Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
    Audiomack Link bit.ly/YahSton...
    ‪TH-cam Link bit.ly/TH-camS...
    Sikuwahi kukutana na Dr Mwaka mimi kabla ya tarehe 26 ya mwezi wa tisa, ila nilishawahi kuongea nae kwa simu mara mbili kabla ya kukutana, hatukuwa marafiki ila maongezi yetu ya mara ya kwanza kwenye simu yalinifanya nijue kwa kiasi yeye ni mtu wa aina gani, na nilivyokutana nae pia iliongeza heshima yangu kwake kwa kazi anayofanya na aina ya mtu yeye alivyo. Nisiseme kwa kupepesa, alini impress na nilijifunza vitu kadhaa kwa muda mchache niliokaa naye na kuongea nae.
    Alikuja na mkewe kwenye set ya kipindi na alihakikisha mkewe anafika mpaka kwenye ‘kizuizi’ cha mwisho kabisa kabla ya kufika kwenye meza ya mahojiano na pia alihakikisha macho yake na ya mkewe yanagongana kila anakapopenda kufanya hivyo. Wakati mwengine watu hufanya mambo kwaajili ya camera ili wapate kuongelewa, ila kwa wanaopendana kila kitu huwa kinakua wazi, jinsi wanavyoongea, wanavyocheka, wanavyoangaliana na mengineyo imenipa sababu ya mimi kukubali kwamba wawili hawa ni wanapendana kweli. Na tukumbuke kwamba huyo si mke pekee wa Dr JJ Mwaka kama sote tunavyofahamu, ila hakuna ubishi kwamba yeye pia ni mke wake pendwa kabisa.
    Maongezi yetu yalianzia kwenye asili yake kama kawaida, na aina ya maisha anayoishi sasa. Kama ni kipaji au alienda shuleni kusoma haya anayoyafanya, na suala la yeye kuwa Daktari Bingwa wa nguvu za kiume na mambo ya uzazi wa kina Mama, na kama hizo tu ndo tiba yeye hufanya. Alinza lini? Alirithishwa? Na je wakati mwengine maneno watu wanasema juu yake yanamkera au yanampa motisha ya kufanya zaidi? Unaikumbuka ile skendo ya kutaka kufungiwa ofisi? Aliimalizaje? Na chimbuko lake haswa hiyo story ni wapi? Ilikuaje akachomoka humo? Na Kuna khadithi na mahusiano yake na wake zake? Hana mmoja mwenzangu. Anawezaje kukaa na wote? Alishapitia ndoa ngapi? Je kasomea taaluma yake hii? Biashara ina faida? Je kuhusu skendo ya kutumia magonjwa ya wanawake na kujipatia wake ni kweli?
    Kusema za ukweli tumeongea sana, na nimejifunza sana kupitia mazungumzo haya na kama ilivyo ada natumai na wewe utaokota mawili matatu na pengine kupata idea ya ajira na kujikwamua kwa hapa na pale. Dr Mwaka pia ni mtu anayependa watu wengine waendelee na aliniambia kama kwa yeye kuja kwenye kipindi kutasaidia hata kwa theluthi tu na kufanya vijana na wengine wajiongeze basi angependa kuja na alifanya hivyo, kwa hilo namshkuru sana. Tafadhali enjoy rafiki.
    Love,
    Salama.
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown

ความคิดเห็น • 124

  • @art.ib6
    @art.ib6 4 ปีที่แล้ว +65

    Wanaomkubali Dr. Mwaka gonga like👇

  • @G.S985
    @G.S985 4 ปีที่แล้ว +9

    Salama you're number one ktk interview hakuna anaye kushinda!asante Dr Mwaka kwa kutupa moyo katika yale tuyafanyayo.

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +6

    Napenda Sana mwaka anavyo jibu kulingana na swali, Isha napenda kiswahili chake Safi sana

  • @elizabethkizota3474
    @elizabethkizota3474 4 ปีที่แล้ว +6

    Ahsante dokta mwaka hujaweka ubaguzi kwa upande wa dini

  • @innocentmushi1550
    @innocentmushi1550 4 ปีที่แล้ว +8

    Salama is a top class interviewer

  • @owlbig
    @owlbig 4 ปีที่แล้ว +10

    Thnk u so much kwakutuleteya mwaka apa 🙏🇧🇮

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 ปีที่แล้ว +10

    Umefanya lamana sana kumleta mwaka wetu mtu mwenye wake 3mjini nice inteview

  • @Ali_Manzu
    @Ali_Manzu 4 ปีที่แล้ว +13

    Salama na team, asante sana kwa kutuletea huyu Bingwa. Nadhani mushanisoma!

  • @happyswai8299
    @happyswai8299 4 ปีที่แล้ว +3

    Ni kweli niliwahi kujaribu kupitia zaburi kwenye bibilia na Mungu kanisaidia majibu nimeyaona

  • @innocentmushi1550
    @innocentmushi1550 4 ปีที่แล้ว +6

    Salama is a top class interviewer

  • @blasidajulius2240
    @blasidajulius2240 4 ปีที่แล้ว +3

    Salama upo vzr sana katika utangazaji hongera sana kwa hilo maswali yko yameenda shule

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 4 ปีที่แล้ว +14

    Kwa maika 10 hakuna mtangazaji wa aina hii

  • @felisterherman2568
    @felisterherman2568 4 ปีที่แล้ว +6

    Salama maswali yako tu me hoiiiii.....u're the best

  • @ibwaydigo
    @ibwaydigo 4 ปีที่แล้ว +9

    Kicheko classic, Dr mwaka 🔥🔥🔥

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 ปีที่แล้ว

    Katika mahojiano yalio nivutia kwangu kutoka kwako dr.mwaka,zembweli na salama sk ulivyo wahoji wanakupa kitu unachopenda Asante kwa kazi nzuri uzidi kubuni vipindi vizuri na chakula Bora na kumcha Mora.

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah tabarakaAllah Mwaka nimtu wa furaha Sana hongera kwake

  • @saidmajeba9791
    @saidmajeba9791 4 ปีที่แล้ว +5

    Salama nimependa style ya ofisi yako,nzari sana hadi raha.

  • @sadatmohamed5701
    @sadatmohamed5701 4 ปีที่แล้ว +7

    Upo vizuri salama

  • @innocentmushi1550
    @innocentmushi1550 4 ปีที่แล้ว +12

    Salama is a top class interviewer

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 ปีที่แล้ว +11

    wengiwao wanatamani wake wengi kwa ajili ya NGONO

  • @AhmedSaleh-rc1yj
    @AhmedSaleh-rc1yj 4 ปีที่แล้ว +4

    Interview la kibabe sana dr mwaka POSITIVE MINDED PERSON nmenjoy kwa kweli kuna mengi ya kujifunza

  • @upendomtambo5103
    @upendomtambo5103 4 ปีที่แล้ว +11

    Cheko lake zuri😂

  • @gladnessnourdin6921
    @gladnessnourdin6921 4 ปีที่แล้ว +6

    HV been waiting to watch this interview

  • @maidasaid9449
    @maidasaid9449 4 ปีที่แล้ว +7

    Best interview

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 ปีที่แล้ว +11

    mgeni ana kicheeeko huyo Hadi raha 😂😂😂😂

  • @art.ib6
    @art.ib6 4 ปีที่แล้ว +10

    Bonge la interview❤️

  • @kaiemujaya7697
    @kaiemujaya7697 4 ปีที่แล้ว +3

    Salama; I like your style, umebarikiwa.

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 4 ปีที่แล้ว +6

    There's ruqya Shari'ah and there's dua for everything

  • @rashidmsumi634
    @rashidmsumi634 4 ปีที่แล้ว +5

    Dr asante kwa kutupa moyo

  • @asanatimrisho1816
    @asanatimrisho1816 4 ปีที่แล้ว +7

    Good interview

  • @muzdalfahassan8612
    @muzdalfahassan8612 4 ปีที่แล้ว +5

    Good interview I like it😘😘😘😘😘

  • @hadijagere
    @hadijagere 4 ปีที่แล้ว +17

    Yani uyu dada ananiuwaga maswaliyake anavyo anzanga yanakutowa njeya line yani utasahau kama una fanya interview utafiri upo na mwanao

  • @ecefahcompany6973
    @ecefahcompany6973 4 ปีที่แล้ว +6

    Jamani da salama kilasiku naomba utuletee kipenzi cawatu wema sepetu plz

  • @plisteradundo7603
    @plisteradundo7603 2 ปีที่แล้ว +2

    Doctor Mwaka ubarikiwe naomba namba yako ya simo Niko na mugonjwa

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah Akurahisishie

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 5 หลายเดือนก่อน

    maashaallah bonge moja la interview

  • @afamefunaokeke6966
    @afamefunaokeke6966 4 ปีที่แล้ว +3

    I got u brother...

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah, nice

  • @adamj9723
    @adamj9723 3 ปีที่แล้ว +2

    Nime enjoy sana salama big up❤️☺️

  • @nervenb2831
    @nervenb2831 4 ปีที่แล้ว +4

    Nic one my dear salama kipindi cako kizuli

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwaka huwa nayaelewa sana maelezo yako

  • @Emmy22655
    @Emmy22655 4 ปีที่แล้ว +2

    Love u so much 💕💕💕😘😘😘my Salama na 💕💕💕💕💋

  • @chalamossi6656
    @chalamossi6656 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimeipenda iyi ya leo

  • @naasamson4905
    @naasamson4905 4 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja sana💪

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +2

    Tiba mbadala ni nzuri Sana

  • @patricemacky1164
    @patricemacky1164 4 ปีที่แล้ว +2

    Namba za docter mwaka please🙏🙏

  • @khadijamohammad473
    @khadijamohammad473 4 ปีที่แล้ว +4

    Au kama kuna mtu ako na namba yake anisidie pls ninashida

  • @thakibuiddi1857
    @thakibuiddi1857 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm napenda anavyochekaga dokta mwaka thanaaaaaa

  • @mopaybeatz
    @mopaybeatz 4 ปีที่แล้ว +13

    Wale wanaosemaga "Leo mie wa kwanza kucomment" hawaonekanagi muda wa premiere Hahaha!

  • @thakibuiddi1857
    @thakibuiddi1857 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm napenda anavyochekaga dokta mwaka thanaaaaaa

  • @frankanold9803
    @frankanold9803 4 ปีที่แล้ว +4

    dk mwaka mzee wa wake wengi

  • @recholnyenza7547
    @recholnyenza7547 4 ปีที่แล้ว +4

    Leo nimewahi

  • @amanluvanda5328
    @amanluvanda5328 3 ปีที่แล้ว +2

    👍

  • @khadijamohammad473
    @khadijamohammad473 4 ปีที่แล้ว +2

    Nauliza nahitaji kuongea na doctor mwaka nitampataje ni khadija kutoka kenya

  • @systematickader7583
    @systematickader7583 4 ปีที่แล้ว +3

    Kicheko sasa

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 ปีที่แล้ว +4

    Hasante dk mwaka

  • @bahatiemmanuel2298
    @bahatiemmanuel2298 2 ปีที่แล้ว

    Napenda San maerezo ya mwaka, kwahiyo kukosa usingizi sio ugonjwa?

  • @kelvinokelo7992
    @kelvinokelo7992 4 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana hii.

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 3 ปีที่แล้ว

    Dr Mwaka, ukishasema kwamba wewe ni mfanyabiashara kwenye eneo la tiba mbadala mtu anaweza kuamini kwamba nikija kwenye zahanati yako nikiwa na ugonjwa ambao huna uwezo wa kunitibu utasema unaweza na utaniomba pesa unitibu huku ukijua kwamba huna dawa hiyo ili mradi upate pesa kwa kuwa wewe ni mfanyabiashara. Unawezaje kuniambia tofauti na hivyo ili niweze kukuamini.

  • @pachamondyismailthabit5175
    @pachamondyismailthabit5175 4 ปีที่แล้ว +3

    Salama 🙏 tuletee Ahmed Sharjah

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 ปีที่แล้ว +10

    vitabu vyote vitakatifu vyote vinatibu salama

  • @khamismasaai5307
    @khamismasaai5307 4 ปีที่แล้ว +3

    Ni injil ama bible nimekorogeka hapo sijamuelewa kwasababu injil na bible ni vitabu viwili tofauti.

    • @cendrillonnam4549
      @cendrillonnam4549 4 ปีที่แล้ว

      Angetuelewesha kidogo jili injili ipo kwenye bible haiko complete they have removed a lot of truth 💯

  • @batulimakame7947
    @batulimakame7947 4 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣 kwa kweli bora uwaulize role model kwenye kipi???

  • @arlandamary3922
    @arlandamary3922 4 ปีที่แล้ว +1

    Mama Mwalimu baba karani wamashindwa kununua viatu vya shule 🥺

  • @sixteenrecord4429
    @sixteenrecord4429 4 ปีที่แล้ว +5

    Salama your the best 😘

  • @michanokhamis6636
    @michanokhamis6636 3 ปีที่แล้ว +1

    Dr miaka 6 umeifaz juzu salasini kwl mbona napata shida kuamini kk

  • @nassoralinassor1698
    @nassoralinassor1698 4 ปีที่แล้ว +3

    Sijachelewa

  • @ramlajuma1598
    @ramlajuma1598 4 ปีที่แล้ว +1

    💥💥

  • @hadijagere
    @hadijagere 4 ปีที่แล้ว +4

    💋

  • @michaellagwen8198
    @michaellagwen8198 4 ปีที่แล้ว +2

    Leo nimewahi

  • @khadijamohammad473
    @khadijamohammad473 4 ปีที่แล้ว +2

    Hamjambo

  • @zainabdadu2667
    @zainabdadu2667 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @rosemery542
    @rosemery542 2 ปีที่แล้ว

    Asalam Aleykum
    Salama wewe Muislamu Vaa kiislsmu. Adhabu ya Allah ni Kali sana. Wewe ni msomi soma Quran

  • @BarikiSwai-ox2rx
    @BarikiSwai-ox2rx ปีที่แล้ว

    jj mwaka

  • @didakalaule7840
    @didakalaule7840 4 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @rithamsacky4655
    @rithamsacky4655 4 ปีที่แล้ว +3

    Yaan da salama nakupenda bureee...

  • @nurujulius1920
    @nurujulius1920 4 ปีที่แล้ว +1

    Aje na mikoani basi

  • @aminaussi265
    @aminaussi265 4 ปีที่แล้ว +5

    nani kamaa salama na dr. mwakaa hhahaha

  • @malikabdallah4310
    @malikabdallah4310 3 ปีที่แล้ว +1

    Unachelewa kuamka na ww muislam kwaiyo huswali sala ay asubuhi

  • @hajivuai3454
    @hajivuai3454 4 ปีที่แล้ว +5

    Hivi ni nani mwamme wa Salama ?

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

      Hata mie natamani kujua jmn

    • @mutwalesylvie7443
      @mutwalesylvie7443 4 ปีที่แล้ว

      Muulize salama mwenyewe 😂😂

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

      @@mutwalesylvie7443 weeee 😆😆😆 unaweza dhubutu kweli? Utashushuliwa

    • @CheupeEceJay
      @CheupeEceJay 4 ปีที่แล้ว +1

      Niko na mshua wako!

    • @hajivuai3454
      @hajivuai3454 4 ปีที่แล้ว

      Hakuna kazi ngumu kama kumtongoza Salama mpaka akakubali

  • @shafiiadam8156
    @shafiiadam8156 3 ปีที่แล้ว

    Nimefurai kusikia ivo

  • @yustinageorge1771
    @yustinageorge1771 4 ปีที่แล้ว

    Hadi rahaa sana

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 ปีที่แล้ว +3

    Sasa mbona wema akakuruka akaenda india? Wasiliana nae basi umbebishe hapo nitajua wewe konk tiba.

  • @nyamunakisuda6333
    @nyamunakisuda6333 4 ปีที่แล้ว +1

    Tumekumic sana kaka huku Oman 🇴🇲

  • @aloycesimon2028
    @aloycesimon2028 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyo dada mbna huwa habadilishi hlo gaun??

    • @beatricetenywa4367
      @beatricetenywa4367 4 ปีที่แล้ว +1

      Sare ya kaz naona

    • @aloycesimon2028
      @aloycesimon2028 4 ปีที่แล้ว

      Duuh hata kama 🙌🙌🙌

    • @janethbannali9595
      @janethbannali9595 4 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo ni sare ya office wafanyakazi wa samaki samaki wote wanavaa sare kama ushawah kufika kwa sababu hiyo ni kama hotel,kazini huwezi vaa unavyotaka

    • @belak999
      @belak999 4 ปีที่แล้ว +1

      Kawaida tu km wewe ambavyo huwa haubadilishi boxer

    • @aloycesimon2028
      @aloycesimon2028 4 ปีที่แล้ว

      @@belak999 Nina boksa 7 kila cku nabadilisha😂😂😂😂

  • @claudiakanyembo5949
    @claudiakanyembo5949 4 ปีที่แล้ว

    Dr Mm niko nje ya tz,ila nakuja kila wakati.na itaji tiba ila na omba numba yako ya whatsapp

  • @abu-rashidmdigo5267
    @abu-rashidmdigo5267 ปีที่แล้ว

    Ahlul Badr ni ushirikina si njia ya halal yakutibu

  • @aishaikoye1552
    @aishaikoye1552 4 ปีที่แล้ว

    Hzo dawa zake ni bai mbaya sana.

  • @giftgodson5603
    @giftgodson5603 4 ปีที่แล้ว +2

    Umuhoji na millen Magese

  • @siriayubuismail1400
    @siriayubuismail1400 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahhhh

  • @seifmohamedseif9467
    @seifmohamedseif9467 3 ปีที่แล้ว

    Kicheko cha docter km cha sanifu hv 😏

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 4 ปีที่แล้ว

    🇫🇮🇫🇮🤝

  • @kgtdigital8379
    @kgtdigital8379 4 ปีที่แล้ว

    Tazama huyu mzee anaetengeneza helikopta th-cam.com/video/nJSIR9wdEQ8/w-d-xo.html

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 4 ปีที่แล้ว +1

    In Islam there's unknown of alal badr....that is shirk

  • @saddychavala2052
    @saddychavala2052 4 ปีที่แล้ว +2

    Mmh mchawi tu huyu

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwahyo dr mwaka anasapoti bible wakati kitabu halali ya umma huu ni qur an ivo vitabu vyengne vimeshatiwa mikono na mazalimu

    • @mathewbahati2831
      @mathewbahati2831 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kadri ya ufahamu wako! Unahitaji kuelimishwa zaidi

    • @farhatkhamis4401
      @farhatkhamis4401 2 ปีที่แล้ว

      @@mathewbahati2831 ni kweli usemavyo pia ukisoma vyote haimaanishi ndio umetoka kwenye dini yako ila unasoma kwaajili zaid ya kichanganua upi ni ukweli zaid