WOMAN MATTERS: HIVI MWANAMKE AKIWA NA TUMBO KUBWA HUMPUNGUZIA CONFIDENCE/ KUJIAMINI? NINI KIFANYIKE?

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 375

  • @irenemacha7457
    @irenemacha7457 3 ปีที่แล้ว +18

    Mimi mnaniuzi mnavyoongea nyie wamama tulieni muongee mmoja mmoja bas mwaka ana pont sana tatizo wanamkatisha katisha

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว +22

    Msione wazungu celebraties tu, njooni mitaani muone reality wazungu walivyonamatumbo. Wanakula ovyo majunk food na bears hana mwisho wa time ya kula mpaka usiku wa saa sita anakula tu. Na ndio wengi wapo hivyo. "ANGALIENI KIPINDI CHA U ARE WHAT U EAT" Na ndivyo walivyo wengi mitaani vile.

    • @salomemgaya1244
      @salomemgaya1244 3 ปีที่แล้ว

      Mmmmmmmmmmmmmmmmmmh

    • @sifajoseph7847
      @sifajoseph7847 3 ปีที่แล้ว

      Mmh,

    • @sifajoseph7847
      @sifajoseph7847 3 ปีที่แล้ว

      Mmmmmm

    • @themagadir
      @themagadir 3 ปีที่แล้ว +2

      That's very true wazungu blacks na whites wengi ni vibonge sana wale kwenye movies they work hard na wanachujwa out of many kupatikana . lakini sisi tukiona movies tunaona wazungu wote wako kama walivo kwenye movies

    • @sajeedabilal74
      @sajeedabilal74 3 ปีที่แล้ว

      @@themagadir Very true

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 3 ปีที่แล้ว +13

    Tatizo ni magonjwa ya sukari, eneo la tumbo la mwanamke linatakiwa kuwa chini ya inchi 35,na mwanamme chini ya inchi 40 tujitahidi tuwe hapo kwenye hivyo vipimo kunusuru afya zetu.
    Ulaji wa vyakula vya wanga sana sahani unajaza kama hamna kesho, tule portion ndogo ya chakula, mwanzoni utaona njaa sana lakini mwili utazoea baada ya muda mrefu, halafu kula kula hovyo tuache tuwe na ratiba maalumu.

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 3 ปีที่แล้ว +166

    Kama unaipenda Women Matters gonga like hapa

  • @geraldjoel5727
    @geraldjoel5727 3 ปีที่แล้ว +35

    Ila Lilian Mwasha ana kipaji kikubwa sana cha kutangaza

    • @ashahussein3247
      @ashahussein3247 3 ปีที่แล้ว

      Ila anafujo kelele mbele ya camera

    • @mwasitiiddy7425
      @mwasitiiddy7425 3 ปีที่แล้ว +1

      Anatak kuongea yy tu kipind kizima awap nafas wagen

  • @vailethelias4170
    @vailethelias4170 3 ปีที่แล้ว +16

    Kama pana kipindi mmefundisha ni Leo....my husband use to criticise me coz napenda kufuatilia show yenu especially with dr jj but Leo kaaprociate hadi amenihot sport ...you dd a great job thanx🥰💃

  • @dance_with_conso7456
    @dance_with_conso7456 3 ปีที่แล้ว +29

    This is what Tanzanians need...keep up spreading the awareness....what we need is simply awareness ❤️much love

  • @maryschroeder521
    @maryschroeder521 3 ปีที่แล้ว +15

    The doctor his on point : you are what you eat 👌🏾

  • @abdallahkiliaki7299
    @abdallahkiliaki7299 3 ปีที่แล้ว +7

    Lillian, why don't these women panelists listen and pay attention to what Dr. Mwaka is saying? As I have repeatedly said in the past, "please, you women, puncture your preconceived ideas". Do you want to be productive counselors to your fellow women or not? Learn to listen, learn to appreciate!

  • @hannahathanas1503
    @hannahathanas1503 3 ปีที่แล้ว +4

    Naipenda sana hii mada Mie naiskilizia nikiwa Marekani 🙏🏽🙏🏽Lilian mwasha Mungu Awabariki💪🏼

  • @medicalphysicsbiomedicalen1707
    @medicalphysicsbiomedicalen1707 3 ปีที่แล้ว +12

    Leo mmeua sana, big up, mmependeza wote, timu iko powa, hakuna makelele n.k. much love from Italy ❤

  • @ladysalimkabora9952
    @ladysalimkabora9952 3 ปีที่แล้ว +2

    Dr. Mwaka yupo sahihi sana. Tumbo halipungui haraka taratibu sana kuliko sehemu nyingne za mwili. 👏👏👏🔥🔥🔥🔥

    • @neemajacob418
      @neemajacob418 3 ปีที่แล้ว

      Umejuaje mwenzangu acha tu😂😂

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว +11

    Ssa doctor ww mwenyewe unatumbo huna mvuto unadhani wanawake na wao hawaoni wanaume wanaowavutia nje? Ndoa ni mapenzi na huruma kama mnakosa hayo mtapata taabu sana mana wazuri na wenye mvuto ni wengi (wanawake/wanaume).

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว +1

      Na utasemaje inategemea na pesa, issue sio pesa ni kupendwa. Na km pesa basi hata w'ke wapo wenye pesa na matumbo na wametulia na waume zao ima kwa pesa zao au maridhiano.

    • @ghanimaali4507
      @ghanimaali4507 3 ปีที่แล้ว +1

      ww ndio umeongea point

  • @susancharles1660
    @susancharles1660 3 ปีที่แล้ว +2

    Dr.Mwaka you are the best.Kuanzia leo nitazingatia chakula ninachokula.

  • @neemakweka6803
    @neemakweka6803 3 ปีที่แล้ว

    Show nzuri ,thanks for the awareness.Big up

  • @aronnasloyaljr7945
    @aronnasloyaljr7945 3 ปีที่แล้ว +3

    Dr mwaka I appreciate this guy

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 3 ปีที่แล้ว +3

    mashaa Allah ... dr mwaka keep it up 💕

  • @christinainnocent5728
    @christinainnocent5728 3 ปีที่แล้ว +3

    Kipindi kizuri sana mimi Mama Bushanga niko Amerca Ohio naangalia saa hizi na nimependa sana hii topic ushauri wangu topic kama hii mumpe nafasi kubwa Dr kuongea sababu ni mwanaume ili sisi wanawake tuwajue wanaume na waume zetu ili tuje la kufanya majini ya kuishi nao. Hongera sana wasafi TV

  • @Sppah697
    @Sppah697 3 ปีที่แล้ว +7

    Tunahitaji muendelezo wa hiki kipindi jamani! Ili dr. Mwaka atuelimishe afya zetu!

  • @hamidafundi5890
    @hamidafundi5890 3 ปีที่แล้ว +1

    Big up Mr HeA Dr Boaz Mkumbo, Sayansi ya mapishi unayotufundisha. Ulaji unaofaa ndiyo suluhisho la kutokuwa na kitambi.

  • @wardapapa331
    @wardapapa331 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana doct mwaka kwa kipindi CA kupunguza tumbo

  • @sammysamia7534
    @sammysamia7534 3 ปีที่แล้ว

    Asante saan Dj iyo kwer Dr

  • @claircherutoolinyo9977
    @claircherutoolinyo9977 3 ปีที่แล้ว +3

    Amazing.. Nimependa show

  • @fatnahsaleh860
    @fatnahsaleh860 3 ปีที่แล้ว +4

    Woooooow Women matters ya leo noma🔥🔥. Party 2 plse Liliane Mwasha 🙏🤗#Wcb4life

  • @daisybuyantsi5953
    @daisybuyantsi5953 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli kabisa doctor, mm mnono chini tu huwa nakunywa maji warm kila wakati,na nko over 40

  • @patrickjerome4813
    @patrickjerome4813 3 ปีที่แล้ว +4

    Big up to the women matters from wasafi media

  • @shadbackck
    @shadbackck 3 ปีที่แล้ว +1

    Wazungu pia wana chakufunga tumbo wala msijidanganye, tena wao, wanafunga ao kubana tumbo tuka bado wako wajawazito, pia maumbile ya watu ni tofauti.

  • @chibandamwende3676
    @chibandamwende3676 3 ปีที่แล้ว +3

    watu wa vitambi vya dharura gongeni like.....Nimecheka aki

  • @azizakwileka1686
    @azizakwileka1686 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli am here for you Dkt Mwaka

  • @neemagift4921
    @neemagift4921 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana mmependeza na umetufundisha mambo mazuri sana bigup

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 3 ปีที่แล้ว

    Big up women matters topic good from manchster united kingdom🙏🙏🙏

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 3 ปีที่แล้ว +24

    Mimi kwa kweli kipindi hiki akiwepo Dk Mwaka napenda kuangalia

  • @fatumamusa3704
    @fatumamusa3704 3 ปีที่แล้ว +2

    This topic is ,real love it

  • @daktarij381
    @daktarij381 3 ปีที่แล้ว +1

    powerful discussion

  • @alwysalehmohamedalammary3507
    @alwysalehmohamedalammary3507 3 ปีที่แล้ว +1

    Doctor mwaka your genius...

  • @mercymaina6813
    @mercymaina6813 3 ปีที่แล้ว

    Wow... love this

  • @irenemsengi6578
    @irenemsengi6578 3 ปีที่แล้ว

    Dr mwakaa I love you nakukubalii Saana mzee baba

  • @mariamshee934
    @mariamshee934 3 ปีที่แล้ว +2

    Doctor mwaka ongea sana wajichonge kama kalamu kisha waelewe mwanaume wamwanamke mmoja hajazaliwa

    • @roselinebernard1421
      @roselinebernard1421 3 ปีที่แล้ว

      Mimi nataka wembamba ambao hawajasilitiwa waje hapa watupe mahope

  • @levinamalya715
    @levinamalya715 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwakweli leo nimepata somo zuri Sana maana hata mm ni muhanga wa kitambi

  • @christinainnocent5728
    @christinainnocent5728 3 ปีที่แล้ว +1

    Kutongozana ni njia aliweka Mungu.kyanza mahusiano hakuna cheap si.mwanaume si.mwanamke ndio.chanzo cha ndoa kubadili alivyopanga Mungu

  • @ishakafaki3501
    @ishakafaki3501 3 ปีที่แล้ว +8

    Hoyoo docter ameyafikisha aliyoo yasema mtume we2 muhamad swalaAllaahu alayhiii waslam alisema hayoo yotee kwamba usile mpka uonee njaa na ukilaa usilee ukashibaa fungaa zaswaumuu n.k

  • @sharmallamossi7856
    @sharmallamossi7856 ปีที่แล้ว

    Kwakweli tunashukuru kwakweli sisi wenye tunamatumbo Allah awalipe Amin nawapenda Saaaan 🙏❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila Doctor yupo sahihi maana anakwenda na fact🙏🙏

  • @samiraallykayitesi7642
    @samiraallykayitesi7642 3 ปีที่แล้ว

    Dr tunakupenda sana thanks

  • @khadijahamdani1893
    @khadijahamdani1893 3 ปีที่แล้ว +2

    Naomba Dr. Atuelezee kuhusu kulala maana alianza kusema akakatishwa hakuendelea tena

  • @therlmahweezle5529
    @therlmahweezle5529 3 ปีที่แล้ว

    Amazing show❤❤❤🔥🔥🔥

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli uzuri wa mtu unahusiana na mtu mwenyewe sio mume wala mke, unatakiwa usisubiri kwasababu mwanaume anaweza kusema mimi nakupenda kama ulivyo

    • @hawahawa4288
      @hawahawa4288 ปีที่แล้ว

      Maashaallah dr mwaka mungu akupe maisha marefu

  • @marrykwamboka2637
    @marrykwamboka2637 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwakunielimisha Mimi Niko na swali Dr. Huwo changanyiko unachemushwa ama unakunywa ifo

  • @saidmwakulika706
    @saidmwakulika706 3 ปีที่แล้ว

    Lizigo hatulipendagi nyumbani Asante Kaka mwaka🙏🙏🙏

  • @YTZBOY
    @YTZBOY 3 ปีที่แล้ว +27

    Kwa wale wapenzi wanao penda kutazama the story hii ndio account mpya ya the story book video zitakuwa zina postiwa kila siku fanya kusubscribe ili usipitwe

  • @mamichoumalkia4228
    @mamichoumalkia4228 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @jocelinejohn7294
    @jocelinejohn7294 3 ปีที่แล้ว

    Mm nampenda Dr mwaka jaman 💕💕💕Mungu amtunze nimepata somo kubwa mnoo na wakina mama and mko vizur jaman

  • @mu-crzymahez9229
    @mu-crzymahez9229 3 ปีที่แล้ว +6

    ila dokt.MWaka anamabalaa huyu baba

  • @nzoyikundafrancine1836
    @nzoyikundafrancine1836 3 ปีที่แล้ว

    Asanteni sanaaaa🙏ila Dr mmemkatishiy bira ajasem swali lakulala kwukupunguz tumbo naomba akilud atwambie nawapenda sanaaaa🇧🇮

  • @Watema23
    @Watema23 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kidogo Dr Mwaka umetereza eti mwanaume hana Estrogen. Mwnaume anayo ila sio nyingi kama mwanamke...estrogen ikiwa nyingi kwenye mwanaume inaweza kumpelekea kuwa na maziwa ( breast) kubwa. Kwan mwanauma ana estradiol ambayo ina msaidia kuzalisha nguvu za kiume...vile kwa mwanamke ni estrogen. So, mwaname ana estrogen hormone ambayo inasaidia sana brain energy .

  • @btylove1870
    @btylove1870 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanaume ni kiumbe mbinafsi sana hata uwe vipi atatoka tu! Wananawake tujifunze kujipenda na sio vingenevyo.

  • @user-ff1ww9eq9z
    @user-ff1ww9eq9z 5 หลายเดือนก่อน

    Lilian pls ask doctor , which we've to take even to reduce the tummy

  • @priscalema8698
    @priscalema8698 3 ปีที่แล้ว +3

    Naomba kutoa maoni yangu;
    Mpeni nafasi mzungumzaji atoe mada vzr mnamkatiza sana mpaka inakuwa kero

    • @mwasitiiddy7425
      @mwasitiiddy7425 3 ปีที่แล้ว

      Awasikiag ata wanaongea mnoo hata point awan

  • @esthermbike6911
    @esthermbike6911 3 ปีที่แล้ว +2

    Thanks doctor all i can is God bless u

  • @marianelmi6168
    @marianelmi6168 3 ปีที่แล้ว +1

    Lilian thank you so much .
    Umeondoa music
    Sasa tunakuskia vizuri.

  • @magrethsanga-kaufmann8501
    @magrethsanga-kaufmann8501 3 ปีที่แล้ว +2

    Wazungu Hawali manyama na mitori wamezaa leo wanakula mikate na salat

  • @a.856
    @a.856 3 ปีที่แล้ว +4

    🙏

  • @matlayshamc658
    @matlayshamc658 3 ปีที่แล้ว +3

    Mmhh niliambiwaga Nina mkoba(tumbo Hilo) jaman

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 3 ปีที่แล้ว +1

    Kusema ukweli Dr mwaka kupinguza tumbo ni kazi kweli mm nimeanza muda wa miezi 6 sasa lkn namshukuru mungu nimefanikiwa kupunguza 18 lkn ni shida sana mpaka nimefikia hapo

  • @kenedyrocky4641
    @kenedyrocky4641 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @hadasahqueen9507
    @hadasahqueen9507 3 ปีที่แล้ว

    Point of correction Not All causians have flat stomach after delivery !

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 3 ปีที่แล้ว

    Big up 👍👍

  • @marysilayo9529
    @marysilayo9529 3 ปีที่แล้ว +2

    Mchawi chakula.....mm nakula portion kubwa tu ila mwisho wa dinner yang saa moja ikipita hapo sili tena ....nikilala nikiamka tumbo utadhan limekutana na mgongo utadhan silag.asanten kwa kuendelea kunikumbusha nisijisahau

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

      Usile portion kubwa sasa utajiona ok lkn athari zinakuja utuuzimani kuanzia 40 au chini ya hapo

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 3 ปีที่แล้ว

    Naipenda sana women matters jaman ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤✌👌

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 3 ปีที่แล้ว +4

    naomba picha ya wake wa dr mwaka niwaone matumbo yao🤣🤣🤣

  • @mwanaidkhamis7192
    @mwanaidkhamis7192 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm nafikiri ifike wakati wanawake tulitambue Hilo na inawezekana mtu kibaki na Shep yako hata Kama umezaa .
    Yaan mm nimeweza ukiniona hata form one navaa sketi naingia darasani na Nina watoto 4

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 3 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👏👏

  • @kidsgettinghurt3931
    @kidsgettinghurt3931 3 ปีที่แล้ว +4

    First to comment🔥🔥

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaaaa eti nyama nyama ktk sehemu sahihi.....Lilian bwana!!!!!!!

  • @doreenerasto5502
    @doreenerasto5502 3 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka hapo naona yashanishinda ayo masharti, Surgery zipo jaman cha msingi pesa

  • @rahmarashid5635
    @rahmarashid5635 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah lkn suala la kufunga mmemkata doctor mwaka alikuwa analizumzia uzuri tu

  • @lovenesspaul8096
    @lovenesspaul8096 3 ปีที่แล้ว

    Nimekipenda

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 3 ปีที่แล้ว

    Docter Mwaka

  • @irenesuswi4079
    @irenesuswi4079 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa wanawake tujitahidi kubalance milo ili uendelee kuwa na mvuto, acha kusingizia kuzaa, namshukuru Mungu mimi nina nzao 2 kawaida na moja ya oparesheni ila sina tumbo na figa inalipa kwa kweli namshukuru Mungu

    • @mariamdaudi2315
      @mariamdaudi2315 3 ปีที่แล้ว

      Manjano ndo yapi carot au manjano nn

    • @imaneduwe5886
      @imaneduwe5886 3 ปีที่แล้ว

      @@mariamdaudi2315 binzari ya manjano

  • @kweka14l35
    @kweka14l35 3 ปีที่แล้ว +2

    Vai Jamani Juice yote umemaliza, maji yote umemaliza na matunda yote pia huku wenzio wakiwa bado hawajamaliza. 😭😭😭 Ni njaa au nini 🤣🤣🤣

    • @violetdenis9187
      @violetdenis9187 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @mwakahassan8742
      @mwakahassan8742 3 ปีที่แล้ว

      Kisha alalamika tumbo

    • @kweka14l35
      @kweka14l35 3 ปีที่แล้ว

      @@mwakahassan8742 😂😂😂😂 yaani nimecheka sana

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

    Nawapenda madokta wote mnaowaletaga ila zaidi dokta mwaka

  • @hildamasonda3243
    @hildamasonda3243 3 ปีที่แล้ว

    Women matter woooooh htr kuna point nzuri sanaaa hapa

  • @irenemacha7457
    @irenemacha7457 3 ปีที่แล้ว +2

    Acha niwe na kitambi kama pakacha nitavaa dela sijites kwa ajili ya hawa viumbe wazito ambao hata mama yako mzaz akikaa vibaya anamtamani

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 9 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe saaaaana kbisa nafurahi🎉😂😂😊😊🥰🥰🥰🥰🥰🥰🤗🤗

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 ปีที่แล้ว

    Sound ndgo😬lilian mwasha ana vituko🤣🤣tangawiz, swaum, kitunguu maji,lemon brend. Bassila mashalaah ana kaumbo kazuriiiiii.dr kasema usingz ...afu mmemkatisha..

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 3 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri sana

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 ปีที่แล้ว

    Nice kipindi love u nyote

  • @Shirlmay
    @Shirlmay 3 ปีที่แล้ว

    Anti sadaka hapo kwenye nyama za mbuzi(mangurunyii) 😅😅 hii kitu inaboa

  • @ramlajuma1598
    @ramlajuma1598 3 ปีที่แล้ว +1

    Dr mwaka 💃💃💃

  • @rithamsacky4655
    @rithamsacky4655 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm natumbo langu wala cjali ctak presha jaman ....

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo Dada nguo kijana ,anazungumza pointi sana

  • @eischerschwederm7876
    @eischerschwederm7876 3 ปีที่แล้ว

    Hayo yote ni sawa lakini lakini kumbukeni unaweza kupata hata ulemavu...acheni kuwa MATERIAL.. mwanaume mwenye dini atampenda mke wake hata kama yuko vipi.. Luna unene ambao unatokana na genetics au hormone fluctuation...mi siamni sana katika hayo

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuzaa si kua na tumbo. Na watoto mpaka 3 wengi hawafanyi tumbo labda ujiachie sana.

    • @amriyalibent8441
      @amriyalibent8441 3 ปีที่แล้ว

      Kweli mm nimezaa wanne na wala cna tumbo

    • @badriabyekwaso8792
      @badriabyekwaso8792 3 ปีที่แล้ว

      @@amriyalibent8441 unatumia nn

    • @amriyalibent8441
      @amriyalibent8441 3 ปีที่แล้ว +1

      Badriya mm nimezaa km wiki moja hivi ila sili sana na tumbo nafunga asubh mpk ucku mpenzi saiv lisharudi kama sijazaa ila bado nafunga mpk nitoke 40 na nna watt4

  • @sophiajoseph2630
    @sophiajoseph2630 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani nilikua nakula uku nasikiliza Ichi kipindi,,duh nusu nitupe chakula nilichokua nakula🥵

  • @shamimshaban2969
    @shamimshaban2969 3 ปีที่แล้ว +3

    Tunakula salad na protein Kama kuku, Samaki, especially supper time

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni waendesha kipindi

  • @hafsamaulid1256
    @hafsamaulid1256 3 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah, hii Mada ya Leo yani kisu kimegonga mfupa 😂hivi vitambi vinatupa stress sana but inshaallah tutaanza

    • @keyakeya8911
      @keyakeya8911 3 ปีที่แล้ว +1

      Hivi inakuaje mm nimekua na tumbo akati Sijawahi kuzaaa huuu akati Dada zangu wamezaa pamoja na mama angu hawana hata matumbo wapo flati hatari mpaka nawaonea wivu 😂😂

    • @hafsamaulid1256
      @hafsamaulid1256 3 ปีที่แล้ว +1

      @@keyakeya8911 😅😅Nacheka kama mazuri, ndo ujitathmini sasa pengine we ndo unaongoza kwa kula Katka Familia yako 😂😂

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 3 ปีที่แล้ว

      @@hafsamaulid1256 😁😁😁😁 labda anafakamia

    • @bintiannar6845
      @bintiannar6845 3 ปีที่แล้ว

      Kweli weee

    • @yudatadeshayo4434
      @yudatadeshayo4434 3 ปีที่แล้ว

      @@keyakeya8911 punguzaa kula

  • @rukiahamisi3079
    @rukiahamisi3079 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwani mnatumiwa msg WhatsApp mtusaidie na amsomi kabisa namba mmeekea nn

  • @mathossecuritycompanyltd6306
    @mathossecuritycompanyltd6306 2 ปีที่แล้ว

    Jalibun kusubili Dr anapoongea Yan hapo tu ndipo mnapokela sjui hamfaham hilo,anakuwa anatoka kwenye mtililiko.

  • @itsnotthatserious2291
    @itsnotthatserious2291 3 ปีที่แล้ว +1

    32:51 but huyu dada amenikata jicho