This guy(Mwaka) nilikua namchukulia poa sana. But he has the profound knowledge in relationship. I recommend him to speak in whatever platform discussing marriage issues in our country. Watu wamualike popote pale wanapozungumzia mahusiano. Many Kudos to him
Hayo mahangaiko ya kuutosheleza mwili huwa hayakomi usipotumia utashi Mungu aliokupa ili kukutofautisha na wanyama wengine ni kweli kabisa,ni tamaa tupu hapo
Dada!! Katika kipindi chako, Hii ndiyo mada bora katika mwaka huu. Sidhani kama kuna mada itakuja tokea yenye kuelimisha jamii katika kipindi chako mwaka huu.🙏🙏
Yani namshukuru sana doctor Mwaka anafafanua jambo mpaka linaeleweka nimekuelewa sana na nimejifunza vitu vingi tutoka kwako tunaomba izidi kufundisha unatuokoa wengi
Washiriki wameishiwa na maswali ndani ya dakika 20 tu, Dr Mwaka wewe ni therapist makini sana umeelezea mambo kwa logic na ushahidi wa kweli. Ugonjwa uliochafua dhamira za mapenzi ni imani za dini zilizopo hapa duniani.
"Mwanamke jinsi ulivyo kuna kitu umekivaa ambacho kinamuogopesha mwanaume... Cha thamani sanaa hakitongozwi hovyo" huu mstari ni sahihi kabisa dokta Mwaka
Dr Mwaka unatisha kwa uelewa wako. Somo la Leo limenifungua macho na akili. Wanaume na WANAWAKE zaidi wapate somo hili. Auntie Sadaka ni psychologist ninayemheshimu sana, lakini hapa naona hata yeye amemkubali Dr Mwaka kwenye somo hili. Dr Mwaka asante sana na hongera.
Yaani Dr Mwaka ktk siku ulizoelezea kuhusu mahusiano, hii umeelezea vizuri sana, kwa kweli inabidi watu waambiwe ukweli tu ndio iliyobaki ili kuponya ndoa na mahusiano ya watu wengi. Aalikwe tena huyu atupe nondo...!! Maana kama ni shule basi mwalimu tumempata. Mbarikiwe
The very special thing na ninacho jivuniya sana, ni Christu Mwana wa Mungu aliye nauwezo wa kuuteka na kuuponda ponda moyo wa mme wangu nakumfanya asichepuke
Huyo mama tuko sahihi sana tamaa ndizo zinazowaponza wanaume wengi na selfishness yaani ubinafsi kwa sababu ukweli ni kwamba mwanaume anayejitambua hapaswi kuchepuka na kutoa sababu kwa sababu kabla ya kuchepuka fikiria watoto wako fikiria jamii inayokuzunguka
Mungu azidi kukupa huo ufahamu mzuri na mafanikio yatakuwa makubwa sana na nikwambie unapotembea na mwanamke tofauti na uliyeoa kuna agano flani la damu unaingia but kibinadamu hatujui hiyo ni kiroho zaidi
DR. MWAKA SAMAHANI SANA, UNACHANGANYA MADA! UPENDO TUNAOUZUNGUMZIA AMBAO HAUGAWANYIKI NI WA KIMAPENZI TU! ILA UPENDO WA KAWAIDA NI WA WAZAZI NA WATOTO NA VITU VINGINE NI UPENDO WA KAWAIDA AMBAO NDIO UNAOGAWANYIKA.
Naomba niweke sawa hapo niongezee kwa Mzee wangu Dr mwaka, kuna khauli ya wanawake kusema wanawake wote ni sawa inapotokea mwanaume kaenda kwa mwanamke mwingine hicho hicho anacho mke wake ila sio kweli sio SAHIHI wanawake mmetofauti swala la kutoka ni akili zetu wanaume. 🤝
Hakuna Kiwango cha utoshelevu,ubunifu ,style mapambo wala chochote kile kinachoweza kumfanya mwanaume asitulie. Mwanaume asiye na hofu ya Mungu anawezafanya lolote popote na mtu yeyote hata kama huko kwako unampa kila kitu. Lakini pia Dk Mwaka aache kutumia sababu anayoiita sababu ya upumbavu wa wanaume kwa yeye kuendelea kuongeza wake,sio kweli,kama anasababu nyingine ya kwann anaongeza wake ni bora aitumie hiyo na sio kingine,maana anachotaka kutuonesha mwaka hata baada ya kuoa hao wake wanne ambao kwa mujibu ya dini yao wakikimalika bado ataendelea kutembea na wanawake wengine maana si anadai yeye anakaupumbavu,huo upumbavu usioisha ni uhuni,wanaume tusiunge mkono hili.
Hawa ndugu zetu wanajaribu kuupamba uhuni wao kwamba ni udhaifu wa wanaume..wapo wanaume wanawapenda na kuwaheshimu wake zao na hawahangaiki na wanawake Wengine....
All the ladies have been educated beyond what they imagined. Dr.Mwaka has put facts on the table you can decide to take or leave.Let me tell women that is the way it is
Hujaangalia lakini unampa 100% Dr. Mwaka kuliko wengine why? Kafanya vizuri ingawa kanikera kidogo katoa siri zetu wanaume kuna vitu tulikubaliana tusiseme!
Doctor Mwaka is a man in men. You speak for men. If women knew men like Doctor Mwaka no man on Earth would ever leave {abandon} a woman. Big up Doctor.
Asante sana lilian mwasha na dr mwaka.mimi hata mumewangu anajua kipindi hiki kimetubadilisha na kutengeneza amani na heshima ndani ya ndoa yetu,,,,tunajivunia kwakweli.hiki kipindi aliepata wazo la kukulianzisha abarikiwe sana sana
Dr Mwaka.....umeliweka hili swala katika Perspective sahihi kabisa. I like the way ume-approach suala zima. Kuna mambo yanaweza kuisumbua jamii kwa kua tu: Uelewa na mtizamo sio sahihi
Safi sana Dr ila kuengezea ni kuwa mwamume anaweza Kushinda na kukesha na mkewe ila asubuhi ikifika akatoka nnje akaona chombo chengine na hisia zikaja ila mwanamke hawez pata hisia hizo isipokuwa kw anae fanya tendo hilo kw hela,well said Dr, mke wa mtu ukitongozwa maana yake hauna thamani upo chini sana ...frm 25🇰🇪 flo
Kweli kabisa Dr Mwaka,mawaitha unoyotowa ni ya muhimu sana kwa mahusiyano.Lilian,kipindi chako ni kizuri sana na kina manufaa mengi sana.Nakitazama kila wakati nikiwa na time.Thank you.
Hongera Dr Mwaka Ila cc binadam anayetujua ni mwenyezi Mungu na yy ndo katuhalilishia wanawake zaidi ya mmoja mathalani muislam ameamrishwa akitaka kuoa bac aanze na 2...maneno ya mungu
Wanawake wa sasahivi hawa tishiwi kwakua wengi wame soma na wana pesa. Zamani wanawake walikua wanyenyekevu manake ilikua akisha olewa huyo mume ndio kila kitu Kama alivyo kua ktk matunzo ya wazazi wake. Yani niki ondoka hapa nita enda wapi na kuishi vipi
wagiriki wametofautisha aina za mapenzi kuna agape, phileo, Eros na storge . Eros ni penzi Kati ya mwanamke na mwanaume, na kwenye ndoa mwanaume ameambiwa ampende mkewe kwa pendo la agape , penzi la agape likiingia kwenye eros hilo haligawanyiki, na siku mwanaume akigusa hapo hutasikia kaoa mke mpya, anaweza kuchepuka kwa tamaa tu (eros bila agape) na tabia mbaya lakini atatulia na mkewe ampendaye hata kama ana uwezo na dini inamruhusu. Agape na eros ni combination hatari sana ndio maana unaweza kuona watu wanauana kwa mapenzi. Au mtu anakuwa chizi kwa ajili ya mapenzi. Ukiona mwanaume anataka kuongeza wake ujue bado hajafika bei kwenye mapenzi yaani haja onja combination ya Eros na agape, wengine wanaweza kuoa hata 300, wakidhani ni tamaa tu kumbe bado hawajapata combination ya Eros na agape. Hayo mapenzi ya storge na phileo ndio hayo yahayohusu ndugu, jamaa, jamii na marafiki. Agape ni unconditional love ya Mungu kwa binadamu. Na mwanaume anapo mpenda mkewe anaambiwa ampende kwa pendo la agape, yaani bila pendo bila masharti wala kipimo.
A man will cheat but will always luv the one he luvs...for a woman its different she willuv a man but the moment she cheats is she is done emotional wisely wit the man and she will keep seeking 4 it
Duuuh hii show hatare nmejifunza kitu kikubwa respect kwako Dr mwaka mungu akubarik Dr.mwaka pamoja na team mzima y women matters
This guy(Mwaka) nilikua namchukulia poa sana. But he has the profound knowledge in relationship. I recommend him to speak in whatever platform discussing marriage issues in our country. Watu wamualike popote pale wanapozungumzia mahusiano. Many Kudos to him
Doctor mbona unasema wanawake tulio kaa hapa hata ww ni mwanamke nn
Doctor umeongeya points sana
Hayo mahangaiko ya kuutosheleza mwili huwa hayakomi usipotumia utashi Mungu aliokupa ili kukutofautisha na wanyama wengine ni kweli kabisa,ni tamaa tupu hapo
❤❤❤❤❤❤❤
Limefeli limepewa taraka na mkewake shoga hilo😂😂😂
Kweli ni kile ukifanyacho mm wife alimtunza Mama yangu akiwa mgonjwa hilo sitomsahau mke wangu.
Very good wife you have bro mashaa Allah god bless you and your family nuff respect big man
Doctor mwaka wallah leo umenifungua pakubwa sana, nimejifunza kitu Na maswali ya kila cku nimepata majibu
Ni kweli Dr mwaka ktk utii alichozungumza namuelewa sana maana ni Bo's wangu ananyookaga hana kupindisha mambo
I just love it, Dokta Mwaka.. Umeongea yote kabisaa.. Nimejifunza kitu 100%
Dada!! Katika kipindi chako, Hii ndiyo mada bora katika mwaka huu. Sidhani kama kuna mada itakuja tokea yenye kuelimisha jamii katika kipindi chako mwaka huu.🙏🙏
Kbsa
Dr Mwaka yuko sahihi kabisa, hiyo ndio asili ya wanaume kama ilivyo asili ya wanawake.Gonga like kwa Dr Mwaka
I just love Doctor mwaka he is honest na mjanja ndo maana umeoa wake wengi because una hekima fulani
Yani namshukuru
sana doctor Mwaka anafafanua jambo mpaka linaeleweka nimekuelewa sana na nimejifunza vitu vingi tutoka kwako tunaomba izidi kufundisha unatuokoa wengi
Ahsante WOMEN MATTERS
Daah tulikumis Dr mwaka tunashukru sana karbu tena
Kuna tofauti kati ya uzuri na utamu
🔛🔛😃
Nimejifunza kitu sio sir Shukran sn dr mwaka
DR.MWAKA GENIUS BEST INTERVIEW EVER BORA UMETUWAKILISHA
Washiriki wameishiwa na maswali ndani ya dakika 20 tu, Dr Mwaka wewe ni therapist makini sana umeelezea mambo kwa logic na ushahidi wa kweli. Ugonjwa uliochafua dhamira za mapenzi ni imani za dini zilizopo hapa duniani.
Hakika maneno mazima nanimejifunza kitu
Walikua kimya
The best women matters ever big up kwa Dr mwaka
Lili mwasha acha kusali kama uko pamoja na wanaume
Hv6
Kwa kweli Dr Mwaka ni King namukubali , I 'm watching from Kampala
Webale nyabo
Dah ww ni zaidi ya dokta unakipaji mashaallah.
Dr Mwaka kaitendea haki sana hii Mada na ametuwakilisha vizuri wanaume
Dr Mwaka you are a genius,you made my day.
No no no!! He is intelligent
Mwaka you are so genius brother!, you've said the truth!.
Mwaka ni bonge la mtaalam doc kweli
Dr Mwaka ametuwakilisha vizuri...na huyo mama mwenye ushungi wa blue bahari ameongea vizuri sana
Mwashaa unaharibu flow ya points za Dr bingwa wa mahusiano
"Mwanamke jinsi ulivyo kuna kitu umekivaa ambacho kinamuogopesha mwanaume... Cha thamani sanaa hakitongozwi hovyo" huu mstari ni sahihi kabisa dokta Mwaka
baa
Ahsante sana JJ mwaka kwa kutuwakilisha ipasavyo wanaume 👏!!
@@jettymandizanohainamfano770 kwani chani??
Dr Mwaka unatisha kwa uelewa wako. Somo la Leo limenifungua macho na akili. Wanaume na WANAWAKE zaidi wapate somo hili. Auntie Sadaka ni psychologist ninayemheshimu sana, lakini hapa naona hata yeye amemkubali Dr Mwaka kwenye somo hili. Dr Mwaka asante sana na hongera.
Yaani Dr Mwaka ktk siku ulizoelezea kuhusu mahusiano, hii umeelezea vizuri sana, kwa kweli inabidi watu waambiwe ukweli tu ndio iliyobaki ili kuponya ndoa na mahusiano ya watu wengi. Aalikwe tena huyu atupe nondo...!! Maana kama ni shule basi mwalimu tumempata. Mbarikiwe
Hongera Muheshimiwa Dr Mwaka kwa kufafanua uhalisia. Huyu Lilian yanamgusa sana anahuruka ndivyo sivyo.
Haaaaa
The very special thing na ninacho jivuniya sana, ni Christu Mwana wa Mungu aliye nauwezo wa kuuteka na kuuponda ponda moyo wa mme wangu nakumfanya asichepuke
Asante,upendo ni tunda la roho!
Tamaa ni tunda la mwili!
Galatia 5:1-6
Chagua tu ,tumepewa kuchagua
The best episode of this show. Nimeanza kuangalia hii show mwaka huu
dr . nakukubali na nakufahamu sannna majibu yako veryvery bright indead . woow!!!😘
Nikweli kuna kipindi nilimpenda mtu mpk nilikuwa kila nikiona mwanamke mzuri njiani.. kwanza naanza kumuwaza mtu wangu.. alaf napotezea wengne.. 👏
We ndo unafaa sasa🙌
@@emmyaugustine4024 na mm nafaa pia
@@najimyahya7901 hahahahah😂
@@najimyahya7901 wewe naona dini inakuruhusu... Hayo ya mmoja hutayaweza ndugu yangu 😂
@@emmyaugustine4024 hahahhhaha usinifanyie hivo basiii
Dr. Mwaka your such a genius.
Dr Mwaka nakukubali sana. Unajua!
Huyo mama tuko sahihi sana tamaa ndizo zinazowaponza wanaume wengi na selfishness yaani ubinafsi kwa sababu ukweli ni kwamba mwanaume anayejitambua hapaswi kuchepuka na kutoa sababu kwa sababu kabla ya kuchepuka fikiria watoto wako fikiria jamii inayokuzunguka
Mungu azidi kukupa huo ufahamu mzuri na mafanikio yatakuwa makubwa sana na nikwambie unapotembea na mwanamke tofauti na uliyeoa kuna agano flani la damu unaingia but kibinadamu hatujui hiyo ni kiroho zaidi
sana dokta yani kama uko sahh kabissa hujadanganya ata kidogo umepita mulemule
Uko sahihi kabisa
Dr.Maneno mazuri sana na nikweli kabisa unavo sema,wanaume ni watu wenye tamaa sisi wanawake hatufahamu tunapenda sana kuamini mapenzi
Shukran kwa mlo shiriki, nimejifunza mengi.Mungu awalinde mzidi kutuelimisha🤲🤲🤲🇰🇪
Dahhhhh. Nimerowana.. Kiukweliii. Habariii iyiii imezidi. Utamu kwa kweli docta mwaka. Mungu akulipe
Safi sana,nimekupenda Dr kwa ukweli wako.
Masha Allah Ahsante nimejifunza vitu vingi mnoo Allah awabariki sana 🙏🙏
Oohh hii show kali yani nitaitizaa kila week mara tatu "religiously" taking notes... lessons za Doc. Mwaka poa sana
Yes mama wanaume wanatamaniii awapendi💯
Doctor mwaka makofi yakufikie👏👏👏👏👏
⚘⚘ Shukraan Dr..Mwaka kwa ushauri wako nzuuri⚘⚘ Dr. Mwaka wale wanaume wasoweza kujali wanachofanyiwa unatusaidiajee?
I'm watching all the way from Nairobi Kenya na follow up🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Doctor Mwaka is right.
Hata utajiri ni hivyo...
Mwanaume akienda nje, its not about his wife/gf.. that is well said n stated loud and clear. Sante Mwaka na violet kwa kumpa mkono.
DR. MWAKA SAMAHANI SANA, UNACHANGANYA MADA! UPENDO TUNAOUZUNGUMZIA AMBAO HAUGAWANYIKI NI WA KIMAPENZI TU! ILA UPENDO WA KAWAIDA NI WA WAZAZI NA WATOTO NA VITU VINGINE NI UPENDO WA KAWAIDA AMBAO NDIO UNAOGAWANYIKA.
This man is very wise surey,mafunzo yako is amazing, watching from kenya 🇰🇪
Mashallah nice topic nimejifunza mengi ALLAH awabarik
💯💯💯💯💯 hongera team nzima ya WOMAN MATTER👍👍👍👍👍
Naomba niweke sawa hapo niongezee kwa Mzee wangu Dr mwaka, kuna khauli ya wanawake kusema wanawake wote ni sawa inapotokea mwanaume kaenda kwa mwanamke mwingine hicho hicho anacho mke wake ila sio kweli sio SAHIHI wanawake mmetofauti swala la kutoka ni akili zetu wanaume. 🤝
Hakuna Kiwango cha utoshelevu,ubunifu ,style mapambo wala chochote kile kinachoweza kumfanya mwanaume asitulie.
Mwanaume asiye na hofu ya Mungu anawezafanya lolote popote na mtu yeyote hata kama huko kwako unampa kila kitu.
Lakini pia Dk Mwaka aache kutumia sababu anayoiita sababu ya upumbavu wa wanaume kwa yeye kuendelea kuongeza wake,sio kweli,kama anasababu nyingine ya kwann anaongeza wake ni bora aitumie hiyo na sio kingine,maana anachotaka kutuonesha mwaka hata baada ya kuoa hao wake wanne ambao kwa mujibu ya dini yao wakikimalika bado ataendelea kutembea na wanawake wengine maana si anadai yeye anakaupumbavu,huo upumbavu usioisha ni uhuni,wanaume tusiunge mkono hili.
Aiwaaaaaah safi kabisa...unaongza use logcal reasons sio ujinga
Hawa ndugu zetu wanajaribu kuupamba uhuni wao kwamba ni udhaifu wa wanaume..wapo wanaume wanawapenda na kuwaheshimu wake zao na hawahangaiki na wanawake Wengine....
Kwa kweli nairejea kuiangalia hii mada kila siku dah Dr unanikosha 😘
All the ladies have been educated beyond what they imagined.
Dr.Mwaka has put facts on the table you can decide to take or leave.Let me tell women that is the way it is
tumegongwa na butwaa
Yaani nimewaelewa sana, Dk. Mwaka unasema kweli kabisa.
The best ever on women matters, this man gave it all i have enjoyed the show.
Duuuuh balaaa
Kweli kusema,ukweli ni vema
Dr mwaka duuuuuuu
Kweli tupu
Yooooooo mungu tusaidie
Tuna muomba Mungu iki kipindi kiendeleye milele mana kina dose za kila aina. Tume anza kuskia nafuu Dr.
DK. mwaka maneno mazima kabisa kuna mwanaume anapenda mwanamke kutokana na tambiya nzur kwa familia y’a mume na mke 🙏🏾🙏🏾
Kiukwwli kabsa uko right japo wengi hua tunakataa hatupendi zungumza ukwel tunapenda kuzungumz kw kuridhisha nafs Dr unachosema ni kweli
The best women matters show I have ever watched, big up to Dr. Mwaka, he is the best of all guests ever invited! 👏👏👏👌💯🔥🌍🔥
Hujaangalia lakini unampa 100% Dr. Mwaka kuliko wengine why? Kafanya vizuri ingawa kanikera kidogo katoa siri zetu wanaume kuna vitu tulikubaliana tusiseme!
Doctor Mwaka is a man in men. You speak for men. If women knew men like Doctor Mwaka no man on Earth would ever leave {abandon} a woman. Big up Doctor.
@@hajihassan5433 hahahahahahahahahaha...kwenye kile kikao chetu wanaume eeeh?hahahaha!
Hii mada imenigusa sana sana kiukweli sina maelewani namchumba wangu ila baada yakuskiliza hiki kipindi namafundisho ya docta mwaka imenifundisha sana
Mnampa mwanamke kazi nyingi sana kwa kumfurahisha mwanaume..mnatukandamiza sana
Aisee na sisi tutafute michepuko ili itunogeshe na itupambe
@@irenemacha7457 Tafuta utaona faida yake!!!!!
@@hajilipotha9658 hahaha
Fanya unachoweza at your own risk
Nilikuwa nagombana sana na mume wangu ila baada ya kueasikili now I understand hongereni sana
Hongera
Dr mwaka u'r the best umeongea point na nimejifunza kitu kikubwa sana
Shukran Sana kwa kutuelimisha nimefurahi wallah na Allah awape mwingi wa kutuelimisha inshaallah
King NAILED IT!! Understanding men more everyday
Doctor mwaka you are very bright 💪
Big up doctor mwamba vyote ulivyoongea ni point tupu kaka
Asante sana lilian mwasha na dr mwaka.mimi hata mumewangu anajua kipindi hiki kimetubadilisha na kutengeneza amani na heshima ndani ya ndoa yetu,,,,tunajivunia kwakweli.hiki kipindi aliepata wazo la kukulianzisha abarikiwe sana sana
This is the best show ever!🙌
Great....Dr Mwaka.....that is the..truth .......Mwangi from Kenya
Asante dr Mwaka. Unajua kweli. Endelea kutupa elimu mpaka tutaelewa tu
aisee uyu jamaa kaongea vitu vya maana kuliko umli wake 👍
Tena sana
Dr mwaka wakupe peps apo natuma hela kwa m pesa. Unaongea point sana alaf koo linakauka
Doctor mwaka Asante sana 🙏❤
Dr Mwaka.....umeliweka hili swala katika Perspective sahihi kabisa. I like the way ume-approach suala zima. Kuna mambo yanaweza kuisumbua jamii kwa kua tu: Uelewa na mtizamo sio sahihi
Dr mwaka ni fundii hatarii sana!!ndo maana ake wake zake wametulia!!
maisha yao yandani unayajua au unalopoka sura ya nje sio ya ndani....
Dk uko sawa mie ni mama umenifundisha kitu asante sana ubarikiwe
For the first time i like this show
Nimerudi tena 2021 kumuangalia Dr mwaka fundi wa interview
Sisi vidume tuna kaukichaa lakin hatuokoti makopo, mwaka umetisha kweli
😂😂👌bora Mue naokota makopo
Docta uko vizuri hongera nyingi zikufikie popote ulipo
Doctor Leo umeongea vitu mpaka nimerudia kuangalia Interview mara mbili,
Safi sana Dr ila kuengezea ni kuwa mwamume anaweza Kushinda na kukesha na mkewe ila asubuhi ikifika akatoka nnje akaona chombo chengine na hisia zikaja ila mwanamke hawez pata hisia hizo isipokuwa kw anae fanya tendo hilo kw hela,well said Dr, mke wa mtu ukitongozwa maana yake hauna thamani upo chini sana ...frm 25🇰🇪 flo
Dr mwaka umetuokoa wakulungwa asee, agiza Vant hapo nakuja lipa
Dr upo juu umewtia maji wote. Wewe kweli Doctor siwa kubahatisha
One of the best for sure!
Lily unanikosesha mami! Mwaka kiboko,nimuelewa sana zaid ya sana! Asante kwa uwepo wa hiki kipindi!! Amazing
Kweli kabisa Dr Mwaka,mawaitha unoyotowa ni ya muhimu sana kwa mahusiyano.Lilian,kipindi chako ni kizuri sana na kina manufaa mengi sana.Nakitazama kila wakati nikiwa na time.Thank you.
Nonsense upuuzi mtupu mapenzi ya ndoa sio upendo unaouongelea hapo...Adamu aliumbiwa mwanamke mmoja
Dr uko vizuri unatoa elimu nzuri sana
Ladies you really need to take notes and listen to this dude advice is Gold. Consistency is the key most women don't have that discipline.
number one
Hongera Dr Mwaka Ila cc binadam anayetujua ni mwenyezi Mungu na yy ndo katuhalilishia wanawake zaidi ya mmoja mathalani muislam ameamrishwa akitaka kuoa bac aanze na 2...maneno ya mungu
Wanawake wa sasahivi hawa tishiwi kwakua wengi wame soma na wana pesa. Zamani wanawake walikua wanyenyekevu manake ilikua akisha olewa huyo mume ndio kila kitu Kama alivyo kua ktk matunzo ya wazazi wake. Yani niki ondoka hapa nita enda wapi na kuishi vipi
Dr umemenipa darasa. Thank u
Ni sura au utamu?🔥🔥🔥🔥👌👏
Nani anayapata pata mafunzo ya Dr.mwaka
Point kubwa sana Dr Mwaka.
Nakusikiliza kwa umakini mno
wagiriki wametofautisha aina za mapenzi kuna agape, phileo, Eros na storge . Eros ni penzi Kati ya mwanamke na mwanaume, na kwenye ndoa mwanaume ameambiwa ampende mkewe kwa pendo la agape , penzi la agape likiingia kwenye eros hilo haligawanyiki, na siku mwanaume akigusa hapo hutasikia kaoa mke mpya, anaweza kuchepuka kwa tamaa tu (eros bila agape) na tabia mbaya lakini atatulia na mkewe ampendaye hata kama ana uwezo na dini inamruhusu.
Agape na eros ni combination hatari sana ndio maana unaweza kuona watu wanauana kwa mapenzi. Au mtu anakuwa chizi kwa ajili ya mapenzi.
Ukiona mwanaume anataka kuongeza wake ujue bado hajafika bei kwenye mapenzi yaani haja onja combination ya Eros na agape, wengine wanaweza kuoa hata 300, wakidhani ni tamaa tu kumbe bado hawajapata combination ya Eros na agape.
Hayo mapenzi ya storge na phileo ndio hayo yahayohusu ndugu, jamaa, jamii na marafiki.
Agape ni unconditional love ya Mungu kwa binadamu. Na mwanaume anapo mpenda mkewe anaambiwa ampende kwa pendo la agape, yaani bila pendo bila masharti wala kipimo.
Akili yenye hekima hii... safi sana
Nikweli hapo wote wanaongea kwa mizingira waliyopitia yani ukawaida
Hekima si ya kila mtu,hongera kaka popote ulipo Mungu akutunze
Ni kweli kabisa
Shukran sana Dr Mwaka
Hahahahaha nimecheka jamani kweli wakumpnda ni mmoja wakutamani ni wengi,,, upendo haugawanyiki bana
Unagawanyika, hivi wewe upo Tanzania una mpenzi hivi unadhani huwezi kuona mtu mwengine duniani ukampenda au misingi tu ya dini.
Kweli kabisaaa
Hatimaye leo wametulia mada imeeleweka....huwa wana fujo sana...huyu Dr. Kuna muda anawakera afu badae kidogo anawafurahisha...he is smart. 👏
A man will cheat but will always luv the one he luvs...for a woman its different she willuv a man but the moment she cheats is she is done emotional wisely wit the man and she will keep seeking 4 it
True.
I love how u reason bwana Dr