#EXCLUSIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • #EXCLUSIVE: EX-WIFE wa Q CHIEF AFICHUA KUNYANG'ANYWA WATOTO 2 UINGEREZA - JINI MAHABA LILIVYOMSUMBUA...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 82

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 หลายเดือนก่อน +2

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @evakessy3282
    @evakessy3282 3 หลายเดือนก่อน +18

    Sasa dida mpaka hapa kunavitu vingi Sanaa umevificha inaonekana hata kunyang'anywa watoto ilikua sawa kabisa hukuonewa ulikuwa na mauzauza sanaaaa nivile tu hutayaweka wazi

    • @UkhtyDidas-maarifa
      @UkhtyDidas-maarifa 3 หลายเดือนก่อน +4

      Muombe Allah akustiri, mitihani haimfiki mmoja. Kuna wewe na vizazi vyako, Mwenyezi Mungu akusamehe

    • @AshuuuBakari
      @AshuuuBakari 2 หลายเดือนก่อน

      Yah mbona aliwahi kusema lakini kwa sasa mwenyezi mungu kamuongoa kamrudia Allah

  • @halemmmbarak16
    @halemmmbarak16 3 หลายเดือนก่อน +11

    Akili za kishirikina tatizo kubwa kwa jamii zetu. Mungu atuongoze njia ilio nyooka.

    • @RayChausa
      @RayChausa 3 หลายเดือนก่อน

      Ameen

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mashallah mashallah ndo inavyotakiwa kurejea kwa Allah kabla ya mauti

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 3 หลายเดือนก่อน +5

    Walichukuliwa watoto Kwa sababu ulikuwa hunaakili walikuona hamnazo

    • @UkhtyDidas-maarifa
      @UkhtyDidas-maarifa 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ulie kuwa nazo, hongera yako. Umenizidi akili, Allah akujaalie na akuongezee zaidi na ziada.

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah nimelud Tena kufatilia interview yangu mashaallah wallah nimependa sana ulivyolud kwa allah

  • @deusdeditsimba4452
    @deusdeditsimba4452 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mcharuko mtupu tuache Tu wewe

  • @zahra5267
    @zahra5267 หลายเดือนก่อน

    Kwa Ambae hajawahi ishi ulaya na kujua system za kule hawezi kumuelewa kabisa ...wazungu ni washenzi mbwa kabisa !

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 3 หลายเดือนก่อน +5

    Manshallah mzuri sn

  • @tamimakhalfanikhani8403
    @tamimakhalfanikhani8403 3 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeh jamani msiongelee vibaya haya maswala kama hujaishi ulaya huwezi yajua mm yalinikuta kunyanganywa wtt 3 na sikufanya kitu chochote wiki nzima nikalala kituoni siku moja baada ya kujiridhisha wakanirudishia lkn nikawa na social worker miezi 3 pia hawakuona kosa lolote wakaachana na mm kisa mpk leo sikijui kiufupi aya mambo yasikieni tuu

  • @alsam4881
    @alsam4881 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mie ninavyojuwa kwa serikali ya Ulaya kama mzazi akimnyàngànywa mtoto basi ujuwe wameshafanya uchunguzi wa kutosha kuwa huyo mzazi ana matatizo na hawezi kumlea mtoto ipasavyo, na itakuwa huyo mzazi wamemchunguza na kujiridhisha aidha ana matatizo ni alcoholic au anatumia madaya ya kilevya au anamtesa mtoto au ana ugonjwa wa akili , na wakishachunguza na kujiridhisha basi na atanyàngànywa mtoto na kupelekwa kwenye familia bora ili apate malezi bora, na serikali itakuwa inamlipa ile familia gharama zote za mtoto kila mwezi,kwasababu watoto wa Ulaya wana haki yao ya kutunzwa ipasavyo.

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mental health hiyo ndio maana hao social services waliwachukua 😮😮 mshukuru kama umeungana na watoto wako

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe dida umevaa vizuri lakin bint wako kavaa vibaya hebu jaribu kumfundisha bint wako kuvaa vizuri

    • @Tupena-ov7xq
      @Tupena-ov7xq 3 หลายเดือนก่อน

      Kuvaa vizuri ndio kukupeleka mbinguni, ulizaliwa na nguo?, enjoy maisha Acha kuogopa moto. Dini ni uongo hakuna pepo

  • @ivanamkapa2369
    @ivanamkapa2369 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wazungu wabaya sana

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 3 หลายเดือนก่อน

      Kama wabaya mwawatakia Nini!!!

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 3 หลายเดือนก่อน +11

    Kwa maelezo yako ni kweli ulikua changamoto ya afya akili ila kikawaida mtu huwezi kujijua

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ulaya malezi yanapewa kipaumbele na ndio maana mama na watoto wanalipwa ukipuyanga tuu wanawachukua

  • @alimohamedali9824
    @alimohamedali9824 3 หลายเดือนก่อน +2

    Anataka umarufu tu sifa

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa chilah uliish nae muda gani

  • @HanzFudr
    @HanzFudr 3 หลายเดือนก่อน +2

    Aline persson that's coming for you sameting
    😂😂😂😂😂😂

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 3 หลายเดือนก่อน

    Dear mrudie Allah
    ukweli wa kumrudia
    kuvaa hijab kufanya ibada
    halafu kufanya uganga
    ni kumshirikisha Allah
    ndio kubaya zaidi
    hakuna dawa za kiswahili
    ktk dini ya uislam
    kuna dawa za kisunna
    vipi mtume na wema walijitibu..kama kutumia
    asali,habat soda
    tangawizi,thomu n.k
    sura za quran
    kama tiba na sio mitishamba

  • @tatually1366
    @tatually1366 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam Alyekum waramahatualha wabarakatuha🎉 mama we tu mwenyezi mungu akupe Afya njemaa ❤️

  • @ishe_ngo8926
    @ishe_ngo8926 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wazungu wanajua na ulikuwa haujakaa sawa, washukuru hao wazungu.

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukhty sio neno la kiislamu na ww ni la kiarabu

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani jamani eti "anasoma sheria anasoma finances" 😮

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 3 หลายเดือนก่อน

      Inawezekana mtu anaweza soma multiple degrees so sio ajabu hata labda ka ulikua hujui

    • @aminarajabu5795
      @aminarajabu5795 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa Futa mchanga machoni Kumbe hujui!!? 😂inawezekana zaidi ya hizo mbili ni wewe tu uwezo wako hata nne inategemea vipindi kuvimeneji je haviingiliani?.

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 3 หลายเดือนก่อน

      @@aminarajabu5795 humu mitandaoni nmegundua watu kuuliza jambo wasilojua ni mwiko ivyo huanza na kulaumu au kukosoa hatari sana sa mtu anashangaa mtu kusoma vitu multiple yni

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 3 หลายเดือนก่อน

      @@FahadAbubakari Sio ajabu ila jinsi anavoeleza ndio shida

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bismillah Masha'allah Allah ajuongoe zaid

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 3 หลายเดือนก่อน +3

    Anafanana na yule anapikaga mapish oman au ndo huyu🤔

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 3 หลายเดือนก่อน +1

      Jamila kizondo auu😂😂😂😂

    • @GiftAbduly
      @GiftAbduly 3 หลายเดือนก่อน

      @@nahlahassan-fd6le uyo uyo🤣🤣

    • @AzaAzamhmod
      @AzaAzamhmod 2 หลายเดือนก่อน

      Sio

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naona kama shery makope wa US, Mashallah, mahodari sana nyie

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wanawachukua kuwaleaaaaa au kuwafundisha ushoga mapenz ya jinsia moja?

    • @omarkhelaifi5888
      @omarkhelaifi5888 3 หลายเดือนก่อน

      Kuwaadopt maanake wawe na wazazi wakizungu

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kuadopt ni makubaliano lakini huku wanatabia watt usiwagombe wale usiwapige lakini ukizaa huku lazima upate msongo wa mawazo kwa kuwa upo peke yako sasa yy alivohojiwa alijielezea ndio maana walichukuliwa watoto

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huku kila siku watu wanachukuliwa watt wao usimuazibu mtt wala usimgombe sisi wazazi wa kiafrica hatuna malezi hayo

    • @omarkhelaifi5888
      @omarkhelaifi5888 3 หลายเดือนก่อน

      @@FatimaAli-of4gh safi sana umeiweka sawa nahisi watakuwa wameelewa maana kuna watu hawaelewi kile ambacho huyo mama alikua akikiadidhia wengi wao wamehisi kuwachukua ni kwasababu ya kitu kingine alicho kifanya kumbe iyo tabia wazungu wanayo san hata mimi ninapoishi kuna mdada wakiburundi alijifungua akiwa na myaka 17 alafu mwanae wakampeleka mpeleka mpaka sasa huyo mdada nikama ilapagawa ivi

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 2 หลายเดือนก่อน

    Waislamu hatusemi ukti. Ukti maana yake nyengine na ni maana mbaya haisemeki. Kama ulikusudia kusema ukhti basi ukosahihi.

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 3 หลายเดือนก่อน

    Urekebishaji wa vp ilhali mwanao anavaa visivyo ?! Mbona munatupiga makopo jamani ?! Allahu yaallam !

  • @hanifaa1487
    @hanifaa1487 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah mashallah ❤❤❤❤

  • @SafiaOmar
    @SafiaOmar 2 หลายเดือนก่อน

    Imelda hio movie inaitwa Mrs Charterjee Vs Norway

  • @laylatabdallah2796
    @laylatabdallah2796 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa ww umerejea kwa allah mbn mwanao hajistiri?

    • @SabraAbdilnasir
      @SabraAbdilnasir 3 หลายเดือนก่อน

      Naona kama huna lakiongea bora tunyamalize mana watoto wengi siku hizi hawasii na wengine wazee hawataki bali ndio mitihani Allah awaongoe watoto wote

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 2 หลายเดือนก่อน

    Hasemi ukweli kwanini ukanyangaywa wanao

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน +1

    SIDE B TAFADHALI

  • @acylaking7990
    @acylaking7990 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana ukhty Allah awaongoze watoto wako waelekee ktk na sisi pia wtt wetu mengine tumuachie Allah bin Adam tusimbeze wala kumhukumu huyu ni mwanamke na nusu tumewaona wengi yamewafika maskini Allah atupe subra na nguvu tuwashinde kwa ajili ya Allah.

  • @mrokay1time958
    @mrokay1time958 3 หลายเดือนก่อน

    Poleee saaaanaaa sisi tupo haapa karibu piaa tumeyapitiaa polee saaaanaaa

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana waulaya tunakuelewa pole sana

  • @DevothaMwailenge
    @DevothaMwailenge 3 หลายเดือนก่อน

    Sijui Kama Kuna mbwa anaweza kunipokonya mtoto aliyekaa kwenye tumbo langu

    • @damaspmtz1018
      @damaspmtz1018 2 หลายเดือนก่อน

      Umbwa ulilala nayo kivip unashangaza

  • @FaridaFarida4
    @FaridaFarida4 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo ya kumuaidi mtu kakuvisha pete harafu kumuacha ilishanikuta na mm nikatupiwa majini mahaba ma mahangaiko

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน

      Pole sana mimi kuna mwanaume alinitolea mahari lakini mimi nilikuwa sijui baba angu mkubwa analazima mimi niolewe nae hawajanishauri walikaa wenyewe wakapokea pesa nilipokataa akarudishiwa pesa yake nilipigwa kitu ikifika jioni napandisha mashetani naona watu wote walioshakufa nawataja niliumwa sana

    • @sabrinakamikazi2142
      @sabrinakamikazi2142 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@FatimaAli-of4ghpole sanaa ALLAH akutibu na akunusuru

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน

      @@sabrinakamikazi2142
      Alhamdullah ndugu nilipoa nikaolewa na ninaemtaka mie nikaenda kuishi kwao zanzibar akaondoka kuenda ulaya miaka 6 akaniacha huko nikaona mkosi mwengine huo unakuja na akaowa kisha baada ya miaka 6 akanichukua nashukuru saa hii nipo nje ya nchi na nikapata watt wengine Alhamdullah maisha yanaendelea

    • @sabrinakamikazi2142
      @sabrinakamikazi2142 3 หลายเดือนก่อน

      @@FatimaAli-of4gh Mola hawatupi waja wake.Allah aendeleye kukulinda nawatu wako.

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน

      @@sabrinakamikazi2142
      Aamin kwa sote

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu 😢

  • @DxbYae
    @DxbYae 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sn dida

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ulikuwa kicha kweli na mpaka sasa naona bado hupo Babara yaani hata ukiongea unaonyesha bado unamatatizo ya akili

    • @UkhtyDidas-maarifa
      @UkhtyDidas-maarifa 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mishipa imekusimama kweli, wewe mwenye akili. Allah akuzidishie akili, na akupe maendeleo na hizo akili zako.

    • @sharifamnavi6699
      @sharifamnavi6699 3 หลายเดือนก่อน +2

      Astaghfurillah. Wangekuwa wanaombeana, wewe dada ningeomba Allah akupitishe kwenye huo mtihani uone maumivu yake. Acha haya maneno hujui huyu dada anapambania wangapi!! Hivi unaijua mitihani ya Allah?!.

    • @sharifamnavi6699
      @sharifamnavi6699 3 หลายเดือนก่อน +1

      Astaghfurillah. Wangekuwa wanaombeana, wewe dada ningeomba Allah akupitishe kwenye huo mtihani uone maumivu yake. Acha haya maneno hujui huyu dada anapambania wangapi!! Hivi unaijua mitihani ya Allah?!.

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ibilisi mkubwa hasadi zimekujaa kichwan

    • @oliviaseth4652
      @oliviaseth4652 3 หลายเดือนก่อน +1

      Acha uongo

  • @JihaadIsmail
    @JihaadIsmail 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu mkubwa

  • @JihaadIsmail
    @JihaadIsmail 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @rehemakilele2751
    @rehemakilele2751 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 3 หลายเดือนก่อน

    Mm nimekuelewa nimekupenda mnoo mdada anaongea vizuri anafunza nimejifunza kitu ❤pole na mingiii dear nimetamani nikuonee una kitu kizuri nimewaza hivyo

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo ulikua na matatizo kweli wazungu waliyaona
    Ulikwenda kuzalia Ireland ili upate makaratasi mahali ambapo hukua hata na marafiki.
    Story yako inaonyesha kweli ulikua na mental illness, umesema tokea ulipo kua mdogo ulikua unaongea na majini

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mume wake alikuwa wapi wakati huo anapata hio Familiya mpaka wakamchukua

    • @Tupena-ov7xq
      @Tupena-ov7xq 3 หลายเดือนก่อน

      Wanaume huwa hawapendi kulea watoto,

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 3 หลายเดือนก่อน +1

      swali zuri sana ila Imelda alikosa kutouliza

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 หลายเดือนก่อน

    Mashalah