Taratibu Rahisi Za Kuja Ulaya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Hi guys, Nimeaanza kupost video ambazo zinaeleza njia tofauti ambazo wewe na familia yako mnaweza kutumia kuja Ulaya. Kama una ndoto ya kuja ulaya usikose videos ambazo nitaposti kwa details njia tofauti za kuja ulaya. Kama we ni mwanafunzi au unatakuja kama mkimbizi make sure unasubscribe ili usikose. Mimi sio immigration officer, maoni nayotoa ni kupitia kazi niliyoifanya ya kuwaandikisha wakimbizi na pia kupitia information nazopata kwenye internet. #tanzania #ulaya #diamondplatnumz #kenya #diamondplatnumz #eastafrica #mkimbizi #uganda #burundi #rwandatoday

ความคิดเห็น • 58