𝕄𝕒𝕙𝕚𝕫𝕓𝕚: 𝗕𝗮𝗮𝗱𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗶𝘀𝗶𝗻𝗴𝗶 𝗻𝗮 𝗔𝗹𝗮𝗺𝗮 𝘇𝗮𝗼 🩺

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 47

  • @salafi.
    @salafi.  21 วันที่ผ่านมา +3

    Dkt sikiliza kwa Makini huenda ukafaidika bi idhnillah!

    • @abdiazizmohamed444
      @abdiazizmohamed444 21 วันที่ผ่านมา

      Kweli fitna ni kutoka najd
      Huyu anaamini usalafi ni mali yake

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah 21 วันที่ผ่านมา +2

      Ikiwa mlengwa ni Dkt, ya nini kueka picha ya hao wengine?

    • @khamiskhamis9947
      @khamiskhamis9947 19 วันที่ผ่านมา

      Kwa hakika Allah aogopewe, utajikuta unafanya matendo meeeeengi ukidhani unafanya kheri, kumbe ni vumbi tupu juu ya matendo hayo.

    • @khamiskhamis9947
      @khamiskhamis9947 19 วันที่ผ่านมา

      Nachelea kuja kutumbukia kwenye hio baatwil unayoibandika kwa ndugu zangu ktk iimaan.
      Mcheni Allah sana.

    • @mabablaz123
      @mabablaz123 19 วันที่ผ่านมา

      Sasa hii mijibizano imekuwa sungu kwetu maamuma tumwamini nani...

  • @user-qp5ct1it9e
    @user-qp5ct1it9e 21 วันที่ผ่านมา +3

    Baraka Allahu fikum wa Jazakumu Allah Kheir!

    • @abdiazizmohamed444
      @abdiazizmohamed444 21 วันที่ผ่านมา

      Alhamdulillah mie sio salafi
      Usalafi wanatetea madhambi makubwa

  • @suhailsodeh5444
    @suhailsodeh5444 20 วันที่ผ่านมา

    HafidhahuAllah am kassim..

  • @user-tb5te9lr2c
    @user-tb5te9lr2c 20 วันที่ผ่านมา

    حفظك الله يا أخوي

  • @fatmaally7241
    @fatmaally7241 15 วันที่ผ่านมา

    Mi naomba kujua hili jina la uhizbi limetokea wap

  • @salmyhussein6255
    @salmyhussein6255 17 วันที่ผ่านมา

    Kuna maswali 6 ya bachu tunaomba mujibu masalafi wa kweli ili nasisi tusiojuwa tupate faida

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 21 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani kama Kuna kitu huudhi ni mtu akae kwa nyumba ya Allah kusema kutaja watu huku yuatetea kundi lake Sasa faida yake ni ipi kaa chini usomesha watu waache bidaa c kupiga vita wanaopinga uzushi ubora wako m elimu yako Iko wapi acha bana somesha

  • @coolvoices6608
    @coolvoices6608 19 วันที่ผ่านมา

    1. وكلهم آتيه يوم القيامة فردا
    2. فأما من اوتي كتابه بيمينه ....
    Haya makundi mnaenda nayo wapi? Leeni nyoyo za waislamu kuipenda dini yao haya matusi yenu hayaongozi bali yanapotoza. Masheikh mnajua sana siku hizi ila nyonyo nazo zimezidi kumgura Allah. Pandeni katika nyoyo zetu tabia njema Taqwa na Tabia njema.

  • @hafidhwajina6718
    @hafidhwajina6718 18 วันที่ผ่านมา

    Na miongoni mwa misingi ya ujadida ni kumhizibisha kila anaye kharif kikundi chao tena bila hojja
    Mfano amehzbishwa abu mu'awiya na hakuna sababu ,

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 6 วันที่ผ่านมา

      Hahahaha!! Eti, hakuna sababu?
      Hawa watu hawako serious kabisa

  • @mullahramadhani
    @mullahramadhani 20 วันที่ผ่านมา

    Ss shekh ww ndoo upo saw Tufwate salfi wapongwe au wema walotangulia

    • @bakarisalimu8421
      @bakarisalimu8421 20 วันที่ผ่านมา

      @@mullahramadhani ukitahadharishwa jihadhari

  • @user-it3ee7zq2y
    @user-it3ee7zq2y 21 วันที่ผ่านมา

    muhimu wasitoke katika uislam

  • @Jumampemba84
    @Jumampemba84 18 วันที่ผ่านมา

    Ww ndo Mkuu wa Majadida Usalafi wa kweli utakua nao ww

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 6 วันที่ผ่านมา

      Masalafi wa kweli ni Barahiyani na watu wake, hao wanaitwa majadida walishatolewa na kupewa RED CARD na mudir Salim Barahiyani na maswahiba zake km Muhammad Bichwa na Islam

  • @alimau7939
    @alimau7939 20 วันที่ผ่านมา

    Haki haijifichi usituvunge ww ndio khawariji na pote lako

  • @CoComelod123
    @CoComelod123 21 วันที่ผ่านมา +3

    Kama salafi ni haqqi mbona kueka picha za musiowapenda kwenu ni sawa lakini kueka picha zenu ni haramu. Hii ya salafi ni unafik. Picha kwenu haramu lakini masimu makubwa munayo, simu zimejaa mapicha. Mungelizitupa pia musitumie pia kama nikweli Muna ikhlas kwa dini

    • @CoComelod123
      @CoComelod123 21 วันที่ผ่านมา

      Ma salafi kwa Kupenda uongozi na umaarifu kunawaelekeza motoni.

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu 21 วันที่ผ่านมา +1

      Hauna hoja,,, Lau masalafi wangetaka umaarufu ungeona mabango ya mapicha kama wanavyofanya mahizbi

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 6 วันที่ผ่านมา

      Hoja dhaifu sana

  • @KhalidNassor-qh9mc
    @KhalidNassor-qh9mc 21 วันที่ผ่านมา

    Wee muandishi mche Allah unamtwaani sheikh abuulfaadhwil umechukua sauti yake na ukaeka matusi ya hajuri dhidi ya ulamaa sheikh ubeidil jaabiriy

  • @yangayanga1553
    @yangayanga1553 21 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa hiyo unayoongea nini kama sio Fikra huyu mwehu kama mimwehu mingine tu

  • @GOP-Abdallah
    @GOP-Abdallah 21 วันที่ผ่านมา +4

    hivi ina maana nyinyi pia muna uhizbiyyah,maana hayo alama munayo 100%
    kweli Dkt alipoweka clip ya sheikh ibn uthaymeen siku zile tanga,alikua hajakosea
    Allah amhifadhi Dkt,ametufungua macho sana kuijua haqqi

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 21 วันที่ผ่านมา

      Haqq gani umeijua?

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah 20 วันที่ผ่านมา +2

      @@ABUUJAAFAR92 kua baadhi ya wanaodai usalafi,wao ndio mahizby

  • @FarahJey
    @FarahJey 21 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu ni jahili

  • @suleymanislam4015
    @suleymanislam4015 21 วันที่ผ่านมา +1

    Je kama mtu hamfuati sheikh rabiy hafidhahullah kwa jarhi au jambo lolote lile huwa hajakuwa salafi? Ni swali nauliza mwenye ilmu atujibu

    • @bakarisalimu8421
      @bakarisalimu8421 20 วันที่ผ่านมา +2

      Umemsikia salafy gani akisema hivyo? Au umemsikia sheikh raby akisema hivyo?
      Usalafy ulikwepo kabla ya sheikh raby sasa fuata usalafy usifuate sheikh raby ispokua pale alipo patia

    • @suleymanislam4015
      @suleymanislam4015 20 วันที่ผ่านมา

      @@bakarisalimu8421 nauliza hivyo ndugu sababu ni vitu vipo kwa mfano sheikh rabiy akijarhi sheikh yeyote alafu ww ukawa bado unamfwata yule sheikh aliye jarhiwa huku wewe unaitwa hizbi au mtu wa bidaa. Ndio nikauliza hilo swali. Afwan

    • @suleymanislam4015
      @suleymanislam4015 20 วันที่ผ่านมา

      @@bakarisalimu8421 Shukran

    • @suleymanislam4015
      @suleymanislam4015 20 วันที่ผ่านมา

      @@bakarisalimu8421 Naam ndugu sababu hivi vitu vipo huku kwa mfano sheikh rabiy akijarhi sheikh yeyote alafu ww ukawa bado unamfwata yule sheikh aliye jarhiwa huku wewe unaitwa hizbi au mtu wa bidaa ndio maana nikauliza hilo swali. afwan

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@bakarisalimu8421jibu kilicho ulizwa hujui nyamaa,

  • @ibnuyussuf
    @ibnuyussuf 15 วันที่ผ่านมา

    Hisbul jadidiyah musi sahaw hawa ndio wana gawanya umah

  • @CoComelod123
    @CoComelod123 21 วันที่ผ่านมา

    Shkh wenu Dileli / humedi alikuwa akiswali idi na mahurafi huku masalafi wakiswali idi kwa mwenzi waulimwengu. Akidai yeye amfwata chief kadhi hurafi kama kiongozi wake wakati huo masalafi wengine wakiswali na mawahabi kiwanja Cha show mombasa. Mbona hamukumpinga shekhe wenu Wala kumuongoza, u hizbi ni wenu salafi bila shaka na unafik tena kwa viongizi wenu

    • @CoComelod123
      @CoComelod123 21 วันที่ผ่านมา

      Kupenda uongozi na umaarifu kunawaelekeza motoni.

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 20 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂 hurafi ndio nini? Ama unakusudia khurafi???
      Kaka kaa usome, jambo la kufunga na kula idd na mwezi wa kwenu au wa kokote ni jambo la kifiqhi wala sio itikadi!! Wewe chali pingli khurafi hutaki kusoma ndio ukaandika utumbo wa kijinga kama huo!!!