MAWAHABI WAO KWA WAO WANATIYANA KATIKA BIDA. BY SHEKH AHMAD MBARAK AWES

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 37

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl 10 วันที่ผ่านมา +1

    Sheikh mibarak Ahmed aweys hakika mawahabi hawana elimu zaidi vichwani mwao wameondolewa ufahamu,pamoja na ushahidi unaoutoa lkn hawakubali wao wanabaki na msimamo wao tu,wanaikataa bid'dah huku ndio watendaji wakubwa,allah swt akuhifadhi insha allah

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 15 วันที่ผ่านมา +1

    Elimu iendelee kutolewa. Watu watolewe taka.

  • @Musaalgi
    @Musaalgi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maa Shaa Allaah

  • @khalfansharji-ez7pg
    @khalfansharji-ez7pg 27 วันที่ผ่านมา +2

    Tunakuelewa vizuri saaaana sheikh Aweis mawahabi hoja zao dhaiffffff!

    • @sufimuhammadadam6814
      @sufimuhammadadam6814  26 วันที่ผ่านมา

      Kabisa hawana hoja

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 25 วันที่ผ่านมา

      Ndo mnavyodanganywa hojja dhaifu mbona ninyi ndo hoja zenu dhaifu mnafanyaga vitu bila dalili maulid yenyewe mmekosa hojja mpk leo mmeshindwa kuleta hadithi wala Aya iiloonesha mtume alifanya maulid na swahaba zake hakuna Aya hiyo Wala hadithi hiyo mpk kiama kitakuja

    • @user-yo2ty5qj3h
      @user-yo2ty5qj3h 18 วันที่ผ่านมา

      Na nyiny wenyew kukataa mkatae yote sas myatakayo mwayakubal ambay hmyataki ndo mwayapigia mayoe.. au na hvo mfanyavo pia ndo mafundsho hayoo?!?.. nmepata wap na nyiny hayo yote Kam kwel nyiny ni watu wa dalil Kam mjiitavyo..

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 18 วันที่ผ่านมา

      @@user-yo2ty5qj3h kitu gani tunafanya bia daiilili taja lini ahlsuna akafanya jambo so dalili kuruani na sunna au kuarifu wema waliotangulia taja moja wapo? Ila tunaona ninyi masufi ndo wakaidi kumuelewa mtume jambo akilifanya shekhe ilo limepita haimaniishi katoa wapi hata limpinge mtume ninyi mtalifanya madamu shekhe kafanya ni watu wasojuwa makatazo ya mtume

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 18 วันที่ผ่านมา

      Mtume kafundisha kufanya maulid? Toka uhai wake yey na swahaba zake aiwahi kusanya watu akasema umati wangu shereeheni kuzaliwa kwangu tukiwauliza mmetowa wapi ibada hiyo mnaluka Luka thuh na kukimbia hoja mfano mtume kakataza kuyafata majeneza kwa sauti yeote kuimba kuongea kufanyeje jeneza liafatwa kimya kimya watu leo wameleta nyimbo na kudhikiri dhikiri za kukohowa au kuimba laila ila la ila ila llah tukiuliza mtume kakataza hivyo wanakuambia nikwwli sisi tumeleta ile kuwazima watu kelele na story za simba na yanga na mipira yani akili yenu inavyoona ndo dalili hakuna ubaya ndo tukisema utaskia mawahabi wanatukataza tusimtaje mungu ndo shida yenu watu wa bidaah propaganda nyingi ili watu wasione hakki

  • @BushDoctor-dw8el
    @BushDoctor-dw8el 9 วันที่ผ่านมา

    Acheni ujinga wenu wa bidaa.
    Wakati wa mtume kulikuwa na kamera au mikrofoni au nyumba za simiti na tiles au umeme au, au, au.

  • @bakarisalimu8421
    @bakarisalimu8421 11 วันที่ผ่านมา

    Naam hiyo iko wazi kabisa haifai ni bid'aa
    Na hao ni masheikh wakosea na kupatia
    Alafu kuna jambo uhakika ni bid'aa ila kumhukumu mtu binafsi kuna masharti yake watu wa Sunnah hawamhukumu tu mtu ovyo

  • @mdathirhassan2187
    @mdathirhassan2187 5 หลายเดือนก่อน +1

    Toeni na yenu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      Yetu mshayatoa. Yenu mmeyasahau tunakukumbusheni. Nyani haoni kundule sasa tunakupigieni picha kundu zenu kisha tunakuonyesheni maana wenyewe hamzioni mawahabi

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 5 วันที่ผ่านมา

    Sheikh watu wapokataza bidagha hawana maana eti saudia hakuna....sasa kutaja saudia ndio nn wakat gonjwa la bidagha ni kote

  • @mdathirhassan2187
    @mdathirhassan2187 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ujanja huo twakujuwa

    • @abdulshakurmshindo9040
      @abdulshakurmshindo9040 27 วันที่ผ่านมา

      Sasa ujanja gani wakati mambo yako wazi

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 19 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@abdulshakurmshindo9040
      Yaa akhi.
      Kwani hawajui mawahabi walivyokuwa hawana ufahamu ??
      Mara nyengine bora "Wanasiasa " wanatumia akili zao wanapoambiwa ukweli ..
      Lake n mawahabi ni weupee..
      Unaona wana macho lakini hawaoni .
      Wana maskio lakin hawaskii
      ALLAH AKUHIFADHI KUTOKANA NA MAWAHABI

  • @jumamukoko6662
    @jumamukoko6662 28 วันที่ผ่านมา +1

    Siyo ujanja nyie hampendi yenu bidaa zitajwe

    • @sufimuhammadadam6814
      @sufimuhammadadam6814  28 วันที่ผ่านมา

      Muzi taje tujue nasi

    • @ababakryally8827
      @ababakryally8827 26 วันที่ผ่านมา +1

      Mashekhe wenu salafy wanatiana kwnye bidaa

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 19 วันที่ผ่านมา

      Jee nao ni watu wa bidaah ??
      Wakina Albaniy na Fauzan na lBNUL baaz

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 25 วันที่ผ่านมา

    Acha kwani bidaa ndo ulinganie bidah unazitaja bidah wakati we ndo mtu wa kuzifanyaa shekhe wemwwnyewe unalingania watu kwenye uzushi

    • @sufimuhammadadam6814
      @sufimuhammadadam6814  25 วันที่ผ่านมา

      Subuhana Allah

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 25 วันที่ผ่านมา

      @@sufimuhammadadam6814 Sasa subuhana llah huoni au kazuliwa huyo shekhe awsu si mtu wa bidah huyo kwani mtu wa sunnah huyo??

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 25 วันที่ผ่านมา

      Ww unafanya maulidi na makhitima hayo Ni sunnah ya mtume muhammadi??

    • @asa9268
      @asa9268 25 วันที่ผ่านมา +1

      We huna akili?huelewi kiswahili?kwani huoni yeye pia anataja bidaa wanazofanya mawahabi?shida iko wapi?

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 25 วันที่ผ่านมา

      @@asa9268 bidah gani wanazofanya wahabi urongo mtupu mbona anafata maulidi na uzushi anajuwa et bidaah za wahabi salala ameshindwa kukataza yey mnazofanya huko kwenda na majeneza na nyimbo hizo so bidah kusoma hitima sijui 3 mbona amuwauliizi hawo mashekhe zenu nyi kila kitu ndy Kama wakristo kila kitu ndy mchungaji kasema ww una bidaah chungu nzima mauwlid n k mbona hakemei hilo huyo shekhe wenu anakimbilia kwa wahabi huku Ni dalil tunafata hatuzui Ni Kala llah wakala rassuluh

  • @user-qe8xp6ii1u
    @user-qe8xp6ii1u 27 วันที่ผ่านมา

    Duh jamaa ni muongo sana.Hakuna Ashaaul Waalidayn. Bali sadaka Halafu Ukizungumza Tumia Dalili Zipoje Sio Kupandikiza Fikra Chaf kama hizi.
    Tunachoangalia Ni salaamatul Manhaji.Na ndio mana Hata Maswahaba Pia walikosea ktk mamb mbali mbali
    Na saudia sio Dalili.

    • @sufimuhammadadam6814
      @sufimuhammadadam6814  26 วันที่ผ่านมา

      Ulijuaje kama yeye NI muongo

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u 26 วันที่ผ่านมา

      @@sufimuhammadadam6814 Tunahitaj dalili kutoka ktk kitab na sunna hayo anayodai.
      La sivyo Ni chuki zake tu.
      Kama yeye anakiri juu ya Bidaa fulan lakin ana lengo gan kuzuia Bidaa au Kuunga mkono Bidaa.????Na nina uhakika Huko Saudia hakuna masuala yake hayo anayodai Na Maulamaa Wetu hawawez kupatia kila kitu na kila jambo hivyo hatutafuata ktk makosa

    • @zekgyn
      @zekgyn 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@sufimuhammadadam6814 na wajuaje kua yeye ni mkweli? Allah ndiye mwongozaji, tufungue vifua vyetu katika kumuomba Allah atupe ufahamu wa dini kwa hoja zilokuasahihi.