DR.SULLE HERUFI ZINAZO ANZA NA O,C NI WATU AMBAO HAWAELEWEKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • #drsulle #tanzania #islaamic #health #trending

ความคิดเห็น • 18

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ostaz unaridiarudia Sana maneno inapoozesha video,,ila kipindi nikizuri

  • @OmallySaid
    @OmallySaid 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa omary aliyo yasema yote yanaukweli

  • @abdulrahmanhassan5998
    @abdulrahmanhassan5998 8 หลายเดือนก่อน +1

    mtu anawezaje kujua aina ya biashara itakayo mfaa yaani kuendana nayo kwa mujibu wa nyota yake na jina la biashara au kampuni inatakiwa iyanzie na herufi gani kwa muji wa nyota ya muhusika

  • @ibrahimsaid3672
    @ibrahimsaid3672 10 วันที่ผ่านมา

    Asante Dr tutakuja ISLAA hapo tunaomba na herufi "I"

  • @BakariAli-ij1sp
    @BakariAli-ij1sp 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wallah Allah akulindee na akupe umri mrefu sheikh Kiukwelii mafunzo unayotupa ni ya ukweli na yanaumuhimu kwa anayezingatia na ni mambo ya ukweli wallah

  • @SteinbeckDiwa-t4i
    @SteinbeckDiwa-t4i หลายเดือนก่อน

    Kwa kwel unatufunza ukwel ila sisi waislamu tunajua mwanaume hastahili kujipamba yaani kujiremba,,swali ni mbona umevaa pete ilihali uislam haujasema?? kunradhi sheikh wangu ashakum si matusi,,

  • @omarpw108
    @omarpw108 4 หลายเดือนก่อน

    Ndio shekhe ila mbona mwatuchanganya mara wengine wasema kwambia herifi S,O,CnaG wote Wana nyota ya Moto haya mambo vp jaman hebu shekhe wangu herifi S ina nyota gn hebu ongelea herifi S twakuomba nakama tayari nambie niitafutee

  • @HamidaSaid-vh4hr
    @HamidaSaid-vh4hr 2 หลายเดือนก่อน

    Ni vipi kwa yule anaye olewa na kubadilishwa jina nyota yake hubadilika?

  • @nourdinpro
    @nourdinpro 6 หลายเดือนก่อน +1

    Walahi shekh una kipaji, mungu akupe umri mrefu, mke wangu ambaye tumetengana hapa juzi jina lake Christelle lakini 80% ambayo umeongeya anayo

  • @ThumaZ
    @ThumaZ 8 หลายเดือนก่อน +1

    Walaikum salam wrhmtllh wabarakathu,Asante sana tuletee na herufi F

  • @onesmusmanga2257
    @onesmusmanga2257 4 หลายเดือนก่อน

    Je, ni lazima majina haya yawe ni ya asili ya kiislamu?

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ostaz ,,tuletee na jina herufi J,T na L

  • @HalfatiMaziku-hb3yn
    @HalfatiMaziku-hb3yn 5 หลายเดือนก่อน

    Mi nina shida ya namba yako shekhe

  • @ZawadiHassan-r6d
    @ZawadiHassan-r6d 3 หลายเดือนก่อน

    Amiin yaarabi Amiin yaarabi ❤❤

  • @djmevrestmevrest6214
    @djmevrestmevrest6214 8 หลายเดือนก่อน +1

    U having say M

  • @IssaMlenga-z6o
    @IssaMlenga-z6o 8 หลายเดือนก่อน

    She tuletee maan helefu I

  • @FatmaForogo-ts9ly
    @FatmaForogo-ts9ly 8 หลายเดือนก่อน

    Herufi
    F

  • @FatmaForogo-ts9ly
    @FatmaForogo-ts9ly 8 หลายเดือนก่อน

    F