MHOLANZI ALINIAMBIA HAWEZI KUJA HANA LIKIZO KUMBE KAPATA MWANAMKE WA KIAFRIKA MWINGINE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2023
  • Mapito ya Online Dating yanachangamoto nyingi sana.
    Chamuhimu ni kujua kujisimamia tu

ความคิดเห็น • 63

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ila shena ni pis kali bhna maashaallah tabarakallah ❤❤❤❤❤❤

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 7 หลายเดือนก่อน +3

    Yaan leo umenifunza sana ubarikiwe

  • @user-wq4zq7rn1v
    @user-wq4zq7rn1v 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dada shena Mungu akubariki japokuwa mapito tunayopitia ni mengi katika safari ya maisha ya kupata wenza na pia tujaribu kukubaliana na Hali halisi acha aende pengine sio mpango wa Mungu sisi huwa tunafosi unaona kabisa vitu haviendi lakini unalazimisha kumbe huyo sio wako lazima huyo atoke ili Mungu akuletee aliye wako Ila mimi Sina kabisa ndoto na watu weupe yani hata sijawahi kufikiria na siko tayari unatupa moyo Sana Dada Shena Asante

  • @BerthaKihanga-qd5hy
    @BerthaKihanga-qd5hy 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mrembo wetu tunakupata vizuri sana.... Mungu akuweke sana.

  • @user-zr6fh2oe6b
    @user-zr6fh2oe6b 7 หลายเดือนก่อน +7

    Nimependa hiyo " life sucks" nimependa msimamo wako asiye kuthamini achana naye 100%

  • @Evakibira
    @Evakibira 7 หลายเดือนก่อน

    hi
    Thanks for your assistance!, sister

  • @MaaneML
    @MaaneML 7 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana Shena. Life sucks. Tit for tat. Tupeni sifa za wanaume wa Norway na Uturuki😂😅

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo ni mimi kabisa huko online😂 yaani akiwa available na mimi nipo, lkn ukijifanya jiwe na mm nakua chuma kabisa. Woiii sibembelez mtu japo nataka mzungu aisee.

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 6 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa kweli. Unanifanana ila sijui kuingia kwenye hiyo mitandao.
      Nielekeze dear ni search

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsante madame

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kupoteza time kwenye mausiano hata wanaume wanapitia sana kikubwa wote wanatakiwa kuamka unaona unadate na mtu anakuchulia fresh powa powa shega shega
    move on na mambo yako utakutana na mtu sahihi mbele kwa mbele uko

  • @jn19882
    @jn19882 7 หลายเดือนก่อน +1

    Indeed life sucks.... Nikakutana na kaka mmoja mjerumani early this year, akanialika Germany ila passport yangu haikutoka... Hadi sasa bado. Tukakubaliana yeye aje anitembelee lakini LIFE SUCKS😂nikagundua hana interest nami kabisa. Nikamwacha sasa nimerudi soko miezi minane baadaye. Hopefully wakati huu nitapata wa kwangu😊

  • @user-nevistours
    @user-nevistours 7 หลายเดือนก่อน

    Asante mumy Kwa somo

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 หลายเดือนก่อน

    Ulifanya vizuri kuachana nae mapema(tahadhari kabla ya athari)

  • @user-iv4zj7ii4t
    @user-iv4zj7ii4t 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera shena tupo pamoja dear

  • @LailaTwalibu
    @LailaTwalibu 7 หลายเดือนก่อน

    Nakependa ❤. najikuta nacheka mwenyewe kwa story

  • @user-jd5dr4ri9p
    @user-jd5dr4ri9p 7 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa sana dada shena❤

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 7 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 7 หลายเดือนก่อน

    Unazidi kuwa cute da shena😘

  • @BarakaBitariho
    @BarakaBitariho 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe na wewe umesshapatikana. Ila ni yapi umeshadanganya mtu wako ili mradi amani idumu ama mambo yasogee

  • @mwanahamisimwelesi6682
    @mwanahamisimwelesi6682 7 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana story zako

  • @willsonsamwel1158
    @willsonsamwel1158 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 nimeipenda hiyo

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mi kuna mwanaume aliniambia kama unataka kuwa na mimi nenda shule kwanza, ananiimbia nyimbo ya dully sykes😢

    • @user-go5wb2pi2i
      @user-go5wb2pi2i 2 หลายเดือนก่อน

      Shule ya lugha ni sawa

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi iendelee shena❤tunakupenda🎉🎉🎉

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 7 หลายเดือนก่อน

    Sema dada angu nimekuzooom kwakwel unauzuri wa asili sana aliebahatika kuwa na wewe kongole kwake....

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 7 หลายเดือนก่อน +1

    nmependa mifano ya izo nchi tabia umeziweka kwa makabila yetu sasa mtu akitaka kujuwa vzur afanye tu utafit wa maisha ya wapare wachaga wazaramo 😄 nakushauri anda vdeo uwaelezee mataifa mbali mbali kwa mfumo uo watu watapata elim kubwa sana

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 7 หลายเดือนก่อน

    Nimependa hiyo LIFE SUCKS 😅Haha

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa iyo life sucks😅😅 jamani mpake upate mtu sahihi tunakutana na mengi

  • @ShamilaMsangi
    @ShamilaMsangi หลายเดือนก่อน

    Napata email ila nikitaka kujibu inakataa naambiwa niingize visa card so sielewi pls nielekeze ndugu

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂 mbona life sacks

  • @ngabohope
    @ngabohope 6 หลายเดือนก่อน

    Kama nimme wako Ila yeye ameshatangulia ulaya lakini hakujali Tena unaweza ukafanya nini

  • @HakizimanaSalima-sg7cv
    @HakizimanaSalima-sg7cv 7 หลายเดือนก่อน

    Nimependa stores Yako dada shenna

  • @rayfissoo6477
    @rayfissoo6477 7 หลายเดือนก่อน

    Hahaha Shena unanipaga raha Sana jmn kuna huyo mzungu nina miez 3 nae Ila hataki kuja watsup yupo serious kwel au ndo life suck🤣🤣

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani mtu akikuona wa nini mwambie wengine wanakuhitaji

  • @ShamilaMsangi
    @ShamilaMsangi หลายเดือนก่อน

    Naomba nielekeze jinsi ya kulipia please, au nipe no yako ya whatsapp

  • @mwanahamisimwelesi6682
    @mwanahamisimwelesi6682 7 หลายเดือนก่อน

    Nami natamani nipate mweza nipe maelekezo

  • @gwantwamwalyaje8515
    @gwantwamwalyaje8515 2 หลายเดือนก่อน

    Nina Kuelewa Dana vakukaye

  • @user-fs4bu4cu6k
    @user-fs4bu4cu6k 5 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli kipindi kizuri Shena naomba namba yako

  • @teresiamathias8636
    @teresiamathias8636 7 หลายเดือนก่อน

    Mdogowangu natamani na mimi nipate mwenzangu ila tatizo uku nilipo natumia wi-fi tu ata masoko tu sijui yaliko unanisaidiaje mpenzi ili namm nijalibu

  • @malolatshahala
    @malolatshahala 6 หลายเดือนก่อน

    Una story nzuri sana .ww ni muslim unampaje muslim mwenzio kupitia dating?

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂ila shena life sucks

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 7 หลายเดือนก่อน

    Kuna wanaume wanajikutagq😅
    Shwain

  • @user-zr6fh2oe6b
    @user-zr6fh2oe6b 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tushakaribia

  • @debralawa7842
    @debralawa7842 7 หลายเดือนก่อน

    Life sucks😂😂😂😂

  • @neematarimo4772
    @neematarimo4772 7 หลายเดือนก่อน

    Life sucks🤣🤣🤣🤣

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 7 หลายเดือนก่อน

    🤭😂🤣🤩😆 for really life sucks 😅😂 watu Shena ulimpatia life sucks yaani tit for tat haa