IKIWA HERUFI N NDIO JINA LILILOKULEA MWANAMKE USITAFUTE MCHAWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @irinenanciebarasa5566
    @irinenanciebarasa5566 หลายเดือนก่อน +3

    Woyeeeeee😢😢😢😢😢, mm aki waaaaaa mm Nancy' natesega, nasaidia watu waaaaaa lakini asante ni kuniblock weeeeeee mm.nimmbambanaji kweli...yote unayosema ni kweli ,weeeeeee 😢😢😢

  • @BarakaBituro
    @BarakaBituro 2 วันที่ผ่านมา

    Jamani mbona me sitaki kuachika kwa mme wangu

  • @HattaHatta-pk7hr
    @HattaHatta-pk7hr 2 หลายเดือนก่อน +3

    Haki brother hapa umenigusa me

  • @HamiduMbaraka
    @HamiduMbaraka 25 วันที่ผ่านมา

    Kwaio utafanyaje ili msiweze kuachana

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban หลายเดือนก่อน

    Je N akimuoaN itakuwaje udongo kwa udongo

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umenigusa kabisa 🙌
    Mimi ni B, niliwahi kuwa na mpenzi mwenye herufi N. Tulikaa ktk mapenzi kwa muda wa miaka 5,mwaka wa 6 nikamuoa. Na mimi ndio nilikuwa mwanaume wa kwanza kumuoa. Maisha ya ndoa yalikuwa mazuri sana, ila kitu cha ajabu, hatukumaliza mwaka. Tuliachana baada ya kwenda kwao kujifungua na hakurudi kwangu tena kutokana na sababu ambazo mpaka leo sijazifahamu.

  • @FaithNamunyak-m1p
    @FaithNamunyak-m1p 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani kila kitu is about me

  • @NeemaMbanile
    @NeemaMbanile หลายเดือนก่อน +1

    je erufi n na h zinaendana

    • @NeemaMbanile
      @NeemaMbanile หลายเดือนก่อน

      Mm n mume h je tutaachana

  • @thamraabdul3740
    @thamraabdul3740 หลายเดือนก่อน +1

    Jeee akipendaA❤❤❤

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 14 วันที่ผ่านมา

      Haendani kabisa na na herufi A

  • @노사장-o5c
    @노사장-o5c 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman nafulah umelizungumzia jina langu la n

  • @Muheramaneva
    @Muheramaneva หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 kumbe

  • @NeemaMpota
    @NeemaMpota 3 หลายเดือนก่อน +1

    Duh kama umenisema mie

  • @Dihekafi
    @Dihekafi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nshapenda kwa M😢

    • @dottopaul6738
      @dottopaul6738 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi ni pacha naitwa dotto,jina lingine naitwa N,na hayo yute huwa nayatimia,sas hapo nyota yangu ni nini

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@dottopaul6738Jina ulilozaliwa nalo ndo jina lako

  • @Dihekafi
    @Dihekafi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mh 😢

  • @KishepPambe
    @KishepPambe 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nataka kujuwa mwinyi inasimama herufi gani ?

  • @jonasngolyama-xk8fs
    @jonasngolyama-xk8fs 3 หลายเดือนก่อน

    Kama akiolewa na Herufi B jee maana mimi ninampenzi Mimi ni B yeye ni N

    • @antusajoseph9360
      @antusajoseph9360 2 หลายเดือนก่อน

      Mtaachana

    • @NusuraDamass
      @NusuraDamass 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi naishi na s umesema anawez kufa sijaelew

    • @salimlocksandkeys8992
      @salimlocksandkeys8992 หลายเดือนก่อน

      ​@@NusuraDamassndio atakufa pale ukimkataa na yeye bado anaakushikilia hakuachi ,patamu apo 😅