𝘿𝙠𝙩 𝙄𝙨𝙡𝙖𝙢 / 𝙆𝙖𝙨𝙞𝙢 𝙈𝙖𝙛𝙪𝙩𝙖| 𝗛𝗼𝗷𝗮 𝗞𝘄𝗮 𝗛𝗼𝗷𝗮 (𝘚𝘦𝘩𝘦𝘮𝘶 𝘠𝘢 Pili)

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 147

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 4 วันที่ผ่านมา +2

    Wote wapo vzur!japo dr islam is the best

  • @yahyabakar7859
    @yahyabakar7859 8 วันที่ผ่านมา +5

    Nampongeza sana Dr. Islam ,Amekomaa anakua Mwanachuoni kwani anatumia ref. zilizo hai na hii ndio tafauti ya Msomi na kinyume chake

  • @OthumanHamisi
    @OthumanHamisi 2 วันที่ผ่านมา

    Shekhe kasmu kwann unapenda kufukunyua sana duuu hiyo nihasadi azann mana malezo yake yapo wazi kwamba inabidi mseme yeye kapinda kitigani kwadalili hizi nahizi ila nyinyi mwalazimisha makosa

  • @habibiddy8096
    @habibiddy8096 6 วันที่ผ่านมา +3

    Dkt Islam Mohammed Allah amhifadhi hakika ni sheikh maelezo yake kwa mtu mwenye kuifata haki basi ataelewa ila kwa mwenye kufata ushabiki hatomuelewa

  • @ahlulhadeeth
    @ahlulhadeeth 10 วันที่ผ่านมา +8

    جزاكم الله خيرا

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 10 วันที่ผ่านมา +12

    Allah amhifadhi sheikh abul fadhl qaasim mafuta, amrefushie umri na ilmu , hakika daawa yake imenyooka na iko wazi kwa mwenye akili na kutaka haqq.

    • @aishathabit3732
      @aishathabit3732 9 วันที่ผ่านมา

      Amuongoze aache kutetea matwaghuut na kufarikisha umma

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 6 วันที่ผ่านมา

      @aishathabit3732 ima umtu wa chuki ama umjinga ,,,hayo madai yako sheikh yuko mbali nayo ,,,tupe dalili wapi anatetea mathwaaguut na kufarakanisha umma?,,tuonyeshe

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 6 วันที่ผ่านมา

      Allah akuongoze mafuta na chama chake Cha new salafi

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 6 วันที่ผ่านมา

      @user-yj5on8cz3e hamna hoja tatizo lenu ni hilo ,,so bakini na uhizbiyya mpaka siku mtakapojua haqq

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 6 วันที่ผ่านมา

      @@ABUUJAAFAR92 ninyi ndo mpo mbali na haki mmejificha na mwavuli wa wema walotangulia shekhe utheimeeny nae kawalipuwa kwenye kitabu chake nae Ni hizbi Tena kaliweka kundi lenu Hilo Kama makundi ya bidaa yalozuka zama hizi akasema jamat tabligh ikhwan Muslim na kundi lililozuka zama hizi wanaojiita salaffiya katoa dalili na kutahadharisha watu hasa ahlsuna waloshika man hajji salimu mtieni kwenye uhizbi nae shekhe mpo katika ria na ghuruu hizb yenu hiyo kwani imepasuka vipande vipande kila kikundi kimetawanyika subuhana llah Allah awaongoze mnaona mpo katika hakki kumbe bado viziwi tuu

  • @omariczete448
    @omariczete448 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mashaallah dr islam

  • @HamisiMwalimu-pp9ci
    @HamisiMwalimu-pp9ci 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mashaalah abuu l fadhili Allah akuzidishie ghilmu

  • @ismailmohamed41
    @ismailmohamed41 4 วันที่ผ่านมา +1

    ALLAH AWAHIFADHI WALINGANIZI WA HAKI WA MANHAJ SALAFIYUN KWA KUTAHADHARISHA UMMA KUTOKANA NA WALINGANIZI WAZUSHI WAPOTOFO WARONGO. BAINISHA HAKI NAWAPENDA KWA AJILI YA ALLAH. BARAKA ALLAH LAKUM

  • @OthumanHamisi
    @OthumanHamisi 2 วันที่ผ่านมา

    ilijai nikilusi Dunian mtapata shida sana zama hizi apatokua nasalama mpaka ALLah azisafishe safu za waisilamu nakisha awape nafasi wale wakweli ili achague mashuhadaa ila Kwa sasa mta uzana sana poleni mashekhe kwakazi ngumu miliyo pewa

  • @user-ri1yr8ks7y
    @user-ri1yr8ks7y 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mashallah Doctor Islam, the messages received 🎉🎉🎉

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 4 วันที่ผ่านมา +2

    Wallahi ukisikiliza majibu ya hawa mahizibi ndio utaamini kweli masalaf wapo ktk haki

    • @omariczete448
      @omariczete448 3 วันที่ผ่านมา

      Wewe hujirlewi wala hukusoma

  • @Alamiinabubakar
    @Alamiinabubakar 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanza hakuna mtu hana atabu kama muhammadi bachu

  • @user-lk3qc7vr2n
    @user-lk3qc7vr2n 9 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akuhifadhi Sheikh Abuu Fadhli Kassim Mafuta

  • @ABUUBAAZNYUNGU
    @ABUUBAAZNYUNGU 10 วันที่ผ่านมา +11

    Maa shaa Allah! Allah akulipe mwenye hii channel kwa kuunganisha hizo hoja mana wengine tulikuw tunachanganyikiwa kabsa tukiambiwa kuwa hawa watu ni Mahzib coz tuliwaona ni watu wa sunnah na tuliona kama vile wanaonewa

    • @ahlulhadeeth
      @ahlulhadeeth 10 วันที่ผ่านมา +6

      وكذلك نفصل الآيات ولتستبين سبيل المجرمين

    • @dawatul-salafi129
      @dawatul-salafi129 10 วันที่ผ่านมา +3

      ​@@ahlulhadeeth☑️

    • @salmyhussein6255
      @salmyhussein6255 10 วันที่ผ่านมา

      Amekosoa nini kwenye elimu?

    • @MohamedHasnuu-rk6wb
      @MohamedHasnuu-rk6wb 10 วันที่ผ่านมา

      ameen

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 9 วันที่ผ่านมา

      Kosa kubwa ni kuwanasibisha wanachuoni wakubwa na kikundi cha masalafy Uchwara kama anavyosema Barahiyani

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas 6 วันที่ผ่านมา +2

    Kasim mafuta bwana mjanja san😂😂😂

  • @islamseyffden7723
    @islamseyffden7723 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mawahabi hawa wote wehu wanakejeliana wao kwa wao matwariqa hwez ona hvi

    • @user-ks4hh8jb6k
      @user-ks4hh8jb6k 3 วันที่ผ่านมา

      We ndio mwehu kabisa

    • @islamseyffden7723
      @islamseyffden7723 3 วันที่ผ่านมา

      @@user-ks4hh8jb6k kwan uwongo sa ndo nn apo mnabishana nyie kw nyie mnataka sifaa 🤣

  • @YusufAli-gc9cu
    @YusufAli-gc9cu 10 วันที่ผ่านมา +10

    MPAKA KUELEWEKE,,,,,

    • @alirajab7101
      @alirajab7101 10 วันที่ผ่านมา

      kivipi

    • @kisomekiguwa3706
      @kisomekiguwa3706 8 วันที่ผ่านมา +1

      Kwa lugha za munkari? inawezekana utakacho ongea ndicho haswa kinachotakiwa kifanyike ktk dini lkn ukikifikisha kwa jaziba na maneno sio ya kiungwana ktk jamii sio vzr (mbona Mw/Mungu alimtuma nabii Musa kwa firaun akamwambia umwambie firaun kwa upole, mimi nadhani upole kwa masheikhe wetu ni njia nzr ya kutuelimisha sisi tusiojua dini yetu ila sio kwa mneno machafu twajua pia wao ni watu kama sisi wanayo hasira ila busara ni muhimu.

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu 7 วันที่ผ่านมา

      @@kisomekiguwa3706 wacha kupelekwa na hisia ,,,,hiyo shubha nyepesi sana
      th-cam.com/video/jP0Y8kD0DOU/w-d-xo.htmlsi=11epG5rWpBCyT7J-

  • @ibnuyussuf
    @ibnuyussuf 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Salfi wa ki serikali na raisi

  • @OthumanHamisi
    @OthumanHamisi 2 วันที่ผ่านมา

    Mashaaallanh

  • @dawatul-salafi129
    @dawatul-salafi129 10 วันที่ผ่านมา +7

    Mashallah

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas 6 วันที่ผ่านมา +1

    Jmaanii eee Munahkik huyu Mafuta hajachagyikiwa mbna anaropka ovyo anasema hili hajamliza anarukia jengine duh ,Sindano zmempata😂😂😂😂😂

    • @abulfidaamedia
      @abulfidaamedia 5 วันที่ผ่านมา

      Acha ushabiki, jibu hoja anazoziuliza Sheikh mafuta kwa Dakta Islam

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@abulfidaamedia pana hoja gni mi naon matusi tu ,Kama kawaida yenu

    • @abulfidaamedia
      @abulfidaamedia 5 วันที่ผ่านมา

      @@AbAlhuraas na hutaona hoja mpaka utakapo acha chuki nae

  • @Alamiinabubakar
    @Alamiinabubakar 3 วันที่ผ่านมา

    Waislam naomba msiburuzwe nahawa watu wanao jiuta masalafi wakat nimawahabi niwatu waongo san

  • @anyeresa928
    @anyeresa928 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mcheni mwenyezi mungu...

  • @Nature-xe7lu
    @Nature-xe7lu 10 วันที่ผ่านมา +2

    duh duh duktuur meza piriton la sivyo utanguka kwa presha.Masalafi c mchezo bana

    • @abdiidi2494
      @abdiidi2494 10 วันที่ผ่านมา

      Ameze nini swali amelijibu

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 4 วันที่ผ่านมา

      Hizbi salaf

  • @AhmadMohamad-ew8vo
    @AhmadMohamad-ew8vo 8 วันที่ผ่านมา

    Allah Amrehemu Abuu Muawiyyah

  • @ridwan6695
    @ridwan6695 10 วันที่ผ่านมา +2

    Narrated Abu Huraira that the Messenger of Allah (ﷺ) said:
    "Allah has ninety-nine Names, i.e., one hundred minus one, and whoever believes memorizes them, will enter Paradise; and Allah is witr (one) and loves 'the witr' (i.e., odd numbers)."
    📚Sahih al-Bukhari 6410

  • @jaizaniimamu3880
    @jaizaniimamu3880 6 วันที่ผ่านมา

    Waisamu kwa waisamu mwaitana makafiri ni mtihani wallah

    • @abdiazizmohamed444
      @abdiazizmohamed444 5 วันที่ผ่านมา

      Sema masalafi kwa masala sio waislamu kwa waislamu

    • @jaizaniimamu3880
      @jaizaniimamu3880 5 วันที่ผ่านมา

      @@abdiazizmohamed444 kwani masalafi siniwaislamu

  • @abusalmadangaadam708
    @abusalmadangaadam708 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe picha haifai iweje uweke kitu kisicho faa ungeweka sauti tu kwakua sauti zajulikana

  • @yussufali8883
    @yussufali8883 10 วันที่ผ่านมา +1

    Tuacheni ushabiki katika dini na tumuogope Allah kikweli

    • @alirajab7101
      @alirajab7101 10 วันที่ผ่านมา

      maashaallah جزاك الله خيراً

  • @mikekhalifaali7510
    @mikekhalifaali7510 8 วันที่ผ่านมา +2

    Dr Islam ❤❤❤

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas 6 วันที่ผ่านมา +1

    Comment znadhiglhirisha kufeli Kwa dawaa ya Kasim mafut na Uhizbi wake ,Kam alivosema ibnu Utheimn

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas 6 วันที่ผ่านมา

    Kila akisoma fatwa anaona bdo inawgusa wao ,sas akaona bora aje na swali jipya ili awotoe watu kaitika Fatwa ya ibnu Utheimin Allah amrehemu

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 6 วันที่ผ่านมา

    tunapo elekea utakuta Kila mmoja ana mlengo WA kujikweza TU, na kujionesha kuwa yeye anaelimu zaidi Kuliko wengine WOOTE.

  • @abdulhamidmusa8962
    @abdulhamidmusa8962 5 วันที่ผ่านมา

    sasa unapambanisha wakati mpambanishaji ushakaa upande moja mwanzo

  • @Alamiinabubakar
    @Alamiinabubakar 3 วันที่ผ่านมา

    Hawa pia niwatu wanye kutafuta madarak nakujipatia kipato kwa sabb ya dunia t

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 10 วันที่ผ่านมา +2

    Qasim ametengeneza Waislamu waliokosa adabu. Waliojawa ushabiki, khusuma na kupenda jidala. Yeye anawaita Waislamu wengine mahizbi, hali ya kuwa yeye ndo hizbi. Aina ya ulinganiaji wake hauna aswli ktkt Daawat Salafiya.

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 10 วันที่ผ่านมา +1

      Je inafaa kwako kumwita yeye hizby lakini yeye haifai kukuita wewe hizby?
      Ikiwa yeye ni hizby basi wewe ni salafiya jadida unawaita watu mahizby.
      Ikiwa umerudi nyuma kuwa sio hizby, basi ana haki ya kuwazungumzia wazushi kama mwana sunna ili kuweka sawa kama kuwaita mahizby kwa jina Lao stahiki.
      Kipi kinachokupa wewe nafasi ya kumtusi hali wewe unamlaumu kwa hilo???
      Najua maswali haya hayajibiki pole kaka lakini mnajigonga sana.

    • @yangayanga1553
      @yangayanga1553 7 วันที่ผ่านมา

      @@ahmadmzoa74 si Hizbu tu sikia kauli zake utadhani hiyo dini ni mali yake au mali ya babake salafi walikua wanafoka hivyo utadhania Dini shirika lake eti mnasoma wapi hahaha dah yani anataka kila mtu amtii yeye upuuzi mtupu na kibri

  • @SwedyMohamed-vt5zm
    @SwedyMohamed-vt5zm 10 วันที่ผ่านมา

    Kinachotufanya kila siku tunatengeneza makundi ni mambo mawili makubwa(1) Ni kutofahamu/kujisahaulisha na lengo kuu la uislamu,ambalo ni kutawala(2)Kutotambua/kushughulikia hatari zinazotukabili mfano kubaguliwa ktk mambo mbalimbali.

  • @alirajab7101
    @alirajab7101 10 วันที่ผ่านมา

    إذا ذهب الحياء أتى كل قبيح

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 6 วันที่ผ่านมา

    Hawq jjamaa wamekuja na hizbi mpya so wataka kheri bali ni washari sana uzuri wanazuoni wametufahamisha kundi hili baado lipo katika upotovu wamejificha kwa kivuli cha wema wqliotangulia

  • @citygraphics6670
    @citygraphics6670 10 วันที่ผ่านมา +1

    Dawa ya Sunnah mmeirudisha nyuma sana nyie. Laiti mngepima kwa akili kubwa.

  • @Ibunmaulanashirazy-sn5ui
    @Ibunmaulanashirazy-sn5ui 9 วันที่ผ่านมา

    MAWAHABI MNAKANYAGANA WENYE KWAWENYEWE SASA

  • @allysalimvumbi5211
    @allysalimvumbi5211 5 วันที่ผ่านมา

    Aamin

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 8 วันที่ผ่านมา +4

    Dr Islam hana muda wa kumjibu mtu, ninyi endeleeni kupiga kelele tuuu

    • @habibiddy8096
      @habibiddy8096 6 วันที่ผ่านมา +1

      Huyu sheikh ni mwelewa sana si mtafuta umaarufu

  • @abusalmadangaadam708
    @abusalmadangaadam708 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kwenye picha mushaanza kujuzisha kuwa yafaa kwenye kundi lenu la jangwani na inshaalah kila kitu kitanda kwakua nyie daawa yenu misingi yake mikubwa ni uongo ipo siku mutakua wa kweli muna chuki sana nyie mwataka muwe waungu watu

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 6 วันที่ผ่านมา

    Kundi la kinamafuta na chama chao kinachojiita masalafi watu wa ghuruu tuh ndomana shelhe utheimeeny kawa twanga na nyundo kichwani mnamtajaga tuuh basi laiti mngekuwa na uwezo wa kufuta maneno yake mngefuta lakini amuwezi mnamtamkaga tuuh ila ile raddi yake amtaki kuisikia majadida

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie salafy mayahudi tu mnaacha kuzungumza matatizo ya umma mnajadili upumbavu wa kutetea na masheikh wenu, badala ya kutetea uislam na uislamu
    Salafy nyie hakika Saud ametupata sana
    Tangu Abdulwahab kibaraka wa Uingereza alipo asisi genge hili najisi

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 6 วันที่ผ่านมา +1

    WEWE unaejiita Ansar sunna,na hao wanaojiita Salafi ambao kiufupi ni mawahabi ni sawa tu, nyie ni kitu kimoja munawapinga Ahlul sunna waljamaa ambao wanasoma. Maulid lakin wako vizur kidini kuliko nyie makundi mawili munaokufurisha waislamu na kuwatukana masheikh na kuleta tauhid 3 badala ya tauhid moja aliofundisha mtume muhammad S, A, W

    • @user-nw1ib6qg5x
      @user-nw1ib6qg5x 2 วันที่ผ่านมา

      Kwanza mche allah ndugu yangu ktk imaani si kila wahabi km mnavyotuita anakufurisha muisilaamu ambae havijathibiti vigezo vya kujufurisha ila kuna watu easiojielewa hao ndo hukufurisha watu na hili si kwa wahabi tu hata nyinyi masufi wa twariqa mnatukufurisha sisi si ni nyinyi mnaotuita sisi ni mayahudi?si ni nyinyi pia mnatuita sisi wa katoliki haya hii ina maana gani mayahudi ni makafiri wakatiliki pia ni makafiri ni wakristo hao sasa je mnatukufurisha hamtukufurishi?kaa chini ujihesabu kwanza kabla haujamsema mwenzako allah ndo anaemjua alie sawa ktk imani yake uilsilamu wa sawa haipinwi kwa maulidi eti anaefanya maulidi ndo yuko sawa au asie fanya maulidi ndo yuko sawa msizitakase nafsi zenu allah na anaejua nani mcha mungu wa kweli hii ni dini ndugu yangu na haya yote tunayo ya komenti kiushabiki tuta ya kuta kwenye vitabu vyetu siku ya qiyaama tuchunge sana nakuusia pamoja na kuiusia nafsi yangu pia tutakufa na tutaenda kuulizwa yote tulio yatenda na kusena na kuandika kwa allah ndio marejeo.

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy 6 วันที่ผ่านมา

    Mie wala ata sifahamu, majadida, wahabi, madakhila, subhnallahi uislam unamakundi ?

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 6 วันที่ผ่านมา +1

    YANI MSINGI MKUBWA WA QASSIM MAFUTA NI KUTAFUTA UKUBWA , AWE YEYE JUU KULIKO WENGINE WOOTE, sasa hata QUR'AN ukihifadhi, Huwa unakose ktk kutwalii, hata ktk swala mtu pia Huwa unakosea, sasa mafuta Kawa kama mtoto mdogo, YANI anaitafuta vimakosa ambavyo mtu anavikosea kama ambavyo yeyote anaweza kusoma QUR'AN na Aya zikamchanganya eti kasimu mafuta ndo anajitapa hapo kuwa Fulani Hana elimu, huu ni UTOTO kabisaaaa

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 4 วันที่ผ่านมา

      Hili ni kwel kabisaa a na ndo Maana alikuwa akimuogopa shekh abuu muawiya kukutane nae asifanye nae mjadala

  • @nassormasoud7498
    @nassormasoud7498 7 วันที่ผ่านมา

    ndio mukome kufata madhebu mufat uslam ili musalimik na ndim za watu n watu walimik kwa uwislamu wenu sio madhhebu yenu

  • @twahambowe440
    @twahambowe440 10 วันที่ผ่านมา +3

    Waislam sisi mbona tunayo mengi saaana yanayohusu dini yetu, kuna nini hadi kuanza kusemana kwenye mitandao!kulikoni hapo masheikh? Mbona mnataka kuleta mtengano baina yenu? Maana nyie wote ni wana sunna, hapa kuna nini? Wote mpo ktk haqqi,maana tofauti yenu sio manhajji, Barahiyyan amekukosea wewe hajaikosea sunna. Jamani kuweni ktk njia waliyoishi maswahaba na waliyopita kabla yetu.

    • @jumaciza461
      @jumaciza461 9 วันที่ผ่านมา +1

      Tatizo Mawahabi walitengenezwa kwasababu yaku gawa Waislamu

  • @ibunmurshid3885
    @ibunmurshid3885 วันที่ผ่านมา

    Nyote wajinga mnapambana ktk ujinga wenu 😅😅😅

  • @binaamour318
    @binaamour318 10 วันที่ผ่านมา +1

    Ee chuki na hasad zitakupeleka wapi? Alwah ndie mjuzi kama yy ndie alisimama kwenye haki au n ww ila kama una chuki t na hasadi utakwenda mjibu alwah kw hii ndulma!

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 6 วันที่ผ่านมา

    sasa mafuta ANATAKA Watu wakimrekebisha Barahiyani, warekodi KTK mitandao kama anavyo fanya yeye au? sijamuelewa hapo anaposema Barahiyani hata akikosea watu wake hawamrekebishi.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 10 วันที่ผ่านมา +1

    Acha hasadi na khusuma. Acha kusema yasiyofaa. Umeacha njia, daawa yako ni daawat hizbiya. Wewe kwa jinsi ufanyavyo waweza walau kujifananisha na Manhaj Assalafi Asswalih? Huna akhlaq njema. Kila kuchapo una jambo la kuchochea khusuma.

  • @AbdiHak3m
    @AbdiHak3m 10 วันที่ผ่านมา

    Clip zinazowafuata weka kwa hii hii chanel

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 10 วันที่ผ่านมา +2

    Tandika hizbi hao

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 6 วันที่ผ่านมา

      Hiyo so dini ndugu hiko chama chenu kina vurugu tuh wenyewe kwa wenyewe mnatoana katika man haajji kila mtu anamkemea mwenzie so sallafi

  • @kisomekiguwa3706
    @kisomekiguwa3706 10 วันที่ผ่านมา

    Sheikhe mimi si mwenye kuelewa mambo ya dini kwa undani lakini najua lugha mbaya au nzuri ktk jamii nakuomba tumia lugha nzr isiwe lugha ya munkari.

    • @hamisimkulu6571
      @hamisimkulu6571 วันที่ผ่านมา

      Shida ya qasimu mafuta uchamungu Hana Hana daawa yakumtoa asiekua muisilamu kwenye ukafiri kumleta katika uisilamu

    • @hamisimkulu6571
      @hamisimkulu6571 วันที่ผ่านมา

      Mafuta anahangaikia aonekane anajua

    • @hamisimkulu6571
      @hamisimkulu6571 วันที่ผ่านมา

      Yupo katika haki ndio utamfanyaje

    • @hamisimkulu6571
      @hamisimkulu6571 วันที่ผ่านมา

      Qasimu mafuta udigo mwingi siomlinganiaji anajeuri yakidigo

    • @hamisimkulu6571
      @hamisimkulu6571 วันที่ผ่านมา

      Anaongea rubsh tupu adabu Hana anajiona anajua wakati nahau anakanyaga

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 9 วันที่ผ่านมา +1

    Swali langu la leo niku husu Mawahabi je uwahabi ni Uislamu wala ni dini nyingine

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 10 วันที่ผ่านมา +1

    Nilikuwa nili yifwatilia hii Chanel kwa sababu kujiita #SALAFI kumbe wala

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 5 วันที่ผ่านมา

    KASSIM MAFUTA, Kajichimbia kaburi kaburi mwenyewe AKOSOLEWA YUPO MTUPU HANA ELIMU Angalia hii "th-cam.com/video/M1dV0lAk8Vs/w-d-xo.htmlsi=nyotvj8T-eYBkZgk "

  • @user-mu9nl3vv4b
    @user-mu9nl3vv4b 8 วันที่ผ่านมา

    JEE SUNNA NI KUANGALIA MWEZI KWA KUTUMIA MACHO , AU KUTUMIA DARUBIN NA MWENYE KUFUATA BIDA'A MAKAZI YAKE NI MOTONI, KAMA NI HIVYO TEKNOLOJIA ILIPOFIKIA MKE ATAPOFIWA NA MUMEWE APIMWE AKIONEKANA HANA UJAUZITO JEE ASIKAE EDA NA WKT WOWOTE ATAWEZA KUOLEWA?

  • @abdurashidinasorodini
    @abdurashidinasorodini 10 วันที่ผ่านมา

    sasa nd nn sasa

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 6 วันที่ผ่านมา

    KWAHIYO USALAFI HAPA TANZANIA NI CHAMA CHA NANI? NA MAKAO MAKUU YAKE NI WAPI?

    • @abdiazizmohamed444
      @abdiazizmohamed444 5 วันที่ผ่านมา

      Chama cha mafuta
      Makao makuu ni pongwe

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 6 วันที่ผ่านมา

    SASA kassim mafuta, unamtaka DR Islam aseme Nini hapo? ikiwa ana nukuu kama alivyo nukuu maneno ya Ibn Uthaimiin

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa hapo kasimu mafuta, mbona anajitafuna tafuna , ndo ameongea Nini sasa Kuhusu fatua ya Ibn Uthaimiin, mbona kaji ng'ata ng'ata TU. sasa jibu si ndio lile lile la Duktur Islam , sasa mafuta hapo ndo kafafanua Nini sasa???

  • @AbuuAnuwar-ip7dr
    @AbuuAnuwar-ip7dr 9 วันที่ผ่านมา +1

    Salafy uchwara 😂😂

  • @MuniraRashid-sx3up
    @MuniraRashid-sx3up 10 วันที่ผ่านมา +3

    Hivi unapata wapi ujasiri wakuweka picha ya sheikh Islam na ukaficha surayako!!!

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 10 วันที่ผ่านมา +2

      Swadaqta Sheikh
      Huu mtihani mkubwa.
      Super Salafi wana balaa.

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 10 วันที่ผ่านมา +2

      Sasa ni Sawa kuweka picha ya Sh Dr Islam Muhammad! Lakini mwaficha picha zenu?
      Subhana'Allaah. Hatari hii

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 10 วันที่ผ่านมา +2

      Kweli hii sio kutoka kwa Salafi bali hii ni mpya kutoka kwa -
      Super Salafi.
      Hii kali..

    • @yangayanga1553
      @yangayanga1553 8 วันที่ผ่านมา

      Umwehu huo kafanya

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 8 วันที่ผ่านมา +1

      Hakuna kitu kibaya kama kutia Fitinah kwa Waislamu
      Yashinda Kuuwa!
      Kutoka Zamani kuna khtilafu baina ya Ma Sheikh lakini haikuwa hivi mfano wa hawa Super Salafi ..

  • @GOP-Abdallah
    @GOP-Abdallah 10 วันที่ผ่านมา +2

    mafuta jibu risala kama kweli,wacha طنطنه zako

  • @salmyhussein6255
    @salmyhussein6255 9 วันที่ผ่านมา +3

    Kuna Aya gani au Hadith gani waliyoitafsiri vibaya hao kina Islam na bachu, aliyo warekebisha, au ni chuki zake tu huyo mafuta?

  • @azizaj776
    @azizaj776 10 วันที่ผ่านมา

    Kasimu Mafutaa KIBARAKA MUONGO MNAFIK

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 10 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona munamuita Dr.Islam kuwa hizbi wala sisalafiya ilhali hajamkashifu sheik rabii?

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 9 วันที่ผ่านมา +1

      Kasema haya maswala yameanzia uarabuni........Tatizo lake hayupo straight....angesema huko uarabuni nan alianzisha

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@ABUUBAAZNYUNGU Mbn Hakumraddi Sheikh Abdul Muhsin Al Abadi Alipomzungumzia Sheikh Rabii

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 7 วันที่ผ่านมา

      @@user.-_5943 Yan ndugu yang haya Mas'ala yana changamoto na Fitnah kubwa ndani yake..... Tumuombe tu Allah!

  • @abunajreenELSESANY
    @abunajreenELSESANY 10 วันที่ผ่านมา

    WAPUMBAVU, WALIOJAA UPUMBAVU.
    KILA SIKU ZINAVYOZID KWENDA NDIO USALAFY UNAZID KUJIDHIHIRI KUWA NI UPUMBAVU

    • @nahimanasaidi9490
      @nahimanasaidi9490 10 วันที่ผ่านมา +2

      Usalafy si upumbafu wee mwenye akili hizo zakuamini kma salafi ni upumbafu ndio mpumbafu nambari 1

    • @alirajab7101
      @alirajab7101 10 วันที่ผ่านมา

      hapo sasa dawa nzuri tusoma tuwache ushabiki

    • @shaibamran5419
      @shaibamran5419 10 วันที่ผ่านมา +1

      sio ww unaedhihirika kua ni mpumbavu??

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 6 วันที่ผ่านมา

    Swali langu je, yeyote ATAKAYE PEWA tazkiya ya kuwa salafi na kassim mafuta, hawezi Tena akakosea na akatoka ktk manhaj assafya? na je yeyote Ambaye hakupewa tazkiya na mafuta hawezi kuwa salafi?

  • @balkisamisi2131
    @balkisamisi2131 7 วันที่ผ่านมา

    Quelle forme de distraction wallahi 🤔

  • @askofkibwe6106
    @askofkibwe6106 8 วันที่ผ่านมา

    Kasim mafuta ni murjia

  • @abdulhamidmusa8962
    @abdulhamidmusa8962 5 วันที่ผ่านมา

    sii mimi mpie raddi aliesema ..dk islam kaeleweka sana ..huku kwengine hoja zake ni kulalamika.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 10 วันที่ผ่านมา +1

    Total approved failure Daawa.

  • @salmyhussein6255
    @salmyhussein6255 10 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu kassim mafuta ukiskia.rududh.zake.huwa hana la maana la kuzungumza, Huwa hazungumzi makosa ya kiilimu, yeye Huwa anatowa maneno ya kuteta, sijui chuki hizo anazitoa wapi

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 10 วันที่ผ่านมา

      Kwa kweli umeelewa vizuri sana maneno yake 😂😂😂😂😂😂😂
      Sio lazima uandike youtube... wewe wacha wanaoelewa waseme ikiwa wewe huelewi.

    • @salmyhussein6255
      @salmyhussein6255 10 วันที่ผ่านมา

      @@user-bp6fb6wo5u karekebisha Aya gani au Hadith gani uliyotafsiriwa kimakosa na hao mashekhe? Sio kwa ubaya

    • @iddijuma6152
      @iddijuma6152 9 วันที่ผ่านมา

      tatizo lako unamsikiliza kwa chuki huwezi kumuelewa

    • @yangayanga1553
      @yangayanga1553 9 วันที่ผ่านมา +1

      Heheh Mafuta yanayeyuka hawa hawa hawana tofauti na masufi maana wanafata mishekhe wao mishekhe wao wakishambuliwa wanakua mbogo Mafuta kakaa kimwehu mwehu

    • @yangayanga1553
      @yangayanga1553 9 วันที่ผ่านมา +3

      Clip imekatwa lakini lakin shekhe Islam kaeleweka sana tena sana huyu mafuta haeleweki kabisaa kwa hasira

  • @SaidIssa-tq3yv
    @SaidIssa-tq3yv 7 วันที่ผ่านมา

    Mbona mnatuzonga nyie
    Mashekhe tushakua hatujui muislamu yupi kafiri yupi Kila siku ujinga ndo huu Kila mmoja mjuaji anajua kuliko Muhammad s.aw. acheni upuuzi na kutukanana. Mmekuwa wajinga waislamu wa East Africa.poleni Kwa ujinga wenu.

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 10 วันที่ผ่านมา +5

    Hakika kila maradhi yanadawayake na hakika shekh kasim mufuta Allah AMUHIFADHI nidawa ya masufi mahizb mashia nk yy ndo panaldo yao

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 6 วันที่ผ่านมา

      Unajipa faraja sio ,😅😅😅

    • @ibunmurshid3885
      @ibunmurshid3885 วันที่ผ่านมา

      Kielimu kihoja mafuta ni mdogo sana