Vivutio vyote vya utalii vilivyo mkoa wa Dodoma kufunguliwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ค. 2023
  • Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema itafungua vivutio vyote vya utalii vilivyopo mkoani Dodoma kwani baada ya kuwa makao makuu ya Nchi Mkoa huu umekuwa ukipata wageni wengi.
    Hayo yameelezwa na Afisa Utalii wa TTB kituo cha Dodoma, George Mwagane leo Jumapili, Julai 23, 2023.

ความคิดเห็น •