Muhtasari: Mika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Mika, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Mika anatangaza kwamba haki ya Mungu inakuja ili kuunda mustakabali mpya wa upendo na uaminifu baada ya dhambi na uhamisho wa Israeli.
    #BibleProject #Biblia #Mika
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 3