Muhtasari: Mithali

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2022
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Mithali, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Kitabu cha Mithali kinawaalika watu kuishi kwa hekima na kumcha Bwana ili wawe na maisha mazuri.
    #BibleProject #Biblia #Mithali
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 1

  • @SheduChui
    @SheduChui ปีที่แล้ว

    aiseee nimeipenda sana hii ubarikiwe sana sana na endelea hivi hivi umenielewa vizuri sana