DR SULLE ASIMULIA PETE YA UTAJIRI ILIVYOCHUKULIWA NA MAJINI NA KURUDISHWA KWA MFALME SULEIMAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • KATIKA KUANGALIA NGUVU YA PETE, HAPA DR SULLE AMETOA ELIMU JINSI MAJINI WANAVYOWEZA KUKUNYANG'ANYA UTAJIRI WAKO

ความคิดเห็น • 180

  • @YusriAllyMuhammadahmad
    @YusriAllyMuhammadahmad หลายเดือนก่อน +3

    Mashaaa allah kwa ilmu dr sule,from mozambique África

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj หลายเดือนก่อน +4

    Majina Ya ALLAH ukiyatumia Kwa yakini unafanikiwa mm ndo ninavyo tumia na Alhamdulilah

  • @saidimdoe5246
    @saidimdoe5246 3 หลายเดือนก่อน +10

    Allah ukuhifadhi ww sulemani wa pili uendelee kutupa elimu

  • @StellaPetro-x8q
    @StellaPetro-x8q 2 หลายเดือนก่อน +5

    Asee angalau tunapata elim kidogo, Mungu akubariki.

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu Dr ana historia nzuri nà elimu kubwa.

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 2 หลายเดือนก่อน +6

    Yaa Rab tuoneshe haki utuwezeshe kuifata na utuoneshe batwiil na utiwezeshe kuiepuuka

  • @charlesgatunzi
    @charlesgatunzi หลายเดือนก่อน +3

    Waongo sana hawa 😂😂😂
    You are magician period

    • @swalehsaidsaid4721
      @swalehsaidsaid4721 4 วันที่ผ่านมา

      @@charlesgatunzi kweli brother hapa hamna ukweli, kama Suleimani kakosa mali zake vipi kuhusu bibi zake. Ina maana huyo jini alikua akiishi nao kama wake zake, astaghfirllah

    • @charlesgatunzi
      @charlesgatunzi 4 วันที่ผ่านมา

      @@swalehsaidsaid4721 😂😂😂😂

  • @islander3191
    @islander3191 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sule si utoe dalili ktk quran na sunna, wengi wanaomfata majahili weupeee hawana elimu km yeye, sule muongo na nyinyi wafuasi tamaa ya pesa kwa ushirikina, hata upate pete hupati chochote lkn mpaka Allah akubali, Dr sule ni mshirikina tu.

  • @DelpWill-u1m
    @DelpWill-u1m หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @BenjaminKiza-mf1ki
    @BenjaminKiza-mf1ki 2 หลายเดือนก่อน +2

    Muulize saa wakati Israel mutowaro ana towa roo ina uma

  • @LugomeRisasi
    @LugomeRisasi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani huyu jamaa Yuko vizur

  • @BonfaceWawire-k6p
    @BonfaceWawire-k6p 3 หลายเดือนก่อน +2

    katika makanisa tuna washirikina wakuu wanatumia vitambaa mafuta navmiujiza za kishetani pia waisilamu Wana madoctor na mashehe washirina kweli hizi ni nyakati za mwisho yesu okoa hiki kizazi

    • @ramadhanihudhaifani4376
      @ramadhanihudhaifani4376 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yesu aokoe kizazi kipi tena wakati mnasema dhambi zenu Yesu kafa nazo??? Dah...😅😅😅

    • @BonfaceWawire-k6p
      @BonfaceWawire-k6p 3 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanihudhaifani4376 Haya nimafumbo kakangu kaa huna Roho mtakatifu nikaa kumpikia mbuzi gitaa hataelewa chochote

    • @BonfaceWawire-k6p
      @BonfaceWawire-k6p 2 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanihudhaifani4376 unajaribu kuemuelewa yesu kimskitmsikiti hapo hutamuelewa

  • @sultanrajabu8369
    @sultanrajabu8369 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman naomba mdahalo wa kielimu uwekwe kwenye hili swala..maamumat tunakuwa hatuelewi ikiwa wana wa zuon mnachanganyana.

  • @HassaniRamadhani-g6o
    @HassaniRamadhani-g6o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Niricho gunduwa mashehe weengi erimu ni ndogo sana hongora sure

  • @hassannassoro5542
    @hassannassoro5542 2 หลายเดือนก่อน

    Dr sure anavitu vingi Sana. Naona sasa kamua kuviachia huru.

  • @myself4128
    @myself4128 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hadithi za Sungura na Fisi😂😂😂
    kwaiyo Jini kabeba Pete na Mungu akaruhusu Jini abebe Utawala Wa suleman na Unabii wake😂😂😂 na majini wenzake hawakushituka😂😂

  • @Thabitilubunani
    @Thabitilubunani 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sule muche Mula wako acha talibisi kuhusiana na masiala ya pete nendakasome acha kuwahadaa watu nakupa Nasha

  • @zephaniachallo6260
    @zephaniachallo6260 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo ninyi mna majini?

  • @teonasjorgelimbwata9207
    @teonasjorgelimbwata9207 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni Mfuasi wa Shetani

  • @bigirimanasudi-u4q
    @bigirimanasudi-u4q 23 วันที่ผ่านมา

    Kisa hiki hakipo ndani ya Coran.Muongo hui jamaa

  • @BakarShabani-jt2hl
    @BakarShabani-jt2hl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukimtetea sule nawewe mushiki mpeninasahatu asizidikunanganya

  • @canamass
    @canamass 3 หลายเดือนก่อน

    Yona hakuwai Dili na majini kabisa na yona sio yunis wala YESU si issa

    • @spiderman-s4v
      @spiderman-s4v 3 หลายเดือนก่อน

      unalaana wewe sasa ninani

  • @JumaFrançois
    @JumaFrançois 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi naona uko una teteya iyo pète enye unavaa ju iyo pète nia kima chetani

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 3 หลายเดือนก่อน

    Sio Kweli , hayo ni mambo ya uzushi. Sheikh unamfitini Mwenyezi Mungu uweza wake.. Hayo si Kweli.

    • @MassaweFrank
      @MassaweFrank 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nambie uwelewa wako

    • @JumaMaige-y6b
      @JumaMaige-y6b 2 หลายเดือนก่อน

      Muongo wewe ambae huna elimu ya dini na hutaki kusoma

  • @facebkmulatya2674
    @facebkmulatya2674 3 หลายเดือนก่อน

    Suleiman na pete?? Inamaanisha aliabudu shetani sio Mungu. Huu ni uongo kabisa

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 3 หลายเดือนก่อน

    Jamanini suleiman ati alikua Muslam??? Weeee umeshinda , sule hapo niuongo mtupu tupu

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 3 หลายเดือนก่อน +5

    Haya watu wa coments ningependa nanyinyi mutengeneze vidio zenu mseme muyajuwayo yawe ya ukweli wacheni zakuharibu mambo ya wenzenu basi mumezidi

  • @newupdates6063
    @newupdates6063 28 วันที่ผ่านมา +1

    Majini ni mashetani, 😅 Uislamu na mashetani ni mandugu😅😅🙏

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu 3 หลายเดือนก่อน +34

    Haya yooote yapo kwenye Quran ila Dr. Sule akiyaongea mashekhe uchwala wanaanza kumpinga. Binafsi nampongeza sana Sule kwa kutudhihirisha na kutuonyesha wazi ni namna gani majini na Uislamu vilivyoungana pamoja.

    • @binseif2216
      @binseif2216 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ndio sababu majini pia waliumbwa ili wamuabudu Mungu lkn wengne waliukubali uislamu nawengne waliasi nakutangaza vita na Mungu

    • @osmundmtavangu
      @osmundmtavangu 3 หลายเดือนก่อน

      Jidanganye Ivo Ivo toka huko kwenye majini ndugu yangu hakuna kitu km hicho hizo ni hadithi tu. Majini wote ni malaika walioasi(mashetani) na ndio chanzo cha uchawi na mateso mbalimbali duniani.

    • @amissiradjabu6561
      @amissiradjabu6561 3 หลายเดือนก่อน +1

      soûle anaongeya maneno yake kwa akili yake sababu hajatoa andika hata moja la coran sasa hakuna huisiano wa binadam n'a jini ..... sule ni njaaa ya ki maicha atafute kazi afanye apate ugali n'a sio jini sababu jini wana ulimwengu wao n'a sisi wa nadamu tunaulimwengu wetu
      acha chuki n'a roho mbaya tafuta elimu .....

    • @amissiradjabu6561
      @amissiradjabu6561 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@osmundmtavangushetani ni jini wala sio malaika
      malaika hakoseyi anamti mungu
      ila jinni kaais kaitwa shetani mana shetani ni sifaaa
      kicha mwanadamu akiaswi naye anaitwa shetani

    • @abdallahhanafi6963
      @abdallahhanafi6963 3 หลายเดือนก่อน

      Hayo yapo ndio ndani ya quraan,lakin ni mambo maalum kwa mtu,hiyo pete ilikuwa ni maalum kwa nabii suleiman sio kwa kila muislam,hapo ndipo wanapompinga dr sule

  • @BrillyMontana
    @BrillyMontana 3 หลายเดือนก่อน +15

    Tatizo wanaosema dr ni mshirikina ni wale watu wasiokuwa na elimu

  • @KHADIJANDABABISA
    @KHADIJANDABABISA 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kaka yetu sulley ALLAH akuhifadhi sanaaaaa inshaallah

  • @MwitaChacha-v6i
    @MwitaChacha-v6i หลายเดือนก่อน +2

    Nikwel mtupu❤

  • @bakarisaidi3022
    @bakarisaidi3022 2 หลายเดือนก่อน +3

    huyu jini aliyejigeuza kufanana na suleiman anaitwa Asmodeus

    • @platotaurus2301
      @platotaurus2301 หลายเดือนก่อน +1

      @@bakarisaidi3022 Jini Korofi kabisa hili Katili halafu Babe kisawasawa. Nimelisomaga it Greek Mythology. Sio mchezo kaka.😁😁😁😁

  • @BURUNDIB
    @BURUNDIB 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hakuna dini hapa kabisa

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 3 หลายเดือนก่อน +5

    MashaLLAH DR ALLAH AKULIPE KHERI❤

  • @allycux1221
    @allycux1221 3 หลายเดือนก่อน +3

    Uyu jama anailimukubwasan yani alafu history anaijuwa Sana Allah amwihifazi

  • @SolomonNdelenjendo
    @SolomonNdelenjendo 7 วันที่ผ่านมา

    Majini ndo wanaokufundisha wewe uchawi 😂😂 Dr sule unatumia majini ndo wanaokufundisha uchaw

  • @dangotemtotojr2418
    @dangotemtotojr2418 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yani Mimi namkubali Sana uyu sheee namfatilia Kila kipindi

  • @ZuhuraHongo-s8s
    @ZuhuraHongo-s8s 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezi mungu akujalie maisha mrefu

  • @HalimaMohamed-m7x
    @HalimaMohamed-m7x 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ubalikiwe

  • @IbrahimRamadhan-cm4rj
    @IbrahimRamadhan-cm4rj 2 หลายเดือนก่อน +5

    DK, sule yupo sahihi kabisa na pia nasoma baazi ya mambo kutoka kwake, kwakweli mungu ambariki sana🙏 DK sule

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu yupi wa majini, mbona unapotea bwana mdogo

    • @SolomonNdelenjendo
      @SolomonNdelenjendo 7 วันที่ผ่านมา

      Uyu anatumia uchaw kaka open your eyes

  • @UmmuSufiyani
    @UmmuSufiyani 2 หลายเดือนก่อน

    Ila waislam wengi ni wajinga sana mnafurahi mnavyodanganywa na huyu MCHAWI anaongea maneno matupu bila uthibitisho kutoka kutoka kwenye Qur'ani na Hadithi
    Yani ni muongo sana huyu jamaa

  • @osamkabura9774
    @osamkabura9774 3 หลายเดือนก่อน +4

    Allah akuzidishie kheri

  • @WatchdaAbdillah
    @WatchdaAbdillah 24 วันที่ผ่านมา

    msiojua achenii kuongea vtu ambvyo amvielew kukaa kmy n bora kwenu hzo kaxhfa zenu aznafaida yyte

  • @EdirisaLubwama
    @EdirisaLubwama 2 วันที่ผ่านมา

    Dr ayo Majin ya mungu yapi?
    Tuambie ayo

  • @Yohana-xc1xi
    @Yohana-xc1xi หลายเดือนก่อน

    aya yote upatikana kwenye quran ila kwenye biblia aipo kwaiyo waislamu kazi mnayo

  • @Yohana-xc1xi
    @Yohana-xc1xi หลายเดือนก่อน

    uwongo mtupu amna kitabu cha MUNGU apo

  • @mohamedikassimu7016
    @mohamedikassimu7016 27 วันที่ผ่านมา +1

    Dr. Sule Bahari ya Elimu.Mashaallah tunajivunia kuwa na ww ktk Elimu ya dini Allah akupe umri wenye manufaa

  • @jumajackson3704
    @jumajackson3704 28 วันที่ผ่านมา

    kati ya masheihk ninao wakubali niwewe tu

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallaa Dr sule ana maarifa mengi sana

  • @AhmedMohamedMadaiMadai
    @AhmedMohamedMadaiMadai 19 วันที่ผ่านมา

    Ninayo hio inaitwa busati la nabii sleman

  • @Jetzider
    @Jetzider หลายเดือนก่อน +2

    Amina🤲🤲God the greatest🙏🙏

  • @ngodajohn3834
    @ngodajohn3834 20 วันที่ผ่านมา

    sulle ya kwako unaenda nayo chooni

  • @Amoretz
    @Amoretz 17 วันที่ผ่านมา

    Jini yupoje...

  • @IssaKwikazanya-l4e
    @IssaKwikazanya-l4e 7 วันที่ผ่านมา

    Allah akupe umri mrefu

  • @Juma-t2b
    @Juma-t2b หลายเดือนก่อน

    Anaebisha hachana nae anajua ni sisi

  • @muhammadsaid1143
    @muhammadsaid1143 16 วันที่ผ่านมา

    Pete hirizi etc yote ni shirki

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 3 หลายเดือนก่อน +1

    Muandishi ukiwa na sule mbona unakosaanga maswali kama wale wengingi wenye wanatoa prove zote kutoka kwa vitabu kubwa, huyuniwakuchanga watu akili akiwafundisha njia za ushirikina

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aki huyu mtu niwahadithi tu alisikia wapi hiyo stori yote imeandikwa wapi?? Atuoneshee hiyo stori , story teller huju utafikiri alikua hapo, mchongo tu

  • @maizaclassic
    @maizaclassic 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nampenda sana Dr Sulle

  • @kipchorngwonektiroto457
    @kipchorngwonektiroto457 17 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni mchawi mkuu.

  • @Wamkange
    @Wamkange หลายเดือนก่อน

    Wajinga hawaishagi

  • @FakruhuKasimu
    @FakruhuKasimu หลายเดือนก่อน +1

    Assallam alykum sheikh DR.sule nakuombea kwa Allah akulinde kwa elimu unayotupatia na hao wanaokosoa c katka waislam na wengne si wachamungu

  • @elieespoir3774
    @elieespoir3774 หลายเดือนก่อน

    Wewe n'a koroani yenyu ni wa ongo saaaaaaaaaaaana kabisa

  • @ChidiNaibu
    @ChidiNaibu หลายเดือนก่อน +1

    Kaka sulemani

  • @harrisonodiwa7248
    @harrisonodiwa7248 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sule acha stori za jaba wewe.

  • @dzyner630
    @dzyner630 2 หลายเดือนก่อน

    Nabii suleiman aliomba ufalme ambao hauto tokea baada yke na allah alimkubalia hio dua. Sasa kuhusu uyo shetani aliechukua ufalme wa suleiman kitu hicho hamna, na shetani au jinn yyte hawez kuchukua sura za mitume.

  • @abdallahjuma2608
    @abdallahjuma2608 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acha uongo wewe sheikh sisi hatumufati nabii suleiman

  • @ChidiNaibu
    @ChidiNaibu หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aya basi yunusi.mfuate na yunusi.

  • @mbizzomclucky6097
    @mbizzomclucky6097 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa nikama utajiri wa suleimani aijatoka kwa mungu

  • @azzanassor3482
    @azzanassor3482 3 หลายเดือนก่อน +1

    Suleiman aliomba huo ufalme kwa Allah nasangaa unavosema kapata ufalme kwa hiyo pete

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      Tupe andiko kama usemayo yana ukweli

  • @MohamediOmari-nz4vv
    @MohamediOmari-nz4vv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Makafiri awaelewi apo wanaona kama uwongo sababu aipo kwenye billia Quran kitabu cha mungu

    • @Life10061
      @Life10061 2 หลายเดือนก่อน

      mavi wewe kwahiyo tutumie majini kuwa matajiri

  • @Rukiakadzo
    @Rukiakadzo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dini Yetu Ya Kiislamu Ina Misingi Yake...Quran Tumeihifadhi, Hayo Maneno Dr. Umeyatoa Wapi?? Hizo Habari za Pete Hazipo Na Kwa Yule Anaemfuata Huyu Shekhe Atoe Ushahidi Katika Quran...Kisa Kilichopo cha Nabii Suleiman Ni Chengine Na Kinaongelea Mambo Mengine Kabisa...
    Hizi Habari Za Pete Umetoa Wapi??

  • @yasinazam116
    @yasinazam116 3 หลายเดือนก่อน +1

    SULE WACHA BANGI
    HAKUNA HATA DALILI KISA KIMETOKA WAPI TUMESOMA ULIPOSOMA NA TUKASOMA AMBAPO HUJASOMA VISA VYAKO NI KATIKA VITABU VYA MAYAHUDI

    • @user13375
      @user13375 2 หลายเดือนก่อน

      Haya mayahudi hawasem ivo😮😮😮😮

  • @DakorTrony
    @DakorTrony 2 หลายเดือนก่อน

    Swali; Uislamu uko na version ngapi? Dr. Ako na elimu yake , wengine waislamu wako na elimu yao. Sasa nani ako sahii. Waislamu wanafwata Quran ama kila muislamu ako na elimu yake tofauti

  • @Kibombo
    @Kibombo 4 วันที่ผ่านมา

    Leta dalili

  • @stephensena7195
    @stephensena7195 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mtu ni muongo sana

    • @KHADIJANDABABISA
      @KHADIJANDABABISA 3 หลายเดือนก่อน

      Mjinga ww elimu huna kaa pembeni cc tule gombo adimu

    • @KHADIJANDABABISA
      @KHADIJANDABABISA 3 หลายเดือนก่อน

      Acha chuki kafiri ww

    • @kilimaentertainment1687
      @kilimaentertainment1687 หลายเดือนก่อน

      Huwz kumuelewa sisi tunamuelew

  • @azizashaaban870
    @azizashaaban870 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allahumma barikiffiki.

  • @sadih5333
    @sadih5333 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kaacha masuala ya kuwakumbusha waislam yuu ya kuogopea akhera yeye ameshikilia pete pete pete.... yangu peteeeee utadhani Juma Bhalo.

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 5 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂nimecheka sana mbona juma bhalo

  • @NgewaCompany
    @NgewaCompany หลายเดือนก่อน

    hii dini ya kislamu bwana giza na nuru vimechanganywa pamoja, majini nayo yanawekwa sehemu nya watakatifu daaah, imani ya mapangoni kama alivyoipokea muhamadi, uchawi uchawi tu, hii dini niliiachana nayo kitambo sana, uganga na kusoma nyota vyote wao

  • @beyatrixmwaita2877
    @beyatrixmwaita2877 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la waslam kuamini majini na ushirikina, Sasa Mungu alimbariki Suleiman utajiri ama Pete ndio ilimpata Suleiman ama Mungu, bila shaka hicho surah tul jini,

  • @AmiryRamadhani-g8v
    @AmiryRamadhani-g8v 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani nyie mmekatazwa kuwa washilikina wakati mnafokewa na wazazi wenu mkasome dini mlikimbia sasa acheni kusema vitu msivyo vijua kama mchawi na nyie kuweni wachawi sasa mkaone kama nilahisi

  • @NzeyimanaAlly-g7k
    @NzeyimanaAlly-g7k 2 หลายเดือนก่อน

    Kutegemea kiumbe kinyume n'a Allah,ni ushirikina,Mambo ya mapete si kweli

  • @makamezahoro8194
    @makamezahoro8194 2 หลายเดือนก่อน

    We sule nenda katk qur an tunayoufta au kidgo haipo sawa suleiman vp nenda kuelimisha kwakutumia kur an iyo hadisi eti

  • @nixonmwanguni3094
    @nixonmwanguni3094 2 หลายเดือนก่อน

    Mashek tz kulumbana dhidi din hakufai .someni vitabu vya Allah hakuna atakae kuongopea na masheh waongopeaji.

  • @HadinanKimimbi
    @HadinanKimimbi 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona Hamutufungui Kusema Ukweli Mashekhe zetu Ndiomana mashekhe Hawana Njaa Wanajua Mambo mengi Ekeni mambo Mwaaaa

  • @MachanoMachano-d2z
    @MachanoMachano-d2z 2 หลายเดือนก่อน

    Lakini nabii sleiman alikuja kimbindi cha washirikina na nabii muhamadi kipindi cha sayanc je hapo vip

  • @MombokaMomboka
    @MombokaMomboka 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe achauwongo unaizaririsha diniyetu

  • @JumaAbdallah-u4i
    @JumaAbdallah-u4i 2 หลายเดือนก่อน

    Tuta sikia mengi sana mengi ila waslam Tusiime IL tuepupe uzushi .

  • @allykimbulaga8885
    @allykimbulaga8885 29 วันที่ผ่านมา

    Allah akulinde uzidi kuelimisha wasiojua inshaallah

  • @awadhally1052
    @awadhally1052 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe huna akili huyu sule sio shehee ni mchawi.

  • @HaydarKiroboto
    @HaydarKiroboto 3 หลายเดือนก่อน +1

    Inshallah

  • @RamadhaniAthumani-d5h
    @RamadhaniAthumani-d5h 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe sule sasa wewe unamfuataaa nabii suleimani au nabii Muhammad i

  • @faizanassor9400
    @faizanassor9400 2 หลายเดือนก่อน

    Wanaobisha hawajuwi dini ya kiislam

  • @suodymmbaga6583
    @suodymmbaga6583 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie mnao mkubali kwa uwongo huuu em mulizeni niwapi tukasome haya maneno ili na sisi tujue mbona ataji dalili ya hii stori, wewe ni mshirikina Acha kupotosha watu mche Allah, utaenda kulizwa wewe

    • @AmiryRamadhani-g8v
      @AmiryRamadhani-g8v 2 หลายเดือนก่อน

      Leta na wewe uwongo wako tukusikilize kama ni lahisi

  • @kingsabry
    @kingsabry หลายเดือนก่อน

    Kwa hiy sheikh anatak kumaanish km utajir wa nabii Suleiman unatoka kweny pete na sio kwa mwenyezimungu. Ila ma sheikh ban

    • @dreamman6555
      @dreamman6555 หลายเดือนก่อน

      Tanua akili yako

  • @HawaPeta
    @HawaPeta 2 หลายเดือนก่อน

    6:54 nayajuwa mengi kupitia ww kaka

  • @mahmoudmudigo2624
    @mahmoudmudigo2624 2 หลายเดือนก่อน

    mufahamu kinachoongelewa

  • @SalumAmour-g6i
    @SalumAmour-g6i หลายเดือนก่อน

    Mashallah