YAPI NI MAMLAKA YA MWANAUME Kwa MWANAMKE? IJUE SIRI YA KWA NINI WANAWAKE HUONGEA SANA | HARD TALK

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ค. 2022
  • WASILIANA NA DKT. MWAKA: +255 759 100 200 Kwa Msaada zaidi
    YAPI NI MAMLAKA YA MWANAUME Kwa MWANAMKE? IJUE SIRI YA KWA NINI WANAWAKE HUONGEA SANA | HARD TALK
    HARD TALK ya leo ni mjadala mkali kuhusu mamlaka ya mwanaume kwa mwanamke. Mungu aliwaumba vipi wanawake ukilinganisha na wanaume? Dk JJ Mwaka, tabibu maarufu wa matatizo ya uzazi na kiroho anachambua na kujibu maswali magumu ya mtangazaji Lilian Mwasha!
    WASILIANA NA DKT. MWAKA: +255 759 100 200 Kwa Msaada zaidi.
    .
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 197

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +4

    SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:🏾 bit.ly/3MraYdQ

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 ปีที่แล้ว +17

    Lilian stop being difficult, you know the truth...I am a professor and I ask permission and also nothing goes without my husband's approval...I have been married for 20 years.

  • @silverman6930
    @silverman6930 ปีที่แล้ว +31

    Lilian learn to listen and give time when some one is trying to explain something… stop interrupting … it’s easier to forget or loose the plot and the key points .. say less than necessary…

    • @lillianmwashatv
      @lillianmwashatv ปีที่แล้ว +3

      How I wish you were paying me for what am doing than CRITICISM.UNAJUA HII KAZI NNAYO IFANYA AU UNAONA RAHISI KUKAA NA KUKOSOA???

    • @NURUYAMAISHATV
      @NURUYAMAISHATV ปีที่แล้ว +6

      @@lillianmwashatv Ni vizuri kupokea ushauri na kuufanyia kazi kwani lengo la Silver ni zuri na ni kwa faida yako na wasikilizaji wako. naomba ulipokee positive

    • @halimamvungi1
      @halimamvungi1 ปีที่แล้ว +1

      🤝🤝

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akupe umri doctor mwaka haki nimejikuta na amani Ya MOYO

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 ปีที่แล้ว +14

    Dr asante ushaitunza ndoa yangu bila wewe kujuwa asante

  • @josephjustin3715
    @josephjustin3715 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo linaanza kwa mwanaume kumpenda mwanamke asiye na heshima,,, na mwanamke kumheshimu mwanaume asiye na upendo!! Full mvurugano

  • @emmanuelmwaka6070
    @emmanuelmwaka6070 ปีที่แล้ว +21

    Hongera sana Dkt Mwaka uko vizuri

  • @ivethaignas603
    @ivethaignas603 ปีที่แล้ว +7

    Nampenda dk huwa anajua kujenga hoja, lakini pia amenifundisha kuwa mungu ni mmoja hivyo vitabu vyote vinavyohusu dini yoyote anaweza kusoma na dini zote ni sawa🙌

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

      Mungu na si mungu ndugu tafadhali

    • @hamidudongo1879
      @hamidudongo1879 ปีที่แล้ว

      Aachane na mambo ya dini. Hana kitu Anachokijua kwenye dini.... Bora aachane na hayo mambo

  • @godfreyjulius5132
    @godfreyjulius5132 ปีที่แล้ว +10

    Intellectual ideas or points, big up Dr . JJ Mwaka

  • @rithamalisa7316
    @rithamalisa7316 ปีที่แล้ว +3

    Mwanaume akili sio handsome hapo nimekuelew doctar 🙌🙌🙌

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว +11

    Mwaka anakitu kikubwa ndani yake

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky ปีที่แล้ว +6

    💯 💯 💯 💯 💯 💯 Hakikah Mwaka. 🚶‍♀️Asante dada lily kwa kumleta Dr mwaka.

  • @Bwenge-minecraft
    @Bwenge-minecraft ปีที่แล้ว +5

    nimekupata vinzuri Dkt mwaka mungu akubariki sana.

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +4

    Maneno ya dhahabu kutoka kwa dr mwaka hongera sana Mungu akubariki bro

  • @matildamushi1741
    @matildamushi1741 ปีที่แล้ว +2

    Asante Dokta Mungu aendeleee kukuweka miaka mingi wanawake wengi waliosoma sana au kuwa na kipato kikubwa ni tatizo kwenye jamii

  • @georgenkya1905
    @georgenkya1905 ปีที่แล้ว +7

    nyie Dr mwaka anajua sana.

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 ปีที่แล้ว +6

    Asanteni Sana kwa kipindi kizuri jamani mungu awabaliki sanaa

  • @King_186
    @King_186 ปีที่แล้ว +5

    Safi ,Dr Mwaka umechambua vizuri sana

  • @victorishengoma4599
    @victorishengoma4599 ปีที่แล้ว +8

    Intelligent man I like to listen

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +3

    Ahsante dada Lillian umvaa viatu vya wanawake hongera sana love you sister

  • @tinamahega9848
    @tinamahega9848 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda dada Lilian,nabarikiwa sana na vipindi vyako

  • @fatumaibrahim8973
    @fatumaibrahim8973 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana unatufindisha wengi

  • @Kidotii
    @Kidotii ปีที่แล้ว +5

    Tufundishe tupone Baba!

  • @officalialshebbylizertz8222
    @officalialshebbylizertz8222 ปีที่แล้ว +2

    Dr.Mwaka unajuwa sana big up🙏

  • @jacksonkatindasa6253
    @jacksonkatindasa6253 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe sana Dct mwaka pamoja na dada etu lilian mungu awapiganie kila iitwapo leo ili mzidi kutuelimisha zaidi na zaidi napenda sana vipnd vyenu♥️♥️

  • @williamshavu9509
    @williamshavu9509 ปีที่แล้ว +7

    Watu Kama Hawa ni wakujengea sanamu pale posta

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 ปีที่แล้ว

      Yatajengwa mangapi na je kutakuwa na nafasi tena hapo post??

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 3 หลายเดือนก่อน

    mr mwaka maashaallah. mungu akubariki sana kaka. wallah akulipe akujaze kila la kheri. akupe umri mrefu wenye afya na afwa wewe na kizazi chako. aamiin🤲🏾🙏🏾

  • @anneotieno1037
    @anneotieno1037 ปีที่แล้ว +5

    Mada nzuri sana sana. Nimejifunza na kujengwa.
    Asanteni sana Lilian & Dr. Mwaka

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana dr mwaka🙏🏾

  • @saadarashid8174
    @saadarashid8174 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful massage

  • @salimaalbartumani8425
    @salimaalbartumani8425 ปีที่แล้ว +3

    Dkt mwaka uko vzr tuomba uzidi kutuelimisha

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah tabarakaallah mungu akupe afya njema
    Dr mwaka Asante kwaushauri mzuri sana 💙💙💙

  • @halimamahenge4338
    @halimamahenge4338 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni sana kwa somo zuri

  • @dicksonmwelekete5713
    @dicksonmwelekete5713 ปีที่แล้ว

    Doctor mwaka. MUNGU akubalikisana 🙏

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 ปีที่แล้ว

    Dr mwaka umepotosha kwenye kufafanua namna ya utii.
    1- Tunatii mamlaka kuu.
    2-utii unatii ktk Bwana
    +Utii ni kuvunja mapenzi binafsi na kufuata ya mwingine.
    Tunatii ktk mambo mazuri yote yanayompendeza Mungu.

  • @anthonykamkolwe5766
    @anthonykamkolwe5766 ปีที่แล้ว +1

    Unaakili Sanaaa Dkt. Mwaka

  • @terrymgogwe928
    @terrymgogwe928 ปีที่แล้ว +1

    Dr unanishangaza! Uko vizuri, wewe ni mchungaji au ? Halafu unapiga kotekote

  • @aureliayuktankabebwa5066
    @aureliayuktankabebwa5066 ปีที่แล้ว +3

    Dr.✍🏽👏🏽👏🏽somo zuri sana kwangu

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 ปีที่แล้ว

    Nimecheka sana,daaah.Dr Mwaka uko vizuri mno Pastor wetu.Wanafuta kitabu cha Waefeso.....mbavu zangu

  • @issaomari5297
    @issaomari5297 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe mahusiano yana siri nyng sana ili ufanikiwe kuvuka salama inahitaj kumpata mtu mwnye kuijua dini kikamilifu sana....mpka naogopa kuoa mungu nisimamie ktk hili nimpate sahihi ktk maisha yng 🙏

    • @ashorass4431
      @ashorass4431 ปีที่แล้ว

      Sio kujua dini tu ndugu, Bali Imani pia, maana kua na dini bila Imani ni kazi bure, mwenyezi Mungu atusaidie kwakweli

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Sikujua dini ni kuwa na akili na upeo basi katika mambo ya imani ni lahisi ndani yake . Dini ata mnyang'anyi anaijua

    • @issaomari5297
      @issaomari5297 ปีที่แล้ว

      @@Mpakauseme nimemaanisha mm mtu mwnye hofu juu ya matendo mabaya yote hiyo ndo maana ya Iman na maamrisho namakatazo yamabaya ktk dini ndo ninaemzungumzia mm

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 ปีที่แล้ว

      Bro hata namm naogopa kama wewe unaweza ukaingiza miguu kwenye ndoa baadaye ukajutia

  • @mohamedschaeublin7374
    @mohamedschaeublin7374 ปีที่แล้ว +2

    Simple my Dear, Mwanamke ukiwa Juu wasahau kuheshimu amani ya Nyumba zenu, Heshima ndani ya ndoa haijalishi una cheo gani ama position gani, respect your self na utaheshimiwa..

  • @mitaala4335
    @mitaala4335 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah MashaaAllah yaani dr mwaka na dr wangu Ellie salute.

  • @fatmafatma-zn7en
    @fatmafatma-zn7en ปีที่แล้ว +2

    Hii inaonesha binaadamu haufuati maandiko(maandiko) tuna ishii tu shaghala baghala ndio huyo nyookewa maishani tunajitia wazunguu sanaa na hatujui kuwa tunaingia mstari wa shetani. Turudie na tuishi kulingana na Mungu anavotaka tu so adjust chochote ndipo tutafanikißha maishaa ya Dunia na ya mbinguni

  • @hatimalnaamani876
    @hatimalnaamani876 ปีที่แล้ว +2

    Shukurani sana

  • @samsonezekiel5239
    @samsonezekiel5239 ปีที่แล้ว

    Excellent

  • @happyodran4347
    @happyodran4347 ปีที่แล้ว

    Thank u dada

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu awabariki sana, kipindi kizuri sana nimepata funzo

  • @veronicamsimu4316
    @veronicamsimu4316 ปีที่แล้ว

    Ahsante Dr mwaka majibu yanajitosheleza

  • @kenedrocky5964
    @kenedrocky5964 ปีที่แล้ว

    ASANTE SANA DOCTOR. HUJAWAHI KUNIACHA BILA MAJIBU SAHIHI. 🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪💪💪

  • @willystevemakange3310
    @willystevemakange3310 ปีที่แล้ว +1

    Wao this is 🥰🥰

  • @miburoaaron1804
    @miburoaaron1804 ปีที่แล้ว

    Hongela sana kabisa Dr

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 ปีที่แล้ว +2

    Am tz doctor Mwaka anaongea juu ya mstar tunayapitia mara 2 ilinitokea weak 1 moyo uliniuma ndg yang wa damu alidondoka choon hafla na nilikuwa mbali na family nikakosa kuzika nilifika baada sik10

  • @abdulbandidu119
    @abdulbandidu119 ปีที่แล้ว +5

    Sijawah kujutia kuangalia interview ya Dr Mwaka hata siku 1

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว +3

    DK mwaka 🔥👏👏👏

  • @msafirikilongo7429
    @msafirikilongo7429 ปีที่แล้ว

    Motivation speaker

  • @festoanthony2200
    @festoanthony2200 ปีที่แล้ว

    Safi sana upo vizuri.

  • @user-kk8tq4be9m
    @user-kk8tq4be9m 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana dr mwaka

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 ปีที่แล้ว

    Hongera Dr mwaka umefafanua
    Vyema kwa mafanikio ya mwanamke na mwanaume

  • @alexlenkishon3988
    @alexlenkishon3988 ปีที่แล้ว

    Savi Sana👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @alghamsalim1622
    @alghamsalim1622 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah

  • @davidlelo6192
    @davidlelo6192 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @prisca1548
    @prisca1548 ปีที่แล้ว

    Dr... ubarikiwe sanaaaa...umekuwa na maarifa na hekima kubwa sana

  • @zenasmjema4050
    @zenasmjema4050 8 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisaa dr mwaka .

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 ปีที่แล้ว

    Dr Mwaka uko vizuri sana

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 ปีที่แล้ว +2

    Pepo ya mwanamke iko chini ya miguu ya mumewe so kama unapenda pepo mtii mumeo na kama unapenda Dunia fanya utakavyo then ukifa utajua hujui

  • @vnkjproduction7898
    @vnkjproduction7898 11 หลายเดือนก่อน

    Elimu nzuri sana

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 ปีที่แล้ว +2

    Lilian hili somo linakuhusu

  • @azizakwileka1641
    @azizakwileka1641 ปีที่แล้ว

    Believe your gut feeling... Listen your inner voice. Ujumbe niliopata

  • @hamisiramadhani14
    @hamisiramadhani14 ปีที่แล้ว

    Umenikosha sana Dct.

  • @BitenNzalu
    @BitenNzalu ปีที่แล้ว

    Very trueewe

  • @opiyowilson3640
    @opiyowilson3640 ปีที่แล้ว +1

    When answering a greeting,don't reply "Good"instead,say "Iam good".Samahani lakini Dr.Nakuheshimu sana.

  • @361NEWS
    @361NEWS ปีที่แล้ว

    Dah👏👏👏🙌🙌

  • @stevenmahanu9261
    @stevenmahanu9261 ปีที่แล้ว

    Dr. Mwaka yuko vizuri ila I wish dada Lilian Mwasha, ungeniuliza mimi hilo swali la kwanini moyo unauma..... sema ndio hivyo wanaoalikwa ni maarufu tu, kuna watu wako nondo sana ila sio maarufu.

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 ปีที่แล้ว

    👏👏

  • @paschazianestorymatunda5972
    @paschazianestorymatunda5972 ปีที่แล้ว

    Dada lilian nakubaliana na Dr. Mwaka.. lazima kuomba ruhusa kwa Mume .. kwa sababu yeye ni baada ya KRISTO... Ndoa nyingi... Zinavunjika kwakukosa utii... Na utii ni kutambua nafasi zetu sisi wanawake ni wakina nani?
    2. Wanaume wanatakiwa wawapende kwanza wanawake ili wanawake waweze kuwatii wanaume zao...

  • @chapter2719
    @chapter2719 ปีที่แล้ว +1

    Chagua mwanaume mwenye akili hiyo point nzuri

  • @salimaalbartumani8425
    @salimaalbartumani8425 ปีที่แล้ว +3

    Liliani ubarikiwe kipindi choko kizuri kinatuelimisha

  • @ev.wyclifeomboka9205
    @ev.wyclifeomboka9205 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisaa Dkt

  • @husnahikma9816
    @husnahikma9816 ปีที่แล้ว

    Mko nama ukweli
    Lilian Thnks ,Dr mwaka tunajifunza mengi ......

  • @happyodran4347
    @happyodran4347 ปีที่แล้ว

    Wa bongo , Kutii katika Bwana, upendo katika Bwana ... sasa mwanaume anakupelesha anatua hilo andiko , linakutoa kabisa Kristo . Utii katika Bwana.

  • @neemagabriel2900
    @neemagabriel2900 ปีที่แล้ว +1

    Mada nzuri hongereni.Utii upo unapaswa kutekelezwa ila mwanamke anapaswa kujua uwezo wa mume kuchakata anachotaka kushauri maana unaweza tii kila kitu hata kisichofaa

    • @chukijuma1321
      @chukijuma1321 ปีที่แล้ว

      Lpp0

    • @nouvamusik3482
      @nouvamusik3482 ปีที่แล้ว

      Ndio mana doctor anawaambia tafuteni wanaume wenye akili...

  • @sadikimwalongo7871
    @sadikimwalongo7871 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa yupo vizuri sana tena sana

  • @laylasaid8406
    @laylasaid8406 ปีที่แล้ว +3

    Shukurani Allah masikini sana🙏

  • @abdulsaid4579
    @abdulsaid4579 ปีที่แล้ว +1

    daah...mi nishawahi kuambiwa "chako ni chetu n changu ni changu"....kw utani fulani hivi.. basi nikajisemea kimoyoni duuh ndivyo walivyo hivi....hahaha
    lakini pia nahisi wanawake wana ubunafsi huu kw sababu wanaona hawaamini wanaume wa ndoa zao kw sababu y wanaume kupenda wanawake wengi n kila kitu. ni nature ilioanza tangu kw mama yetu mkuu bi Hawa (Eve),ibilisi alimwandama mama yetu mpaka akamlisha Adam lile tunda. lakini poa mi mwanamke akiwa n ubinafsi sijali sana ila aniheshimu ndio muhimu sana 🙏🏿 👍🏿👐🏿💪🏿💪🏿

  • @lifemiles70
    @lifemiles70 ปีที่แล้ว

    Mke wa mtu akitaka kwenda mahala ,siyo atoe taarifa bali aombe ruhusa mmewe, mume ndo wakutaarifa familia yake anapoenda kwaajili ya kuonyesha upendo, mke kuomba ruhusu kwaajili ya kutii mme. Hii nd amri ya Mungu.

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    😍😍😍

  • @maryschroeder521
    @maryschroeder521 ปีที่แล้ว +1

    This is dope💯

  • @yahfeysal4184
    @yahfeysal4184 ปีที่แล้ว +1

    Dada lilian jaribu kuwa msikivu wakat dr anaoggea unamkatisha mnoo

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 ปีที่แล้ว

    To be continued

  • @salamaizungo4644
    @salamaizungo4644 ปีที่แล้ว

    Dr. Mwaka una kitu aisee

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 ปีที่แล้ว

    Mungu hajatuumba kwa mfano wake coz hafananishwi na chochote

  • @Commentsplus
    @Commentsplus ปีที่แล้ว +1

    dada Leo Umeferi

  • @laylasaid8406
    @laylasaid8406 ปีที่แล้ว +2

    Wow MashaAlla🌹 👌👏👏👏mim nimemuelewa sana Dokta

  • @jrlamar8925
    @jrlamar8925 ปีที่แล้ว +1

    huyu mwamba anajua sana saikolojia ya binadamu. sio kiimani tu ata tabia za mwanadamu kisayansi

  • @hatibumakondemakondemakond1479
    @hatibumakondemakondemakond1479 ปีที่แล้ว

    Duuuu!...

  • @thomasero6800
    @thomasero6800 ปีที่แล้ว

    Dkt nakukubali sana, ndivyo walivyo wanawake, hata huyo unayeongea naye anakichwa kigumu

    • @christinen8291
      @christinen8291 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣

  • @jumamuhando2504
    @jumamuhando2504 ปีที่แล้ว

    Wajina aisee ww unaakili nyingi sana

  • @koperawasona9551
    @koperawasona9551 ปีที่แล้ว

    Doctor mwaka sio akili yako ni akili za Mungu ametiya dani mwako uwafudilishe hao wanawake wasiku za mwisho

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 ปีที่แล้ว +1

    Anatoka wapi huyo mwanamke mwenye kipato kikubwa mwenye kumtii mume wake yuko wapi mimi sijawahi kumuona

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 ปีที่แล้ว

    WEWE DR MWAKA NI MZUSHI HAKI ZA MUMEE NI ZA MKE NA WANAWEE ILAA HAKI ZA MKEE NI ZA MKEE NA WANAWEE KUMPA AKU KUSHARE NA MUME WAKE NI MAPENZI TUU NA HURUMA SIO LAZIMA