HAKI YA NDOA KWA TIMETABLE | NIMEUZA MKOJO MAREKANI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ส.ค. 2023
- Elly David ametufungulia mengi juu ya maisha ya mahusiano na maisha ya Ughaibuni kiujumla.
Anakwambia maisha yanakua magumu mpaka unauza haja ndogo ili kujikimu.
Utofauti wa kiutamaduni na faida za kua kwenye vikundi vya Diaspora wa sehemu fulani.
Thank you Elly David for allowing this to be online
www.oda.international
Wewe kijana ni very bright continue na wailimishe vijana wenzio
What a best interview! So honest and transparent! Sijawahi kuweka ku-comment kny hii platform but hii interview imenifanya ni-comment; huyu kaka yuko very bright na amekuwa honest sana, asante sana kaka na asante sana host, mbarikiwe sana. Please mlete tena, ili amalizie kipengele cha relationship! And oooh! YES tuache ubinafsi.
Akhsante sana Shena . Kila kukicha ninapoangalia mahojiano yako , kuna kitu kipya ninajifunza . Mungu akubariki kwa kazi nzuri unayoifanya .
Kaka kweli kaka zetu wananuka Sana ,mdomo, tu mwili mzima hawajui kuonga kabisaaaaaaaaa
Yaani nimempenda huyu kijana mpk nimemwambia mwanangu wa kiume asikilize hii interview. Kwa kweli umewafundisha mengi sana vijana wetu wanaotafuta mahusiano always boys dont have focus when it comes to looking for a companion! Big Up my son!
😢😢 kukimbilia mapenzi kuna madhara unajikuta umeolew na mtu asiye na future
Love u so much madam, video zako zinafundisha sana. Thanks brother too for sharing and being genuine.
Hongeraa sana Elly David kwa mahojiano/ Elimuyote mazuri .
Asante nasubiria part 2 kwa hamu brother Elly saa mbili itakuwa vizuri uongeleye ndoa uchumba malezi DNA Canada na kizazi chetu inchi vijana wakiume kuolewa kupenda maisha ya haraka .asante interview za David azipo nyingi TH-cam media zinamuongopa
Wazo zuri
Nice
Hii interview inahitajika kwenye platforms zoooooote,tukiacha chuki na ubishi,hii ni nzito ni kubwa,imejaaa
Apewe mauwa kaka yangu Mungu ambariki sana
Safi sana brother umeongea point kubwa,mm nataka nioe mzungu kwa lengo la kutoka Tanzania na nime target nchi mzur usa,uk, Germany, Canada so am just waiting for relationship for my own benefits..safi sana shena🎉
Point sana , Nimejifunza mengi sana sana. Asante dada Shena kwa kutuletea Kaka Elly.
Nampendaga proffer yuko real na anapendaga ukweli
Mbwenu! Oshomire mpaka no class ahead in Canada from Kanyigo!!
😂😂😂😂😂😂😂
Hongera sana kaka yangu kuwa muwazi
Ningelipenda kukutana na wewe mimi nipo USA ndugu yangu .
Namkubali sana brother anaongea vitu vya msingi sana 🎉🎉🎉🎉
Jaman sikuzote interviews za huyu kaka yangu ,uwa nazipendaaaaaa MAANA MTAZAMO WAKE KWANGU UWA NI 🔥🔥🔥🔥🔥 NA NI FACT 💯 NO MATTER HOW BITTER IT IS TO MANY BUT FOR ME ITS GREAT AND INSPIRATIONAL . GREAT BROTHER David
Asante sana tumekuelewa Devid
Huyu kaka huwa namuonaga clip zake fb,yuko vizuri kwa kweli,anaongea ukweli kabisaa
Aksante sana shena kwa kazi nzuri unayoifanya,vijana wanazidi kupata Elimu
Mara 8 na kuna mtu anaomba once na anagive up. Jamani tuna cha kujifunza hapa
For real its just trying until you get it
Sometimes trying atracts luck
Nimeipenda hii sana
Habari dada @Shena....natumaini u mzima wa afya..naomba utuambie TH-cam channel ya kaka Elly tafadhali
I love you men the way you talk you are so genius dear.
This guy is genius 🙏🏽
Ahsante sana Elly and Shena...
Please shena no ya Elly
Elly Kama Elly atafika mbali sana huyu kijana
Kweli kabisa atafika mbali
Umenifurahisha mdogo wangu mimi simpendi mtu anayenuka mdomo
Waaaaoooo Brow God bless you for good advice.
Thanks for watching
Mm ninapasiport nataka Kuja canada
Dada asante uyo ni kaka yangu ningeli pensa hata kuwasiliana naye tu .
Marshallaa umetoa mafundisho mazuri binafsi umenitoa pangoni
Upo sahihi kabisa asee najifunza vitu vingi kwa kaka elly
Uyu kaka ndio nimejua leo kumbe mkewe ni mzungu jamn❤
nakubali sana mwamba
😂😂😂😂😂 pole sana daaaaaaa
Kuna wakati utafika itabidi uchaguwe mapenz mausiano au future yako kama ujajuwa ndoto yako ni nn usikimbilie mapenz maana unaweza kukutana na mtu ambae ndoto zake aziendan na maisha yako ukaaribikiwa kila kitu uko sawa
bro
😢
Maisha ni bahati my friend...
Genius 🔥🔥🔥
Elly weee ni mjinga sanaaa😂😂😂😂😂😂😂😂
Good job 👍
Thank you! Cheers!
Huyo kaka Yuko vizuri sana pia ni kijana amesoma anajiamini natamani nipate mawasiliano yake ili niongee nae mengi
Kaongea vizuri huyu ( 🇬🇧 )
wallahi nimekupenda ww mkweli sana sema una Nondo kali sanaaaaa
Jaman asante sn kwa elim hii
Hongera sana dada ODA, channel yako inazidi kuleta mafunzo ya maana sana.Umeshawahi kufikiria kubadili jina la ODA? ni zuri ila kama halielezi vizuri kilichomo humu, to me it feels like unatoa assistance ya dating tu, mwingine anaweza akaona haimhusu au hayuko interested, ila kumbe channel yako ina MADINI mengi mnooo,hii assistance ni service mojawapo tu, anyway ni mtazamo tu, Mungu aendelee kukuinua, napenda sana content zak
Ahsante kwa wazo zuri
Huyu kaka yupo vzr hata nitashere
Huyu kaka yupo sawa kabisa kwa kufundisha
Nawapenda sana Elly ❤ my son.
Huyu anatutesa sana huko fb na wwshp anajiona yy ndio kaiwini na yy ndio anajua
Anatumia jina gani FB ?
Anatumia elly david
2009
Shikamoo kaka Elly Maana unatuchapa aswaaaaa wanaotaka kuja ughaibun MUENDE KWANZA KARUME PALE MITUMBA NDIO MJE UKU ATUTAKI STRESS SASA 😅
Bro uko vizuru mnoo!!!endelea kuchapaaa😂😂😂.
imetulia sana
Asante sana
Ningependa kuwasiliana naye
Siyo kila mtanzania bwana sisi wanaume wetu wanaoga janaba
Ayo ni kweli kabisa
Nimefurahi sana ww ni mkwel
Pole mdogowangu
Unapatikanaje Elly
Ellyshow
🙏🙏
Tiktok, Instagram yupo kila Siku anatupiga nondo uko
😀😀😀😂😂😂 Hii kweli ni noma sn tem temble tendo la ndoa kwa mumewe daah
Hatari
Tunasubiri part 2. Please share link za platform zake. Thanks a lot
Huyu kaka yupo vzuri mnoooo ana mawazo na anaongea fact kwa mwenye akili
Haki ckutegemea kucheka ila Elly ni comedian hajui tu .Alafu ni mkweli sana nimempenda bure.
Nimejifunza leo
Namkubali sana bro ely davidi na insha allah nitakucheki unisaidie kufika uko
Jmn nimechelewaaa 😢
Naomba no ya huyu kaka
Nikonayo au uliishaipata!
Matured love is all about logic not childish feeling and emotions which only last for 1 to 2 years after marriage/wedding day
Da shena uyu kaka mtafute tena
😂😂😂😂😂 kaka yetu
Jamani nmecheka
Unakutana na changamoto host😂 Mara 3
Pande zote za dunia kuna watu wasafi na wachafu vile vile
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani nimecheka sana kaka yangu anaongea sana ukweli jamani
Mnooo
🤣😂😄😅mbona kunuka mdomo
I attended Elly’s wedding back in 2019 alioa a Ugandan lady that was a German citizen I wonder what happened to that marriage 🤔🤔🤔!
Purpose first not love one great advice. Ila it is a man's job to provide for the family not a woman. You should not expect a woman to bring anything to the table.except take care of WHAT YOU BROUGHT TO THE TABLE
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mimi , Shena leo ume tuweza.
Hii ndio Learn and enjoy sasa 😁
Sisi watanzania wengi wetu hatujui kingereza, mtatusaidia sana mkiwa mnjieleza kiswahili..ili tuwaelewe..
Hapo pskukimbilia kuolewa nakubali kabisa
A/alaykum ingia sema undani wote tunajifinza
This guy is smart
One❤
Hapo kwa usafi wa wanaume kaka umeweza. Wanaume wengi wa bongo wananuka vibaya mno. Wanavaa boxer moja wiki. Usafi wa mwili wengi ni zero kabisa. Na akioga anarudia nguo chafu inayonuka jasho. Wao huangalia usafi wa nguo kwa nje. Wengi kwenye usafi wamelelewa hovyo kabisa. Yukeeees
Hatari 😁
Jamani sio lwa wote
@@angelalyimo2862 hakuna mahali nimesema ni wote dear
No shikamoo kwa wapenz na wanandoa ni habari, za leo ,mambo etc.
Hao wazungu wenyewe ni wachafu wanaoga mara Moja kwa wiki
Nimekupenda bure kaka nitafutie kazi huko
Nimeipenda hii acha nihifadhi kwa akili itanisaidia badae
Wapo wazungu wavivu vilevile
Nimecheka mpaka nimelia
Umeongea ukweli mtupu lazima ujiongeze usichukue Bora mke hapana kabisa
Mimi nitakutafuta Elly wewe wa kwetu
nilposikia mhaya
😂😂😂😂😂😂 timetable
Nipe namba ya agent ama anwani katika mtandao
Hahahha haha tutavumilia hatutakwazika...
😂 mara 3
Vipi mnawajua watu wanaweza kusaidia visa ya New Zealand?
channel ya eli ya yiutube ni ipi
Wengine wanapenda photocopy wakifanikiwa wanakimbia , their are so 😞
HUYU kweli mhayaa kiswahili bana wengine no.english good
Kaka wanakwambiya uwonge kiswahili kwasababu hawapati kitu unawaachanjiyani hapo
Jamani naomba namba yako ninakijana wangu natamani hapate kibarua