🔞WANAUME WENGI HAWAJUI NIPE NIKUPE? BI SUBIRA AYAMWAGA ya CHUMBANI❤️ KUMBE KUNA DUA KABLA ya TENDO..
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ค. 2024
- 🔞WANAUME WENGI HAWAJUI NIPE NIKUPE? BI SUBIRA AYAMWAGA ya CHUMBANI❤️ KUMBE KUNA DUA KABLA ya TENDO.. #KATIKATIYAKOKO
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Do long interview jamani kwa watu kama hao mwenye mambo mazuri❤❤❤❤
Mansha allah tabataka arahman nime mpenda bure bibi yang allah akuhifadhi insha allah sijuwi nitampate bi subira AMIDA ISMAIL KUTOKA BURUNDI 🇧🇮
Kipindi kizur sana cjaolew lakin nimekuw nikifatilia tok zaman😘 big up 👍
Santaaaaa hongera
Fafi sana mambo kwa tungo❤❤❤
Mama yupo vizuri mashallah
Eshi hadha asanteeeeee tumeelewa tulio soma quba
Umeonaeeee
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Turejeshee huyu bibi mm nimemuelewa mno na nimefurahi saana
Mtangazaji punguza wengeeeee
Yupo vizuri mashallah
Mrudidhe Huyu bibi
Haaaaaa leshi adhaaaaa maana yake NINI HIKI❤
Yaaaan huyu bibi Kanifunda jamn uwiiiii majiran ukuuuuu
Umefurahisha hapo kwenye nyimbo ya UKEWENZA
MKE WA HALALI NI WEWE AZIZA TUMETOKA MBALI NAOMBA KUBALI LALAAAAAAAA BAADAE KAJA KUKUBALI NAIPENDA HII NYOMBO
NA IYO Rejea Tena chuon
Bi subira umenikonga rooho uwiiiii naomba uje Tena kwenye kipindi
Alafu nitakufatuta Nina jambo langu soon nalud bongo uwe kungwi wangu
C wengee anashereheshaa ksha na yye alitafuta huyo mtto mdogo😅
nakupenda bi subira
Uyu bibi arudiwe arudiwe tena ana vitu ana madini
Majirani hukuu 😂😂
Bisubira na yye arud chuoni pia 😅
😂😂😂😂😂😂