kweli DJ shekhe shekhena

  • @RajabAdam-p4s
    @RajabAdam-p4s 3 หลายเดือนก่อน

    Ww abuu umar dah huna kitu kabxa

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 11 หลายเดือนก่อน +6

    DJ saidi huwezi kutuhadaa na kufata uzushi na uharamu, utawapata wenye matamanio ya dunia

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 11 หลายเดือนก่อน

      Ww Huna matamanio ya dunia wataka kusema ww mkamilifu

  • @husseinthabiti311
    @husseinthabiti311 10 หลายเดือนก่อน

    Shukran Sana sheikh Said nakuelewa sana

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona masheikh wa twariqa mnawachukulia Maswaaba za Mtume wetu MUHAMMAD sala na salamu zimfikie ki raisi raisi tu kama mm n ww

    • @KhamisiOmar-v3h
      @KhamisiOmar-v3h 10 หลายเดือนก่อน

      Kwa maana hio nyinyi mawahabi mukipeleka salamu huwa munapaa mbinguni sio?

  • @DelightfulGolfBall-dn1nl
    @DelightfulGolfBall-dn1nl 10 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi ....gusa point tu mwenye akili anaelewa vzr

  • @KhamisiOmar-v3h
    @KhamisiOmar-v3h 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mawahabi mumejaa husda

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 11 หลายเดือนก่อน

      Tupo mbali na uzushi

    • @issahabdallah9018
      @issahabdallah9018 10 หลายเดือนก่อน

      Haya maelezo ya abu hawla mbona yako wazi sana. Wala hayahitaji kuwa wahabi wala tariqa. Bali yanahitaji uwe mfuasi wa Muhammad bin abi talib kuyaelewa

  • @adamkilembwe.
    @adamkilembwe. 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaallah doctor wa bacho ustadh said

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 10 หลายเดือนก่อน

      Doctor wa dj saidi ni bacho

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hujuw kitu wewe sheikh kaaa kimya kwa dufu hilo na vinanda hivyo kuna tofaut gani na nyimbo

    • @musakibindo6345
      @musakibindo6345 10 หลายเดือนก่อน

      Tafauti ni usasa na ukale. Je wakati wa Mtume microphone na mixer zilikuweko. Na mbona mwazitumia.

  • @alikurran150
    @alikurran150 10 หลายเดือนก่อน

    Assalam alaykum sheik wangu.Allah azidi kukuongoza katika dini.InshaaAllah.Piga dufu kaka usiumize sana sauti we ukipiga tarajia kheri kama ni kheri utaikuta hata uzani wa mdudu chungu na kama sharri pia Allah haghafiliki.Ikhlass fanyeni kwa iqhlas.

  • @shafikakrabi8490
    @shafikakrabi8490 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaalah sheikh Said jazakallah kher

  • @samakisamaki3226
    @samakisamaki3226 10 หลายเดือนก่อน

    Mwendawazimu huyu. Ana unga unga ili kuhalalisha upuuzi na jambo ambalo halipo kisheria katika Islam.

  • @MohammedAlnabakhany
    @MohammedAlnabakhany 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ukifa katika mila hiyo bwanamkubwa umeangamia vibaya mbele ya Allah, Bwanamtume anasema sauti mbili zimelaaniwa duniani na Akhera, sauti ya kwanza ni Zumari na magitaa, nasauti ya pili nivilio vyakuombeleza katika mazishi, asa apo penye dufuu hapana Zumari apo na magitaa.

    • @JafariMohamed-b6w
      @JafariMohamed-b6w 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli akhy allah akulipe kher huyu said anakoenda Allah amuongoze ahalalisha vilivyoharamishwa na sharia tukufu

    • @SaleheKikumba
      @SaleheKikumba 13 วันที่ผ่านมา

      Mna tiana moyo tu hilo Gita tokea lime tengenezwa hata karne moja halija fika uligaza kwanza

  • @abubakariali9848
    @abubakariali9848 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mnaemwita DJ said naona mmemkimbia nyie wenye vyeo vya Mashekh 😂😂
    Kama mnahisi mna hoja za kupinga dufu wekeni mdahalo mbadilishane hoja msikeshe mitandaoni kuchambana 😅😂 watu wanataka hoja uso kwa uso Faqat

  • @ATHUMANIKIJAMBO
    @ATHUMANIKIJAMBO 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe elimu wapenda kuwa maarufu ila rudi darasani ajabu wapinga hadithi dhaifu kwakutumia dhaifu kueni wakweli

  • @kambotambwiza9582
    @kambotambwiza9582 11 หลายเดือนก่อน +3

    As/aleykm Abuu umaira kaa usome ndugu yangu

    • @ummohammed8380
      @ummohammed8380 11 หลายเดือนก่อน

      Asallam aleikum
      Ndugu yangu ukiandika
      Asallam aleikum ikamilishe
      Asallam ni jina la Allah usilifupishe
      Shukran

    • @Mgshrts
      @Mgshrts 9 หลายเดือนก่อน

      M. A we ndo umesoma sana😂

  • @AjiraCoach
    @AjiraCoach 11 หลายเดือนก่อน +2

    HAWA WANAO JIITA MASALAFI,, WALLAH NIWAPUMBAVU
    UFASWAHA HAMUMUWEZI
    ELIMU HAMUMUWEZI
    MMEBAKIZA MIPASHO NAKUTOA MAJINA YAKEJELI

    • @IbrahimRamadhan-nc6hu
      @IbrahimRamadhan-nc6hu 11 หลายเดือนก่อน

      Eeeee mbona huuu upumbav makuraf pia wanao tafuta hoja elimu usipende ushabiki

    • @ashrafuyusufu9344
      @ashrafuyusufu9344 11 หลายเดือนก่อน +1

      ha ha mbona umepaniki kweli ukhuraf mzigo mtu anaongea kama mtoto anajifunza kuongea halafu unasema ni fasaha halafu avae rinda bas apige dufu ili tumwelewe

    • @AjiraCoach
      @AjiraCoach 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kinachotakiwa,, Ajibiwe kwa HOJA sio kumpa MAJINA ya ajabu
      NIMFASWAHA narudia Tena,

    • @IbrahimRamadhan-nc6hu
      @IbrahimRamadhan-nc6hu 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kwaio alivyo jibiwa imetumika gazzet

    • @khamiisabubakar412
      @khamiisabubakar412 11 หลายเดือนก่อน +2

      Masalafi wanaotetea sunna za mtume swallaahu alaihi wassalaam ni wapumbavu na huyu anayelingania kucheza na kukata viuno msikitini ndo mwerevu siyo? Tumieni akili enyi makhraafi na masuufi watu wa twariiqa

  • @AdamRashid-z1n
    @AdamRashid-z1n 10 หลายเดือนก่อน

    Huo ni ukhurafitu hiyo ngoma kama ngoma zingine acheni kubabahisha sugu ni ngoma tena ni ktk ujahiliya munachanyika na wanawake pia nina rukaruka huku mukimtaja mungu na MTUME wake ng'oma hikipigwa

    • @muniraally4091
      @muniraally4091 10 หลายเดือนก่อน

      Said ni moja wa sikio la kufa tena kwa kusudi

  • @Luqman-wm4fm
    @Luqman-wm4fm 3 หลายเดือนก่อน

    😊😊😊😊😊

  • @hashiali6834
    @hashiali6834 11 หลายเดือนก่อน +2

    جزاك الله خيرا

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 11 หลายเดือนก่อน

    Maashaa Allaah umeongea maneno mazima sana, khususan kuqnzia dkk yq 40 hadi 43❤❤❤❤

  • @Abdulwaheedomar
    @Abdulwaheedomar 11 หลายเดือนก่อน

    Swadakta Abu umar ❤

  • @JosMatty-bq9ii
    @JosMatty-bq9ii 10 หลายเดือนก่อน +1

    hyu ni sheikh au dj

  • @muftishaban.a.musamombasak6577
    @muftishaban.a.musamombasak6577 11 หลายเดือนก่อน

    Uzuri wa wasiosoma hawana wasilojua. UST SAIDI endelea na elimu zenye tabia njema

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dufu la Vinanda Dufu La Diamond Platnumz hilo hawa Mashekhe wa mchongo wanazingua sana

  • @OmariAbdullahi-i8s
    @OmariAbdullahi-i8s 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika wanaomuelewa sheikh said ni watu wasio na ilmu ambao hawajasoma dini yao wakaielewa,

  • @MuhammadIbrahim-w8u1u
    @MuhammadIbrahim-w8u1u 11 หลายเดือนก่อน +5

    بارك الله فيك وجزاك الله خيرا وزادك الله علم

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail 11 หลายเดือนก่อน

      Mwaongeleaga jikoni

    • @abdulfatahumarsaideazamo2654
      @abdulfatahumarsaideazamo2654 11 หลายเดือนก่อน +1

      زاده الله علما لا ينفعه؟

    • @abdulrazakmansur4938
      @abdulrazakmansur4938 10 หลายเดือนก่อน

      Wewe jahil mzuka acha kelele katafute Elimu acha kupoteza ummah dufu maulidi samai haviko katika mafundisho ya dini yetu dini yetu si dini ya kucheza cheza 😅

  • @ramadhaniomary7083
    @ramadhaniomary7083 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kimi namkubali sana shekhe saidi yeye anaelimisha kwa wanaopiga dufu na wasiopiga wasipige watulia watu waendelee kumsifu mtume muhammad ( s.a.w)

    • @thabitimkufi7388
      @thabitimkufi7388 10 หลายเดือนก่อน

      Hoja ya kusema anaepga apge asiepga akae kmya hyo maanake hana hoja rasmi ya kuhalalisha dufu ktk uislam

  • @naimaabdallah4002
    @naimaabdallah4002 11 หลายเดือนก่อน

    Allah akuongoze wewe unao pinga akisifiwa mtume

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 11 หลายเดือนก่อน

      Hoja si kusifiwa Mtume. Sikiliza kisha leta hoja yako ingwa kwa muktasari wa ujumbe ulio uweka hapa inathibitisha hujui chochote

  • @أبومعاذ-ض6ع6ب
    @أبومعاذ-ض6ع6ب 11 หลายเดือนก่อน

    بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا

  • @abaadharri6873
    @abaadharri6873 10 หลายเดือนก่อน

    Abu umair soma vizuri hiyo hadithi ya aalinuu

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 11 หลายเดือนก่อน

    Abuu umaira hatuna elimu ya kumsomesha sheikh ,Dj,Saidi.kumuita dj si matusi ni kivumishi .

  • @ABDULFATTAAHNASSIR
    @ABDULFATTAAHNASSIR 10 หลายเดือนก่อน +1

    jaman angalie kwakuchukua elimu hilo dufu au gitaa

  • @NadharMohd-ek8wl
    @NadharMohd-ek8wl 11 หลายเดือนก่อน +17

    Mimi ni Ahlultwariqa wallahi nakwambieni,lakini kwa dufu hili ni ujahili,hili dufu au rusharoho,huyu anajua kua huu ni ujahili lakini anawarizisha walimu wake. Sheikh saidi ninakukubalisana shekhwangu lakini kwadufu hili navinanda vyaMuziki tumuogope Allah,musilichafue dufu hili sio dufu letu Ahlultwariqa.

    • @alihabib7640
      @alihabib7640 11 หลายเดือนก่อน

      Dah hatari kweli dufu ndo kijikirubisha kwa Allah??? Wewe wacha upotofu huo

    • @IssaHamisi-z2v
      @IssaHamisi-z2v 11 หลายเดือนก่อน

      Hujui chochote wewe

    • @NadharMohd-ek8wl
      @NadharMohd-ek8wl 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi sijui chochote lakini dufu musilitie vinanda na muziki mukalishabihisha na rusharoho,tofauti iko wapi wakati ala za muziki ndo zilezile,Kila siku mwaongeza maajabu katika dufu,Shetani anawavuta darja kwa darja mwisho atawapoteza

    • @KhamisiOmar-o2g
      @KhamisiOmar-o2g 10 หลายเดือนก่อน +1

      Dufu libaki kwa akinamamatu maanahiyo c ibada tumche allah

    • @KhabariAbdallah
      @KhabariAbdallah 10 หลายเดือนก่อน

      Una simamiawapi

  • @salimasalim405
    @salimasalim405 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishie ufaswaha ktk kuongea, na ukuzidishie elimu❤❤❤

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 10 หลายเดือนก่อน

      Amzidishie elimu ya madufu?

  • @hadanahadana4205
    @hadanahadana4205 11 หลายเดือนก่อน

    Mtume Muhammad swalallahu Alaihi wasalama tayari aalisha sema zama zamwisho patakuwa washeikh wengi alakini maulama nikidogo

  • @adammuhidin3016
    @adammuhidin3016 11 หลายเดือนก่อน +2

    aasant abuu umar nimekuelewa san chapa waazushi awo

  • @arkaanahmed1231
    @arkaanahmed1231 11 หลายเดือนก่อน +4

    Hao watu ambao wanakuskiliza akili zao ziko vp jamanj لا يكادون يفقهون حديثا

  • @musaomar4184
    @musaomar4184 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo ni mwanamke je nyinyi ni wanawake

  • @HamisiAli-n5p
    @HamisiAli-n5p 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona Umar unapiga stori

  • @FakikomboBakar-bs4tu
    @FakikomboBakar-bs4tu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dufu Haina tafauti na mziki wa tarab jmn hamjiulizi nyinyi Allah amekemea Katia Qur'an suratatu zinaeleza uharam wangoma kwann ss tunahalalisha tuacheni ujinga tusomeni kwanza tuache kufata mkumbo utatupotea

  • @abdallahkaggy1452
    @abdallahkaggy1452 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo jina ulilompa Muislamu mwenzako si sahihiii kwa muita Dj😢
    Pili hiyo picha uliyoiunganishaa kwa pembeni si dufu hizo ni hala za zumari miziki ya ki Zanzibar si madufu😢

    • @khamiisabubakar412
      @khamiisabubakar412 10 หลายเดือนก่อน

      Wacha hata eti imeunganishwa...yeye anapiga kinanda na ngitaa haswaa

    • @musabomar661
      @musabomar661 8 หลายเดือนก่อน

      We huoni hiyo video ilounganishwa ya vinanda na huyohuyo Dj ndio bendi yake na yeye ndio anayepiga guitar hapo? Au unajitoa fahamu na wewe?

  • @ahmedrage9664
    @ahmedrage9664 11 หลายเดือนก่อน

    Mzushiii

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 11 หลายเดือนก่อน

    Wallah mitihan dunia imeisha hatar Mtume Muhammad s a w alitabiri mwisho watu wataipenda dunia kuliko Akheir muda umefika Allah atujaliye khatima njema na kizazi jema

  • @muddiesmart
    @muddiesmart 5 หลายเดือนก่อน

    Mmeingia kwenye kutukana sasa😅😅

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu sheikh hafai kusikilizwa na waislamu wampuuze kabisaa anapotosha umma dhaahir shaahir

  • @alhadharngwali
    @alhadharngwali 9 หลายเดือนก่อน

    Dj.said nna kikao na ww siku ukijaaliwa kuja Zanzibar tukutane inshallah...😢😮

    • @KomoraMohamed
      @KomoraMohamed 5 หลายเดือนก่อน

      Bachu ywamjuwa huyo alijikojolea

  • @RabiyaShamuty
    @RabiyaShamuty 10 หลายเดือนก่อน

    Sema sijui😂😂😂😂

  • @jumakitadu8674
    @jumakitadu8674 11 หลายเดือนก่อน +2

    سئل القرطبي عن الامام الطرطوسي في مكان يقرؤون شيئا من القران ثم ينشد لهم منشد شيئا من الشعر فيتواجدون ويضربون بالدف والشباب هل الحضور معهم حلال ام لا
    فاجاب
    مذهب الساده الصوفيه بطاله وظلاله وجهاله وما الاسلام الا كتاب الله وسنته فاما القضيب فاول من اتخذ به الزنادقه ليشغل به المسلمين عن كتاب الله

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu anajikuta nani dj said

  • @waleedalhinai367
    @waleedalhinai367 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kiti kulitoa maji Mombasa

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 10 หลายเดือนก่อน

    Mwenye kutaka kuelewa ataelewa. Sheikh umeeleza, vizuri mno

  • @MkindiJujan
    @MkindiJujan 11 หลายเดือนก่อน +5

    Yaani ni hatari analolipigania hapo ni waislam wapige ngoma wacheze sasa hao akina kiba diamond na wasanii mbalimbali ni halali wanachokifanya
    DJ Said haelewi maneno yake yanatoa ruhusa watu kuimba kucheza na kupiga ngoma

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 11 หลายเดือนก่อน

      Sasa ww utakua huelewi ama ni kibri asema dufu sasa diamond kiba wao wapija dufu ama ni bongo flever

    • @abuusuhaibmchumi
      @abuusuhaibmchumi 11 หลายเดือนก่อน

      Izo dufu zinazopigwa hapo na za diamond zinatofautiana au?

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 11 หลายเดือนก่อน

      @@abuusuhaibmchumi diamond yuwapija dufu ama mziki jibu unalo ila chuki punguzeni

  • @OmaryTambi
    @OmaryTambi 11 หลายเดือนก่อน

    Mimba za zinaa za mikesha ya maulidi mtaenda kujibu

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 11 หลายเดือนก่อน +2

      Na ww utajibu kwa Allah ni nani alitiwa mimba kwenye maulid ambao wamezini utajibu insha Allah

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 11 หลายเดือนก่อน

    Waambiye dj saidi natena karibuni tutatoa cd zetu

  • @HassanAlly-k2p
    @HassanAlly-k2p 9 หลายเดือนก่อน

    Bahari yako ni neema kwa wenye macho

  • @JumaHamadi-n5p
    @JumaHamadi-n5p 11 หลายเดือนก่อน +3

    Sheikh Said Allah akuhifadhi mi naangalia comment za Hawa waimba taarabu mawahabi 🤣🤣🤣

    • @AlbadruTimmi
      @AlbadruTimmi 11 หลายเดือนก่อน

      Wakiongozwa na bba yako

    • @IbrahimRamadhan-nc6hu
      @IbrahimRamadhan-nc6hu 11 หลายเดือนก่อน

      Huyo Dj ndo kaz yake na hilo liko wazz

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@AlbadruTimmiww wahabi tu utabaki kuwa wahabi matusi ndio munayo ilimu hamuna

    • @Abdulwaheedomar
      @Abdulwaheedomar 11 หลายเดือนก่อน +1

      Si DJ wenu ndio wakwanza kukatisha mauno

    • @Abdulwaheedomar
      @Abdulwaheedomar 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@saba-gv3mjukiwa nayo ww hio elimu yatosha

  • @hamissnjumba302
    @hamissnjumba302 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi na me kwenye duffu hapana silitaki

  • @i_gabbykisalo4280
    @i_gabbykisalo4280 11 หลายเดือนก่อน +2

    Please nitumie hiyo video ya hao wenye kupiga dufu, nawakubali sana

  • @jaalbrek1941
    @jaalbrek1941 11 หลายเดือนก่อน +1

    Je kuna pahali wanaume wamekatazwa kupiga dufu?

    • @khamiisabubakar412
      @khamiisabubakar412 10 หลายเดือนก่อน

      We nawe jielewe....kwani yule aliyekuwa anapigia mtume dufu(vile Dj wenu anaeleza) alikuwa mwanamme?

  • @AllySully
    @AllySully 10 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi ni makafiri no 2 baada ya hao makafiri no 1.

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl 10 หลายเดือนก่อน

    Sheikh said ni msomi isipokuwa nyie mawahabi mnaelimu ya kiwahabi ndio shida kubwa mliyonayo vichwani,hapo ametoa ushahidi wa hadithi bado hamkubali?,

  • @MtandaKibari-zm4bj
    @MtandaKibari-zm4bj 11 หลายเดือนก่อน

    Usiseme wew ni mwanatwarika tu Kila Mmoja ni mwana twarika awe salafi awe muhabi awe Sufi awe shia wote ni wanatwarika

  • @MordiySB
    @MordiySB 11 หลายเดือนก่อน

    kijana amewashinda kielimu , hata ukucha wake hamumfiki, na bado ni kijana mdogo sana, tarajieni vitabu vya dini kutoka kwa huyu kijana, waheni hasad na hiqd.

    • @personunknown7413
      @personunknown7413 11 หลายเดือนก่อน

      Ile hadithi alivyoiboronga ndo elimu hiyo?...

    • @adammuhidin3016
      @adammuhidin3016 11 หลายเดือนก่อน

      pengine elimu uloikusudia ww co hii aloileta mtume s.a.w kwaio upo sawa mann yko

    • @MordiySB
      @MordiySB 10 หลายเดือนก่อน

      @@abdullahisiasa7861 Ukosefu wa ilimu wako wajulishwa na alfadh zako , siku zote sema " ALLAH akuongoze na atuongoze na sisi sote" ama "ALLAH atuongoze sote" watu wenye ELIMU ndio husema hivi kulingana na sunnah.

  • @Salimsubeya001
    @Salimsubeya001 10 หลายเดือนก่อน

    Jee mtume aliwahi kupiga twariii jee katika makhalifa wa nne waliwahi kupiga twarii twarii la wanawake wanaume walikua hawapigi twariii mtume alipokufa Nana aisha aliishi zaidi ya miaka ishirini jee Nana Aisha aliwahi kufanya maulidi au kupiga twarii

  • @ABUUDARDAAI
    @ABUUDARDAAI 11 หลายเดือนก่อน

    we unaumwa kazi za wanana wake

  • @OmaryTambi
    @OmaryTambi 11 หลายเดือนก่อน

    Dj said ukiongea wacha kurembua

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 11 หลายเดือนก่อน

      Ww ni hasidi na chuki insha Allah utakufa nazo chuki zako

  • @ramadhanikimweri1240
    @ramadhanikimweri1240 10 หลายเดือนก่อน

    Naili mtume alisema zitangazeni ndoazenu mkazifunge msikitini nampige difuhuko je kulemskitiniwalopiga matari nakufungishandoa niwanawake? Achenikuwapotoshawatu nyisarafi mayahudi wakubwatunajua mmeyumwa mayahudi kuipotosha wiisolamu

  • @DiniMwambashi
    @DiniMwambashi 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi nashindwa kuwaelewa hawa jamaa mtume akisifiwa hawataki kwaniniwasipammbane na hawawanaomtukana mtume wanapambana na waisilamu wenzao

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 10 หลายเดือนก่อน

    Mombasa SS hatuna walimu SS hakuna kufundisha mambo muhimu NI kushindana na maulidi au hiyo dufu yaamanisha hakuna lakutufundisha na kama hamuna c mutafutee lakufanya wacheni kutuchokesha akili kuna mambo mengi yakutujuuzaa tumechooooka na nyinyi maslahi na pia naona SS NI kama NI biashara SS
    Aka BACHUCHU Mombasa 001

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nanyie ni mademuu eti wapiga dufuu!!!!!!

  • @ibrahimabdul6586
    @ibrahimabdul6586 11 หลายเดือนก่อน +1

    Vaa rinda basi

  • @RabiyaShamuty
    @RabiyaShamuty 10 หลายเดือนก่อน

    Mwanaghu ustadhi saidi usiwajibu hao sumun bukmun fahum layarjiuni hawo niwajukuu waiblisi wawate waboeke mijibwa hiyo

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 11 หลายเดือนก่อน +1

    kwahiyo mnavyopiga na nyiye mmeweka nadhiri ?pia aliyepiga ni mwanamke. sasa nyiye mnapiga ni wanawake ?

  • @AjiraCoach
    @AjiraCoach 11 หลายเดือนก่อน +2

    Si mtetei ila Hamwezi huyu jamaa
    Mmebakiza matusi tu

    • @IbrahimRamadhan-nc6hu
      @IbrahimRamadhan-nc6hu 11 หลายเดือนก่อน

      Hatumuwez kwakutetea vitendo vya kike vp mume aweza kuleta ubishi kwakuta kuvaa nguo za mkewe

    • @AjiraCoach
      @AjiraCoach 11 หลายเดือนก่อน

      @@IbrahimRamadhan-nc6hu wee ndo akili matope kabisa,, Eti nae Salafi
      Stupidity

    • @IbrahimRamadhan-nc6hu
      @IbrahimRamadhan-nc6hu 11 หลายเดือนก่อน

      @@AjiraCoach we yako ujii vp watetea munkar wajielewa kwel .

  • @A.a.m-b4y
    @A.a.m-b4y 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mashetwani ni mawahabi kwa hadithi ya mtume kuwa watoka najdi

  • @saidissa8273
    @saidissa8273 11 หลายเดือนก่อน

    Hao maswahanba waliendelea???

  • @MNGWAYAONE
    @MNGWAYAONE 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa hivyo sheikh wetu unatuambia kwamba jambo la dhambi wameruhusowa kufanya watoto wadogo tu? Wao wakifanya mambo yaliyoharamishwa ni ruhusa na wengine ndio katazo? Tafadhali elimu sheikh wangu

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 10 หลายเดือนก่อน

    Wao wako ktk ushabiki tu maskini!

  • @KassimMsalangi
    @KassimMsalangi 9 หลายเดือนก่อน

    Aliepiga dufu ni mwanamke wewe mwanaume dufu ni la nn

  • @nurdinali4026
    @nurdinali4026 10 หลายเดือนก่อน

    can someone silence this Dj pls!!!😂😂

  • @Suleimanbakari-wu2pw
    @Suleimanbakari-wu2pw 10 หลายเดือนก่อน

    Hakuna sheikh somavizuri

  • @AjiraCoach
    @AjiraCoach 11 หลายเดือนก่อน

    ACHENI UPUMBAFU WAKUTUMIA MANENO MAKALI
    WALLAHI HUYU JAMAA ATAWATESA,,
    ANAELIMU NA NIMFASWAHA KATIKA MAZUNGUMZU
    WEKENI HOJA MSI WEKE HEADING ZAKUVUTIA WATAZAMAJI.

  • @JUMAJUMA-ym1kt
    @JUMAJUMA-ym1kt 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huu ni ujaahili endeleeni na ujahili wenu

  • @ibraa1157
    @ibraa1157 11 หลายเดือนก่อน +3

    Saidi aliwapiga kwa kitu Kizito ...😂

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 11 หลายเดือนก่อน

      Kizito kipi soma kwanza uwelewe usiwe kama wakiristo na akili zao,muislam hua anatumia akili za kutosha, mtume alimruhusu kwa kuweka nadhir na kua hujaweka usipige je huoni hapo karuhusiwa kwa dharura tu,je hao je wanaopiga wana dharura gani .sijui kua wewe ni msomi wa Quran nisije kupa aya kumbe hujui kitu kuhusu nadhiri laki hata hivyo nenda kasome kisa cha nabii ayubu kuhusu nadhiri ya kumpiga mke wake bakora mia halafu uwone nini Allah alihukumu kuhusu tukio hilo?

    • @khamiisabubakar412
      @khamiisabubakar412 11 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni msaniii Dj Said hadi na kinanda baba....halafu mwamtetea... Acha kinanda hadi ngitaa Dj Said anapiga...halaf bado mwamtetea ..,..ehhh enyi ? masufiiii>iiiiii