Nyota ya Bahati zaidi | Nyota 3 zenye bahati zaidi | Zipi nyota zenye bahati zaidi?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Katika video hii utajifunza na kufahamu ni zipi nyota za bahati kuu 3 zenye bahati zaidi na maelekezo ya sababu kwa nini zina bahati kuliko zingine na wewe unaweza kuwa na ujamaa gani nazo.
    Nyota ipi ina bahati zaidi?
    Nyota zipi zina bahati zaidi?
    Nyota ya bahati?
    Ipi nyota yenye pesa zaidi?
    • Nyota yenye pesa zaidi?

ความคิดเห็น • 174

  • @CiliaMpala
    @CiliaMpala หลายเดือนก่อน +2

    Mimi naitwa Mpala Zabibu Cécilia, mama yangu anaitwa BENDA wa kongomani. Samahani nilitaka nijue kitu kuhusu nyota au bahati yangu

  • @AmusedBubbleTea-ic2mf
    @AmusedBubbleTea-ic2mf หลายเดือนก่อน +2

    Minataka niulize Mimi Punda Nisaidie Kuwusu Hio Nyota Nanyota Tunaendana Asante

  • @TECH-RIGHT
    @TECH-RIGHT 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mkubwa samahani naomba mimi nimezaliwa tarehe 8/1/1990, jina langu BAHATI Janvier sijui nyitayangu hebu nisaidiye

    • @yohanatweve5721
      @yohanatweve5721 4 หลายเดือนก่อน

      Mbuzi

    • @HattaHatta-pk7hr
      @HattaHatta-pk7hr 19 วันที่ผ่านมา

      Bahati nyota yako ni ng'ombe asili yako ni udogo

  • @MaryWheeler-d5z
    @MaryWheeler-d5z 28 วันที่ผ่านมา

    Walker Scott Allen Shirley Lewis Maria

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 ปีที่แล้ว +24

    Umeongea ukwer kabisa ndomana mim nampenda sana daimond? Na tunapendana na tunaendana Sana Yan,,kumbe nyota zetu zinaendana ,, mashalah

    • @Isaac-wk1gv
      @Isaac-wk1gv 11 หลายเดือนก่อน +1

      I love you

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 11 หลายเดือนก่อน

      @@Isaac-wk1gv I love you too

    • @HadijaKidunda
      @HadijaKidunda 8 หลายเดือนก่อน +2

      9/December 😂😂

    • @Chrishenryson-beats
      @Chrishenryson-beats 4 หลายเดือนก่อน

      So ingekua uongo kama ungekua humpendi diamond? Kweli tunahitaji elim 😂

    • @AllyKelemba
      @AllyKelemba 4 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha

  • @pilimpinga647
    @pilimpinga647 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mbn nachanganyikiwa Mimi nyota yangu sijui sasa

  • @jasminesebe761
    @jasminesebe761 9 หลายเดือนก่อน +2

    Simba piga kelele

  • @nasibusaid6331
    @nasibusaid6331 หลายเดือนก่อน

    Mkbwa mm nimezaliwa trh 26/11/1987 nitazamie nyota yangu

  • @openmindtz
    @openmindtz ปีที่แล้ว +2

    Kwaiyo nyota ya pili na ya kwanza zikiwa pamoja inakuweje?

  • @damsonshania6863
    @damsonshania6863 10 หลายเดือนก่อน +4

    Shukran sana mm nyota yangu ni ya mizani Libra ntajitahi sana kwa maelekezo yako❤❤❤

    • @abbasmtaita7203
      @abbasmtaita7203 4 หลายเดือนก่อน

      We swaiba wangu mizani

  • @claradada9915
    @claradada9915 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mwalimu Ndomahana niki omba sana mambo yangu yana funguka sana kumbe mizani inabidi tuombe sana

  • @greengilbert6082
    @greengilbert6082 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asee kweli mizani mafanikio yangu ni kusali saana

  • @JaphetMLuhala
    @JaphetMLuhala 6 หลายเดือนก่อน +1

    mikama nyota yangu sielewa kama na nyota mbili

  • @PurityNyamvula-z3s
    @PurityNyamvula-z3s 7 วันที่ผ่านมา

    Kma huna bahati utakarabisha vip nyota yako

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  7 วันที่ผ่านมา

      Angalia katika video hii inazungumzia hali za nyota
      th-cam.com/video/gZqol4f94k0/w-d-xo.html

  • @Billsdady
    @Billsdady หลายเดือนก่อน

    Nyota ya mshale kwenye uzinzi sjaelewa na mizimu sjui inakusumbua au ushukuru kwa mungu hapo imekaaje ufafanuzi kdgo mwalimu

  • @AnnahMuenimutuva
    @AnnahMuenimutuva 3 วันที่ผ่านมา

    Nikitaka kusafisha nyota yaku ni fanye nini

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  2 วันที่ผ่านมา

      Rejea kwenye playlist ya nyota nimefundisha. Bonyeza hapa th-cam.com/video/4UDlbBSeVWU/w-d-xo.html&ab_channel=RakimsSpiritual

  • @NeemaProsper-z7s
    @NeemaProsper-z7s หลายเดือนก่อน

    Mimi naitwa neema mama yangu Sofia sijui nyota yangu imekaaje

  • @trinahahans3737
    @trinahahans3737 2 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu mbona mnatuchanganya mimi najua nyota inayotawaliwa na Jupiter na Neptune ni samaki mshare inatawaliwa na neptune kila mtu anasema lake

  • @HadiyaMuhammed-tt2xs
    @HadiyaMuhammed-tt2xs 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah

  • @christineawonda
    @christineawonda 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni Christine Awonda naulisa mtu hujua aje nyota yake sababu mimi sijui nyota yangu naomba unielimishe

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 2 หลายเดือนก่อน

    Sisi wa nyota za mapacha unatuwela wap kaka😅

  • @shabanjuma7102
    @shabanjuma7102 หลายเดือนก่อน

    Mm tarehe ni mshale, jina ni mizani mbona mambo hayaendi

  • @irenemichael2816
    @irenemichael2816 ปีที่แล้ว +1

    Maalim me ni simba pls naomba tuonane unisaidie🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  ปีที่แล้ว

      Bonyeza hapa www.youtube.com/@rakimsspiritual/about

  • @nassornassor3417
    @nassornassor3417 4 หลายเดือนก่อน

    Malim tareh 1 mwezi wa 8Vp nyota yng

  • @KoreshiJason-mo5bc
    @KoreshiJason-mo5bc 8 หลายเดือนก่อน +2

    It is wonderful 🌹

  • @OmaryMushi
    @OmaryMushi ปีที่แล้ว +1

    Asylm alykum naitwa omary kassimu mama anaitwa salama nyota yangu sihifaham naomba unisaidie

  • @RozR-ok7yy
    @RozR-ok7yy 6 หลายเดือนก่อน

    Nataka kujua kuhusu ili jina geofrey elizeus

  • @HafsaNikiza
    @HafsaNikiza หลายเดือนก่อน

    Ng,e tutumie vipi nyota zetu??

  • @mdahmed7589
    @mdahmed7589 ปีที่แล้ว +1

    Tufundishe jinsi ya kurekebisha Nini uliye nae

  • @GirigoryGribert
    @GirigoryGribert 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani ata nyota ya libra uje huichambue kaka

  • @nanamiles1532
    @nanamiles1532 3 หลายเดือนก่อน

    Leo ndo nnegundua kumbe nna nyota ya bahati

  • @rowlandmalle244
    @rowlandmalle244 4 หลายเดือนก่อน

    mm ni leo yaani simba ndo maana niko mkali kwa betting

  • @mohamedyusa452
    @mohamedyusa452 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba kujua nyota yangu ya jina Mohamed

  • @salmabilal8434
    @salmabilal8434 7 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ndomana nampendaga harmonize kumbe…😂

  • @HosianaGodfrey-wo9nf
    @HosianaGodfrey-wo9nf ปีที่แล้ว +1

    Habari yako, naomba kuuliza mimi naitwa hosiana Godfrey, mama yangu anaitwa Elhaika jeremia nimezaliwa jumapili 1 december naomba uniambie niolewe na mtu mwenye nyota gani na nifanye biashara gani asantee

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  ปีที่แล้ว

      Wasiliana nasi kupitia 0783930601 kwa uchambuzi wa nyota binafsi

    • @kilasijoseph3567
      @kilasijoseph3567 หลายเดือนก่อน

      ❤​@@rakimsspiritual

  • @Dhuhamustafa-o7o
    @Dhuhamustafa-o7o ปีที่แล้ว

    Nisaidie na mm sijui nyota yng nimezaliwa tarehe 23/12/1996 naitwa dhuha

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  ปีที่แล้ว

      Wasiliana nasi kupitia 0783930601 kwa uchambuzi wa nyota binafsi

  • @annethandrew
    @annethandrew 4 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Aneth nyota yangu siijui nisaidie 🙏

  • @beatricecassian3233
    @beatricecassian3233 ปีที่แล้ว +1

    Nisaidie mie nyota yangu ni samaki

  • @ziadakatundu-cv4mg
    @ziadakatundu-cv4mg 4 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli mim mpaka sasa sijijui nyota yangu tar 27, 10 , 1989 mara scorpion mara Taurus naombeni kujua 😢

    • @magemussa5142
      @magemussa5142 3 หลายเดือนก่อน

      Scorpion

    • @paskarygadson-mt3rw
      @paskarygadson-mt3rw 3 หลายเดือนก่อน

      nyota haitizamwi kwa tarehe ya kuzaliwa wala mwezi ila ni mwezi wa kiarabu tuu

  • @Themostdifficulttime
    @Themostdifficulttime 3 หลายเดือนก่อน

    31/12 nyota yangu n ipi

  • @ProscoviaAntony
    @ProscoviaAntony 5 หลายเดือนก่อน

    Mm ya Simba uwi Jamani ubalikiwe

  • @Salomemkailwa
    @Salomemkailwa 4 หลายเดือนก่อน

    Yamm namume Wang nyota moja lakini mambo yetu magumu Sana pesa kwetu zinapita tu

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  4 หลายเดือนก่อน

      Kufanana nyota ni kuelemeza mizani sehemu moja

  • @OmarySuleiman-n9f
    @OmarySuleiman-n9f 2 หลายเดือนก่อน

    Majina ya hao watu je

  • @salmahmohamed7281
    @salmahmohamed7281 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sagittarius 🏹 ndio nyota yangu

    • @TECH-RIGHT
      @TECH-RIGHT 10 หลายเดือนก่อน

      Asante mkubwa sasa hii nyota ina baraka? Ama

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 5 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤na mimi ni nyota ya mshale

  • @OmarySuleiman-n9f
    @OmarySuleiman-n9f 2 หลายเดือนก่อน

    Majina ya hao watu

  • @LeylaRasheedAhmed
    @LeylaRasheedAhmed 8 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ndio maana kajala akiwa na Harmonise anampush nyota yake ni Leo Simba jike

    • @jojotanzan609
      @jojotanzan609 3 หลายเดือนก่อน

      Kajala nyota yake ni kaa na sio simba

  • @gonzarojozzy4340
    @gonzarojozzy4340 ปีที่แล้ว

    Mkuu mimi nimezaliwa tarehe 25/06/1993 nyota yangu ni ipi?

    • @hassanhamis3854
      @hassanhamis3854 11 หลายเดือนก่อน +1

      Una nyota ya nge siku yako ya bahati ni alhamis yangi ya bahati ni nyekundu

    • @MagingaNassoro
      @MagingaNassoro 7 หลายเดือนก่อน

      Nikaa sio ngee

  • @diabae-qp1oq
    @diabae-qp1oq 10 หลายเดือนก่อน

    Mi nimezaliwa 1 mwezi 1 mwaka 1989 naomba kujuwa nyota yako hapo ikoje naomba jibu tafadhali

  • @AboubakarKibondo
    @AboubakarKibondo 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi Nina nyota ya mzani lakini hamna lolote

  • @Sammybalaka
    @Sammybalaka หลายเดือนก่อน

    Naeza juaje nyota yangu naitwa samweli

    • @GrâceRashidi-l8c
      @GrâceRashidi-l8c หลายเดือนก่อน

      Niya mizani

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  หลายเดือนก่อน

      Si kweli

    • @GrâceRashidi-l8c
      @GrâceRashidi-l8c หลายเดือนก่อน

      @@rakimsspiritual kwanini si kweli mbona jina lake linaAnza na herufi s

    • @GrâceRashidi-l8c
      @GrâceRashidi-l8c หลายเดือนก่อน

      @@rakimsspiritual naomba uniambiye jina grâce ni G

    • @GrâceRashidi-l8c
      @GrâceRashidi-l8c หลายเดือนก่อน

      Nyota ya mizani inaherufi gani

  • @GubraCity-dm5sx
    @GubraCity-dm5sx 8 หลายเดือนก่อน

    Mwenye nyota yangu ya simba ila nivibuli ss 😢

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  7 หลายเดือนก่อน

      Tafuta pete ya Ruby huwa ina balance temper na kuleta utulivu wa akili.

  • @subirahemed342
    @subirahemed342 หลายเดือนก่อน

    Vizur

  • @primostar3259
    @primostar3259 ปีที่แล้ว

    Mkuu kwema mimi nimezaliwa mwezi wa 7 kialfabet herufi yangu ni ya 7 ni G.unaweza nielezea kitu nielewe

  • @ZainabuJosephat
    @ZainabuJosephat 10 หลายเดือนก่อน

    Nipe namba yako ya wasap

  • @saidysaidy5383
    @saidysaidy5383 6 หลายเดือนก่อน

    Nyota yangu mizan lakin sielew ni fanye nini kiongoz

  • @ShabaniLangport
    @ShabaniLangport หลายเดือนก่อน

    Shukran

  • @MagrethLawrenc
    @MagrethLawrenc ปีที่แล้ว

    Mimi na Mpenzi wangu nyota yetu ni moja wote ni Mshale je tunaendana na tunaweza kupata mafanikio?

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  ปีที่แล้ว

      Betry haiwezi kufanya kazi ikiwa utagusa upande wa kichwa peke yake... Which means ukiwa nae ni sawa na kutokuwa nae tu.

  • @falhatiasumani202
    @falhatiasumani202 7 หลายเดือนก่อน

    Samahan mm nnanyota ya ng'ombe lakin mumewang ananyota ya punda alafu tushazaa na nikwer atuelewan ivi nifanyaje jaman mm nampenda samahan naomba nisaidie

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  7 หลายเดือนก่อน

      Kila mmoja wenu anatakiwa kubalance nyota yake na kila mmoja wenu ampe mwenzie nafasi ya kuwa yeye kama yeye..
      Mtaenda sawa, lakini mkishirikishana mambo hamna kheri kwenu

    • @aishabitebitevoicemashaall7585
      @aishabitebitevoicemashaall7585 4 หลายเดือนก่อน

      Jitahidin muishi ki maamrisho na muache makatazo imani ndio msingi wa maisha bora mkiishi kwa kumuhofu allah hakutakua na hayo mnayo pitia mwanamke jishushe na uwe mtiifu kwa mumeo na ukisali muombee pia ushaur bila ibadan haisadii.

  • @wardatothman2881
    @wardatothman2881 ปีที่แล้ว

    Mimi nipo kwenye nyota ya simba ila nimeandamwa na jini mahaba

  • @SafiyaKatara
    @SafiyaKatara 4 หลายเดือนก่อน

    Asnt me simba

  • @sundayherrieth9460
    @sundayherrieth9460 5 หลายเดือนก่อน

    Sawa natajitahidi kusali mimi mizani

  • @abednegojulius4554
    @abednegojulius4554 7 หลายเดือนก่อน

    Maalim napataje mawasiliano yako

  • @MalikiaevalineJohn
    @MalikiaevalineJohn หลายเดือนก่อน

    Reo

  • @tiiiiiiiii
    @tiiiiiiiii 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah mie ni simba og ❤❤

    • @peninamusilim4469
      @peninamusilim4469 7 หลายเดือนก่อน

      SIMBA WA NYIKA NAMI PIA from Kenya

  • @mariamwase9806
    @mariamwase9806 ปีที่แล้ว

    Hey naweza kufaham aje nyota yangu ni yipi

  • @GAYOTV2023
    @GAYOTV2023 ปีที่แล้ว

    Haya nimekuja kuuliza hapa nitajuaje kama niko na jini mahaba ndugu maana niko na nyote ya simba

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  ปีที่แล้ว

      Jini hatambuliwi kwa kuangalia nyota mkuu.... Kwa uchambuzi wa nyota na mwili utalipia.. unaweza kuwasiliana nami kwa whatsapp

  • @YusufNusra
    @YusufNusra 8 หลายเดือนก่อน

    Asalamwaleku cheikh

  • @nassornassor3417
    @nassornassor3417 4 หลายเดือนก่อน

    4:32 5:21

  • @BarakaManya
    @BarakaManya 10 หลายเดือนก่อน

    Mm nimezaliwa tarehe 3 mwezi wa 1 2003

    • @veronicamaghembe2102
      @veronicamaghembe2102 7 หลายเดือนก่อน

      Ingia google uandike neno "horoscope signs"

  • @siahmtui8003
    @siahmtui8003 8 หลายเดือนก่อน

    Mmmh nimesikiliza kwa makini weeee Sijasikia Mashuke😢😢

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  7 หลายเดือนก่อน

      Ipo kwenye majaliwa tofauti na bahati zaidi.

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂pole sana ipo siki utasikia

  • @tatianahomekey6211
    @tatianahomekey6211 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani sana mwalimu kwa darasa lako

  • @HilaryErnest
    @HilaryErnest 10 หลายเดือนก่อน

    Mim jina langu estar nyota yangu niainagani

    • @veronicamaghembe2102
      @veronicamaghembe2102 7 หลายเดือนก่อน

      Ingia google uandike neno horoscope signs kisha angalia tarehe na mwezi wako wa kuzaliwa vinaingia kwenye nyota ipi

  • @IrenePaulNjau
    @IrenePaulNjau 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi na maswali kwako

  • @mwangigideon854
    @mwangigideon854 10 หลายเดือนก่อน

    Jini wa Mali ni mgani?

  • @IrenePaulNjau
    @IrenePaulNjau 8 หลายเดือนก่อน

    Nitakupataje

  • @cornelytv2839
    @cornelytv2839 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤ good 👍 fact

  • @MagrethSamwel-s5z
    @MagrethSamwel-s5z 7 หลายเดือนก่อน

    Sawa Asante 🥰

  • @emmanuelmusa1061
    @emmanuelmusa1061 ปีที่แล้ว

    Samahani mwalim naomba muongozo wako hivi tr 20 mwezi 8 ni nyota ya ? Na siku ya bahati ni ipi? Na pete ya bahati ni ipi na hupendeza kuvaliwa kidole kip?

    • @emmanuelmusa1061
      @emmanuelmusa1061 ปีที่แล้ว

      Maan dr nyota ni mhimili wa maisha nawewe ndie katufunza ipasavyo kuhusu nyota hivyo usituchoke kutusaidia

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  ปีที่แล้ว

      Rejea video hii kwanza th-cam.com/video/gZqol4f94k0/w-d-xo.html

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  ปีที่แล้ว

      Kisha fuatilia hapa th-cam.com/video/jWqUI_C06tU/w-d-xo.html utapata kujua kila unachotaka kuhusu nyota yako

    • @kichelemnema7040
      @kichelemnema7040 ปีที่แล้ว

      @@rakimsspiritual

    • @SIMONIMATOZI
      @SIMONIMATOZI ปีที่แล้ว

      @@rakimsspiritual

  • @RahmaRashid-zn4fy
    @RahmaRashid-zn4fy 7 หลายเดือนก่อน

    Myota yang mie ya simba

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  7 หลายเดือนก่อน

      Basi jitahidi kuzingatia maelekezo

    • @JaphetMLuhala
      @JaphetMLuhala 6 หลายเดือนก่อน

      mi nyotayangu kama siekewi najuina kama na nyita mbili

  • @MedelinagodwinKiswaga-xw8lk
    @MedelinagodwinKiswaga-xw8lk ปีที่แล้ว

    6-6-1987 je mimi nyota yangu ipi

    • @nadiaali9147
      @nadiaali9147 5 หลายเดือนก่อน

      Kaa😂

    • @RoseOdilo
      @RoseOdilo 4 หลายเดือนก่อน

      Mapacha

  • @salmaramadhan6532
    @salmaramadhan6532 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi Nyota Yangu Jua 🌕

    • @jojotanzan609
      @jojotanzan609 5 หลายเดือนก่อน

      Hakuna nyota ya jua😂

    • @jojotanzan609
      @jojotanzan609 5 หลายเดือนก่อน

      Kwani wewe ni Simba

  • @ernestkikoti985
    @ernestkikoti985 9 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @elizabethmutisya3293
    @elizabethmutisya3293 ปีที่แล้ว

    Mimi ni Sagittarius..Saidia nyota yangu ingae tena

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  ปีที่แล้ว

      Wasiliana nasi

    • @neemamaingo2074
      @neemamaingo2074 ปีที่แล้ว

      ​@@rakimsspiritualmawasiliano plss tupate kujua mengi😊 mm

    • @hddhdhhddhdhdh1692
      @hddhdhhddhdhdh1692 ปีที่แล้ว

      kaka samahani mimi naitwa asia nafanya biashala haziendi nimejihangaikia lakini nimeambiwa nyota yangu yakiza jenaweza kuitenge nezavipi

  • @emmanuelmusa1061
    @emmanuelmusa1061 ปีที่แล้ว +1

    Samahani mwalim je mwenye nyota ya SIMBA ni mtu alie zaliwa tarehe ngap had tarehe ngap ya mwez gani?

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  ปีที่แล้ว

      Angalia kwenye hii video kipengele cha nyota ya simba nimeonyesha tarehe kwenye video.

  • @MwantumIddy-kx8cq
    @MwantumIddy-kx8cq ปีที่แล้ว

    Sisi punda 😱😱

  • @khadijahamidu4065
    @khadijahamidu4065 ปีที่แล้ว

    Mimi sijui nyota yangu please nijuze

    • @mdahmed7589
      @mdahmed7589 ปีที่แล้ว

      Umezaliwa mwezi upo na tarehe gani? Kisha nitakwambia nyota yako

    • @mahmoudmahmoud-sy7yo
      @mahmoudmahmoud-sy7yo ปีที่แล้ว

      tareh 28/1/200 naitwa mahmoud

  • @mwajumanassoro3001
    @mwajumanassoro3001 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa uchambuzi wako

  • @bensonmoses2530
    @bensonmoses2530 ปีที่แล้ว +1

    Majina ya mshale ni kama

  • @sashamelb
    @sashamelb ปีที่แล้ว +1

    Amesema ukweli kabisa

    • @DianaYesse-td4hl
      @DianaYesse-td4hl 8 หลายเดือนก่อน

      Kabisaaaa yaani makee najraibu kulinganisha na mambo nayopitia nayo yaona haki asema kweli hasa

  • @ErikJeremy-go6nf
    @ErikJeremy-go6nf ปีที่แล้ว

    Je unawezaje kujua kama nyota yako ni simba kwa kuangalia miezi au herufi

  • @zarrykaidza2359
    @zarrykaidza2359 ปีที่แล้ว

    shukran sana mwalimu mpendwa nyota yngu ni mizani ntajitahidi kwa ulio yasema asante

  • @FadhilaSwalehe-dl8ko
    @FadhilaSwalehe-dl8ko ปีที่แล้ว

    Nataman kupata mawasiliano tafadhal

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  ปีที่แล้ว

      Wasiliana nasi kwa whatsapp 0783930601

  • @rstudionaberera9788
    @rstudionaberera9788 ปีที่แล้ว

    Asante sana Rakims tupo pamoja kitambo
    Mimi ni simba na ninapenda sana getting
    Nishauri maana astro projection bado aijanisaidia kwa maisha ya kimwili yani pesa

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  ปีที่แล้ว +3

      Okay, Astral projection faida zake huanza pale mtu anapokuwa kaweza kutoka je wewe umeshaweza kutoka?
      Kuhusu simba well kuna mida sahihi ambayo kila nyota inaweza kutumia kwa kupatia bahati yake nitakuja kuelekeza.

  • @goldenbeibe
    @goldenbeibe ปีที่แล้ว

    Vp nawasiliana nawe?

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  ปีที่แล้ว

      0783930601

    • @EmMbl-vx3vi
      @EmMbl-vx3vi ปีที่แล้ว

      Salaam likum wewe unapatikana wapi?

    • @ElcieKyakimwa
      @ElcieKyakimwa 11 หลายเดือนก่อน

      A Santé sana ,ile haunja tuma namba Yako , hautujuwi wapi unapatikana