DR.SULLE/ HII NDIYO TAFSIRI YA HERUFI A.B.C

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • #drsulle #tanzania #islaamic #health

ความคิดเห็น • 156

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 7 หลายเดือนก่อน +10

    Wale wa B tujuane, upo sahihi kabisa 🙌

    • @ismailyabdurahman8761
      @ismailyabdurahman8761 7 หลายเดือนก่อน

      Wajina ❤️😂😊

    • @bintsuleman915
      @bintsuleman915 4 หลายเดือนก่อน

      Tupo hapa lkn hatuna bahati kwa mapenzi

    • @bakarihussein9222
      @bakarihussein9222 4 หลายเดือนก่อน

      Yupo sahihi sanaa huyu jamaaa

    • @BahiruHamisi
      @BahiruHamisi 3 หลายเดือนก่อน

      Nipo apa

    • @BilluAmour
      @BilluAmour 3 หลายเดือนก่อน

      Tupoo B

  • @BakariMussa-to2me
    @BakariMussa-to2me 29 วันที่ผ่านมา +1

    Kwahiyo elufi B tufanye kazi gani ili tupate mafanikio ya halaka

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 5 หลายเดือนก่อน +2

    DR.SULE. Mume wangu na mtoto wangu .Wana herufu A.lakini haiyendani kwa ulivo itafsiri...Kama ulivo eleleza labda kuna tatizo .sasa...ninge penda kukuona Nina mengi,.Vipi titapata NO .yako ya Wsap. Tuwasiliane ? Shukhran !🇰🇪

  • @AshrafKashukali
    @AshrafKashukali 4 หลายเดือนก่อน +1

    elim ya nyota au astrology ni tawi la sayansi km astronomy nanyingine hakuna aya wala hasithi iliyokuja kuharamisha moja kwa moja elim ya nyota ingawa kuna ikhtilaf km zilivyo kwenye mas ala nyingine. wengi wanaopinga elim ya nyota hawajui maana ya elim hii wanaishia kupinga kimazoea .
    mwenye aya au hadithi yakuharamisha elim ya nyota wailete sote tufaidike.

  • @BilluAmour
    @BilluAmour 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dr sule cc wa herufi B tufanye kazi gn inayoendana na hiyo nyota na kito gn kinafaa tuvae tafadhali shekh

  • @kudraabdul7257
    @kudraabdul7257 27 วันที่ผ่านมา

    Doctor sule whatspa number unatangazia watu mbona hauko najibu msg zawatu kwani ni hiyi whatsap inachaguwa watu?

  • @AminaMsuya-yw3jd
    @AminaMsuya-yw3jd 5 หลายเดือนก่อน +2

    Shehe mm naitwa Amina mume wangu anaitwa yahaya ila ndoa yangu ina misukosuko sana

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wallahi sheikh hiyo yote na herufi umepatia kabisa ni ukweli ninao watu wenye majina hayo na ni hivyo kabisa shukran Allah akuhifadhi

  • @yonaskebreab6264
    @yonaskebreab6264 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hey what’s the colour for A,Y & M

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kuuliza swali je kufanya mazoezi ya meditation mazoezi ya kutafakari kwa kufunga macho ni haramu ?

  • @AhmadiMohamedi-lw7dr
    @AhmadiMohamedi-lw7dr 6 หลายเดือนก่อน +2

    Docta sule herufi a ni kazi Gani akifanya anaweza kufanikiwa

  • @AsiaBakary
    @AsiaBakary 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wallah herufi A ni zote sifa zangu mimi

  • @Arafat-c8z
    @Arafat-c8z 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni mimi kabisa, nakumbuka kipindi Nasoma tulikua kwenye project na jamaa a aliye chaguliwa kua Kiongozi hakuudhuria alipata dharua hamuezi amini nilishangaa nimekabidhiwa uongozi na nikisimamia mpaka tulimaliza Salama na kwa wakati sahihi💪💪💪

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh...
    Ushrikina huu ....
    Kama vipi shehe tupe elimu tujue kama sio ushrikina....

    • @BakariRajabu-ru1bf
      @BakariRajabu-ru1bf 10 หลายเดือนก่อน

      Na hiyo mtume kasema kwenye hadithi Au sera

  • @bray4real392
    @bray4real392 14 วันที่ผ่านมา

    Uko sahihi sana shekh sule

  • @aminaabbas2840
    @aminaabbas2840 5 หลายเดือนก่อน +1

    Masuala ya nyota ni shirik

  • @BupeKayani
    @BupeKayani 2 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha watu wa kuowana nao ni akina nani

  • @miishhassn
    @miishhassn 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kusoma nyota ni haramu bwana 😢acha kumshirikisha allah mtume amesema atakae jifunza elimu ya nyota amejifunza sehem ya uchaw allah akuongoze

    • @jumakijavara7106
      @jumakijavara7106 10 หลายเดือนก่อน

      Hahaha Ukty..

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน

      😢😢

    • @BakariRajabu-ru1bf
      @BakariRajabu-ru1bf 10 หลายเดือนก่อน

      Sio shirki dada sema hukusoma tu

    • @miishhassn
      @miishhassn 10 หลายเดือนก่อน

      @@BakariRajabu-ru1bf so unataka kusema hadith ya mtume ni uongo ama ndio mnaita dhaifu ili mpate cha kujitetea na si dhaifu

  • @EngineerAman-k6p
    @EngineerAman-k6p 10 หลายเดือนก่อน

    Umekuwa mjinga kadiri MDA unavyokwenda mrudie Allah Acha shubuha Mzee duniani tunapita.

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtu asiruhusiwe kuhubiri vitu kama hivi anapotosha watu. Ndugu zangu ni shirki huyu anafanya

  • @AliHassan-wt6jn
    @AliHassan-wt6jn 7 หลายเดือนก่อน

    Stop misleading people hakuna kitu inaitwa nyota sema aya na hadithii for evidence. Dini sii kiswahili nyingi lazima uwe na dhalili kutoka quran ama hadith unapotosha watu watu wanajua dini kuliko wewe hakuna kitu inaitwa nyota kwa dini ya waislamu

  • @HadiyaMuhammed-tt2xs
    @HadiyaMuhammed-tt2xs 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah

  • @ramla6068
    @ramla6068 10 หลายเดือนก่อน +1

    huyu jamaa kumbe mshirikina
    subhanallah

  • @DjibrileMumbere-j3y
    @DjibrileMumbere-j3y 2 หลายเดือนก่อน

    Assalamou alaykum sheikh docta sulle mimi nipo kongo durba sasa sheikh samahani kwa kukupigia simu kwani mimi ni mgeni kwako basi sheikh unisaidie n'a namba ambayo mutu aneza kuita nayo unajua kila mutu ana mambo Yake ambayo hawezi akatuma hapo Ila mwalimu naomba msaada wako kuhusu mambo yangu kuhusu maisha yangu ni mimi djibrile

  • @BakariMussa-to2me
    @BakariMussa-to2me 14 วันที่ผ่านมา

    Uko sa hihi

  • @ZuhuraChuma-si4wv
    @ZuhuraChuma-si4wv 6 หลายเดือนก่อน

    nimeamini kwenye hiri umenigusa sana sasa nimepata nguvu zaidi ASANTE OSTADHI

  • @Muhamed_mo
    @Muhamed_mo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona ushirikina huo shekhe wetu ...au vipi hebu tuelimishe kwa hili

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน

      🚶🚶

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน

    Free Palestine 🇵🇸🇵🇸
    Tunahitaji aman dunian,
    Peace 🕊️✌️🕊️
    🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸
    🚶🚶🚶

  • @SurprisedFloatingIceberg-sk5ks
    @SurprisedFloatingIceberg-sk5ks 8 หลายเดือนก่อน

    Nawaswahili tulivyowapumbav pale tulipoambiwa kuwa malaika anàkuja kukuuliza maswali ukiwa tumbon nakunamambo utasema ukiwarizk kifo n.k ba hawajiombei tena dùa wanasema kila kitu kashaandik haiwez kubadilik

  • @tawakalmzee516
    @tawakalmzee516 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ama kweli hii dalili ya Qiyama elimu ya wachawi

  • @killonjarron4407
    @killonjarron4407 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asantekwamafunzoyako

  • @hassanjr5318
    @hassanjr5318 4 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/l2vAJ4TCI2g/w-d-xo.htmlsi=0PkXNTb3erWJ7Hek
    Elimu ya nyota katika uislamu ☝️

  • @MariamOmary-ep6iv
    @MariamOmary-ep6iv 8 หลายเดือนก่อน

    Kwer kabisa shekhe uengeayo mi Jina langu uanzia m Nina hasira kibul mdogo angu pia anae anzia na a hivyo hivyo😢

  • @dab8859
    @dab8859 หลายเดือนก่อน

    Mm n B ninawivu mbya uliofanna n Roho mbya ujkosea🤝

  • @atiyahferej3380
    @atiyahferej3380 8 หลายเดือนก่อน

    Dr Sulle hujamaliza A rangi na ukitaka kuomba ufanye nini? Please nisaidie. Shukran

  • @ramazaniboggard8813
    @ramazaniboggard8813 5 หลายเดือนก่อน +2

    Unapotosha umma 😢innalillahi wa inna ilayhi rajiun

    • @YusufMwalimu-nu4no
      @YusufMwalimu-nu4no 2 หลายเดือนก่อน

      Potoka wewe e sie tupo sawa

    • @Bestbdb3895
      @Bestbdb3895 หลายเดือนก่อน

      Kubali kujifunza Wacha ujinga

    • @Dewaoficial09
      @Dewaoficial09 3 วันที่ผ่านมา

      Umeskia wapi herufi ya jina inatoa ushuhuda wa tabia za mtu..acheni ukapuku mnadanganywa sana dah ila zote njaa tu ixo😊

  • @AbeidKama
    @AbeidKama 7 หลายเดือนก่อน

    M nyota yang ya A ila sku nying nlikua nafatilia ila Leo nkaona nimtafte dr.sule sababu namuamini ila hajaielezea Sana herufi ya A

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 4 หลายเดือนก่อน

    Lohhh Sule amekua atafsiri nyota? Laa haula. Unatuharibia uislamu

  • @ikiyshabani
    @ikiyshabani 4 หลายเดือนก่อน +1

    KWEli kabisa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mussakisope7207
    @mussakisope7207 10 หลายเดือนก่อน

    Selemani ndio unafanya nn
    Dawa ya haqqi sikuzote haipotei Allah atuongoze ila selemani kapotea

  • @RayyanRayyan-rt9cg
    @RayyanRayyan-rt9cg 8 หลายเดือนก่อน

    Mie nachojua shekhee umesema kweli mwenyezimungu anifanyie wepesi nizidi kutimiza malengo yangu

  • @faridfrefre35
    @faridfrefre35 10 หลายเดือนก่อน +1

    Achana na huu ni ushirikina

  • @issazakaria4585
    @issazakaria4585 8 หลายเดือนก่อน

    kwani kuna mtu kakulazimisha ufuate u usikilize umelazimishwa mwanga wewe

  • @SurprisedFloatingIceberg-sk5ks
    @SurprisedFloatingIceberg-sk5ks 8 หลายเดือนก่อน

    Endelea shekh wtu waache malimbukeni wasijitambue kisha wapige kelele raisi kawabana.

  • @aminasuphian7685
    @aminasuphian7685 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana munguakupe Manisha marefu uzidi kutufundisha

    • @ahangfaith1180
      @ahangfaith1180 3 หลายเดือนก่อน

      Nasie wenye haref za m jmn eh

  • @merrygihozo6369
    @merrygihozo6369 10 หลายเดือนก่อน +1

    Allah Subhaanah wataala akuongoze

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 7 หลายเดือนก่อน

    mimi ni erufi (cirezi) kwenye swala la ku badirika ndo gisi tulivyo mungu atu sahidiye

  • @merrygihozo6369
    @merrygihozo6369 10 หลายเดือนก่อน

    Hadhaa shirk mwanzo nilikua napenda mawadha yako sasa basi tena umeisha kua katika elim ya shirk hivi umeharibu sasa sikusilizi tena

  • @AnliomarbacarAnliomarbacar
    @AnliomarbacarAnliomarbacar หลายเดือนก่อน

    Asante sana dr sule nimekueleua na nimeshiba masomo yako uko sahihi

  • @ashiaabdul887
    @ashiaabdul887 8 หลายเดือนก่อน

    Harefi A ni nini anaweza kufanya ili afanikiwe yaani ajishughurishe na nini ili aendelee kimaisha.

    • @aminakassim831
      @aminakassim831 8 หลายเดือนก่อน

      Kazi za jeshi,uongozi,uokoaji

  • @SalumuMandemla
    @SalumuMandemla 10 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu nae siku izi ana potea ,erufi na majina aya usiani na bahati riziki wala busara ya mtu.

    • @bray4real392
      @bray4real392 14 วันที่ผ่านมา

      Yuko sahihi

  • @allymwandama2496
    @allymwandama2496 8 หลายเดือนก่อน

    Uyu sio mzima chizi kabisaa tena mshenzi mno kasoma wapi kuna elimu ya nyota katika uislamu mpumbavu mkubwa

  • @miishhassn
    @miishhassn 10 หลายเดือนก่อน

    Ama hiyo hadith ya mtumr hujaona wakati unasoma 😂😂ndio walewale Kasoro majina allah akuongoze

  • @رضيهتنزانيا
    @رضيهتنزانيا 5 หลายเดือนก่อน

    Lakin kina( A) hujawaambia CK Yao ya bahat masaa pia hata rang au waonhawana

  • @OmarSwalehe-z9u
    @OmarSwalehe-z9u 10 หลายเดือนก่อน

    Hivi we na mkiristo tofauti yenu Nini wewe mshirikina na mkiristo mshirikina

  • @SaudaNsavyimana-jx8or
    @SaudaNsavyimana-jx8or 10 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi kabisa nakubaliyana na wewe ata kwamengiulozungumuza nakwa herufu c nakubaliyananalo

  • @ZuhuraChuma-si4wv
    @ZuhuraChuma-si4wv 6 หลายเดือนก่อน

    Mwenyez MUNGU azidi kukuongoza vyema

  • @AyyubuKalukula
    @AyyubuKalukula 8 หลายเดือนก่อน

    Allah akuongoze maana daaah Kwa Allah hakuna masihara wala utajiri swali nimoja Allah kafundisha mtume kafundisha maswahaba walifanya after that jua Lika ataefata elihiyo utaulizwa wallahu aalam

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @IssaNasir-v2e
    @IssaNasir-v2e 8 หลายเดือนก่อน

    Selemani sele 😮😮😮 sele unatapeli watu leo umekua mchawi

  • @RashidiMwanongo
    @RashidiMwanongo 3 หลายเดือนก่อน

    kama hujui tulia mshono kojowa ukalale

  • @Users2523
    @Users2523 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi nyinyi masheikh hamuoni aibu kusema mambo kama hayo kwenye Uma wa kiislam??

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 10 หลายเดือนก่อน

      Navyosikia dini hairuhusu, ila huyu ni shekh wa tatu nasikia anazungumzia mambo haya

    • @Users2523
      @Users2523 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@Catherine-mh8sw ni makosa, uislam hauruhusu hayo mambo, ukiskia masheikh wanafanya hayo mambo ,ujue ni mambo Yao wenyewe .

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@Users2523 anha sawa. Asante

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน

      🚶🚶🚶🕊️

  • @anethchacha8860
    @anethchacha8860 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @merrygihozo6369
    @merrygihozo6369 10 หลายเดือนก่อน +1

    Innalillahi wa innaa ilayhi rajiuun

  • @TwahaMaziku
    @TwahaMaziku 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmmh mtihani kweli namtume alifundisha el8mu hiii asaiv atuna mashekh ila washirikina tuu

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 10 หลายเดือนก่อน

      Nafikiri kama dini hairuhusu , ila huyu ni shekh wa 3 anazungumzia haya mambo. Sasa sijuwi dini inaruhusu au la🫨

    • @abuhassan9552
      @abuhassan9552 10 หลายเดือนก่อน

      ​@Catherine-mh8sw Dini hairuhusu hawa wajifanya ni Mashekhe lakini si Mashekhe hao ni wapotoshaji haja yao ni pesa tu

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 10 หลายเดือนก่อน

      @@abuhassan9552 hatari kweli.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 10 หลายเดือนก่อน

      @@abuhassan9552 Asante kaka Abu

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 10 หลายเดือนก่อน +2

      @@Catherine-mh8sw. Ndio Mwenyeezi Mungu anakubainishieni kua hapo hapana sheikh wala tiba za kisunna/Allah hamfichi mnafik. Mtu yyte anaefanya shirki usimuamini mpaka kwenye tiba zake hata akikupa mafuta basi usiyaamini km kweli unamukhofu Allah na kukhofia kuingia kwenye shirki.

  • @lonnieleyto8037
    @lonnieleyto8037 2 หลายเดือนก่อน

    HERUFI S NYOTA YAO SHEKH

  • @mackhanssa2484
    @mackhanssa2484 10 หลายเดือนก่อน

    Herufi N pia ni N'GOMBE sheikh

  • @Asma-m1j
    @Asma-m1j 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂Hao wanasema elimuyanyota ni ushirikina achananao sisi tunaojua faida zake tu fundishe ukiona comment zakukosoa somo hilila nyota usimjibu huyonisawa na kisiki 😂😂

    • @IssaNasir-v2e
      @IssaNasir-v2e 8 หลายเดือนก่อน

      وعَن ابْنِ عبَّاسٍ رضي اللَّه عنْهُما قَالَ: قَال رَسُولُ اللَّه ﷺ: مَنِ اقْتَبَسَ عِلْمًا مِنَ النُّجُومِ اقْتَبَسَ شُعْبَةً مِنَ السِّحْرِ، زَادَ ما زَاد رَوَاهُ أبو داود بإسنادٍ صحيحٍ.
      Soma hapo usipoelewa unirudie…af unambie hapo mtume ni kisiki au sio kisiki….maana ndo kasema elimu ya nyota ushirikina

  • @abuhassan9552
    @abuhassan9552 10 หลายเดือนก่อน

    DR SULLE Umekuwa watuletea ushirikina hayo unayo yafanya ni Ushirkini wata kupoteza Watu sasa umefika mbali

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน

      😢😢

  • @Agricola-gj5uh
    @Agricola-gj5uh 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mm heruf A na mume wangu herf A pia .

  • @kalamamuller-qe1yd
    @kalamamuller-qe1yd 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyota ya mtume wetu Mohammad S.A.W ni ipi?

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 10 หลายเดือนก่อน

      Swali zuri

    • @miishhassn
      @miishhassn 10 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅 good question 🤣

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน

      🚶🚶🕊️

  • @husseintebe-ss9by
    @husseintebe-ss9by 10 หลายเดือนก่อน

    Tupe elimu sheikh achana visokolokwinyo wasiojua elimu za watu wenye maarifa hii ndo elimu ya watu wanaojitambua

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน

      Mmmmh

  • @BakariJuma-s7v
    @BakariJuma-s7v 5 หลายเดือนก่อน

    Asante shukran mungu akubarik pepo

  • @hamadtv609
    @hamadtv609 2 หลายเดือนก่อน

    Toa ufafanuzi wa herufi h

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 10 หลายเดือนก่อน

    Dr Sulle umeamua kujilipua unafwata nyayo za Marehemu Shekhe Yahya 😅😅😅.

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน

      Utakuwa sio ushrikina 😢

  • @Abbasmagambo-gw9yl
    @Abbasmagambo-gw9yl 10 หลายเดือนก่อน +2

    safii shekhe

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน

      Safi ushrikina 😢😢

  • @Abbasmagambo-gw9yl
    @Abbasmagambo-gw9yl 10 หลายเดือนก่อน +1

    tupe elimu shekhe

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน

      🚶

  • @AhmedOmary-o6d
    @AhmedOmary-o6d 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikh eluf,a, inaendana na eluf gan?

  • @HadijaMussa-bb3js
    @HadijaMussa-bb3js 4 หลายเดือนก่อน

    Dkt we nibla nimekusoma sn

  • @OmarGitonga
    @OmarGitonga 5 หลายเดือนก่อน

    Mshirikina kweli uyu

  • @adinanimussa5484
    @adinanimussa5484 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah 🙏

  • @aweisali1723
    @aweisali1723 10 หลายเดือนก่อน

    Huezi jua mtu nyota yake paka ujue amizaliwa siku gani na mwaka gn na saa ngapi pia kisha ndo unaeza jua nyota yake

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน

      Sio kwer 😪😂
      Hata jina lake linatosha kumwakilisha

  • @JaphetMLuhala
    @JaphetMLuhala 6 หลายเดือนก่อน

    ukiwa na elufi J

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 7 หลายเดือนก่อน

    mimi niko hivyo c

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb 10 หลายเดือนก่อน

    Suleeeeee unapotea kaka,Sasa ,unakwenda kwenye uchawi kaka ,unapotea

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน

      🚶🚶

  • @NachaKing-nj7cp
    @NachaKing-nj7cp 5 หลายเดือนก่อน

    Nime kuerewa

  • @HadijaMussa-bb3js
    @HadijaMussa-bb3js 4 หลายเดือนก่อน

    Mifan yk dkt inyok sn mze

  • @SurtanMohamed
    @SurtanMohamed 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli 🎉

  • @mohammedal7864
    @mohammedal7864 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio maana anasema ana pesa kuliko mawaziri kumbe mshirikina

  • @BisinaSinane-ln4bl
    @BisinaSinane-ln4bl 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli Mimi nikoivoivo

  • @nasrapatrice4944
    @nasrapatrice4944 10 หลายเดือนก่อน

    Dhu! ii mbona hatar

  • @ZiadaTwaha-up5dw
    @ZiadaTwaha-up5dw 4 หลายเดือนก่อน

    Shukran

  • @abulaisa3389
    @abulaisa3389 5 หลายเดือนก่อน

    Kwari kabisa

  • @AlhajiSaidi-uo8zl
    @AlhajiSaidi-uo8zl 10 หลายเดือนก่อน

    tupe elimu

  • @serengetishipping2196
    @serengetishipping2196 10 หลายเดือนก่อน

    Dr sule matapeli wengi majina yao yananzia na herufi ABC

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 10 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 10 หลายเดือนก่อน

      @serengetishipping2196 ndugu yangu Mwenyezi Mungu akuzidishie nimecheka kweli kupitia hii coment yako 😅😅😅

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 10 หลายเดือนก่อน

    Sheikh hili somo ni Pana sana ttz munatueleaga kiufupi,,, basi tunaomba kiundani kabisa,,, mfano mtu anakwambia rangi yako au number zako za bahati alakini anashindwa kukuelezea matumizi yake kwa upana,, na omba muwe tofauti

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน

      😢😢

    • @bray4real392
      @bray4real392 14 วันที่ผ่านมา

      Mmmh kweli watu ni wagumu kuelewa😂😂😂

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 8 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @ArseneLeblanc-c6x
    @ArseneLeblanc-c6x 7 หลายเดือนก่อน

    Amen.

  • @HazzinaTulmukadima
    @HazzinaTulmukadima 10 หลายเดือนก่อน +4

    Acha kupotosha watu elimu ya nyota katika dini ya uislamu hakuna ni shirki uko unapokwenda sasa ni mtihani

    • @allysebarua-gt2ms
      @allysebarua-gt2ms 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kasome hunaelimu unakosoa vitu hunaelimu navyo

    • @HazzinaTulmukadima
      @HazzinaTulmukadima 10 หลายเดือนก่อน +2

      @@allysebarua-gt2ms siwezi kusoma elimu za ushifikina kwa faida gani

    • @abdulkadirmaisara1628
      @abdulkadirmaisara1628 10 หลายเดือนก่อน

      Una elimu gani ukiulizwa nyota yako ni ya nini huelewi na huitambui kisha unabisha kama unajua

    • @BakariRajabu-ru1bf
      @BakariRajabu-ru1bf 10 หลายเดือนก่อน

      Mbona elimu ya nyota ipo na iliandikwa na wana zuoni sema wapo watu waitumia vibaya 😅😅😅

    • @abdulrazaqjuma6571
      @abdulrazaqjuma6571 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@BakariRajabu-ru1bf Ikiwa ni kitu ambacho Kuna watu wanaweza kukitumia vbaya basi sio elimu nzuri. Hii inampelekea mtu kwenye ushirikina hvyo haifai, ndio maana hakuna historia ya mtume kufundisha elimu ya nyota.

  • @alainndayishimiye5905
    @alainndayishimiye5905 10 หลายเดือนก่อน

    Asalam alayikum w w . ila (A) haukusema siku yabahati na rangi