@@mauldabdalah2168 mwenyewe anajua nini anakifanya mpaka mume hawezi kumsaliti, wengi mukishaolewa mnasahau jukumu dogo dogo la ndoa, kuvujika kwa ndoa sio mume akufumanie lahasha zile vitu kama usafi, mapezi ,kupiga chakula tamu, kumumbembeleza mume sio kuvujika moyo eti aaaah hata umubembeleze atatoka tu hapana sio hiyo bembeleza mumeo unosha mahaba kuwa mubunifu wa mapezi, kuna sehemu nyinyi wanawake munasahau mwanaume anapenda sana sexe hapo ndo ukorofi unaaza akitaka wewe oooooh leo sijiskii vizuri sababu usio na maana ooooh nimechoka hapo umemutuma aende akatafute
sehemu umeshikilia ongeza ujuzi zaidi iliazidi kupagawa hakuna dawa kwenye ndoa, usafi, ubunifu wa mapezi, kujua kupiga chakula kitamu, usimnyime mume sexe bila sababu.
Nikweli sheheee wangu ongea ukweli wanawake wako tofauti sana uyoo anasema mwanaume wake akili ndogo sana mm mkirisitu watatuuu mwanamke Moja hudumaza akili waachee upuuzii taipu nyingi sana
Hapo kwenye kufurahia talaka wala sio shida ukizingatia unakuwa umetoka kwenye kifungo cha manyanyaso lazima sherehe ifanyike! Mtu hunawahi ona furaha yoyote ndoani, Leo umepata talaka kwann usifurahie aaah!
Astakhafirulah Astakhafirulah Astakhafirulah Haram is Haram Haram is Haram Haram is Haram Shekh hata kukaa hivyo na huyo Dada Haraaam I'm sure not yr wife how come akae hivyoo bila mtandio wakufunika shingo na vichekoo hivyooo Astakhafirulah Astakhafirulah Astakhafirulah.
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Hongera kwa wanao hakikisha tunapata kipindi hki tunajifunza mengi.
Nampenda huyu sheikh kijana
Mawaidha yake yote anatia vichekesho, na vinatufurahisha
Mama JJ Mimi naitwa rehema kutoka tanga natk kujua ikitokea msichana akaolewa Hana bikra Ina maana hajafunzwa au ni vp Asante
Mtihani mkubwa huo talaka kupewa unacheza mtihani huo mungu anisuru ishaalah nikiolewa nisiachike ishaalah mungu atuwezeshe ishaalah🙏🙏🙏
Inshallah 🙏
Kipindi kinaelimisha sana. Hongera.Ombi tafadhali Kuna tabia hii ya kuanika chupi waziwazi bafuni au nche uani
Wowow pambana 👌🏽👌🏽ila mimi mume wangu wa pekeangu Yupo
Unajidanganya
Pingine una mwinzi ila wewe hujui tu
Nakuunga mkono, waume wanaoishi na mke mmoja wapo sana maisha yanasonga na hawana shida!
@@mauldabdalah2168 mwenyewe anajua nini anakifanya mpaka mume hawezi kumsaliti, wengi mukishaolewa mnasahau jukumu dogo dogo la ndoa, kuvujika kwa ndoa sio mume akufumanie lahasha zile vitu kama usafi, mapezi ,kupiga chakula tamu, kumumbembeleza mume sio kuvujika moyo eti aaaah hata umubembeleze atatoka tu hapana sio hiyo bembeleza mumeo unosha mahaba kuwa mubunifu wa mapezi, kuna sehemu nyinyi wanawake munasahau mwanaume anapenda sana sexe hapo ndo ukorofi unaaza akitaka wewe oooooh leo sijiskii vizuri sababu usio na maana ooooh nimechoka hapo umemutuma aende akatafute
sehemu umeshikilia ongeza ujuzi zaidi iliazidi kupagawa hakuna dawa kwenye ndoa, usafi, ubunifu wa mapezi, kujua kupiga chakula kitamu, usimnyime mume sexe bila sababu.
swadakta sheikh,mama jj umegonga ndipo
Ntafatilia hiki kipindi nimekipenda
Nikweli sheheee wangu ongea ukweli wanawake wako tofauti sana uyoo anasema mwanaume wake akili ndogo sana mm mkirisitu watatuuu mwanamke Moja hudumaza akili waachee upuuzii taipu nyingi sana
Mashaallah mwenyezi mungu azidi kuwapa afya njema ili tupate kujifunza kwa hayo munayo tueleza
Yaaaaaan huo ufagio nitanunua tu soon mume wangu jiandae wallah
Love this Sheikh. Watching all the way from the states and extracting plenty of wisdom from your guests! Asante Mama!
Ahsante sana 😂❤❤❤
MashaAllah shukrani nimejifunza kitu.
Kwangu Mkristo haipo hiyo
Mashaalla
Ma Shaa allaha
Ma shaa Allah 👌👌
Masha Allah darasa zuri sana
Alooooooooooo 👌🏽👌🏽Ahsante ni samehee🙌
Shekh nimekupenda bure huna ubaguzi wa dini
Subhanallah..
MASHAA LLASH
Parfect!!!
Shehe kumkamata mkono mwanamke apo nimakosa umekosea ww ni shehe dini hairuhusu
Sio kila alovaa kanzu ni shehe ndungu yngu hilo ni vazi tu km mavazi mengine
Samahani mama naweza kupata namba zako
Waoe lkn wasifanye kuoa mke wa pili ndo fimbo ya kumchapia mke mkubwa maana wengi husema kumwambia bibimkubwa dawa yako iko jikoni
Me uke wenza hapana
Haaaaaaaa 😄😀 ukweli mchungu Ila unaponya
Hapo kwenye kufurahia talaka wala sio shida ukizingatia unakuwa umetoka kwenye kifungo cha manyanyaso lazima sherehe ifanyike! Mtu hunawahi ona furaha yoyote ndoani, Leo umepata talaka kwann usifurahie aaah!
😄🤣😂😆😄🤣
Mambo mazito 😍
We dada malupataje
Mkufunzi bora
Ama kama una group popote mama maana najifunza Kila leo
Hivi. Hakuna kungwi mkiristo eee
👌
Astakhafirulah
Astakhafirulah
Astakhafirulah
Haram is Haram
Haram is Haram
Haram is Haram
Shekh hata kukaa hivyo na huyo Dada Haraaam I'm sure not yr wife how come akae hivyoo bila mtandio wakufunika shingo na vichekoo hivyooo Astakhafirulah Astakhafirulah Astakhafirulah.
Umeonahiyo. Mtihani mtupu
Umesoma skuli ya wanawake tu au chuo cha jinsia moja tu sasa haramu gani hapo wacha kujifanya unajua dini sana
@@eyabdimaha3698 acha kutetea upuuzi ww uharam uwoni upo wazi wazi we vipi lntakillah kabla mauti
@@eyabdimaha3698 Aihusiani Na Sheri za Dini ya KIISLAAM wangelikuwa siyo waiislaam hapo sawa tu Nduguuu
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😀😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mama JJ Mimi naitwa rehema kutoka tanga natk kujua ikitokea msichana akaolewa Hana bikra Ina maana hajafunzwa au ni vp Asante
Mashalah
😂😂😂😂😂