MYAHUDI ANAYEMPIGA MPALESTINE NI KUNDI GANI KATI YA HAWA ? DR SULE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2023
  • #QiblateinOnline #israel #palestine #israelpalestineconflict #palestinaisrael
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / qiblatein_onlinetv
    FACEBOOK; profile.php?...
    TH-cam; / @qiblatainonline

ความคิดเห็น • 47

  • @abdululiza392
    @abdululiza392 7 หลายเดือนก่อน +4

    Inshaallah dr sule Allah akujaalie afya njema uendelee kutupa elimu,vita hivi havipiganwi bure Allah anataka dunia ijue ukweli wa uislam nayale yote yanayofichwa

  • @JumaKadio-vx8pp
    @JumaKadio-vx8pp 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli kabisa Dr nakuelewavizurisana endeleakutuelimisha

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli hapo shekhe beti imeharibu watu

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 หลายเดือนก่อน +1

    Masanamu yamerudi tena miji yote tanzania yamejaa keeplefti

  • @coolpara8192
    @coolpara8192 7 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wa zamani wapi ambao elimu yao sio kubwa nahisi sheh wangu umesahau maneno ya Mtume wetu(sws)

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 7 หลายเดือนก่อน

    Waislam na wakristo ni ndugu wa baba mmoja ILA upumbavu TU unatusumbua

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 7 หลายเดือนก่อน

      Kweli mlikuwa ndugu zetu kwenye Uislam.lkn kabla mlipokuwa hamjabatizwa nakuwa wakiristo.
      Kwasbb Qur-an inasema.
      Kila mtu anaezaliwa anazaliwa hali ya kuwa muislam, isipokuwa wazee wake mtu ndio wanaombadilisha aiza kumpeleka kwenye Uyahudi au Unaswara(Ukiristo) au Umajusi.
      Na vipi wamekubadilisha asili yako? pale ulipofikia umri wa miaka 15 nakupelekwa Kanisani kwa kubatizwa, wkt ule unabatizwa ndugu yangu, pale ndio unavuliwa imani ya Kiislam na kuvishwa imani ya Ukiristo.
      Kwahiyo kweli hukukosea wewe ulikuwa ndugu yetu kwenye uislam kabla yakubadizwa.
      Hebu jaribu kuwauliza wazazi kwanini wamekubatiza? nafikiria hawatokupa jawabu sahihi kwani wamekubatiza.Lkn siri yakubatizwa ndio hiyo wewe kubadilishwa kutoka kwenye dini yako ya asili uislam na kupelekwa kwenye dini nyengine.
      Samahani lkn tunakumbushana na kuelimishana.

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 7 หลายเดือนก่อน

    Vita si vya myahudi na mwarabu wa palestina, ni vita vya mwisrael na mwarabu wa palestina maana uyahudi ni dini kama uislam na ukristo.

  • @mwakatundujr1674
    @mwakatundujr1674 6 หลายเดือนก่อน

    Tulieni Kwanza myahudi afanye yake Kwanza

  • @user-ye6qq9nv8b
    @user-ye6qq9nv8b 5 หลายเดือนก่อน

    Huo uwezo walipewa na nani je shetani anaweza kumpa mtu kitu kinachomshinda Mungu huo uwezo walitolea wapi?

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 7 หลายเดือนก่อน

    Kama unakomiti tukutanishe na dokta sule tutajua nani mkweli usianze kuhubiri katika kukomiti weka namba yako yasimu tukutanishe naeweka nambayako

  • @justinemalima6701
    @justinemalima6701 7 หลายเดือนก่อน

    palestine atapigwa sana akizid kujichanganya

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 7 หลายเดือนก่อน

    Usar nakwambia wewe weka namba yako tukukutanishe na dokta sule waka namba make katika viyombo viya habari

  • @hussein2za
    @hussein2za 6 หลายเดือนก่อน

    Hao watoto watatu wa Nuh walizaa na nani ndiyo tupate vizazi hivyo?

  • @user-yv7ij4zh4k
    @user-yv7ij4zh4k 7 หลายเดือนก่อน

    "Waislamu ndio kundi lililo na dhiki kuliko makundi mengine yoyote halafu hapo hapo na bahati nzuri Waislamu ndio wanaongoza kwa Uchumi". Hii maanake ndio nini yaani uwe na dhiki halafu hapo hapo uongoze kwa uchumi. Uchumi upi tena?
    Mataifa mengi ya Kiislamu Duniani ni kweli yako Duni na hii inasababishwa na mambo mengi mojawapo ni ule udumavu wa kudharau Elimu ya Duniani na kuamini kwamba Koran ambayo ni mambo ya karne ya 7 ya Makureish huko Saudi Arabia yanaweza kutumika leo. Vile vile Waislamu wengi wao kutokana na Dini yao wanafundishwa kuchukia watu wengine badala ya kujali maendeleo. Hii imesababisha hata wao wenyewe kwa wenyewe kutoelewana na matokeo yake nchi nyingi za Kiislamu ni vita tu Duniani. Muhammad alileta mafundisho yenye tafrani Duniani badala ya amani.

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 6 หลายเดือนก่อน

      unaishi kwa kukaririshwa hujaishi maenep yenye Idadi kubwa ya waislamu ukaona yalivyo na amani tuchukulie mfano kati ya Mbeya na Kondoa unadhani wapi watu wanaishi kwa amani? bila shaka wakondoa Wana amani zaidi. hata vijiji vilivyo jirani Kijiji chenye waislamu wengi kina amani kuliko Kijiji chenye wakristo wengi huo ndio ukweli Fanya utafito

  • @user-go9qu8tn7n
    @user-go9qu8tn7n 7 หลายเดือนก่อน

    mashallah😂😂😂

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 7 หลายเดือนก่อน

    Nawenye tve wote wanaitangaza kamari mpaka tv za waislamu wanatangaza kamari

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 7 หลายเดือนก่อน

    (1) Ina maana hao watu 300 hawafi maana umesema hawatabadiri dini mpaka kiyama.(2) pili vipi Dini yako ya kweli ishindwe na hawa majasusi 300 wa kiyahudi? (3) je kuna mwislamu anaitwa Joshua? (4) Mtu huu Joshua aliyesimamisha jua kwa siku nzima mbona hamkupa heshima yake ya kujiitia jina lake? (5)Huu ndio ukweli Joshua hakuwa mwislamu kama unavyodai wewe.

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 6 หลายเดือนก่อน

      unataka kutuambia kuwa alikuwa mkristo? ukristo wenyewe haukuanzishwa na Yesu

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 7 หลายเดือนก่อน

    mayahud wa leo nikwelii hawamtaki isa bin Mariam Wala mtume Mohammad cha ajabu utaskia wachungaj wasiojielewa wanasema tuiombee Israel

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hilo ni andiko na halitafutwa.. utamshawishi mkristo Gani asiitaje na kuiombea Israel.. wew usitochoshe na iman Yako.. huwezi kuwatenga wayahudi hata kama hwamtaki Issa ila tunawapenda hivo hivo maana wapo wachache wakristo wanaowawakilisha wenzao sio wote wanaomkataa..

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mawakala

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 7 หลายเดือนก่อน

      @@annasolomon9855 Yesu Kristo alishawalaani.wazungu wanatuchrzea akili.

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 7 หลายเดือนก่อน

      @@rayisadesigns2646 hio ni akili Yako uliofundishwa na Magaidi

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 7 หลายเดือนก่อน +1

    Unaelezea mgogoro kwa kutumia BIBLIA umeogopa kwenda nayo msikitini ikabidi uandike kwenye karatasi😂😂😂😂

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 7 หลายเดือนก่อน

      Huyu shehe ni mwongo mwongo sana, mfitinishaji tu

  • @BonnBonn-op6dr
    @BonnBonn-op6dr 7 หลายเดือนก่อน

    Ni wanandugu kabisa uhaduwi wabure.
    Sasa nikusema Watoto wa upande wa Sara ndiyo walitokeya emo wa Yahudi?

  • @BinHakim
    @BinHakim 7 หลายเดือนก่อน

    Harani siyo Makah Harani ni nchi ya Syria,Palestina halijawahi kuwa taifa la kiarabu,siyo taifa la kiarabu wala halitokuja kuwa taifa la kiarabu...taifa la kiarabu ni Saudi Arabia watoto wa nabii Ismaili kwa mtoto anayeitwa Nebayothi.....Esau kuoa mwanamke katika ukoo wa Ishmaeli na kupata mtoto hakufanyi mtoto huyo kuwa muarabu.....ndiomana vitabu vingi vilivyoandikwa na Wapalestina vinakataa kuwaita wao waarabu wanataka watambulike kuwa wao ni Wapalestina ila dunia ndiyo inalazimisha kuwaita Wapalestina waarabu...Alafu shekh anasema nabii Daudi aliamisha makao makuu kutoka Hebron(Gaza) akapeleka Yerusalem kwakuwa alijua pale ndipo Wayahudi wana haki napo(Ibrahim alipanunua) sasa kwanini tunaaminishwa kuwa Waisraeli wamevamia na wewe umesema Ibrahimu alinunua na kumrithisha mwanae Isaka na mama yake Sara akazikwa pale Yerusalemu?

    • @Nuru_ya_sunnah.official
      @Nuru_ya_sunnah.official 7 หลายเดือนก่อน

      sawa😢

    • @murtalla2826
      @murtalla2826 7 หลายเดือนก่อน

      Kutokana na maelezo yako swali linakuja hivi watoto wa Is-Hakka walikua ni wayahudi ambao wengi wao walikua ni wakirsto waliyakataa mahubir ya babu yao na mitume wengi waliotumwa juu yao isipokua wachache sana ndio waliamin jee hawa wayahud waleo wanatokana na asili ya nani maana wao hawamin chochote. Alaf wa Palestine wao sio waarab lakin wanaongea kiarabu iv unaakili kweli habib wangu

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 7 หลายเดือนก่อน

      Mkristo unaepinga lete ushahidi kwa rejea sahihi.

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 7 หลายเดือนก่อน

      @@annassuleiman4508 kama huna elimu na jambo nyamaza .fanya jitihada ya kujifunza jambo ili uwe na ufahamu wa mambo.

    • @BinHakim
      @BinHakim 7 หลายเดือนก่อน

      @@annassuleiman4508 Saud Arabia ni taifa ambalo lilianzishwa na Ishmaeli na mama yake Hajiri....Ishmaeli alikuta ardhi yote ni jangwa tupu na ilikuwa njia ya watu kupita tu nakuelekea mbali kutafuta maji kwaajili ya mifugo yao hasa ngamia....watu walianza kuishi na Ishmaeli baada ya kuona alipo Ishmaeli kuna maji, unaposema Ishmaeli hakufanyika taifa unakosea kwasababu kitabu cha Mwanzo 17:20 kinasema:kwa habari za Ishmaeli nimekusikia atazaa maseyid kumi na mbili,nitambariki na atakuwa taifa kuu....sasa hilo taifa ni lipi kama sio Saud Arabia?....