IJUE NYOTA YAKO (NYOTA YA NG'OMBE)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

ความคิดเห็น • 55

  • @allionzopask
    @allionzopask 2 หลายเดือนก่อน

    shikamoo sheikh. Mimi jina langu linaanza na herufi Z lkn nimezawa mwezi 6 tarehe 13

  • @FatumaMwaduga
    @FatumaMwaduga 5 หลายเดือนก่อน

    Samahan sheikh! Ukiizaliwa mwezi wa 6 lkn Jima AMY nyota yako ilikua ipi?

  • @HawaMbawala
    @HawaMbawala 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe habari pole na majukumu,naitwa khadija tarehe ya kuzaliwa 19 mwezi 11,mwaka 1981,naomba kujua nyota yangu shekhe

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 2 หลายเดือนก่อน

    Naubishi ndio asri yetu 😊😊😊

  • @BakariMussa-to2me
    @BakariMussa-to2me 5 วันที่ผ่านมา

    Allah akulipe

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuh😲😲😲shkh..umesema kweli mia fil mia....kujua mambo kbla hayajatokea..hdi naogopa sasa kwli ukarimu subra..vyote sahihi

  • @sammypaul6039
    @sammypaul6039 2 ปีที่แล้ว +1

    nimekubali yote uliyoyasema asilimia100 ALLAH akuzidishie

  • @husseynali1051
    @husseynali1051 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekh naomba kufaham unahitaji vigezo Gani Ili kujua nyota ya mtuu

  • @ElizabethFrancisMkwizu
    @ElizabethFrancisMkwizu 5 หลายเดือนก่อน

    Shehe.naomba.niulize.nyota.ya.ngombe.majina.yao.yanaanza.na.herufi.gani

  • @adolfathanas510
    @adolfathanas510 ปีที่แล้ว

    Shekhe,Allah akutangulie na akufanyie wepes katika kaz zako,mm n nyota ya Punda tabia zoote za punda ninazo,ninampenz herufi B nifanyeje tuweze kuishi vzr.

  • @mwavitanshimirimana3433
    @mwavitanshimirimana3433 2 ปีที่แล้ว +1

    Mafusho mushtaka ni aje in English?

  • @halimamk2766
    @halimamk2766 ปีที่แล้ว

    As alykm. Mm ninanyota yang'ombe, lakini CNA bahati kilamtu ananichukia, hata niseme ukweli upi nadharaulika. Mpaka wangu wa kuwazaa wananichukia, hawanipendi. Wananitolea ma.neno ya udhalilishaji, hata jirani hawanipendi. CNA Raha ya MAISHA ndugu zangu wa kuzaliwa tumbo moja wananichukia nisaidie Sheikh Kwanza nope kasoro yangu nn, na nifanyeje ili niwe na bahati Kama wenzangu.

  • @adolfathanas510
    @adolfathanas510 ปีที่แล้ว

    Shekhe,Allah akutangulie na akufanyie wepes katika kaz zako,mm n nyota ya Punda tabia zoote za punda ninazo,ninampenz herufi B nifanyeje tuweze kuishi vzr.

  • @NasraYusuph-pw6jt
    @NasraYusuph-pw6jt 4 หลายเดือนก่อน

    Asalykum shekh Wang nashukur sana kwakunielewesha

  • @zainabzasua6276
    @zainabzasua6276 ปีที่แล้ว

    Assalamu alaykum shekh wangu mm ninanyota yangombe mume ananyota ya punda hatuelewani mume kidogo mahasira mara tunapigana mateke na mapembe nifanyeje

  • @zawadialey1564
    @zawadialey1564 2 ปีที่แล้ว

    Sasa ulisena n'ge akiwa na ng,ombe anakuwa vzur kwwny mapenzi Sasa mbona huku kwwny n,gombe mbona anaendana na Simba Sasa hp vipi

  • @halimamk2766
    @halimamk2766 ปีที่แล้ว

    Sheikh vipindi vyako kwenye Utube nilini na lini, napenda kufatilia Ila napata vilivyokwisha pita

  • @MwanaShesha
    @MwanaShesha 5 หลายเดือนก่อน

    Haswaa tu ataanika uku halafu inatuma ela mwenzio anakula tu

  • @antonykamau7711
    @antonykamau7711 8 หลายเดือนก่อน

    Nani Pete ngapi mbili au moja na wanaume uvaaji wa Pete ni rangi Gani ya kithoo

  • @suleimanramadhani8675
    @suleimanramadhani8675 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa wakiristu wanatumia sura gani ya maandiko

  • @vivianamani2310
    @vivianamani2310 2 ปีที่แล้ว

    Very well spoken
    Exactly on point 👍
    Thank you....🙏

  • @BfathumaZani
    @BfathumaZani 10 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwa ukaidi😂😂😂 nikitaka langu ni hilo hilo

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 2 ปีที่แล้ว

    Je mm ni ndoo na mke ni ngombe nafanyaje maana hatukai kwa maelewano nifanyeje?

  • @ndimurigokabibi4480
    @ndimurigokabibi4480 2 ปีที่แล้ว

    Asalam alaikum da bibi yutoka burundi nomba namba yako ya wasape

  • @MwanaShesha
    @MwanaShesha 5 หลายเดือนก่อน

    Ndio tabia zao kweli

  • @MagdalenaDaniel-wl5eh
    @MagdalenaDaniel-wl5eh ปีที่แล้ว

    Shehee naomba nataka mawasiliano yako

  • @israkikitano311
    @israkikitano311 2 ปีที่แล้ว

    Mimi ndiyo nimezaliwa ngombe nyota

  • @jacintamalaika9639
    @jacintamalaika9639 5 หลายเดือนก่อน

    Huyo mimi kabisaa ila nyota yangu ilikua imechezewa

    • @abuyazidtz
      @abuyazidtz 4 หลายเดือนก่อน

      Hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

  • @ruwaidahamad6598
    @ruwaidahamad6598 ปีที่แล้ว

    Me nimezaliwa 25/5/1991 je nyota yangu ni ipi?

  • @leilamwanaisha6774
    @leilamwanaisha6774 2 ปีที่แล้ว

    Asalaam alaikum warahmatulahi wabarakatuh

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 2 ปีที่แล้ว

    Naomba tafsiri ya watu wana fanana majina yao kinyota jina s&s n&n

  • @israkikitano311
    @israkikitano311 2 ปีที่แล้ว

    Mimi ndiyo nimezaliwa ngombe nyota

  • @mayanjayunusu7662
    @mayanjayunusu7662 2 ปีที่แล้ว

    Assalamualaikum sheikhe naminakupenda

  • @ZuhuraShakombo
    @ZuhuraShakombo 7 หลายเดือนก่อน

    Nyota ikizimwa ufanyeje?

  • @BfathumaZani
    @BfathumaZani 10 หลายเดือนก่อน

    Kabisa hapo umesema ❤❤❤

  • @ndimurigokabibi4480
    @ndimurigokabibi4480 2 ปีที่แล้ว

    Nataka namba niko mwanafunzi wako

  • @BashiruMwalimu-ol2mv
    @BashiruMwalimu-ol2mv ปีที่แล้ว

    Thanks a lot for letting us know

  • @ladyvision1133
    @ladyvision1133 ปีที่แล้ว

    Yaaani huyu mimi kabisaaa

  • @zuhuraamrani244
    @zuhuraamrani244 2 ปีที่แล้ว

    Dini inaruhusu mambo haya?

  • @omanjalan582
    @omanjalan582 8 หลายเดือนก่อน

    Shukran Shekhe

  • @zayoumaus8235
    @zayoumaus8235 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nimezaliwa mwezi wa kumi

  • @issanduwayo8090
    @issanduwayo8090 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah sheikh

  • @hammytototundu9292
    @hammytototundu9292 2 ปีที่แล้ว

    Assalamualaikum shekhe Abalqaasim

  • @antonykamau7711
    @antonykamau7711 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @barkeislam-nl7ko
    @barkeislam-nl7ko ปีที่แล้ว

    👍👍 MASHALLAH

  • @husseynali1051
    @husseynali1051 2 ปีที่แล้ว

    As,alaykum shekh

  • @nusaibahassan9517
    @nusaibahassan9517 ปีที่แล้ว

    Mimi kabisaaaa

  • @mwanahawayunus3653
    @mwanahawayunus3653 2 ปีที่แล้ว

    Aslam alaikum

  • @amiryyoungpay6493
    @amiryyoungpay6493 2 ปีที่แล้ว

    Namba yako pliz

  • @benjaminedward7730
    @benjaminedward7730 2 ปีที่แล้ว

    Namazugumuzo naww

  • @antonykamau7711
    @antonykamau7711 8 หลายเดือนก่อน

    Marshall mimi swaleh nimeelewa leo nyota nyangu ngo. Mbe naomba kujua uvaaji wa Pete rangi Gani

  • @zuhurarajabu8545
    @zuhurarajabu8545 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe ulikula pesa zangu alifu tatu ukuniletea mafuta wwe nimrongo mungu atakuona siku ya kiama haki hailiwe hakiyangu itaeleya pesa natafuta Kwa dhiki wewe Wala Bure wewe sie muisalamu wa haki