🔞ZIJUE SILAHA za KUMDHIBITI MWANAUME, DKT MWAKA AFICHUA ANACHOFANYIWA na MKEWE | KATIKATI ya KOKO❤️

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • 🔞ZIJUE SILAHA za KUMDHIBITI MWANAUME, DKT MWAKA AFICHUA ANACHOFANYIWA na MKEWE | KATIKATI ya KOKO❤️
    (KWA WAKUBWA TU)
    KWENYE KATIKATI ya KOKO na Mama JJ mgeni ni Dkt Mwaka ambaye ametupitisha kwenye maisha ya mahusiano na ndoa huku akiwapa ushauri kwa wale waliopo ndani ya ndoa...
    #dkmwaka #jjmwaka #mamajj #katikatiyakoko #ndoa #mapenzi #somo
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 146

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +2

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

    • @universitylink
      @universitylink ปีที่แล้ว +1

      Ukiolewa na mzungu pia unatakiwa kujua culture yao, point ni kuwa different cultures and how to protect your marriage nafikiri hapo wanakusudia swahili culture and protection of marriage

    • @nurunshimirimana2463
      @nurunshimirimana2463 ปีที่แล้ว

      mmmmmmmmm

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 ปีที่แล้ว +1

    Dr. Mwaka kitichake mbinguni atakaa karibu na Matayo. Namuelewa SANA HUYU MWAMBA

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 ปีที่แล้ว +32

    Jamani kuna walio soma waka juwa hayo mambo msemayo na kuna wengine hata akifanyiwa yote ya duniani hajuwi thamani ya mwanamke sasa mkisema mwanamke ndio sababu ya waume zao kuchepuka hata kidogo alirzoea kunusa kila upande hawezi tulia na wengine wameweka pombe na marafiki mbele utalaumu mwanamke hembu acheni. Kuna wanake wanateseka sana tena sana wanaume msijitetee mkafanya wanawake wapumbavu heti sababu. nimume ndio UNAHAKI ya kila kitu je huyo mwanamke haitaji hayo mnayosema jamani 🤔🤔🤔🤔🤔💔💔💔

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 ปีที่แล้ว +7

      Hiyo ni pointi sana. Siku zote wanafundisha mwanamke tu kumfurahisha mwanaume, je vipi kuusu mwanaume kumfundisha mwanamke? Yaani wananiboa sana. Wapo wamama/ wadada wanateseka sana kwenye ndoa au mahusiano na ukiwaangalia wamekamilika kila mahala. Uhuni ni tabia tu ya mtu aise

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 ปีที่แล้ว +4

      Tatizo kubwa ni malezi yenye maadili yametoweka ktk familia nyingi. Watoto wengi wanajilea wenyewe badala ya kulelewa na wazazi wao!!!

    • @faridamohamed3561
      @faridamohamed3561 ปีที่แล้ว

      Alhamdulillah nimekutana na hii comment

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 ปีที่แล้ว

      @@faridamohamed3561 pole sana dada mtangulize Mola wako atakuvusha salama.

    • @julianaharrison4356
      @julianaharrison4356 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kabisa dear wangu Mimi wangu na pombe na marafiki ndugu zake walimsema mpaka wakachoka kuna matabia mabovu ya watu

  • @nairatomar9389
    @nairatomar9389 ปีที่แล้ว +1

    Doctor mwaka umenifraisha atari😅 hongera sn ubarikiwe🙏🏻♥️♥️

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl ปีที่แล้ว +5

    Jaman nimejifunza kitu hapo namuomba mungu anipatie mume bora ili nimfanyae hayo yote nilio jifunza hayo

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 ปีที่แล้ว +1

      Mungu wa mbinguni akupatie mume bora

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 ปีที่แล้ว

    💕❤️👍👍 mashallah tabarakallah Mwenyezi Mungu awazidishie kutufunza

  • @ackimackim6053
    @ackimackim6053 ปีที่แล้ว +2

    Mama jj kwa maswali,ni hataree❤️❤️

  • @omarimohammedmwazuia7304
    @omarimohammedmwazuia7304 ปีที่แล้ว

    mashallah mungu awape nguvu zakuendelea kutufunza

  • @faizahalmmm6896
    @faizahalmmm6896 ปีที่แล้ว +1

    Namuelwa sana Dokta Mwaka

  • @ashachimweri2622
    @ashachimweri2622 ปีที่แล้ว

    Swadakta Dr. Mwaka. Hapo kwa vkuku na maana yake

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 ปีที่แล้ว +7

    Acheni unafiki wanaume wote wanapenda kufanyiwa mazuri lakini wao awayafanyi,

    • @simonballu1124
      @simonballu1124 ปีที่แล้ว +3

      hilo ndo linawafanya tuwazalishe na kuwaacha unataka kushindana na mume sio? basi baki kwenu shindana na baba yako mzazi au kajipangaishe kachumba ule usimbe na kudanga.

    • @marysdiosa8764
      @marysdiosa8764 ปีที่แล้ว +2

      @@simonballu1124 kwa mfano, nyie ndo wanaume mnaoamin kwamba ukimzalisha mwanamke ndo umemuweza kumbe mtu anaweza kuliko wewe kulea, yan hatutisiki na dunia ya jana sio ya leo, muache uone kama wanaojua hawatamchukua, tena ukimuacha halalamik chochote wala hakuuliz wala kukuulizia kwa ndugu yako hata mmoja

  • @mwamvitasaidi2630
    @mwamvitasaidi2630 ปีที่แล้ว +3

    Shikamoo doctor mwaka,acha tu uitwe doctor

  • @niemand6964
    @niemand6964 ปีที่แล้ว +4

    Asalaam alaikum waramatrlh wabarakatu mama jeijei samahani mama mimi ningeomba hicho kipindi muda ungezeke jamani maan nikipindi muhimu saana mama tafadhali kwa heshima

  • @KezaZawadi
    @KezaZawadi ปีที่แล้ว

    Kwakweli mungu awabariki saana nimejifunza kitu

  • @faridamohamed3561
    @faridamohamed3561 ปีที่แล้ว +13

    Hata sisi wanawake tunatamani kufurahishwa jamani. sio nyie tu mnawaharibu hawa watoto wakiume kuweni wasawa. mtume alifurahisha wakeze ndio akafurahishwa

    • @mamananga2849
      @mamananga2849 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli

    • @hadiadaoman1981
      @hadiadaoman1981 ปีที่แล้ว +2

      Kwa kweli maana wanaume wanapenda wao tu tuwafanyie ila twafanya na hawatufurahish

    • @paulinewangila3899
      @paulinewangila3899 ปีที่แล้ว +1

      Farida hapo sawa

    • @BMboss108
      @BMboss108 ปีที่แล้ว +1

      Kweli

  • @elizabethtibenda7324
    @elizabethtibenda7324 ปีที่แล้ว +4

    Akyamungu mnatufunza sana wengine hatujafanyiwa kparty, mpaka tumaambiwa hatuko romantic asante kweli.

  • @Alinyambere-tu4dy
    @Alinyambere-tu4dy ปีที่แล้ว +1

    Wengine tumeolewa ila hatujui kaz ya hivyo vitu sababu tumekuta maadili yamepotea kama kile chungu kule nyuma

  • @julmag1175
    @julmag1175 ปีที่แล้ว +9

    Mara hakuna mwanaume wa peke yako ….. mara tuwatulize wabaki njia kuu tu sasa kipi ni kipi sasa

  • @redsonsimkoko600
    @redsonsimkoko600 ปีที่แล้ว +1

    Dr nakuelewa sana

  • @brendazayumba235
    @brendazayumba235 8 หลายเดือนก่อน

    Dr mwenyw kaachika kwani hay maujuzi ulikua hutumii au ulikua humfundishi mkeo mpk mmeachana

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY ปีที่แล้ว +3

    hatali sana wanawake
    wengi wamezaliwa iv kalbun
    ndiyo tatizo wengi tulio nao
    umu majumba watoto wa mia ya 2000 2003 na 2004 na 2005 changamoto ndiyo iyo

    • @shakila3982
      @shakila3982 ปีที่แล้ว +2

      Mnapenda kufanyiwa jema wakati hata wewe ulishindwa kumfanyia jema, huyu mwaka si alikuwa akisifia wake zake sana na kufundisha wanaume jinsi ya kumtunza mwanamke, sasa kaachwa anajitia kufundisha wanawake kisa kuachwa.

    • @mrszogi4475
      @mrszogi4475 ปีที่แล้ว

      @@shakila3982 kaachwa na mke wake yupi

    • @frorenceetoile3016
      @frorenceetoile3016 ปีที่แล้ว

      @@mrszogi4475nashangaa ilo jipya sijalisikia atwambie ameachwa na mkewe yupi ?

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +1

    Dr mwaka yupo hapo kumbe kwake ndoa ipo I c u

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 ปีที่แล้ว

      🤣🤣 watu wa mitandaoni wanatuongopeaga sana aisee.......

  • @universitylink
    @universitylink ปีที่แล้ว +1

    Nimewakubali sana

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂yaaan nimekuwa nacheka hapo kwenye leta mkono🙌🙌

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah kabisaa👏👏

  • @rozina2161
    @rozina2161 ปีที่แล้ว +3

    Mm hiki kipindi huwa nakipenda chafunzo sana

  • @ayshermrisho8523
    @ayshermrisho8523 ปีที่แล้ว +1

    Nafurah San kupata mafunzo km haya na ninapenda mno wngne mjifunze🥰

  • @zainabmussa7461
    @zainabmussa7461 ปีที่แล้ว +1

    Mashallha

  • @sharonmbasha228
    @sharonmbasha228 ปีที่แล้ว

    Nawapata. Swali ni kua kwa nn na wanaume wasifundishwe namna ya kuishi na wake zao? 2: wa kwangu tumeoana miaka 15: Sasa. Na tumefanikiwakupata watoto 2. Jinsia tofauti. Lkn sasaivi ananiambia ondoka nioe mke mwenye uzazi endelevu

    • @chulitolove6648
      @chulitolove6648 ปีที่แล้ว +1

      Heee aiseee ...this is too much Kwa kweli ,pole Sana bwana...ila huo ni ukatili mkubwa kwako na Kwa watoto pia
      Yani kama kweli hujamfanyia ubaya wwt na watoto umemzalia ,hapana kamloge uyo mxiuuew asitutanie apa

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo Dr mwaka alit uonyesha yuko na wake zake wamevaa hizo nguo zakulalia na akasema analala nao wote kitanda ki moja jee ndivyo aliv yofundwa na yeye na hapo anakataa nguo zakulalia mbo na wake zake wanaz ivaa

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว +11

    Ktk mambo ya ndoa na hasa faragha kuna madhaifu kote kote kwa mume na hata mke,wako baadhi yao wanamapungufu mengi aidha ya makusudi na yapo ya mtu kutokufahamu!lkn kama nyote mwapendana Automatically hivi vitu vinakuja vyenyewe Sio vyakufundishwa kufanyiana!kila mtu apenda kufanyiwa mazuri na mke au mume wake!ndoa na tendo lake nila watu wawili na nyote mwategemeana!Ukiona mmoja hayuko tayari kumfanyia mwenzie basi kuna ulakini"hapo hakuna kusema eti mke analazimika zaidi kumfanyia mume,ila tumefundishwa mume ndo muhimili,nawaume tena wakisikia hivyo basi wao ndo wakitegemea kufanyiwa zaidi'kingine baadhi ya wanawake wanaolewa ili kupata hifadhi tu basi!hataki kumfanyia chochote mume,nimeona sana tu hii, mume atafanya awezavyo kwa mke lkn mke hata hajui ni muda gani wa kuingia kindani na mumewe, saa yote juu ya TV na simu tu'mume akiingia akitoka mke hajui,hana hata moja analojua lakumfanyia mumewe, yeye kula kulala kwa muda apendao yeye,hajui hata wajibu wake kama mke ktk Ndoa yake!ila apate kula vizuri, kuvaa vizu, kwenda ma holiday na kujifaharisha kwa watu nje,na hata akiambiwa ili ajirejebishe huwa hawataki kujua,haya yapo sana watu tujue kabla ya kuingia ktk Ndoa, kuwa ndoa niya wawili na tunahitajiana na kutegemeana ktk kila kitu,siya mke au mume tufanyiane hakuna hii ni wewe mke na hii ni wewe mume

  • @user-jm8tr2ex4m
    @user-jm8tr2ex4m 7 หลายเดือนก่อน

    Yani Mimi nilipopanga tupo na mada wakazi, mke mwenyewe mama wa nyumbani lakini maji ya kuoga naenda bomba mwenyewe, na nguo pia nanyoosha mwenyewe

  • @nasra7257
    @nasra7257 ปีที่แล้ว

    Ndoa ikiwa na amani ,nafraha yote yanawezekana,Km moyo unavunyongo,chuki,hasra na hyo mume hata achepke huumii roho...Nafsi zishachoka.

  • @zaharahussain5734
    @zaharahussain5734 ปีที่แล้ว +2

    Sasa mbona muna acana inakuwaje

  • @user-ui1qs9yl1n
    @user-ui1qs9yl1n 3 หลายเดือนก่อน

    SILAHA ZA MAANGAMIZI ( WMD) WEAPON MUST DESTRACTION MUULIZE RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI GEORGE BUSH

  • @HawaShaban-fx6il
    @HawaShaban-fx6il 5 หลายเดือนก่อน

    Mwakaa live long

  • @naimakaguo3773
    @naimakaguo3773 ปีที่แล้ว

    Nlishafanya hyo ya kumkaribisha mume tulale na bado akaja kunitoa chumban kwang kulala na mwanamke mwngne😭

    • @mariammganga5061
      @mariammganga5061 ปีที่แล้ว

      Sister waache tu waongeee,,, hawajui tunayopitia

    • @janechaula2870
      @janechaula2870 8 หลายเดือนก่อน

      Pole mwaya hawabebeki wanaume

  • @omanlovemirbat7572
    @omanlovemirbat7572 ปีที่แล้ว +1

    Waoooo kabisa

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 ปีที่แล้ว +1

    Dokta mwaka namkubali sana

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 ปีที่แล้ว +7

    Why in Tanzania women are treated like slaves? Mke achemshe maji ya kuoga wakati Kuna maji ya moto bafuni...this is crazy

    • @simonballu1124
      @simonballu1124 ปีที่แล้ว

      your a primitive grade one, you born from Africa you need to live like white people fucking are you pumbu. chemsha maji kenge wewe lasivyo baki kuwa msimbe.

    • @tinamahega9848
      @tinamahega9848 ปีที่แล้ว +1

      Naungana na wewe katka hili,ni zaidi ya upuuzi,mwanaume mwanaume majanaume yenyewe makunguru tu

    • @mamananga2849
      @mamananga2849 ปีที่แล้ว +1

      Mwanamme kila kitu ufanyie yeye kama mtumwa wake

    • @zenakhalfan1427
      @zenakhalfan1427 ปีที่แล้ว

      I’m telling you it’s absolutely crazy so sad

    • @mzungumwinyiashs9244
      @mzungumwinyiashs9244 ปีที่แล้ว

      @@tinamahega9848 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rozina2161
    @rozina2161 ปีที่แล้ว +4

    Eeh mm wangu nilivaa hivyo vinguo vya kulalia aliikata kata na akaitupa akasema mtu akiolewa ukubali kulala uchi

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli

  • @user-uw6fu4iu2i
    @user-uw6fu4iu2i 6 หลายเดือนก่อน

    Wewee majiranii tupo,🤓🤓

  • @fora2009
    @fora2009 5 หลายเดือนก่อน

    Mambo pambeee😂😂😂

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 ปีที่แล้ว +1

    Naelimikasana

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว +4

    Fanya yote mwanaume si ndugu yako, atatoka.

    • @naimakaguo3773
      @naimakaguo3773 ปีที่แล้ว

      Tena wanyamaaaaaa! Nlijitahd yote na bado akamleta mwanamke na mm kulazwa chumba Cha house girl

    • @nasra7257
      @nasra7257 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏

    • @Joyce-qf5px
      @Joyce-qf5px 10 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅Tena Hawa wanaume wa Karne hizi. Bila kuwa na wanawake watano Kwa uchache Bado hajaww mwanaume

  • @castoriarogatus3675
    @castoriarogatus3675 6 หลายเดือนก่อน

    kipindi kizur sana kinafundisha

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 ปีที่แล้ว

    Nawapenda

  • @khalfuumasoud3850
    @khalfuumasoud3850 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mapenzi umesema nisiku 99 Sasa hata tufanye nini siitakuwa tunajisumbuwa

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 9 หลายเดือนก่อน

      Hukuelewa siku 99 ni za bila kujiongeza. Kinachodumisha mapenzi ni utachoongeza sio ulichokutwa nacho. 99 ni ulichokutwanacho.

  • @zenakhalfan1427
    @zenakhalfan1427 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu zangu zamani wazazi wetu walikuwa wanatumia fagio hizo kwasababu kulikuwa hakuna za kusimama na kiafya kupinda mgongo kwa mara nyingi kiafya sio vizuri unatakiwa uutunze uti wa mgongo sasa

  • @fauziakarama8581
    @fauziakarama8581 ปีที่แล้ว +1

    Kwani si nasikia huyo kabakiwa na mke mmoja je? Ni vipi? Kuna matatizo gani? Au nyenzo pungufu?

  • @TheEmmy015
    @TheEmmy015 ปีที่แล้ว +1

    Muulizaji ni zero huyo doctor mwaka ni nzuri kwa kuuliza na huelezea ila muulizaji zero tena zero tena mpikeni uzuri vipindi vinaangaliwa kila kona ya dunia

    • @neemasawe7016
      @neemasawe7016 ปีที่แล้ว +2

      Ulipendelea aulizeje? Nadhani anajistara kuuliza (tafsida)..ndomana unaona anajin'gatan'gata..na hawezi kumaliza yote.!

  • @HusnaIdrisa
    @HusnaIdrisa 8 หลายเดือนก่อน

    dr mwaka eti vikambakamba hahahahahha

  • @samuelmbigo7061
    @samuelmbigo7061 หลายเดือนก่อน

    Hii wanawake wachukue ni ukweli mtupu

  • @rehemagunda1033
    @rehemagunda1033 ปีที่แล้ว

    Hata ufanye nn ataenda tuu

  • @rehemagunda1033
    @rehemagunda1033 ปีที่แล้ว

    Mwanaume kaumbiwa kutamani hio nikujishosha tuu

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Mambo mazito 😍😍

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 ปีที่แล้ว

    Msituchoshe apa kwa wanaume gani sasaivi wa kujisumbua kama ivyo.

  • @user-bi1lk5ch9f
    @user-bi1lk5ch9f 8 หลายเดือนก่อน

    👍

  • @khamissmpweke-ms1sl
    @khamissmpweke-ms1sl ปีที่แล้ว

    Thobaah utamu wa ndoa ndio huo

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 ปีที่แล้ว +4

    Acheni mambo ya kijinga, kwani lazima Hao vijana waone na waswahili? Dunia imesonga, this is unnecessary

    • @simonballu1124
      @simonballu1124 ปีที่แล้ว +1

      kula usimbe wako salama ukipata mume wa kukuweka ndani njoo unitie vidole huna adabu kula usimbe salama,

    • @zeinababdi4757
      @zeinababdi4757 ปีที่แล้ว

      Simon ballu, sorry darling I am happily married for many years, I don't live in Tanzania where women are married to be slaves🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @masturasudi7394
      @masturasudi7394 ปีที่แล้ว

      Kazi unayo

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

    Siku hizi watu ni watoto Wa mjini

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 9 หลายเดือนก่อน

    Majirani hukuu🤣🤣

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 ปีที่แล้ว

    What is the point of listening to this person who is severely abusing his wife!

  • @abdulrahimsalim5333
    @abdulrahimsalim5333 ปีที่แล้ว

    Dr maneno yako yako juu ya mstari. Kuna manawake tushakaa nao miaka 20 lakini bado wanahitaji jando na unyago. Kwani unamnunulia hizo silaha za maangamizi lakini hawajui kuzitumia na wakati mwengine unamwambia azitumia lakini mpaka mugombane kuyavaa

    • @user-rw6tu9wn3m
      @user-rw6tu9wn3m ปีที่แล้ว

      Dr unaongea ukweli kabisa lkn siwote wataupojea ipasavyo na mara nyingi ukweli huwa unaumiza sana ndio kawaida ya wanandamu lkn usichike kuelimisha watu kwa hata mungu wmenyewe hawe kunuamini

  • @froladeo2304
    @froladeo2304 ปีที่แล้ว

    Vikuku ndo vitu gani?

  • @khalfuumasoud3850
    @khalfuumasoud3850 ปีที่แล้ว

    Mmm

  • @julmag1175
    @julmag1175 ปีที่แล้ว +2

    Mbona ana oa oa ovyo

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 ปีที่แล้ว +4

    Acheni unafiki, nyote hapo mnawafanyakazi wa kufagia, get out of here.

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 ปีที่แล้ว

    🤩🤩💋💋🙏

  • @mackaally9246
    @mackaally9246 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhhhh vikamba kamba jmn

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว

    Lakini ndoa yako imesha kufa

  • @Alinyambere-tu4dy
    @Alinyambere-tu4dy ปีที่แล้ว

    Tuvione izo silaha za maangamizi zote tupate kununua mtupe na kazi zavyo