"MWANAMKE HAJALETWA DUNIANI KUPIKA WALA KUFUA - UKIPEWA KAZI HIZO HUPENDWI" - BABU wa TIKTOK...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  8 หลายเดือนก่อน

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asante babuuuuuu waeleze chukua mauwa yako❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah nimepata somo asante sana mzee wangu

  • @ttss7716
    @ttss7716 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli babu lazima ubebe umeficha kuna zongo😅

  • @halimadunia643
    @halimadunia643 หลายเดือนก่อน

    Aksanti sanaa babuu❤❤❤

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 8 หลายเดือนก่อน +2

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤝🤝🤝🤝🤝Leo umetuletea mada safiiiiii Babuuuuu Tik tok kkkkkkkkk🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AlkasusKaxux
    @AlkasusKaxux 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hana uhalisia wa kumfunza mtu yy mwenyewe amepoteza cfa ya kiume uvaaji wa cheni ndio nn sasa izo cfa zakike

  • @hamidmohamed7727
    @hamidmohamed7727 8 หลายเดือนก่อน

    We mzee vipi ,unaongea ujinga na jina la Mungu ,usimshirikishe Mungu we mzee.Subhanalah za nini?

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 8 หลายเดือนก่อน

    Na ndo maana mwanamke akimfanyia mumewe mambo yote hayo anapata thawabu toka allah kwaiyo hiyo sehemu ya ibada pia

  • @kazungukakiyo
    @kazungukakiyo 8 หลายเดือนก่อน

    Babu ameteteleka,, maoni yangu""mutoto akitiwa jando akiwa mukubwa ana ondolewa uoga,,,anakuwa mjasiri,,

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 8 หลายเดือนก่อน

    Muongo bwana wasichana wa siku hizi ukisema mwanaume alike ndo watejiendekeza vibaya mumu same time anaweza kumsiadie mume mke lakini siku zote

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 8 หลายเดือนก่อน

    Hili Darasa la leo Dada ashura upo mwenyewe tu

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 8 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh haya naaacha hapa hapa mie mwafrika

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 8 หลายเดือนก่อน

    Yaani yaani tamaa watu imezid bwana hayupo ushataka bwana wa rafiki yako

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 8 หลายเดือนก่อน

    Watafua Na kumpikia wanaume kutokana Na mindset zao wanawake wa kitanzania ziko dhaifu Na hawajiamini tofauti Na wanawake wa kizungu sio tegemezi, ila wanawake wa Tanzania ni wapenda mserereko kitonga yaani fikra za kudanga kwa mwanaume kwa hiyo wanaume uwa wanadharau, ona hata uongozi wa ovyo wa Tanzania sasa sababu rais ni mwanamke hawezi kutoa maamuzi ya maana sehemu ngumu anamtuma Majaliwa sababu Samia yeye ni dhaifu kama kiongozi wa nchi !

  • @MariamKasuka
    @MariamKasuka 6 หลายเดือนก่อน

    Kwer kabisa

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano 8 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke amepewa haki nying na nzuri na mwenyez mungu sio kupika tu hata akikuzalia mtoto kunyonyesha inabidi umlipe mkae mpatane atakunyonyeshea mwanao kwa shilling ngap ? Wanawake mola wenu amewapa haki nyingi tatizo lenu Kuna mahala mnakosea angalia umbaji wa mwanamke kwanza adamu alitiwa usingiz ndio akaumbwa hawa anaumbwa awa adamu amelala wanawake mnafeli wap? Lakin Dunia ni ya adamu hii

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 8 หลายเดือนก่อน

    UKIWA MWENYE IMANI HATA MUMEO UTAMSAIDIA IKIWAAMEZIDIWA NA KAZI..PIA KU.LIWAZA KWA MENGI SIO KULA NA KULALA TU..

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 8 หลายเดือนก่อน

    Vikuku ni ndani amvaliye mume sio nje

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 8 หลายเดือนก่อน

    🥺🤔

  • @vero57
    @vero57 8 หลายเดือนก่อน

    Kuswingwa ndiyo nini??

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 8 หลายเดือนก่อน

    WACHENI KUDANGANYWA..ikiwa Aysha L Malka diniani na akhera akifanya kazi hazi zote...na akatoa na mali yake..je Mimi na Wee? Hamjali ndoa dharau zimezidii na kuiga ya watu..

  • @felixmluge3211
    @felixmluge3211 8 หลายเดือนก่อน

    Darasa huru hili ni changamoto tupu....

    • @hasinaalrahbi6681
      @hasinaalrahbi6681 8 หลายเดือนก่อน

      Mhhhh hapana babu tupo arabuni chakula twala na wtt wetu😂