ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mm ni Muslim ☪️ lakini namsikilizagaa sana huyu mbabaa anaongea ukweli sana ❤❤
Mungu akuweke pema peponi -Amina
Unayosema mtumishi 100% n ya kweli kbsa haki sawa inawasumbua
Barikiwa Mtumishi, najifunza vitu vingi kwenye masomo yako.
Rest in peace Professor.
Be blessed pastor point taken
Kaka umelala mauti kazi Zako zitaishi milele
Nimefurahi kwakunielimisha pst show iko poa sana
jamani pastor unaniacha hoi huku.MUNGU AKUBARIKI
Mafundisho yako ni mazuri sana paster. Be blesaed more and more.
MUNGU akutunze baba ujumbe mzuri san
Asante sana kwa elimu yako baba kuna baadhi ya wanawake wanasababisha waume zao kutoroka nyumbani lakini pia wanaume wapo ambao matendo yao ni magumu na mabovu
Hakuna mwanamme mkolofi kwa mwanamke mnyenyekevu
Nice lesson aisee... always naenjoy somo lako thanks!!! Be blessed
Danford Mwingira Amen, be blessed
Jamn arz inakula hii R I P MWLM WETU
Continue resting in peace PSTR
Hakuna ingine funguo ya Amani,ni unyenyekevu
Asante saana
LA! ALIKUWA MAKINI SANA KUFUNDISHA MASWALA YA NDOA... ASANTE MUNGU KWA KUMLETA NA KUMTWAAA...
Deep training i have got something
Mutumishi ubarikiwe Sana
Amen
Thank for training
Hahaha!nshamnyoa Mume wangu
Wanapenda tenda km hizo za uzinzi
Ahhhhhhhhh et unatoka kipara🤣🤣🤣🤣
Inawezeka naww pastor ni miongoni mwa wanaume wazinzi kwa mkeo mafundisho gani unapotosha dunia?
amani
Nipo nyumbani mwenyewe ila nimecheka kama nipo na mwenzangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Continue rip Dad
Hahaha nmecheka
R.I.P mchungaji
Mama jusi
Mmmmh mke wangu kaninyoa
Sagule Salehe haaaaaa
The lesson is nice
Y
I did not know he was died.He was died May /3/2020 , l know right now Jan/03/2022 is dead.Pombe Magufuli is dead May/2/2020
💯
Huwezi kuwa mwanamke tu, ndo wakubembeleza, yeye atabembeleza mkewe lini? Mafundisho mengine bwana
Mwanaume anakuhudumia, anakutunza, anakulinda alaf unashindwa kuwa mnyenyekevu? Alaf soma bible inasema wanawake mtutii sisi
@@anoldpotentin2446 haswaaa wanawake tuwatii waume zetu
Ni neno la Mungu Hilo, sikia uishi Kwa furaha!

I did not know he was died.
He was died May /3/2020 , l know right now Jan/03/2022 is dead.
Pombe Magufuli is dead May/2/2020