MAZINGE AMLIPUA MCHUNGJI _ NIWAPI YESU KAMRUDISHA PUNDA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Comedian mazinge

  • @johncharlessingano8551
    @johncharlessingano8551 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ila mazingr shule ya kawaida tu hana hahahahahahhaahhaha maswali yake kama mtoto hahahahahahhaahhaha

  • @kimanzitheguitarist7924
    @kimanzitheguitarist7924 10 วันที่ผ่านมา

    Ni wapi tena Yesu kaonekana na punda isiokuwa alipoonekana akiingia yerusalemu?

  • @naksphraits4237
    @naksphraits4237 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona usionyeshe video yote... mchungaji ndacha alimjibu swali safi sana

  • @FestoLosta
    @FestoLosta 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka mazinge aliwahi kuulizwa kuhusu mhamadi kuowa mtoto mdogo,yeye kajibu mtoto si wake,sasa leo kapata kiboko yake yeye anauliza kuhusu punda kwani punda ilikuwa yakwake?nataka shehe akaowe binti wa myaka 10ndio nta kubali

  • @jumarobertonyancha8605
    @jumarobertonyancha8605 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hana hekima huyu mzee

  • @khitamcaptainveca5045
    @khitamcaptainveca5045 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hivio yesus alidanganya atarudisha kumbe ni ongo 😂😂😂

    • @MudiMshindo
      @MudiMshindo 7 หลายเดือนก่อน

      Eeeh hajarudisha

  • @ChondoNinga
    @ChondoNinga 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha soma bado

  • @basilejuma
    @basilejuma 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ndachaaaa kiboko ya waislam

    • @khitamcaptainveca5045
      @khitamcaptainveca5045 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂mtu ako na Bible of Africa , Io Bible Nani anitabua kwa ulimengu mzima 🙄

  • @DavidIssa-l9w
    @DavidIssa-l9w 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wapi andiko la mwenye punda kalalamika kuwa akurudishiwa punda lake, ili ujibiwe

    • @cloudberrylyrics2023
      @cloudberrylyrics2023 3 หลายเดือนก่อน

      Si Yesu alibatizwa ili aonyeshe mfano mwema, basi ili aonekane mfano mwema onyesheni andiko punda karegeshwa, simple

    • @DavidIssa-l9w
      @DavidIssa-l9w 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@cloudberrylyrics2023Hakuna andiko lisemalo punda haikurudishwa..acheni ubishi

    • @HemedSerious
      @HemedSerious หลายเดือนก่อน

      Mzee kulalamika sio hoja ya msingi, unapoazima inabidi urejeshe sio watu wanalalamika wanapodhulumiwa

  • @Yassin-q7z
    @Yassin-q7z 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe madzige ni Bure hvo

    • @johncharlessingano8551
      @johncharlessingano8551 7 หลายเดือนก่อน

      Yaan kweli anaongoza watu WAZIMA waislam anauliza punda hahhahahahahah jamnai akili hizi za ajabu sana