Muhtasari: Zaburi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2022
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Zaburi, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Kitabu cha Zaburi kimeundwa kuwa kitabu cha maombi cha watu wa Mungu wanapomsubiri Masihi na ufalme wake unaokuja.
    #BibleProject #Biblia #Zaburi
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •