Kweli Wana ngorongoro wanateseka kuliko sehemu nyingine Tanzania pia wajuwe kuwa wamasai wa ngorongoro ndio wametunza wanyama paka sasa Wana haki kusema akuna kuhama kwenye ardhi yawo
Si kweli kabisa. Hakuna watanzania ambao wanapata huduma za kila aina na pesa juu hadi kuanzia kusomeshewa watoto wao toka shule ya msingi hadi chuo kikuu kupitia pesa zinazotolewa na NCAA. Hili likiingia bungeni litazua moto maana wananchi wengine nao kutokea Mara hadi Lindi nao watadai huduma kama hizo. Hii wakazi wa Ngorongor wasipoangalia wanajifyatulia risasi ya mguuni. Watakaoumia ni wao wenyewe.
Maneno yako sio Sheria ata uyo magufuri alibomoa majengo ya tangu uhuru na watu wakafurushwa wakalia machozi ya damu wakanyamaza maisha yakaendelea c bora hawa wanatafutiwa pakuhamishiwa kistarabu na fidia kulipwa
changamoto kali , ny ifadhi tangu zamani , masai enyewe wanapata fedha , lakini 1960 walikwepo watu elfu 50......wanaweza kuishi pamoja na wanyama , sassaivi wamepita milioni moja na kitu.......awezi kubaki kama zamani , tabithi upande kubwa aende handeni
wewe ni muongo kinachotakiwa wanyama wabaki katika mazingura yao nasi kifungamana na binadamu kutasabisha ata hiyo mbuga kupoteza muonekano wake wa asili, has masai waondoke
Naona historia ya nchi na sheria za nchi huzijui. Hebu tafuta katika nyaraka za Taifa uamuzi wa Ole saibul, mhifadhi wa NCAA alivyosema kuhusu hilo unalolisema wakati akiwa Ngorongoro! Fanya utafiti kwanza kabla hujayasema haya, pia angalia sheria ya nchi kuhusu ardhi.
MSIICHAFUE INCHI KIMATAIFA KWA KUCHOCHEWA NA BAADHI YA WASAKA TONGE, KAMA KWELI NINYI NI RAIA HALALI WA TANZANIA BASI TIINI AGIZO LA SERIKALI YENU UBABE SIKU ZOTE UNAZAA KHASARA NA MAJUTO NI MJUKUU
Wamasai wameishi Hapo miaka Mingi na ni kweli idadi ya watu 1990 ni tofauti na Sasa na lazima serikali iweke mkakati mzuri kwasababu watakapoongezeka uhitaji wao utakua mkubwa.
Hawa wamasai wanaongea kiswahili vizuri kuliko wamasai wenyewe wenyewe asili.. lakin pia wamesoma shule vizuri na wengi wamesomea sheria. Napendekeza wapunguzwe na wabaki wachache ila wasiondoke wote
Mimi nasema nyie mnabembelezws sana ukweli siasa mbovu ndio bado Zina waweka hapo hivyo mtahitaji shule umeme maji barabara kulima kitu kimoja TU ni kuwahamisha Kwa nguvu
Mnajenga nyumba zenye bati ndani ya hifadhi,ni kweli mnawatunza wanyama hongereni ila pia mnaharibu mazingira na kuyabadilisha kwa kujenga majengo ya kisasa Kama mtakubali wabaki watu elfu tisa waliopo kwenye mkataba kinyume chake kutoka mtatoka tuu mtwara iliwezekana sembuse huko!
Ndugu zangu shida siyo nyie muhame shida ni kwamba idadi yenu ni kubwa kuliko makubaliano ya mwanzo mmeongezeka Sana na mifugo yenu,huwezi SEMA hatutoki kutoka utatoka tuu ni suala la muda serikali haishindwagi aisee!
Halafu wanakaribishana wengine kutoka Kenya kwa sababu wanasomeshewa watoto wao bure kutoka shule ya msingi hadi chuo kikuu. Pia wanapewa chakula na huduma za afya bure, kwa nini hilo hawlilalamikii kwa nini ni wao tu wenye kuepwa huduma hizo?
Kenya hatudai elimu yenu duni ya Tanzania. Inchi gani inawaua wananchi wake? Alafu unasema eti kuna wakenya wanakuja kule? Hao wenzetu wa kule kwenu ndio wanaokuja Kenya tuwape ajira.
Munataka muuze ety nawahame waende wapi nahp nikwao, ndimana nasema Hu utawala wasamia sio Bure kuna kitu nyuma ya panzia, utawala wa kihuni Hu, yani Hu utawala hauwaminiki kabsa yani lAbda mungu aingilie kati la sivyo, hayo tunayoona kwasasa bas yatakuwa Ziad ya haya, tz inataka kupigwa mnada😆😆😆
hadija Salimu Wametapakaa nchi nzima kuanzia mpaka na Kenys hadi wa Msumbiji na Ngorongoro haiwezi kujazwa mishuka ya kimasai na ng'ombe badala ya wanyama pori
Serikali iwe makini na swala la Ngorongoro, kuondoka wamasai hapo inaweza ikatia hasara zaidi, wakumbuke taarifa zinasambaa haraka sana na hakuna mgeni atakuja kufanya utalii kwenye maeneo ambapo wageni wamefukuzwa
Wazungu watasismama kufika kwa mda na baade watakuja tu niliona mambo ya jinsi hiyo yalipata kutokea unguja Lakin baade ikawa sawa so hao masai watoke huko mbungani wakizidi kuongezeka wao na mifugo yao ifadhi itakwenda kupoteza muonekano wake asilia
Wahame waende wapi ? Tatizo haujafika ngorongoro? Wengi wenu hamjui ngorongoro ilivyo? Na inaonekaje ndio maana kitenge na ukubwa wote juzi ndio mara ya kwanza kwenda ngorongoro na kuanza kusema mambo asijojua achaneni na ishu za ngorongoro kama hamjui chochote
Nyie watu tokeni kwenye ifadhi tuje kuishi wote huku tuoe wamasai watupikie mavi ya ng'ombe ya ugari sindio kazi yenu tutakoma ubishi.mke wa kimasi ni mzri sna
Nilichokigundua Kwa harakaharaka wamasai so bright.
Akili kubwa sana
Mungu yupo anawaona wanaofanya unyama kwa ndugu zetu wa ngorongoro na loliondo.
Masai safi sana
Hongera,, hehe nani werevu sana 😍😍😍😘😘😘😘😘❣️❣️❣️
Poleni sana Samaria wa ngorongoro mwenyezi Mungu awapiganie hiyo ndio maombi yangu
HAWA NDIO WANYONGE WA JPM ALIOWAJUMUISHA KWENYE KUNDI LAKE. SASA UKIONA HAWATETEWI UJUE JPM HAYUPO!😢😢
Kweli Mungu waangalie wamasai Samia ana wanyanyasa Sana ikufikie we Samoa wamasai msiogope Mungu yuko pamoja nanyi
Poleni sana Ndugu zangu
Huyo mama yenu ndo masta mupango wa kuwahamisha hanAmuda wa kuwasikiliza
Kweli Wana ngorongoro wanateseka kuliko sehemu nyingine Tanzania pia wajuwe kuwa wamasai wa ngorongoro ndio wametunza wanyama paka sasa Wana haki kusema akuna kuhama kwenye ardhi yawo
Hili kundi lote linaishi hifadhini ngorongoro imekwisha na ikiisha ngorongoro na Serengeti pia itaisha
Si kweli kabisa. Hakuna watanzania ambao wanapata huduma za kila aina na pesa juu hadi kuanzia kusomeshewa watoto wao toka shule ya msingi hadi chuo kikuu kupitia pesa zinazotolewa na NCAA. Hili likiingia bungeni litazua moto maana wananchi wengine nao kutokea Mara hadi Lindi nao watadai huduma kama hizo. Hii wakazi wa Ngorongor wasipoangalia wanajifyatulia risasi ya mguuni. Watakaoumia ni wao wenyewe.
Acheni ujinga mamayako niyule mwenye uruma nawewe uyo muteni katili
Musijaribu kukubali kuhamishwa katika eneo lenu la ngorongoro, lolosokwan ,mairowa, enkongu nairoua na maeneo lote la wamaasai
Hivi hawa ni Watanzania au
Ondokeni ngorongoro mkaishi kama jamii zingine
Mnamwelewa vizuri kweli Rais? Waulizeni wamachinga
Subilia mama arudi wote wataobdolewa hapo hii hoja Mama kaichokonoa kujua akili za viongozi wake
Jamani wamasai awaaribu waacheni
Wamasai waishi tens wakae wamasaitu nayoyote atakae takakukaa hapo wavae mavazi ya kimasai hutamaduni na ifazi wakiwepona wamasai kwanini tuna azakuwafukuza watazania wezetu na wamekaa miaka mingapi mpakareo
Masai mnaweza sanaaa kuongea pwent
Wamasai wanajitahidi kuongea point strong naomba serikali muwasikilize wanangorongoro na mtatue shida zao
Poleni sana
Nawashukuru wakubwa zangu nawapata sana
Mungu yupo mbmoja nany
Wanyama wanawatetea wenzao...hahahaha mmasai bhana
Mbona kama wameshazoeana na wenzao mnataka kuwaachanisha
NGO's on the wheel. Hivi wamasai sikuhizi wameacha kutoboa masikio?? Maana 90% ya wachangiaji hawajatoga masikio..!!
Ndio hawajatobowa maana wamesoma na shule ukienda umetoboa masikio wanakufukuza kwahiyo ili usome unaacha kutoboa masikio nafikiri umenielewa vizr
👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏
Ngorongoro imeisha hakuna mnyama hata mmoja wanyama wapo Serengeti
Samahani mbona unasema Ngorongoro ilisha hili swala liko vipi mbona huyu yuwasema hivi yule anasema vile ukweli ni upi
Mnakomalia kuishi porini kwani mmekuwa wanyama
Mama Samia fanya ziala ngorongoro tafadhari Sana.
Waishi hapo hapo. ila waambieni wasizaesana
Habari zenu wana ngorongoro
toka lini wanyama pori wakaishi na watu tokeni hapo maana mkisema mna haki inamaana ngorongoro yenu tu. pisheni wanyama wakae peke yao.
We nimwelewa kuliko wavaa suti bungeni😁😁😁
Hameni hapo ni pa wanyama Sasa muhame mnalibu ustawi was wanyama
##Lazima tumkumbuke magufuli raisi wa wanyonge...hivi wamasai ndugu zangu wanavyoonewa inauma sana###
Magufuri uyo ndio aliebomolea watu makazi yao na kuwaacha na kilio wamelia wakanyamaza kwaiyo kuna watu hawataki ata kumsikia uyo mwamba wako
C ndo yule alopeleka jesh mtwara
Mwondoke humo ngorongoro nyinyi sio wanyama, wanyama waongezeke na watu mwongezeke, achani utani nyie wamasai
Wenzenu mbona gess wameipisha nyie ninani
Wamaasai wanakandamizwa ilali wanastahili kupewa haki yao
Lolosokwan, mairowa, enkongu nairoua are the most effected places.
Ondokeni ngoro ngoro
Kwanza meisha anzisha mgomo
Wale walioweka NGO,MBE huko wameenda kutoa Hongo
Mna Imani na bibi samia 😂😂😂hehehe samia mtu wa dili samia Hana nia nzur na taifa la tz namka hamjui mtajua yuko kimslahi
Maneno yako sio Sheria ata uyo magufuri alibomoa majengo ya tangu uhuru na watu wakafurushwa wakalia machozi ya damu wakanyamaza maisha yakaendelea c bora hawa wanatafutiwa pakuhamishiwa kistarabu na fidia kulipwa
@@shubebunyesi542 🖕
Nendeni Handani mkastarehe ndugu zangu.
Hakuna mmasai hapo, mmasai anaitwa Johnson, Hafidh, Julius na Husna... Mmasai anaongea kiswahili kuliko hata wazaramo
Umeliona hilo ila pia wamesomshwa ni wasomi
Hahahaha
Hawa niwasomi izo Mila za kitambo hapo tena 😂😂😂
changamoto kali , ny ifadhi tangu zamani , masai enyewe wanapata fedha , lakini 1960 walikwepo watu elfu 50......wanaweza kuishi pamoja na wanyama , sassaivi wamepita milioni moja na kitu.......awezi kubaki kama zamani , tabithi upande kubwa aende handeni
Wakati mnalalama, mnasafirisha nyama za wanyama kwenda kununulia vyakula wilaya serengeti na tarime
Acheni kelele njoon mjini mle Bata token huko porini
Msikubali kutoka ngorongoro bila masai kuwepo haitakua na radha hakuna kuwatoa masai ngorongoro
Tatizo SIO kuwato na swala la ngo,MBE wengi nasio Mali ya wakaji hao
Usiwadanganye, mbona Serengeti haina wamasai na ni ya kwanza duniani?
wewe ni muongo kinachotakiwa wanyama wabaki katika mazingura yao nasi kifungamana na binadamu kutasabisha ata hiyo mbuga kupoteza muonekano wake wa asili, has masai waondoke
ngorongoro sio ya serili ni ya wamasai
Naona historia ya nchi na sheria za nchi huzijui. Hebu tafuta katika nyaraka za Taifa uamuzi wa Ole saibul, mhifadhi wa NCAA alivyosema kuhusu hilo unalolisema wakati akiwa Ngorongoro! Fanya utafiti kwanza kabla hujayasema haya, pia angalia sheria ya nchi kuhusu ardhi.
@@kambamazig02024 ukweli ni upi hebu tufafanulini kiufupi hii story naifatlia lakin sipati jawabu hii Ngorongoro vip
Sasa iv Wamasai ni wapole sana nimewapenda
Awa wamasai waondolewe tuuu uwez weka miundombinu kwenye ifadhi
Serikali hii duuu
Hameni nyie humoooo mnafanyajeee kwenye hifadhii
BASI MTUMIE SHERIA VIZURI ILI MPEKELKWE SEHEMU SAHIHI ...SIO NDANI YA ENEO
It's the same scenario that the kalenjins are facing in rift valley they are the same conserving forest's but evicted from the same forests
Hameni hapo hao ngombe na kondooo wataleta ukame
Mungu saidia watu wako
Huu mpira
🤔🤔🤔🤔🤔🙏🙏🙏🙏
MUTAHAMA
MSIICHAFUE INCHI KIMATAIFA KWA KUCHOCHEWA NA BAADHI YA WASAKA TONGE, KAMA KWELI NINYI NI RAIA HALALI WA TANZANIA BASI TIINI AGIZO LA SERIKALI YENU UBABE SIKU ZOTE UNAZAA KHASARA NA MAJUTO NI MJUKUU
Kwani nyie hamliwi na Simba, na chui huko kwenye hifadhi
Kama hayajengwa nini hatma ya elimu ngorongoro
Samia hana habari na huko. Hiyo ndiyo ccm tuitakayo.
Haa
Hahaaa hawataki kuondoka
Nyie bwana mmechemsha kwanza ww Dada hukai huko
Mnaharibu ifadhi ondokeni
Wamasai wameishi Hapo miaka Mingi na ni kweli idadi ya watu 1990 ni tofauti na Sasa na lazima serikali iweke mkakati mzuri kwasababu watakapoongezeka uhitaji wao utakua mkubwa.
Tokeni kwenye hifadhi
Hawa wamasai wanaongea kiswahili vizuri kuliko wamasai wenyewe wenyewe asili.. lakin pia wamesoma shule vizuri na wengi wamesomea sheria. Napendekeza wapunguzwe na wabaki wachache ila wasiondoke wote
Waondolewe mbona kitulo watu wame ondolewa ubinadamu ndio unavuruga hii nchi
Waondoke tu wanatumwa na wanasiasa mabosi zao pamoja na wageni
Mimi nasema nyie mnabembelezws sana ukweli siasa mbovu ndio bado Zina waweka hapo hivyo mtahitaji shule umeme maji barabara kulima kitu kimoja TU ni kuwahamisha Kwa nguvu
Nikweriy
Mnajenga nyumba zenye bati ndani ya hifadhi,ni kweli mnawatunza wanyama hongereni ila pia mnaharibu mazingira na kuyabadilisha kwa kujenga majengo ya kisasa Kama mtakubali wabaki watu elfu tisa waliopo kwenye mkataba kinyume chake kutoka mtatoka tuu mtwara iliwezekana sembuse huko!
Hoteli zinazojengwa ngorongoro unadhani zinajengwa kwa matope
We ni mpumbavu ujitambui
@@enockboidy4458 Najitambua mara elf 1000 ahead you, huna elimu ya ecolojia na biodiversity huwezi elewe chochote utaelewa elfu mbili na 500
Ndugu zangu shida siyo nyie muhame shida ni kwamba idadi yenu ni kubwa kuliko makubaliano ya mwanzo mmeongezeka Sana na mifugo yenu,huwezi SEMA hatutoki kutoka utatoka tuu ni suala la muda serikali haishindwagi aisee!
Halafu wanakaribishana wengine kutoka Kenya kwa sababu wanasomeshewa watoto wao bure kutoka shule ya msingi hadi chuo kikuu. Pia wanapewa chakula na huduma za afya bure, kwa nini hilo hawlilalamikii kwa nini ni wao tu wenye kuepwa huduma hizo?
Kenya hatudai elimu yenu duni ya Tanzania. Inchi gani inawaua wananchi wake? Alafu unasema eti kuna wakenya wanakuja kule? Hao wenzetu wa kule kwenu ndio wanaokuja Kenya tuwape ajira.
Pambana
Maasai mmezoea kudekezwa hameni acheni kujifanya nanyi ni wanyama pori
Munataka muuze ety nawahame waende wapi nahp nikwao, ndimana nasema Hu utawala wasamia sio Bure kuna kitu nyuma ya panzia, utawala wa kihuni Hu, yani Hu utawala hauwaminiki kabsa yani lAbda mungu aingilie kati la sivyo, hayo tunayoona kwasasa bas yatakuwa Ziad ya haya, tz inataka kupigwa mnada😆😆😆
Wahame humo hakuna binadamu anaye tunza wanama
@@shabanmwasopo1469 Masai musihame
hadija Salimu Wametapakaa nchi nzima kuanzia mpaka na Kenys hadi wa Msumbiji na Ngorongoro haiwezi kujazwa mishuka ya kimasai na ng'ombe badala ya wanyama pori
@@mbwanajuma2143 eee Sasa unatakaje Nenda huko au mnataka muwapeleke Burundi nyooo
Msidanganye watu kuwa mnaendeleza hifadhi mnaharibu
Serikali iwe makini na swala la Ngorongoro, kuondoka wamasai hapo inaweza ikatia hasara zaidi, wakumbuke taarifa zinasambaa haraka sana na hakuna mgeni atakuja kufanya utalii kwenye maeneo ambapo wageni wamefukuzwa
Hawawajui Wazungu subiri tutaona kama kuna Mzungu ataruka hapo akiona haya .Wata stricke kuona wao na fedha zao ndio manyanyaso ya wamasai Tanzania.
Kuna vitu vinahitaji umakini na PR kubwa kuvishughulikia
Wazungu watasismama kufika kwa mda na baade watakuja tu niliona mambo ya jinsi hiyo yalipata kutokea unguja Lakin baade ikawa sawa so hao masai watoke huko mbungani wakizidi kuongezeka wao na mifugo yao ifadhi itakwenda kupoteza muonekano wake asilia
Tokeni humo....hiyo ni ifadhi ya wa nyama na nyie sio wanyama
Hawa watu akili zao wanazijua wenyewe eti inanga'ra... Tokeni porini shukuru Magu hayupo mngetoka kwa kauli moja
Mutoke
ACHENI UJINGA HAMENI PORINI HUKO
Wahame waende wapi ? Tatizo haujafika ngorongoro? Wengi wenu hamjui ngorongoro ilivyo? Na inaonekaje ndio maana kitenge na ukubwa wote juzi ndio mara ya kwanza kwenda ngorongoro na kuanza kusema mambo asijojua achaneni na ishu za ngorongoro kama hamjui chochote
Usilolijua ucku wagiza
@@theosaimon6933 bora uwaambie hawa manyumbu
Ovyoo wahame waende wapi
@@hadijamagufuli2661 Yaani shida sana na huko watakapo kwenda kama kuna mashamba jirani inaenda kutimka vita ya wakulima na wafugaji.
Nyie watu tokeni kwenye ifadhi tuje kuishi wote huku tuoe wamasai watupikie mavi ya ng'ombe ya ugari sindio kazi yenu tutakoma ubishi.mke wa kimasi ni mzri sna
Ukweli utaongea daima naliona Giza katika nchi yetu 🙄
Kwani pesa zinaingia Ngorongoro kwa ajili ya uwepo wa masai? Tokeni huko tuongeze mapato mara mbili!
Aaah! Masai wanachomoka kisomi tu. Ngoma nzito. Haya majibu kutoka juu sasa. Du, enhee.