Wanajitahd kidg lkn c km waNa ndo maana unaambiwa watu pwani yaani wazaramo watu wa tanga wamakonde na wandengereko maana huwez kuta mtu anatoka pemba anajua mambo. Usiombe dada ukaibiwa mume na mndengereko au mmakonde sie wanaume tunajua
Katika ukunaji nazi kinamama wanaojielewa lazima wakikalie upande sheikh m bembe hukumalizi maana yake km utakikalia km umepanda farasi wakati wa mkuno kuna vabrate inatoka kwenye kile kinoleo kwahiyo umpa hamasa mkunaji kutokana na maumbile walioumbwa nayo na kumfanya mkunaji kuanza kusinzia kwa raha azipatazo
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Mzee bembe hoyee sanaa
Mashaalah kipindi kizuri hata mimi sipendi kupika nimesimama bas ndo huko kuiga tu
Mama jj mm kwenye chano chetu hicho jiwe la kusagia, kata na mtungiwe samahani lkn mtufafanulie tupate faida zaidi Allah awazidishie inshallah
Mashaallah kipindi kitamu 😊 sn
Unanikumbusha lupyanacomedy live bila chenga
Kipindi kitamu sana hiki, hongera sana mama jj
Mama jj hichi kipindi umegonga ndipo hizi mila zetu tumeziacha kwa kweli Allah akujalie ili hii jamii irudie asili yetu
Jamani nimechelewa kukiona kipindi changu pwenda mungu awabariki
sheikh kaongea point mke sio house girl
Habari za leo panaaa!! 🤭🤭🤭🤭Uwe ghali kuupata uafadhali Allahu Aqbarrrr😂😂😂😂😂mna mambo nyiee ❤️❤️❤️❤️❤️
Hapo mwisho amenifanya mzee nicheke zaidi...
Ati jamaa anacheeeeka kweli hahaha
Sheikh arudi tena tafadhali
Ala kuuumbee kwaiyo nazi ukiivunja maji nusu wanywa nusu wakunia nazi asante babu apo nimejifunza kitu
Jaman mzee weweee waniacha hoi
Mama JJ ujue mie wanichanganya kipindi kilichopita mlisema mke zake kazi leo mzee mbembe anasema mke pambo umuwekee hata mfanya kazi hapo wasemaje
Mnatufanya tufurahi nyie 😅😅😅😅mashaallah!!!
Hamjambo Niko Kenya napenda kipindi sana.
Maashallah ❤❤❤❤
naomba namba mimi
Mzee akifrahi mim hoi mbav zang 😂😂😂, arudiwe jmn
Huyu ndiio mambo ya koko?
Mmi mumewangu apendi.anasema etiniuchawi
Mzee Mbembe umeongea mke sio wa kwenda sokoni wala kufua, mke kazi yake moja tu! Lkn leo wanawake wamejitwisha mambo sio yao!
Yapo hata saivi hsa zanzibar mana ndo utamaduni wetu lazma vifanywe
Wanajitahd kidg lkn c km waNa ndo maana unaambiwa watu pwani yaani wazaramo watu wa tanga wamakonde na wandengereko maana huwez kuta mtu anatoka pemba anajua mambo. Usiombe dada ukaibiwa mume na mndengereko au mmakonde sie wanaume tunajua
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️nawapenda. Munatufunzamengi
Kipindi kizuri jamani itabidi mutoe maana tupate tuelewe vizuri japo waswahili wasema asiye juwa maama usimpe maana
Mambo mazito 😍🔥
Mutwambie maana yake sasa ya izo shanga jmn
Katika ukunaji nazi kinamama wanaojielewa lazima wakikalie upande sheikh m bembe hukumalizi maana yake km utakikalia km umepanda farasi wakati wa mkuno kuna vabrate inatoka kwenye kile kinoleo kwahiyo umpa hamasa mkunaji kutokana na maumbile walioumbwa nayo na kumfanya mkunaji kuanza kusinzia kwa raha azipatazo
Weeeee usinambie😅😅😅😅😅
We mzee kiboko🤣🤣🤣
Majirani huku 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣