Muhtasari: Danieli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 เม.ย. 2022
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Danieli, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Simulizi ya Danieli inahamasisha uaminifu licha ya kuwa uhamishoni katika nchi ya Babeli. Maono yake yanatoa tumaini kwamba Mungu ataleta mataifa yote chini ya utawala wake.
    #BibleProject #Biblia #Danieli
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 2

  • @ezekielmahalu4224
    @ezekielmahalu4224 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kwa ufafanuzi huo nimeipenda
    Barikiwa

  • @hildakessy1025
    @hildakessy1025 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤