ALINIAMBIA TUKO WAWILI NA HAJUI AMCHAGUE YUPI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2023
  • Muendelezo wa story ya Godliver

ความคิดเห็น • 92

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 6 หลายเดือนก่อน +8

    Wazungu siyo wabahili. Hawajalelewa kusaidia mtu ambae ana nguvu zake na mikono na miguu yote miwili. Maana huyo hafai kupewa anafaa kujitafutia.
    Hapo ndipo tunapishania. Siyo ubahili huo au ubinafsi huo. Bongo tunalelea watu wavivu kupitiliza

  • @DarleneCapher-vs6ze
    @DarleneCapher-vs6ze 6 หลายเดือนก่อน +12

    Mimi wangu ndo amekuja ameona interview ananiuliza apo wanasemaje🤣🤣baada ya kukutania kwenye dating site miaka 3 kwa mawasiliano ndo amekuja anaondoka mwezi wa kwanza nimefurah sana...pia amesema anawapenda🤗🤗🤗

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  6 หลายเดือนก่อน +1

      Ahsante dear
      Karibu kwa kipindi utupe Experience yako pia isaidie wengine
      +4367764790884

    • @tahiyasaidi6532
      @tahiyasaidi6532 6 หลายเดือนก่อน +1

      Uyo...harudi😂😂😂😂

    • @godliverdennis8723
      @godliverdennis8723 6 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana

    • @sophiakassim6784
      @sophiakassim6784 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@tahiyasaidi6532😂😂

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@tahiyasaidi6532mmmh Tahiya 😅

  • @Riyovlogs789
    @Riyovlogs789 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kipindi kizuri sana, dear shena naomba unisaidie namna ya kuwasiliana na mdada alieenda sweden alimpandia ndege mtu wakwe🙏

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kwa uwazi wako story yako inafurahishà

  • @godliverdennis8723
    @godliverdennis8723 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wish you all the best dear ❤

  • @Winifridainturkey
    @Winifridainturkey 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ka uselfish ka wazungu ndio kanako saidia wenzetu kuto kuwa tegemezi Africa tunakufa masikini au unaishiwa kabisa sababu ya kutegemea na kutegemewa napenda life style Yao Ila kwa Nyumbani Africa hakuna namna utatoa tu ili upate Amani pia maana tofauti na hapo maisha yako yanageuka ahadi ya deni wakati ulitakiwa kutoa kwa moyo au kusuport ulichonacho mweee😊

  • @justinatemba
    @justinatemba 11 วันที่ผ่านมา

    Raha ya Mzungu mkae pamoja sasa yeye yuko ulaya wewe tz vumbi jamani

  • @Tausishaban-he5io
    @Tausishaban-he5io 6 หลายเดือนก่อน +3

    Yaaan kupitia huyu dd nmepata tumaini na takiwa kuwa mvumilivu naamini nitapata aliye seriously na mwenye mapenzi pia mwenye hofu na mungu nakupnd dada ❤

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaowatafuta Wazungu, watafute wenyewe ili kukidhi tastes zao. Kitonga inaponza!

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 6 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda😍😍😍

  • @leonardmary83
    @leonardmary83 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shena ninawatch sasa hivi

  • @mariamshabani769
    @mariamshabani769 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu anaongea kama sada uliwahi kufanya nae interview, .yule alosema alimwambia mzungu wake awe anatuma hela kila mwezi kwa wazazi wake

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 6 หลายเดือนก่อน

    ❤️❤️❤️❤️

  • @user-id7lc7tk4d
    @user-id7lc7tk4d 22 วันที่ผ่านมา

    Shena mlete shendwa jamani

  • @hemedsabuni9965
    @hemedsabuni9965 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo dada hakika ni mzuri

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dada black beauty

  • @user-du3wd8lz9l
    @user-du3wd8lz9l 6 หลายเดือนก่อน

    My sweet soul momy💕💕💕💕

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana dada 🎉🎉🎉🎉

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 6 หลายเดือนก่อน +4

    Tunashukuru Kwa taarifa!
    Watu hapa huwa wanahojiwa wamevaa vzr, dada mrembo ila hii nguo Kwa hapa hapana , ukweli usemwe!

    • @godliverdennis8723
      @godliverdennis8723 6 หลายเดือนก่อน

      Kwahio utafanifanya nini sasa?

    • @bobboris4859
      @bobboris4859 6 หลายเดือนก่อน +1

      Huez mpangia mtu cha kuvaa anajua ako n interview na hio ndo choice yake kaa kwa kutulia

    • @godliverdennis8723
      @godliverdennis8723 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@bobboris4859thanks kwa kunisaidia😊

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ni culture yao na ndiyo maana wanafika mbali

    • @godliverdennis8723
      @godliverdennis8723 6 หลายเดือนก่อน +1

      Basi nilikuwa sijui naanza kuwaelewa taratibu😅

    • @roseeuphrase3853
      @roseeuphrase3853 6 หลายเดือนก่อน

      @@godliverdennis8723
      Kweli kabisa mwanangu, ni vizuri sana kuwajua watu culture yao. Wenzetu hawana tabia ya kusaidia extended family kama sisi jinsi tulivyo.
      Pia wako makini sana kwenye matumizi ya pesa. (Budget) hata serikali zao ziko makini sana.

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ucheke utiwe pesa nimecheka

  • @JanethNyessoro
    @JanethNyessoro 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman MUNGU atuangalie nasis tunahitaji

    • @godliverdennis8723
      @godliverdennis8723 6 หลายเดือนก่อน +1

      Utapata dear muhimu kuwa mvumilivu upate kitu cha uhakika

    • @kissamwamunyange1018
      @kissamwamunyange1018 6 หลายเดือนก่อน

      Hata Mimi natamani kupata
      . Mungu aweke wepesi mwaka 2024. Na sijuh mnawapataje?

    • @godliverdennis8723
      @godliverdennis8723 6 หลายเดือนก่อน

      @@kissamwamunyange1018 ingia afro weka pics ambazo zinakuweka na muonekano wa asili zaidi,andika profile yako vizuri uelezee haswa lengo la kuingia kwenye mtandao huo

    • @JanethNyessoro
      @JanethNyessoro 6 หลายเดือนก่อน

      @@godliverdennis8723 Ameen

    • @Tausishaban-he5io
      @Tausishaban-he5io 6 หลายเดือนก่อน

      Naamin mungu yupo dd mambo yote yatakuwa sawa

  • @alicethobias932
    @alicethobias932 4 หลายเดือนก่อน

    Habari Dada unajiungaje hii dating site mm natamani kujua

    • @godliverdennis8723
      @godliverdennis8723 21 วันที่ผ่านมา

      Afro introductions kuna option ya kulipia na pia unaweza kutumia bure

  • @RosemaryKidiro-wz3ux
    @RosemaryKidiro-wz3ux 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ku dating na wazungu jmn inataka moyo kama uyu wa kwangu ata no ajanipa anasema ana nichunguza jmn uiiiii 😂😂😂😂 ni kuchart fb tu😢

    • @godliverdennis8723
      @godliverdennis8723 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 atakupa tu soon we kuwa mpole

    • @RosemaryKidiro-wz3ux
      @RosemaryKidiro-wz3ux 6 หลายเดือนก่อน

      @@godliverdennis8723 hakika nimejiona wa baraka Asante Dada MUNGU mwaminifu atakuacha 🙏

    • @brendajulius2995
      @brendajulius2995 6 หลายเดือนก่อน +4

      Be careful anaweza kuwa tapeli huyo. Endelea kutafuta hapo hujapata mtu bado kuchunguzana kwa mtandao ndo nn??

    • @marthakunaga7347
      @marthakunaga7347 6 หลายเดือนก่อน

      You are right Brenda

    • @RosemaryKidiro-wz3ux
      @RosemaryKidiro-wz3ux 6 หลายเดือนก่อน

      @@brendajulius2995 ndo mwaka sasa jmn na miezi mitano cn no ya baby 🙌

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 6 หลายเดือนก่อน

    nimependa rangi yake na tabasamu, ni mrembo haswa.

    • @godliverdennis8723
      @godliverdennis8723 6 หลายเดือนก่อน +1

      😊😊😊shukrani

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 6 หลายเดือนก่อน

      Kwakua kavaa uchi eti angejistir usngesem kitu

    • @godliverdennis8723
      @godliverdennis8723 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@nahlahassan-fd6leWe hebu niache fatilia maisha yako,au umetumwa kibaraka wa kuzimu?

  • @evampuya-mp9vf
    @evampuya-mp9vf 3 หลายเดือนก่อน

    Gharama ni ngapi kuingia kwenye hizo deting

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mh ww dada unaehojiwa ndio nguo gan iyo yakuvaa kweny interview? tikiti maji zote nje😂😂😂mbona anaewahoji hajianiki kam ivo??

    • @godliverdennis8723
      @godliverdennis8723 6 หลายเดือนก่อน +1

      Bora hata ningekuwa na hizo tikiti maji,haya uwanja ni wako jimwage dada

    • @user-du3wd8lz9l
      @user-du3wd8lz9l 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kwan ameambiwa hapa kuna maonyesho ya mavazi?? Tikiti maji anazijua? Makadiriko tu hana lolote

  • @hericharles3604
    @hericharles3604 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dada zetu wana shida sana, kwa sababu mtindi bado haujavurugwa sana ameamua kutususia hadharani. Ama kweli limbukeni akipata utamjua.

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 6 หลายเดือนก่อน +1

      mbona makasiriko, sasa mtindi si wake, wewe ina kuhumab nini , mtchuuuuu

    • @godliverdennis8723
      @godliverdennis8723 6 หลายเดือนก่อน

      Duh😂

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 6 หลายเดือนก่อน +2

      Hapana,hiyo nguo sio sawa Kwa hapa bwana usitetee Kila kitu

    • @godliverdennis8723
      @godliverdennis8723 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa sio sawa kwani hapa kanisani ndugu punguza makasiriko utakufa na stress za nguo za watu mbona kuna watu wapo uchi tu humu ije kuwa mimi

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 6 หลายเดือนก่อน

      @@godliverdennis8723 sio issue ya kanisani,hapa ni public Kila mtu anaangalia, wote wanahojiwa hapa Wanavaa watakavuo lkn sio kuonyesha maungo Yao,for what?
      Tena wazuri ,warembo hasa,ila wamevaa nadhifu!

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 6 หลายเดือนก่อน +3

    Tuko mawindoni siku nasi tutakuja hapa

  • @jennifermmanyema6693
    @jennifermmanyema6693 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asant kwa taarifa ila hiyo nguo hata mm mtazamaji naona aibu hmm

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nitapeliwa million tano Sina amu