Alhamdulillah shekhe nashkuru ...maana Allah amenijibu mtoto wang alikua anasumbuliwa sana nasikio huvumba asubuhi na kupasuka jioni..lkn niliifanya hiyo nakulia sana ..mpaka sasa nashkur nimzima wa afya
Nimefuatilia video zako sana nakuzifanyia kazi huezi amini mafanikio ambayo nimepata wallahy alhamdulillah Allah akuhifadhi sana akupe mwisho mwema Allah akujalie uwe miongoni mwawatakao pata pepo yake sina malipo zaidi ya kukuombea dua 🤲
Sheikh Othman nakupenda kwa Ajili Ya Allah😊.... Ma shaa Allah Kila ninaposkiza darsa zako sikosi kupata faidaaa😊 Alhamdulilah ❤ Allah azidi kukupa umry na Afyaa Tuzidi kunufaika na ww 😢
Alhamdulillah kwa darsa zako hii clip kwanza niliiona tiktok na leo tena nmeion inshallah ttafanyia kaz haya allah akuweke tuzid kunufaika nawe ameen thumma ameen
Ndio hii dua wapenzi wa Allah
Rabbana AAtina fiiddunya Hassanat wafil akhirat Hassanat waqina Adhabannar
❤
Fullstop wewe ndo umemaliza dua nzito hiyo ina vyoooote humo akili zetu tunazo wenyewe hatujabebewa na mashehena
@@nasirmohamed1589 Allah atufanyie wepesi sote inshaa Allah.
RABBANA AATINA FIIDDUNYA HASSANAT WAFII AKHIRAT HASSANAT WAQINA ADHABANNAR
Asante
Allahuma barik laku Sheikh Othman, i love you for the seek of Allah for what you have been tought and remind us
kaswida zaramazan
Nileteye
Dada nakupenda kwajiri alla
Naam sheikh outhman usiku unamiujiza mingi sana...shukran ..Allah akubariki sheikh wetu
alhamdulillah nimeelewa kutoka kwako mungu akupe heri nying na akuweke salama
Rabana atyna fiidunia hasana waafil akhrat hasana ,waaqina adhabannar,waadhabal liqabur,waadhabal dayin❤❤❤❤
Nami nimepata kitu ahsante
Alhamdulillah shekhe nashkuru ...maana Allah amenijibu mtoto wang alikua anasumbuliwa sana nasikio huvumba asubuhi na kupasuka jioni..lkn niliifanya hiyo nakulia sana ..mpaka sasa nashkur nimzima wa afya
Maaxhaallah Allah mung akupe mwixho mwem
Nampenda saaan huyu shekhe Allah akupe kila jema❤❤
MashaAllah Allah akuzidishie
Mashaallah huwa nikikuckiliza shekhe moyo wangu unapata furaha sna
Alihamdulillah darasa zako zimenifundisha na kunibadilisha Allah akutunze shekh most of vitu unafundisha nafata na napata matokeo. 🙏
Shukrani shekhe allah akujalie kila la kheri
Mungu akupe maisha marefu inshallah
Nimefuatilia video zako sana nakuzifanyia kazi huezi amini mafanikio ambayo nimepata wallahy alhamdulillah Allah akuhifadhi sana akupe mwisho mwema Allah akujalie uwe miongoni mwawatakao pata pepo yake sina malipo zaidi ya kukuombea dua 🤲
Amina
Amin
Nimekuwa nafanya lakin sijafanikiwa inachukua mda gan wa kufanya hivyo
@@NunuKupelahauna imani ndo maana unaona inachukua muda
@@rahmaally9151 nitajitahidi
Allah akupe umri mrefu..❤ inshaallah❤
Jaazakhallah kheir mwenyezi mungu akupe mwisho mwema sheikh
Allahumma amin tunashkur kwakutufunza mengi
Nakuamini na kukuelewa sana Shekhe Othmn,zMungu akuandalie pepo ,Inshaalah
Sheikh Othman nakupenda kwa Ajili Ya Allah😊....
Ma shaa Allah Kila ninaposkiza darsa zako sikosi kupata faidaaa😊
Alhamdulilah ❤
Allah azidi kukupa umry na Afyaa Tuzidi kunufaika na ww 😢
Shukran jazaaka llahu kheir inshallah.
JazzakaAllahu kheir shukran sana Allah akulipe kheir nyingi
Inshallah shukran jazakalakher mwenyezi mungu atufungulie milango.
MashaAllah Allah akulipe kher
Lailaha Illallah Mohammadur Rasulullah ❤❤❤❤.
Wallah sheikh Othuman Mungu akupe umri mrefu nakupenda sana kwajili ya allah
Allah Akbar Mansha’Allah Shukran Jazaakum Allah Kheir
Mungu akuzidishie sheikh wanguu akupe maish marefuu
Shekhe nashuru sana allah akuekee wepes siku zote yallaby
Shukran Ustadh Barak Allah fiika
Shukrani 🙏ALLAH akulipe kila lakher
Asante san shehe kwa dua mungu akubariki
Naipenda hiyo kofia yako shk... Yanikumbusha Almarhum Shk ABDULBASTI🇰🇪🇰🇪🇺🇬🇺🇬❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Pongezi Sana Kwa kaz nzuri ya daawa
Rabbanaa atinaa fi dunia hassanah wafil akhirati hasanah wakinaa ngadhaba naar
Anaitwa othman michaeli
Hii swala ilinitoa kwenye Mtihani mwaka 2020 niliswali wiki mfulilizo nikajibiwa na nanazid kujibiwa mpka kesho Alhamdullilah
Mashallah
Mashallah
Kweli ndg yangu Nina shida nzito ngoja nami niifuatili
Shukran sheikh wetu jazakah Allah kheir
Tukithirisheni Sanaa Sanaa Kumswalia MTUME MUHAMMAD SAW
in Shaa Allah shida zetu zitatatulika Bi idhni Llahi
Allah Akujazee Kher shekhe❤❤
Tuomben,Allah,atpemwishomwema,maanaake,twaelekea,pabayss,tuyatendeen,kazmauiz,haya,inshaalh
NDUGU YANGU SURA HIZI FUPI ZENYEWE TU ZINATUSHINDA SEMBUSE NDEFU. HII NDIO NJIA YA KULAINISHA NYOYO ZISOME SURA NDEFU INSHAALLAH
𝕀ℕ𝕊ℍ𝔸𝔸𝕃𝕃𝔸ℍ🙏🙏
Mashaallah mashaallah mola akuzidishiye
jamn anae jua dua ya siku ya ijumaah naomben mnisaidie kwa uwez wa allah inshaallah 🤲🏽
Kuly yaa,ayuha lykaafiruun(1 )Laa,a,abudu maata a,buduun (2)Walaa,antum ,aabiduuna maaa,a,abudu(3)Walaa,ana,aabidun maa,abadtum(4)Walaa,antum a,aabiduuna maa,aabudu(5)Lakumdiinukum waliyadiin.
Qul Yaa sio kul yaa
Shukrani
Jazzakillah khayra
Asante shekh Kwa hii elimu njema Kwa ajili ya Allah 🙏
Mashallah Allah akuhifadhi
Allah akuzidishie
Mashallah ....allah akuweke milele daim uzidi kutuelimisha inshallah....😢
Allah atujalie tumkumbuke inshaallah.
Shukran sheikh ALLAH akulipe kheri
Rabana atina fidunia hasanat wafil-akhirat hasanatan wakina adhaba nar
Inshallah allah atujalie atup weps
Allah akulipe shekh wangu
Alhamdulillah kwa darsa zako hii clip kwanza niliiona tiktok na leo tena nmeion inshallah ttafanyia kaz haya allah akuweke tuzid kunufaika nawe ameen thumma ameen
Mashallah nafatilia Sana vipindi vyako
Maishaallah Allah akulip kilalakher
Namuomba allaah atuepushe na uzembe tuidiriki swala ya ucku itufae biidhnil rrahmaan
Mashallah mungu akupe nguvu zaidi na zaid
Sheikh Allwah akujaalie Afya njema Inshaallwah kill la kher
Allah atakulipa shekh
Shukran sheikh Jazaka Allahu kher 🙏
Masha allah yazakka uwah lyahr shekh allah akup umr mref n akulind na hasad za waja wabay inshaallha
Allah akulipe khery
Allah akuzidishie kheri
Sheikh ni sawa Muslim kujifunza elimu ya koroho
Na mm naanza leo allah anifanyie wepesi
Inshallah 🤲
Rabana atyna fildunia hasana wafil akhiraty hasana
Allah akubaliki sheikh
Shukran Allah akuzidishie kila la kheri
Yaa allah tuondoshee uvivu tuwe tikiamka kiyaumul layli
ameen 😊
Aameen ya Rabb
Amina 🤲🤲
Jazzakkah Allah kheir
Allah akuzidishie akupe maisha marefu Ustadh upo vizuri sanaa.
Allah akujalaalie kheri zaidi inshaalah
Anaitwa shekhe othman michael 8:19 8:25
Inshaallah Allah akuzidishie kheri tuzidi kupata mawaidha
Ameeen inshallah mafanikio
Allah atufanyie wepec inshaallah
Huyu Ustadhi nampenda sana na namuelewa sana hakika mungu akuweke
Msaada jamaniii iyo dua ambae anaejua naomba aniandikie,kwa ambae anaejua kwa ajili ya Allah mtuelimishe sio jua🙏
RABANA ATINA FIDUNIYA HASANAT WAFIL AKHIRAT HASANAT WAKIN ADHA BANAR
Allah akulipe kheri 🙏
Inshallah
Assalam alaykum, mwenye kujua kul Ayul kafirun naomba aniandikie yote siijui shukran🙏
@@JamillahEliaukipata nitag siijui ndo kwanza nmeslim juz cjui Quran
Barakallahu fiikii
Allah atufanyie wepesi
Mashallah mungu akuzidishie
Jazaka llah khaira
Allah akulipe kheri inshaallah
Asante rabana akuongeza
Aslamalleykum mim ni mkristo ila najikut2 nafarijika kila niskilizapo mada za maarim 🙏
Karibu kwenye UISLAM akhy
Karibu kipenz
Mashallah
mashallah kalibu sana kwenye uislamu mungu azidi kukupa imani yakusikiliza pia akupe imani yakuja kwenye dini hii
Barikiwa sana ♥️❤❤
Mashallah jazakallah kher
Anaitwa sheikh nan
Rabana atina fidunia hasana
Wafil akhirat hasana
Waqina athabanar
❤kwa ajili ya Allah
Insha Allah 🙏
Shukran sana kwa somo
Alhamdulilah inshallah allah akubalik shekh
jazaka llahu lkhayr
Subhannallah Allahu Akbar ❤❤❤
Allah Atakulipa inshaallah
Mansha allah allah akbaru
Alhamdulillah amiin amiin
Allah akulipe shee
Allah akuhifadhi
Sura ndefu kwetu mtihan maamuma ndg zangu.