"Mawazo" Sehemu Ya 59 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 มิ.ย. 2024
- Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com
Pia Unaweza Kutufatilia Facebook @ChomozaTV Na Istagram @chomozanews TikTok ChomozaTV
Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
TH-cam : th-cam.com/users/ChomozaTV?su...
#ChomozaTv#2024 - บันเทิง
Chomoza ndio darasa langu pendwa Yani huyo mzee anajua anacho kisema hana majivuno hajikwezi kwa elimu yake mashaallah shukran sana kwa masomo tunayoyapata for free mchawi bando tu
Nimetoka church hata kula sijala kwanza chakula toka kwa Dr Ellie,Barikiwa sana Baba
From zanzibar Airport... barikiwe sana baba na team nzima ya chomoza
Japo ya leo haijarushwa ila nimerudia somo na nimebarikiwa sana nimekaa mkao wa kusubiri nimesha weka bando 😊❤
Shukran sana mubarikiwe nyote mpaka mushangae
Nimejifunza asante Dr🙏
Barikiwa chomoza
Mungu awabariki sana
Dr Ellie ubarikiwe tu
Docter pamoja na Timu ya Chomoza Muishi siku za mti na Mungu awepe Uheri
Najivunia sana kutumia bando langu kwa furaha hasa pale ninapopata maarifa na madini ya kutosha kutoka kwa Dr Ellie,, ubarkiwe sana baba
Nimejengeka sana kupitia kipindi hii,thank you
Mapenzi ya Mungu na yatimie
Tupo pamoja ndugu zetu chomoza from Zanzibar' daraja bovu miembe saba
Ubarikiwe sana
Ongeren san team chomoza kwa kuwaisha somo asantee San,, mungu awabariki
Thanks for a wonderful lesson. You changed my life.
Mungu awabariki xn, team chomoza
Respect
Tunakua, mbegu yako inaanguka kwenye udongo mzuri
Nipo hapa toka 2016 ❤
🙏
Amina
Asante chomoza
So touching 👏👏
Sawa sawa
❤❤❤❤❤❤❤🙏