DR.SULLE UKIWA NA NYOTA B,N,Z WEWE NI KIUNGO NAMBA SITA/KUNDI LAKO NI NG'OMBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2024
  • #drsulle #tanzania #islaamic #health

ความคิดเห็น • 308

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kweli kabisa doctor sule mmi nime kuelewa sana vyote ulivyo sema niko ivyo ivyo mungu akulipe shekhe wanao kutukana pole zao allah akuhifdhi❤❤❤❤❤❤❤

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amiin Kwa kweli, hata mm pia kapita mule muleee, wallah mung amueke azd kutuelimisha mtumish wa mung❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SurtanMohamed
    @SurtanMohamed วันที่ผ่านมา

    Umengea ukweli mtupu mungu akupe maisha marefu🎉

  • @user-mi9yv2qi5c
    @user-mi9yv2qi5c 5 หลายเดือนก่อน +3

    Shukrani sana shekh wetu.....Allah akupe umri mrefu wenye baraka tuweze kunufaika na ww inshaaallah...❤❤❤

  • @mariamomran6144
    @mariamomran6144 5 หลายเดือนก่อน +5

    doctor sisi tunaishi kwa qadara ya Allah

  • @user-nx2pu6go3g
    @user-nx2pu6go3g 5 หลายเดือนก่อน +5

    Manshallah Manshallah Manshallah ALLAH akulipe kila la kheri inshaallah yani ume zungumzia maisha yangu huja kosea.huwezi kuprndwa na ote wew ni kisu ni jembe wew una kila sifa wajinga waso tambuwa ufafanuzi wa maisha wanayo ya ishi ndio watangao pinga huwezi kupendwa na ote ALLAH akuhifadhi❤❤❤❤ mim sijui nita kupataje nipo Dubai

    • @Khmediy3241
      @Khmediy3241 5 หลายเดือนก่อน

      Ukitapeliwa uje kutulilia apa tunakusubiri

  • @user-pd4qb7uz8b
    @user-pd4qb7uz8b 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni zainabu shehe upo vizuri upo sahihi kabisa kama umeona shukran allah akulinde

  • @user-jp3yb6kr3o
    @user-jp3yb6kr3o 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mung akupe maisha malef insshaalha

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallah..😮Yaarab wewe umefikia hatua ya kupiga FalaQ,,..sulee usijisahau sule....
    Sheh yahaya husen alikuaga handsome saana lakn kwa falaq zake sura yake ilikua kama ya nyani..naimani umenielewa..
    Sule wewe umefikia hatua yakufanya falaq...
    Kioo cha jamii unatufundusha shirk?
    Inna lillahy wainna ilayh rajiun

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh we kiboko dah unavyosema ndio hivyo hivyo tunakupenda from uk 🇬🇧

    • @hassanjr5318
      @hassanjr5318 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/l2vAJ4TCI2g/w-d-xo.htmlsi=lHjQR_A8R1f0pF29

  • @neemajohari
    @neemajohari 5 หลายเดือนก่อน +4

    Najua kuna wengi watakupiga na silimi 90% maisha yao niya kupapasa mimi nazani kama unaelimu ya kitu aho ukifaham basi usikiaramishi mimi nasema ivi Dr Sulle mungu azidi kukubariki nakukuzidishia elimu maan toka nimeishi mda sasa sikuwai kumpata mtu alie sema ukweli kuus nyota hii hivi sasa nimekubali mimi nyota yangu niya Ngo'mbe 100% sababu nina uwezo wote ulio utamka ujaacha kitu Allahmdulilah namshkur mwenyezi kwa uwezo alonipa

    • @user-zy7xe2vf6l
      @user-zy7xe2vf6l 5 หลายเดือนก่อน

      we dada soma dini yako acha kufata mashehe matapeli wa dini

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 5 หลายเดือนก่อน

      Hawezi kupotea isipokua alie angamia.
      Uislamu unachafuliwa na watu wajinga katika dini.
      Masuala ya nyota katika dini سبحان الله

    • @TwahaMaziku
      @TwahaMaziku 5 หลายเดือนก่อน

      Shekh muogope mungu uislamu haujafundisha mambo hayo

    • @user-zs7eq8up5s
      @user-zs7eq8up5s 5 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga elimu za nyota ni ukafiri ule waislam wengi mnakua wajinga wajinga kwa kupenda mtelemko

    • @user-zs7eq8up5s
      @user-zs7eq8up5s 5 หลายเดือนก่อน

      Acha kuamini ukafiri

  • @user-ig1ds2eq4d
    @user-ig1ds2eq4d หลายเดือนก่อน

    More of this Sir please
    Elezea kuhusu herufi zote❤❤❤
    Am in love in this

  • @ZainabuAlly-ij1ll
    @ZainabuAlly-ij1ll 22 วันที่ผ่านมา

    Asante sana sheh nikweli mungu akuweke amina inshaalaah❤❤

  • @user-gh8hf5er2d
    @user-gh8hf5er2d 5 หลายเดือนก่อน +13

    Doctor Sule !! Hicho unachofundisha kinawapoteza wengi sana,, hakuna katika uislam elimu hiyo,, na hiyo ni elimu ya kishirikina,, hakuna fungamano la majina na riziki,, kwa hujui sule kwamba Allwah anakadiria riziki tangu kiumbe kipo tumboni kabla hata ya kuumbwa kwake

    • @MakataWaMakatani
      @MakataWaMakatani 3 หลายเดือนก่อน

      😂 hahahahaha subhanallah poleeeee

    • @sulaimanunda
      @sulaimanunda หลายเดือนก่อน

      sub-haana malikinnaas...!!! alafu hii group yote inayotoa mawaidha masjid mtoro na islaah TV iko na bid'ah kupitiliza hadi kufikia shirki...wako na upekuwaji mwingi sana wa i'lmu ghaib huku wakisingizia Allah na mtume wake.... Allaahulmusta'aan... yaani ule upotovu walio uleta kwenye mujtama'ah una uharibifu mara dufu ya kile wanachoita ujenzi

  • @Zuuhswedy
    @Zuuhswedy หลายเดือนก่อน

    Sawa kabisa sheikhe sule mungu akubariki sana na mimi naitwa zuhura

  • @babusaid1324
    @babusaid1324 8 วันที่ผ่านมา

    Imeniamsha nilipo lala mungu akujalie sana

  • @nasrihussein4293
    @nasrihussein4293 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nineshindwa na mume kwa sababu ya ubishi lo from kenya

  • @user-dg8ue4ux3w
    @user-dg8ue4ux3w 5 หลายเดือนก่อน +7

    allahu akbar muogope allah dr sule allah ameziumba nyota kwa kazi tatu ..moja kuupamba ulimwengu..mbili..kuwapopoa(kuwapiga mashaytwaan(
    Shooting stars)...Tatu..kuwaongoza wasafiri(For navigation)...Waislam msitii huyo dr sule unawafungulia milango ya shari(moto)

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂dah Kwa kua kàongea kiboko yenu, laiti angeongea yule alikinasa mtafit wa majina na nyota mungeamin ahahaha viumbe wazittooo

    • @MakataWaMakatani
      @MakataWaMakatani 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 hahahahaha subhanallah poleeeee

  • @deobigirimana45
    @deobigirimana45 5 หลายเดือนก่อน +3

    Shukran dr sulle

  • @nellyirankunda1466
    @nellyirankunda1466 2 หลายเดือนก่อน

    May the Almight God bless you,Dr Sule!I don't see how to thank you😢.

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 3 หลายเดือนก่อน

    Yaan sheikh sule mungu akubariki baba akueke miaka ming uzd kutuletea vitu mambo ambayo hatuyajui🙏ila umepita mule mule umenizungumzia mm kabisa, asante sana🙏❤❤❤❤❤❤

    • @NurathYunusu
      @NurathYunusu 3 หลายเดือนก่อน

      Mimi nimelia sana kwani Kila alichokiaema kwangu nikweli na nikweli kabisa dah mwenyezi mungu ambaliki sana

  • @ngodajohn3834
    @ngodajohn3834 15 วันที่ผ่านมา +1

    dr sulle mm jina langu linaanzia na S. hivi hii ni nyota ya nn na inamaanisha nn .na siku ya bahati lini

  • @user-md4wf6qo8f
    @user-md4wf6qo8f 5 หลายเดือนก่อน

    Endelea kutupa elimu doctor sule 🙌🙌🙌🙌

  • @zaujiasadiq8347
    @zaujiasadiq8347 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran san dr.sulle

  • @user-fs5zu9pq5e
    @user-fs5zu9pq5e 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah Dr wetu

  • @BilluAmour
    @BilluAmour 11 วันที่ผ่านมา

    Kweli kbx dr sule mashaallah

  • @africancurrenciesrevolutio2462
    @africancurrenciesrevolutio2462 5 หลายเดือนก่อน +5

    Hatuishi kwa mpango wa nyota . Tunaishi kwa mpango wa Mungu.
    Huo ni uganga Kama uganga mwngine

  • @nasoronampoka8910
    @nasoronampoka8910 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah leo ndio umenifunguwa akili shekhe vyote ulivyovisema vinanitokea sana mungu azidi kukubariki shekhe

    • @hassanjr5318
      @hassanjr5318 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/l2vAJ4TCI2g/w-d-xo.htmlsi=lHjQR_A8R1f0pF29

  • @user-gj7uh5fl7s
    @user-gj7uh5fl7s 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ww muongo sana na mshirikina wadanganye wapunbavu kama soma surat maidan (5:90)

  • @nasramohamedi4095
    @nasramohamedi4095 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo tabia ninazo zote😂😂😂 mume wangu anapata tabu kila akijaribu uhusiano mpya namkamata loooh😅😅😅😅

  • @BenMaulid
    @BenMaulid 6 วันที่ผ่านมา

    Mimi naitwa Ben na hiyo namba sita naipenda sana ata kuisikia tu pia nikiwaza jambo haichukui mda linatokea nikipata dalili za kuumwa naota nisipotumia dawa au kutafuta njia yoyote yakujitibia takufa .. Nimekuelewa sana ujakosea ata kimoja

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mzehe una juuua

  • @mamamunira7075
    @mamamunira7075 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi hapo kwenye kusaidia watu saa nyingine nasema leo sitaki kumsaidia mtu lakini nashangaa najikuta nishamsaidia

    • @user-di6jz9bm4v
      @user-di6jz9bm4v 3 หลายเดือนก่อน

      Naomba unisaidie na mm

    • @maulidinuru9555
      @maulidinuru9555 3 หลายเดือนก่อน

      Hata mim nipo hivo saingine mpaka najikasirikia

  • @user-lx7cn2ei1m
    @user-lx7cn2ei1m 5 หลายเดือนก่อน +3

    Huu ni uwongo sio uislamu!!! Hizi ni mambo za kishirikina na waganga

  • @user-dx6xy5ib4t
    @user-dx6xy5ib4t 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nikweli kabisa hudanganyi asante sana

  • @ramadhanimasanja1745
    @ramadhanimasanja1745 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana sana dr sulle, asilimia 85 ya ulichokifundisha ni kweli kabisa nimeyaona na ninaishi nayo. Yani ndugu hapa umenipatia kabisaaa aisee kumbe ni kweriii!!!

  • @SmilingFinishLine-rp4dj
    @SmilingFinishLine-rp4dj 4 วันที่ผ่านมา

    Drkt .kweli kabisa nikihis kitu lazima kitokee.na Huwa tunatabia ya kusikilizwa .na mtu yeyote yule .

  • @user-wh1cs3em9y
    @user-wh1cs3em9y 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli docter ..nime kukubali

  • @nourzajeastmedia
    @nourzajeastmedia 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran kama hujaelewa jikaze

  • @user-ot1ei7hc4q
    @user-ot1ei7hc4q 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa Sheikh maan niko kwenye ndoa miaka kumi na mbili ss mwanaume nilikua simtak laki namvulia sana tu na kila ulicho kiongea kweli kabisa kabiss mm haswaah

    • @ZainabHussein-fs2rd
      @ZainabHussein-fs2rd 4 หลายเดือนก่อน

      Nashukuru shekhe umenigusa naomba nikijaaliwa uhai ntakutafuta.

  • @zuuqueenhilson4487
    @zuuqueenhilson4487 5 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah yani umenisema jinsi nilivyo kbs😊

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 4 หลายเดือนก่อน

    Subhana'allah yaani kila ulichoongea hapo kwangu ni kweli kabisa hujakosea. Lakini nilikuwa nataka kujua jinsi ya kutumia namba

  • @user-pf2uc4xg9v
    @user-pf2uc4xg9v 2 วันที่ผ่านมา

    Walh walah haya maneno ni kwel na mm nina Heruf N na nikwel km anav sm Dokt sule naona yot anay sema

  • @zaitunmohamed8378
    @zaitunmohamed8378 7 วันที่ผ่านมา

    Kulingana na herufi yangu ni z uliyoeleza ni kweli kabisa ila mojatu hiyo ya mafanikio

  • @user-db2eb9fy4p
    @user-db2eb9fy4p 2 หลายเดือนก่อน

    Na hio upande wa kmapenz pia n kwel Dr Sule most huw naota ndoto mbay na za kimapenz na kw kwel n shida Wallah ki maisha aky

    • @sulaimanunda
      @sulaimanunda หลายเดือนก่อน

      mcheni Allah na musiwaamini wanajimu hata punje 🤌... itakuwekeni mbali na mila yenu... mtume alishakataza hili

  • @user-db2eb9fy4p
    @user-db2eb9fy4p 2 หลายเดือนก่อน

    Asalam alaikum Dr Sule. Wallah mm pia naanz n N na n unavyosema n kwel ustadh na usemayo unazungumzia maisha yang aky but kwa kwel life yang inaenda vbaya.... sa nauliz uyo mtu mweny her N je, anaenda na mtu mwemye heruf O au M?"

    • @sulaimanunda
      @sulaimanunda หลายเดือนก่อน

      wee dada hebu wacha kujiuza imani yako kwa thamani ndogo wee 🫵... yaani ukipata mitihani unakimbilia wananyota na wanaramli

  • @arafatsaid962
    @arafatsaid962 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ushaanza uganga wewe, mche Allah kaka heshima yako uliyokuwa nayo isiharibike. Allah atusamehe sote atupe fahamu ya manabii na atupe mwisho mwema

    • @idrisamara6510
      @idrisamara6510 5 หลายเดือนก่อน

      kwa maneno haya Sule ni mshirikina wa wazi. Watahadharisheni waumini na waislamu kwa kanga hili

    • @mfalmenjozi8902
      @mfalmenjozi8902 5 หลายเดือนก่อน

      Uganga mwache enderee na ayo ni moja ya mahalifa ya mwenyezi mungu

    • @arafatsaid962
      @arafatsaid962 5 หลายเดือนก่อน

      @@mfalmenjozi8902 sio maalifa ni maarifa, sio aenderee, ni aendelee.. Soma Kwanza kisha ujue kuandika uzuuri ndio ujibu comments za watu, sawa mkuu?!?

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 5 หลายเดือนก่อน +8

    Wwe sule acha uganga... hakuna ajuaye ghaib

    • @MakataWaMakatani
      @MakataWaMakatani 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 hahahahaha subhanallah poleeeee

  • @zulfatzulfat-cp3hj
    @zulfatzulfat-cp3hj 5 หลายเดือนก่อน +3

    Dk. Suley emu watowe watu ktk giza waelezee iv kufata nyota ni ushirikina waeke wazi please 🙏

    • @nasirmohamed1589
      @nasirmohamed1589 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe akili yako tu ya kawaida huwezi kujua mambo ya nyota ni ushirikina yaani mafala wengi cjui akili huwa mnabebewa na nani

  • @aishaomary230
    @aishaomary230 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hili swala la nyota shekhe kwakwel hapana,, mbona unarud kwenye njia za ushirikina,, mtume alifanya hiyo kitu ya nyota 😢

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂❤❤❤B doo mimi jamani kipenzi changuZ love❤❤waooo

  • @paulocosmas7232
    @paulocosmas7232 5 หลายเดือนก่อน +2

    Dr sulle uko nje ya Qur’an na suna

    • @user-si1tl5ts2m
      @user-si1tl5ts2m 5 หลายเดือนก่อน

      Shekh mrejee mola wako huko unakokwenda unatafuta mwisho mbaya Allah akuepushe na hayo nakunasihi shekh achana na mambo ya nyota

  • @zahrakarama1424
    @zahrakarama1424 5 หลายเดือนก่อน +1

    Subhaallah unanizungumzia mimi kabisa mpka nakosa majibu naona vitu kabla havijatokea au naota na kweli au jambo nikiwa na wasi wasi nalo juwa kuna kitu tofauti na mtu akiniendea kinyume najuwa kama naambiwa fanya ivi

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo 5 หลายเดือนก่อน +1

      Pleas usiwe hivyo hawa ni waingo usiwaskize mtegemee Allah..mambo yako yatakaa sawa wao wenyewe njaa zinawararua ndo maana wanaishia kua waganga..hakika sheikh Natamani awache Mambo hayo inaniumiza saana😢😢😢

    • @user-zs7eq8up5s
      @user-zs7eq8up5s 5 หลายเดือนก่อน

      Kila mtu anayo hiyo hali dada na wewe lako una masheytwan % kubwa ya wanawake yanawasumbua

  • @Blessing_uk
    @Blessing_uk หลายเดือนก่อน

    Mh..mm naitwa blessing lkn maisha yangu nimagumu balaa

  • @bintsuleman915
    @bintsuleman915 3 หลายเดือนก่อน

    Shukurani ustadh chenye umesema mm niko ivo san

  • @user-gm3to1xg1w
    @user-gm3to1xg1w หลายเดือนก่อน

    Asante Mwalimu wangu

  • @user-il3wt7jt7z
    @user-il3wt7jt7z 5 หลายเดือนก่อน +1

    😊😊mm Nurdin unachokisema ni kweli ni mm mtupu

  • @SadikMajaliwa
    @SadikMajaliwa 2 หลายเดือนก่อน

    assalaam alaikum Dr sule? mimi naomba kupata dawa za asili mambo Yako yote ni kweli. wasio kubaliana na wewe, shauriyao. nielekeze kwenye tiba inayo nifa tafadhali

  • @user-si1cd8pj9b
    @user-si1cd8pj9b 5 หลายเดือนก่อน

    Yan Shekh Wang Hap Kw Upand Wang Hujakosea Hat Kimoj Ktk Uliy Yasim Nikwely Ndivy Nilivy Na Ndy Tabia Yang Kweny Maumiv Naumia Kwely Na Kweny Furah Nafurah Ila Aizid Ya Maumiv Allah Akuzidishie Bakary Kw Jin..

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 2 หลายเดือนก่อน

    Daaa kwenye uponyaji😢😢 duu boss wangu niliota watu wanataka kuumu uwaa badae aliumwa sana ila nili muombea kapona kwakweli😢 ila. Ilikuwa hatari😢 jamani

  • @khamisikhalfan4720
    @khamisikhalfan4720 5 หลายเดือนก่อน +2

    NAKUOENDA KWA ajili ya Allah huu ni ushirikina,, Rudi kwa Allah

  • @user-ow6fh7cw5v
    @user-ow6fh7cw5v 3 หลายเดือนก่อน +1

    Samahan dokta natak nikuulize kwamba tarehe yangu ya kuzaliwa inaonesha nyota tofauti na jina langu, yani tarehe ya kuzaliwa inasema vyengine na jina linasema vyengine, kwann

  • @nasibu248
    @nasibu248 4 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa kwa upande wangu

  • @user-fs5zu9pq5e
    @user-fs5zu9pq5e 4 หลายเดือนก่อน

    Aslam Alykum cheikh.

  • @NajmaKhamis-so3kf
    @NajmaKhamis-so3kf 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤

  • @benjaminjohn1819
    @benjaminjohn1819 4 หลายเดือนก่อน

    Waosema haupo sawa wao ndio hawapo sawa mi nimekuelewa na herufi yangu ni B na yote uliyozungumza ni sahihi Yani kama ulikuwa unasimulia history ya maisha yangu.

  • @nasibumzava4948
    @nasibumzava4948 4 หลายเดือนก่อน

    Nakubaliana na wewe asilimia 💯

  • @nahyanasib3950
    @nahyanasib3950 4 หลายเดือนก่อน

    Alooh hii ni kweli tupu haki😊🙌

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 2 หลายเดือนก่อน

    Kwenye kupendwa nakuwa watumwa wa mapenzi😢😢Huyu ni mimi ijumaa nikiomba mambo yanaenda ukweli kabisa duuu aisee duuu jamani kama unaniona jamani

  • @user-fv7mi7qx9j
    @user-fv7mi7qx9j 4 หลายเดือนก่อน

    Shukran

  • @user-ft3sl3jd4i
    @user-ft3sl3jd4i 3 หลายเดือนก่อน

    Wallahi ni kweli kabisa mimi niko ivo ivo kama unavyo sema

  • @user-sw2fi1gu4j
    @user-sw2fi1gu4j 4 หลายเดือนก่อน

    Ninaapa kwa mungu mimi naitwa zai ulio ongea ni sawa kabisa,wanao sema unakosea achana nao kwani binadam hatufanani,

  • @Khmediy3241
    @Khmediy3241 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nyota uwongoo na uzushi,kwanza ukiangalia herufiji nyota nyengine,taree nyota nyengine,ukipiga iyo hesabu sjui iyo nyota engine wizi wizi tu na utapeli shee unapotea Muhammad ajafafanua ayo mambo Wala kuran iyo elimu ya shetani amnaaa

    • @miishhassn
      @miishhassn 5 หลายเดือนก่อน

      Anaelewa basi ashakuwa na rleim kuliko mtume 😂

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 4 หลายเดือนก่อน +2

    Uchawi huoooo, umesha urithi kwa shekhe yahaya....😂😂😂

  • @idrisamara6510
    @idrisamara6510 5 หลายเดือนก่อน

    Sule wewe ni mshirikina kwa 💯%... Ulaaniwe kwa kuupotosha ummah vinginevyo tubu kabla hujafa

  • @Inagole4233
    @Inagole4233 หลายเดือนก่อน

    Mimi Ni Kenya..na nikienda Tanzania siwezi kusali kua msikiti yao sababu Ni washrikina. Kurani IMEKATAZA MAMBO YA UTABIRI NA NYOTA.

  • @zulekha3028
    @zulekha3028 หลายเดือนก่อน

    Kweli kbsaaa

  • @BiyuwaSimba
    @BiyuwaSimba 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nikweli kabisa huyu mimi kila kitu

  • @maureenatienoowuor1784
    @maureenatienoowuor1784 หลายเดือนก่อน

    Exactly Walai

  • @zamyabubakar854
    @zamyabubakar854 3 หลายเดือนก่อน +1

    Katika usilamu hakuna masuala ya nyota elimu za nyota ni ushirikina ulio wazi

  • @user-df1zo4js2j
    @user-df1zo4js2j 4 หลายเดือนก่อน

    Dr Sulley .upo sawa .una akili nyingi sana .Jina langu Beirut .kwa hayo unayoyosema kwangu yote yanatokea. .

  • @user-km6eh2tf9c
    @user-km6eh2tf9c 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu anakuona

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 5 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @Billgatessaf
    @Billgatessaf 14 วันที่ผ่านมา

    Kweli kbsa

  • @user-rr8ei1ro2f
    @user-rr8ei1ro2f 5 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa nipo hivo

  • @Carlosidd-pb8jn
    @Carlosidd-pb8jn หลายเดือนก่อน

    tukisema nyota inabeba mfumo wa maisha ya binadamu... hapa Allah tunamueka wpi jamani...Allah akulinde miezi 9 mpaka unazaliwa hadi unakua..hapo Allah ana mfumo wa maisha kwako mpaka iwe nyota...hii ya leo kali...turudini kwa Allah jamani

  • @user-xc5or1ph8x
    @user-xc5or1ph8x 4 หลายเดือนก่อน

    Dk.sule❤

  • @user-jw7mb9iv4z
    @user-jw7mb9iv4z 5 หลายเดือนก่อน

    Nakubalian n ww doctor n ntakutafut inshallah

  • @allymwandama2496
    @allymwandama2496 5 หลายเดือนก่อน +3

    Wallahi huyu akifa bila kutubu kuhusu elimu zake za nyota ni motoni moja moja na waislam wote bi idhn llah tutakuwa mashahidi

    • @SurprisedFloatingIceberg-sk5ks
      @SurprisedFloatingIceberg-sk5ks 5 หลายเดือนก่อน +1

      Wew umesoma wapi au ndio ulikimbia kama mie

    • @SurprisedFloatingIceberg-sk5ks
      @SurprisedFloatingIceberg-sk5ks 5 หลายเดือนก่อน +2

      Msikilize tena kisha ùtajua kuwa yuko sahihi wew umeropokwa tu

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db 5 หลายเดือนก่อน

      Allymwandama,jitahd Sanna Na. Jua nn unaongea , kunaa waat2 saayyaar. Hii. Wnatabr mamb Mbal,Naa waapoo knyume na Din,Hta Ww unayafuata.yye Allchofanya. Kzungumzia,, Maisha yaa. Mfummo. Wwaa. Wanaadamu. Ktk Mienendo yaa. Uhalcia wake,,Tena aakaaaseema kw idhhn yaa. ALLAH,mfno mm nawweezaa. Semaa. Kesho nnatabr Mvuaa Mazao mvuua yennye. Rutba kw Idhn. Ya ALLAH,,Jua. Cjaakufuru,bal nmeleza kt2. Fula knachotaakaa Kutokeaa. Nchin kw Uwezo waaa Allah,kwn kutabr. Ngapp tunambiwa. Na. Haijatokeea hht Mmoja c. Mpaka. Allah amuuruu,,Achen kueleewaa vbya,,RAMLI HAMSEM KM GHARAAM,Hta Na Maswahba. Waltabrn. Kw. Njia Ya Allah,DR. Sule Yupo Sahihi. Nna Mkatutie moton,medhal hakufur. Tuuunaffaaidkka na elimu. Allah azrdhie. Eellmmuuu. Hzzii

    • @MakataWaMakatani
      @MakataWaMakatani 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 hahahahaha subhanallah poleeeee

  • @ibraahtv161
    @ibraahtv161 5 หลายเดือนก่อน +1

    Zaman nlikula naota kitu kinatokea lakin saiz sio hvo

  • @user-si1tl5ts2m
    @user-si1tl5ts2m 5 หลายเดือนก่อน +1

    Innalillah wainna ilaih rajiuunn

  • @HysamWanyemela-du8oz
    @HysamWanyemela-du8oz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Njaman sija tengemea dar😢😢😢

  • @user-jp3yb6kr3o
    @user-jp3yb6kr3o 4 หลายเดือนก่อน

    Docta sure akiamung mung kakujalia jamn kila unachokisema apo saw kabsa jamn kam unanijua

  • @angelfrancis929
    @angelfrancis929 4 หลายเดือนก่อน

    Hilo unaloongea ni kweli swali linakuja wapi hiyo elimu uliipata wapi au ulisoma wapi kwani kwenye vitabu vitakatifu hakuna sehemu hiyo labda Mimi sijasoma

  • @bashiirAbdulkadir-vn6tr
    @bashiirAbdulkadir-vn6tr 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yotte yalio semwa hapo Niya kwelli hamna aliko pindisha sheikh sulle upo Vizuri

  • @sebastianmusamali2726
    @sebastianmusamali2726 5 หลายเดือนก่อน

    Nataka nyota 😊saidia,,,herufi M ,, Musamali

  • @giltaemi4017
    @giltaemi4017 5 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa hapa ndo unaanza kugundua utapeli wa baadhi ya watu wanao jiita masheikh.
    Kumbe matapeli.
    Na الله Anatuonyesha sasa watu مبتدع katika dini.

    • @idrisamara6510
      @idrisamara6510 5 หลายเดือนก่อน

      huyu ni Mushriki na mzushi mtahadharisheni waislamu wajue wamuepuke

    • @mfalmenjozi8902
      @mfalmenjozi8902 5 หลายเดือนก่อน

      Iyo moja elimu kama unavyoona elimu nyingine uliyo yasomea

  • @AliSalumu-jl4ij
    @AliSalumu-jl4ij หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @ziadaomeri6058
    @ziadaomeri6058 5 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @nurdinally-f5g
    @nurdinally-f5g 9 วันที่ผ่านมา

    Kweli

  • @moureenkamau8697
    @moureenkamau8697 5 หลายเดือนก่อน

    Umesema kweli mmi niko hiyo na jina langu linaaza N mimi naeza kusikia mngurumo katika shikio langu la mkono wakushoto nikajua nitasikia kitu kimbaya na kweli baada nitasikia kitu kimbaya hata kama sio kwangu kwa mwingine naikiwa nitapa habari jema nitasikia shikio la kulia paka saangine naogopa kusema ansatee sheik sule mungu akulipe

    • @badifundi6089
      @badifundi6089 5 หลายเดือนก่อน +1

      Maureen this is very true mm nlidhani at first maybe nko na shida aki..my name is BADI yni naeza feel kitu chaniongelesha like kuna kitu inahapen just few minutes nione imehapen yni Sjui mbona nakua Ivo or naeza think kitu a minute nione mtu nathink aniongelesha

    • @zuhurakarani8047
      @zuhurakarani8047 5 หลายเดือนก่อน +1

      Yani niko hvyo kabxa

    • @badifundi6089
      @badifundi6089 5 หลายเดือนก่อน

      @@zuhurakarani8047 kuelewa hii kitu yataka mtu mwenye kama cc wenye inatufanyikia yni Chenye sheikh yuaongea it's 100% true kbsa kwangu