MAKONDA;WAMEJARIBU KUNIUA/WALITUMA DRONE/MIMI NAISHI KWA MIUJIZA/KUNA MTU NILIOKOA MTOTO WAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 เม.ย. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 143

  • @ezekieljohn9216
    @ezekieljohn9216 3 หลายเดือนก่อน +10

    Naomba viongozi wengine wamwige huyu kiongozi, tutafika mbali, nashauri maaskari msikilizeni mtafanikiwa na wote tutakula mema ya nchi. Nimejifunza vitu vingi sana kwake❤❤❤.❤❤❤❤❤

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 3 หลายเดือนก่อน

      Uwongozi ni passion,

  • @saimonkalihamwe5358
    @saimonkalihamwe5358 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wa mbinguni akulinde na kukutunza MH Makonda,
    Kiukweli mkutano wako na kamati ya usalama Arusha imeshiba...
    Asante sana Mh Makonda

  • @msafirikushama2193
    @msafirikushama2193 3 หลายเดือนก่อน +10

    This is what I call standard of leadership.
    Kiongozi yuko kazini, anafanya kazi.

    • @hbdina
      @hbdina 3 หลายเดือนก่อน

      Absolutely brother

  • @ezekieljohn9216
    @ezekieljohn9216 3 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu ni bonge la kiongozi, ana Akili kubwa mno, nampenda sana makonda. Najifunza mengi sana kwake.

  • @dominicmawala5614
    @dominicmawala5614 3 หลายเดือนก่อน +3

    CREATIVE LEADER, MUWAZI, MKWELI UNAONGEA NA UNAOWAONGOZA EPUKA SANA BRUTALITY WASIKILIZE, WAWEZESHE, WANANCHI WAPATE HAKI YAO!! AHSANTE MKUU

  • @LuqridMbarak
    @LuqridMbarak 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hii speech ya makonda ilipaswa kuchapishwa na kusambazwa. Imejitosheleza hasa.

  • @user-ik3fb9ic7s
    @user-ik3fb9ic7s 3 หลายเดือนก่อน +5

    I real appreciate brother Paul. Kile unafanya ndilo kusudi la maisha yako ndiyo maana you don't care who says what you still do the same. May my living God preserve you and keep you alive to finish your cause in life.

  • @bundalanhende7857
    @bundalanhende7857 3 หลายเดือนก่อน +3

    hongera Mh Makonda ,nanukuu
    "Huwezi kumnyoshea mtu kidole kabla hujamwezesha ,ukabaki kumtuhumu na kumlaumu wakati mazingira yake ya kazi hata huyajui" 🙏

  • @danielmabula2154
    @danielmabula2154 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuombea mema Mr makonda unanibariki sana brother kwa sababu unafanya kazi ukimaanisha kabisa, unatamani siku moja nchi yetu iwe kwenye position fulani hivi. Big up RC napendezwa sana na ufanyaji kazi wako

  • @thobiashima6389
    @thobiashima6389 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu Makonda Mungu akulinde utekeleze majukumu yako kwa jina la Yesu Kristo.

  • @khasanimiraji
    @khasanimiraji 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tunakuombea Dua nyingi sn mheshimiwa makonda .Allhumma rijna minaari saliimiin .kaka piga kazi . Uko sahihi kabisa mungu akupe umri mrefu sn

  • @kivatirokitojo657
    @kivatirokitojo657 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ni genuinely speech sir makonda hawa askari kama hawataelewa na kujifunzi hii seminar ni ya madini tupu, laana ya raia inawamaliza askari.madaktari mahakimu

  • @saitotimemuruti9479
    @saitotimemuruti9479 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nani kama wewe magufuli amesaliwa tena mungu ninani awesi kutuacha tuumie mama Samia alijua mwenye kuokoa Arusha ni makonda kwa Sasa maendeleo itatufikia ❤❤❤❤

  • @GraceMgoyo
    @GraceMgoyo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki Kiongozi Makonda your a Leader tenda mema ni akiba ktk uzee wako

  • @mimutiemollel4538
    @mimutiemollel4538 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Mh Makonda kwa kazi nzuri.

  • @fatmaaliomar9733
    @fatmaaliomar9733 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wananchi wanahitaji huduma nzuri kwa jeshi la polisi .Ndipo wananchi watakuwa na imani za kutowa taarifa zao kwa jeshi la Polisi kwa hiyo hapo mashirikiano yanahitajika.Ahsante.

  • @hbdina
    @hbdina 3 หลายเดือนก่อน +1

    Very high standard of leadership very easy to understand him

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 3 หลายเดือนก่อน +2

    Long live makonda.. long live Mpina,... long live Chalamila.... long live vijana wazalrndo na mlio tayari kuwa na amani

  • @jofreykilangila4118
    @jofreykilangila4118 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ni kweli kabisa hata uwe na pesa nyinyi usomeshe watoto shule za galama ila pesa Yako sio ya halali ujuwe na watoto wako watapata elimu ambayo Sio halali na mwisho wa siku na laana tu hata uwe na nini

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana muheshimiwa makonda

  • @barakakitomary2936
    @barakakitomary2936 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda nakuelewa kaka yangu hongera Sana

  • @John-rp5iz
    @John-rp5iz 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ubarikiwe bro ,kwa ujasili wa kuhubiri madhara ya rushwa.

  • @HashimuHashboy-bo2wl
    @HashimuHashboy-bo2wl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mheshimiwa makonda kila nafasi ukipewa unaziba gepu,wapo wavimba macho hawataki kupambana na kazi zao wanapbana na wewe kukushusha chini,mungu akutangulie

  • @josephngairo2342
    @josephngairo2342 3 หลายเดือนก่อน +3

    Big up brother, Hongereni kwa kikao kizuri.

  • @user-jj7qv7kh2s
    @user-jj7qv7kh2s 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mheshimiwa Rc mimi binafsi nakuelewa sana kwa kupenda ukweli na kuwasaidia maskini, yani katika Taifa hili ni watu watatu tuu ndio mnanikosha wewe Luhaga mpina, na ADVOCATE BAKI MWABUKUSI nyie ni wazalendo katika Taifa hili. Nawapenda sana.

  • @bartonalexander716
    @bartonalexander716 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awe na ww
    Hakika wew ni kiongoz na mwenye hofu ya mungu

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 3 หลายเดือนก่อน +2

    This man is genious

  • @user-qu1mq2ik2e
    @user-qu1mq2ik2e หลายเดือนก่อน

    Huyu ni kiongozi shupavu mungu akulinde makonda wewe ni mtetezi wa wanyonge live long

  • @Fadhilirashidi-uv1fi
    @Fadhilirashidi-uv1fi 3 หลายเดือนก่อน +3

    mwashimiwa makonda dalasa kubwa san kwa jeshi la polisi saf kaka yangu makonda mungu akubaliki san

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 3 หลายเดือนก่อน +4

    Very wise Mhe Makonda, Mwenyezi Mungu akushike Mkono 🙏🏼🙏🏼

    • @ViskadNyenza
      @ViskadNyenza 3 หลายเดือนก่อน

      T😊😊

    • @ViskadNyenza
      @ViskadNyenza 3 หลายเดือนก่อน

      😊😊

  • @iddiali8057
    @iddiali8057 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wanaokusema wanachuki binafsi

  • @imanisekwao4268
    @imanisekwao4268 3 หลายเดือนก่อน +1

    When Dr Samia retire this man will become a president our future leader, keep getting experience I like u Mr Makonda

    • @imanisekwao4268
      @imanisekwao4268 3 หลายเดือนก่อน +1

      I meant that I wish one day RC Makonda to become our future president

  • @JakoboKomba
    @JakoboKomba 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu huwatumia watu ktk kazi yake,ww ni sauti ya watanzania wanyonge mungu aendele kukupa ujasili,nguvu na afya njema.

  • @ahmednassor9131
    @ahmednassor9131 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akulinde kakangu namini yote yatoka moyoni,huna udini utu ndio wKo,uko kwa dua zetu,hata huko kenya tuko pamoja siku moja nitakutafuta nikusalimie,Inshaallah

  • @MussaMponda.
    @MussaMponda. 3 หลายเดือนก่อน +3

    Piga kazi mheshimiwa, Mungu akulinde.

  • @loyakanuda2521
    @loyakanuda2521 3 หลายเดือนก่อน +4

    Very talented ❤

  • @josephwilliam4727
    @josephwilliam4727 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nice speech

  • @skeetergodwins2576
    @skeetergodwins2576 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutunze Makonda

  • @samsonnyihita3985
    @samsonnyihita3985 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nichangamoto kaka tunatamani hata kama haiwezekani kwa asilimia zote japo wapunguze kupokea rushwa tena ya kulazimisha Mungu atusaidie

  • @PetroKiyeyeu-hz7qk
    @PetroKiyeyeu-hz7qk 3 หลายเดือนก่อน +3

    mbaka na mkumbuka baba magufuli kweli mlikuwa na ajenda moja nakupa kula yangu ya urais 2025.

  • @sangajaffar7419
    @sangajaffar7419 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli kamanda umeongea hali halisi ubarikiwe sana

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 3 หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana

  • @GabrielSanga-fx1uy
    @GabrielSanga-fx1uy 3 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda makonda makonda mm nakuombea wewe ni rahis wa badae

  • @AdamuMohd-vl2nk
    @AdamuMohd-vl2nk 3 หลายเดือนก่อน +4

    Good RC

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda God bless you

  • @franciskabonge5925
    @franciskabonge5925 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kiongozi wa ukweli kabisa nipo nje ya tanzania namfuatilia sana huyu Jamaa mama amwangalie aaimwachie jembe I'll Safi sana

  • @Israel-wu9ol
    @Israel-wu9ol 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ana akili sana.

  • @barakakitomary2936
    @barakakitomary2936 3 หลายเดือนก่อน

    Handsome unaongea Kama ulivyo brooh mola mlinde makonda wetu dhidi ya maadui mabaya wasiotakia Tanzania maisha mema

  • @user-un1lh2rk5x
    @user-un1lh2rk5x 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana kiongozi wetu shafisha Arusha kabisa mungu Ako na wewe wengi anakuombea sana wewe ni magufuli simira ya magufuli ni umepewa na mungu sisi zote tunakuombea mwema mungu akuzaidia sana kwa KAZI yako unaofanya

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda kiukweli ni kiongozi bora ila anamapangufu yake kama binaadamu mwingine sio mtu anayezingatia maneno yake aseme sehemu gani na amwambie nani ila ukija kwenye suala la utendaji ni mfano wa kuigwa hongera sana brother makonda

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 หลายเดือนก่อน +1

      Aliyomary hakuna binadamu aliyomkamilifu hata mungu aliumba vilema wa kila aina hayo ni ya kawaida mpe Makonda Maua yake mwanawane

  • @saimonkalihamwe5358
    @saimonkalihamwe5358 3 หลายเดือนก่อน

    Endelea kumwamini Mungu na kumtegemea hatakuacha hakika,,
    KWA moyo huo mkuu nakuhakikishia utafika mbali.....

  • @user-do4qs8vx2s
    @user-do4qs8vx2s 3 หลายเดือนก่อน

    Makonda baba wakazi Mungu akutie nguvu shetani hana nafasi kwako

  • @saitotimemuruti9479
    @saitotimemuruti9479 3 หลายเดือนก่อน +1

    Arusha tumepona mungu akuwepushe na maadui unafaa kuwa raisi na utakuwa kwa uweso wa mwenyezi mungu

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 3 หลายเดือนก่อน +1

    mambo Hayo yalikua Zenji sio Arusha 😢 Arusha watu wote wizi sawa.thanks

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu zangu MUNGU awasaidie viongozi wetu waelewe mtu anaposema ametishiwa usalama wake vyombo husika wafatilie kuoko maisha yao kila mtu anastahili kuishi bila kujua itikadi zake

  • @nassorntandu4513
    @nassorntandu4513 3 หลายเดือนก่อน +2

    Pika kwenye mchono😂 😂😂
    Wataelewa tu

  • @user-sh8xp5dn3w
    @user-sh8xp5dn3w 3 หลายเดือนก่อน +4

    HONGERA KAKA MAKONDA

  • @sabatoongara8763
    @sabatoongara8763 3 หลายเดือนก่อน

    Kila Mara najaribu kufatilia taarifa zako uko very smart..shida ni wasimamizi wako ndo watakuangusha

  • @user-ff1ti2bo4w
    @user-ff1ti2bo4w 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mh makonda hongera kwa kuwamasisha mkoa lakin angalia wafugaji tunateseka sana

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 3 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda njoo ktk uislam kabla hujachelewa naamini pepo itakua makaz yako

    • @user-fl8jf5zn9j
      @user-fl8jf5zn9j 3 หลายเดือนก่อน

      Pepo ipo tu na anaetoa Pepo ni MUNGU

  • @ErasmiOllomi
    @ErasmiOllomi 3 หลายเดือนก่อน

    Broo wewe nikiongozi mkubwa sana siku zijazo mungu akulinde sana ninacho amino wewe ni raisi wa miaka ijayo mungu akufunike na maadii wabaya kiongoz wangu

  • @robertmsigalla9259
    @robertmsigalla9259 3 หลายเดือนก่อน +2

    Unaeleweka sana

  • @bartonalexander716
    @bartonalexander716 3 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa kiongoz hakika mungu hatokupungukia Kwa unachokifana❤

  • @aminatambi9831
    @aminatambi9831 3 หลายเดือนก่อน +2

    Well done.

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 3 หลายเดือนก่อน

    ❤️ ALHAMDULILLAH❤️Afya njema kamanda makonda 🇹🇿

  • @jumamchina9038
    @jumamchina9038 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ni Kiongozi ulirbarikiwa ndugu Makonda

  • @fanueledmund6408
    @fanueledmund6408 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi Sana makonda

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 3 หลายเดือนก่อน +2

    Good be with you.

  • @barakakitomary2936
    @barakakitomary2936 3 หลายเดือนก่อน

    Jembe letu la kaskazini mola akulinde daima kaka!! We nimoja ya familia yangu kaka makonda!!

  • @brunonjogolo5646
    @brunonjogolo5646 3 หลายเดือนก่อน +1

    Good image of Arusha,

  • @juchaonline4084
    @juchaonline4084 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yan mweshimiwa kila sekta uko vizur

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi niko nje ya tanzania kwa sasa jeshi letu la polisi liko vinzur sana sio kama zaman

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 หลายเดือนก่อน

    Mama kama alijua mkombozi wa ccm ni Makonda anastahili kwa nguvu za Mungu nasmini nchi yetu itaendelea kuwa na amani

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu uenez walikosea ila huku ndo uwezo wake unaonekana ,waziri mkuu pia anatosha

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana Rc.

  • @dominicmawala5614
    @dominicmawala5614 3 หลายเดือนก่อน

    CREATIVE LEADER

  • @didaspaints2001
    @didaspaints2001 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea maneno mazito Na yamsingi Sana ushauri Na maelekezo sahihi

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ninakuombea tu mkuu wakati wote napia muda wote.Maana sina cha kusema juu ya maneno yako picha ya uongozi wako

  • @tanakipaul6101
    @tanakipaul6101 3 หลายเดือนก่อน

    I see a visionary leader

  • @mwendeshammwendesha5335
    @mwendeshammwendesha5335 3 หลายเดือนก่อน

    your very good leader

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 3 หลายเดือนก่อน +1

    Issue mh konda ataongea lakini polisi kwenye suala la rushwa wana pepo,mfano polisi ni rafiki yako lakini anakukuta na kosa la ki trafiki barabarani lakini atakuchomekea kwa mwenzake lengo utoe tu

  • @Israel-wu9ol
    @Israel-wu9ol 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ana kona kona amenyooka kama ruler ya primary school.

  • @AbdulShaban-di2iv
    @AbdulShaban-di2iv 3 หลายเดือนก่อน

    Upo sahh mh makonda

  • @mwajumashaibuomary7363
    @mwajumashaibuomary7363 3 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi aliye bora ,asante sana

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 3 หลายเดือนก่อน

    Mh Unaongea Vizuri Sana na huu ndio Upendo Safi Sana Kuwekana Sawa kwajiri ya Maendeleo ya Taifa letu .

  • @rajabusaimon7662
    @rajabusaimon7662 3 หลายเดือนก่อน

    Mwambie na mama awape mishahala mizuli watoke kwenye tamaa za lushwa polisi wetu niwazuli tatizo mishahala midogo

  • @thomasmallya2972
    @thomasmallya2972 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani mlio karibu na Makonda mwambieni ametoka Namanga kuna jambo ajaona ama ajaambiwa Tunapakiana kwenye noa kama magogo gari ya wato 8 tunajazana wati 11 niaibu kwa wageni wanao ingia nnchini kupitia mpaka wa namanga

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa Arusha kukomesha wizi ujambazi utapeli uuwaji hovyo babà yangu fanya kazi

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 3 หลายเดือนก่อน

    Hujashindikana kuuwawa Serikali ya Tanzania iko makini muombe Mungu acha kuleta sintofahamu tumia busara yale mambo uliosema siku ya ugeni ungeweza kusema kwenye vikao vya siri

  • @dullayomwinyi3359
    @dullayomwinyi3359 3 หลายเดือนก่อน

    Muheshimiwa makonda ukiendelea hivi hata uraisi wa taifa la tanzania unafaa kabisa mkuu

  • @charlesmayilla2926
    @charlesmayilla2926 3 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali siku zote

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sio kiki aliyofanya ni makubwa

  • @husseinamassanza50
    @husseinamassanza50 3 หลายเดือนก่อน

    Polis na hospitals zimekuwa sehem za hovyo sana na huduma mbovu na za kukatisha tamaa.

  • @michaelmeela-tn4ew
    @michaelmeela-tn4ew 3 หลายเดือนก่อน

    Mh.mkuu wa mkoa naomba uanze na kituo Cha Murieti kina madudu mwanzo mwisho nakuomba usipuuze Hilo

  • @tmamoshi3958
    @tmamoshi3958 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni kiongozi wa kuigwa uliyeteuliwa na Mungu

  • @josephmagezj
    @josephmagezj 3 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi bora

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 หลายเดือนก่อน

    👊👍✌️.

  • @Bless-sk8uv
    @Bless-sk8uv 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen Makonda yesu kristo ni mwokozi

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 3 หลายเดือนก่อน

    Daa umeniliza mkuu wa mkoa😢😢😢😢makonda.

  • @philimonndinadyo2120
    @philimonndinadyo2120 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kitakachobadilika chini ya katiba hii mbovu isiyoruhusu ushindani halali wa kisiasa