Shija: Hakuna nchi inayoifikia Tanzania kwa vivutio vya Utalii

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2020
  • #HazzeSafari #HazzeSandström
    Mtanzania mwenye asili ya Bara la Ulaya, Hazze Sandström au maarufu kama Shija, amezaliwa Nzega na kukulia hapa nchini Tanzania na kufanya kazi hapa kwa miaka kadhaa kabla ya kuhamia nchi Kadhaa za Ulaya, Afrika na Uarubini na saa anaishi Nchini Sweden anasema katika suala la Utalii hakuna Nchi inayoweza kuifikia Tanzania kwa kuwa na vivutio vizuri.

ความคิดเห็น • 62

  • @hamoudsalum9628
    @hamoudsalum9628 4 ปีที่แล้ว +2

    Kama kuna mtu pia ni mzaliwa wa Nzega kama bwana Shija agonge like hapa👍👍👍

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 4 ปีที่แล้ว +5

    safi sana Mzee Shija karibu sana nyumbani, endelea kuwa barozi wetu mzuri , Mungu ibariki Tanzania

  • @msabahamalonda2249
    @msabahamalonda2249 4 ปีที่แล้ว +5

    VIVA TZ VIVA Naiona TZ ile yenye lugha adhimu ya Ksw kinachozungumzwa na bara zima la Afrika miaka Kede ijajayo ata kama co kizazi hiki lkn kizazi che2 kitatuwakilisha. Mungu ibariki TZ Mungu ibariki Afrika.

  • @rajabuomary3258
    @rajabuomary3258 4 ปีที่แล้ว +4

    Good job

  • @Sangoyamboka
    @Sangoyamboka 4 ปีที่แล้ว +2

    People to people connexion. Wewe ni mteteaji wa Kweli wa Afrika. Mungu akulinde na akubariki. Wewe ni shemeji msukuma kumbe.

  • @muniramohamed4984
    @muniramohamed4984 4 ปีที่แล้ว +5

    Well said sir 👍👍👍

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 ปีที่แล้ว +10

    Huyu ndugu anafaa kuwa balosi mkuu kuitangaza tz nje

  • @gracesukwa1897
    @gracesukwa1897 4 ปีที่แล้ว +10

    Watanzania wenzetu mnaoisema TZ vibaya muone aibu.

  • @dicksonjames1096
    @dicksonjames1096 4 ปีที่แล้ว +4

    Wewe ni mtangazaji mahiri sana
    Your the best bro

  • @husseinloyy1912
    @husseinloyy1912 4 ปีที่แล้ว +3

    Karibu Sana ndugu yetu kweli wewe ni mzalendo

  • @Linkmycommunity
    @Linkmycommunity 4 ปีที่แล้ว +5

    Nimeipenda hii

  • @kpatrick8468
    @kpatrick8468 4 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana

  • @Nt-Tanza
    @Nt-Tanza 4 ปีที่แล้ว +5

    Waziri wa utalii na Baraza la kiswahili huu ndiyo wakati wa kuitangaza lugha yetu, inchi na vivutio vyake

  • @jestinakihaule194
    @jestinakihaule194 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana boss

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 4 ปีที่แล้ว +6

    Shukran mtu wa nje unasema ukweli kuhusu Tanzania leo, Magufuli kaendeleza kwa muda mfupi. Watu wetu hapa wanakwenda kutusaliti.

  • @finiasfidelis1475
    @finiasfidelis1475 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Shija

  • @raymondhaule6947
    @raymondhaule6947 4 ปีที่แล้ว +7

    Bora wewe useme mzungu labda kunamanamba Fulani wa vibaraka wa ulaya watakuelewa hakuna nchi yenye vivutio kama Tanzania msigwa upooo

  • @dollyandthedoliganeloi3025
    @dollyandthedoliganeloi3025 4 ปีที่แล้ว +6

    Yaani anaongea kiswaili fasaha

    • @jumannerizimbura6750
      @jumannerizimbura6750 4 ปีที่แล้ว

      Shija MZUNGU anaongea kiswahl fasaha, MLOKI2 mBONGO anabongoa kwa kusrma "hifazi"

  • @rajabmnyimwa3126
    @rajabmnyimwa3126 4 ปีที่แล้ว +1

    Bila shaka hakuna wa kushindana na sisi katika sekta ya utalii, hususani katika mbuga za wanyama

  • @juliussonga5353
    @juliussonga5353 4 ปีที่แล้ว

    Najivunia kuwa Mtanzania

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 4 ปีที่แล้ว +1

    Swahili day.

  • @kilimanjarobrothersclimbin7520
    @kilimanjarobrothersclimbin7520 4 ปีที่แล้ว

    #KilimanjaroBrothers kwa mahitaji yao yote ya kutembelea vivutio vya utaii Tanzania

  • @focusaloyce7259
    @focusaloyce7259 4 ปีที่แล้ว +8

    Wapinzani hawamtaki huyu

  • @manirambonabengostar496
    @manirambonabengostar496 4 ปีที่แล้ว

    Mzungu mswahili kweli

  • @leahedward5889
    @leahedward5889 4 ปีที่แล้ว

    naomba tuzungumze inbox

  • @salimmauly9575
    @salimmauly9575 4 ปีที่แล้ว

    Na kwa wizi uonevu pia

  • @robertjagad5826
    @robertjagad5826 4 ปีที่แล้ว +1

    Shija? 🤣🤣🤣🤣mtoto baada ya mapacha usukumani

  • @henryrusasa5684
    @henryrusasa5684 4 ปีที่แล้ว

    .

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 4 ปีที่แล้ว

    Ukimuacha bongo zozo huyu niwapili au niwakwanza

  • @revinastephen7621
    @revinastephen7621 4 ปีที่แล้ว +6

    Mimi nakuitaji baba una mke
    ?

    • @mussamaduka2828
      @mussamaduka2828 4 ปีที่แล้ว +1

      Regina Stephen, huyo amezeeka

    • @mussamaduka2828
      @mussamaduka2828 4 ปีที่แล้ว +2

      Huyu Mzee inabidi serikali imtumie kama balozi wa utalii wetu Tanzania

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 4 ปีที่แล้ว +3

      Jamani serikali imchunguze Revina kwani anataka kutuulia huyu babu.

    • @reubenbegashe2372
      @reubenbegashe2372 4 ปีที่แล้ว +2

      Sema kweli bhana Wewe unamuhitaji huyu Baba au inahitaji dollars zake, funguka bhana

    • @revinastephen7621
      @revinastephen7621 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Ndu-wa.uroony2 inichunguze nimefanyaje ndugu labda ianze na wewe alafu inifuate ni muuwe mimi ninauza sumu? Wewe tuheshimiane sawa

  • @tanzanianchiyangutaifalang8376
    @tanzanianchiyangutaifalang8376 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂, toka lini wasukuma tukawa wazungu. Sisi wasukuma siyo wazungu. Huyu vipi? Au kuna mzazi wake mmoja ni msukuma? Pia jina la shija mara nyingi hupewa mtoto ambaye anawafuata watoto mapacha au kashinje.

  • @frediricknandonde1690
    @frediricknandonde1690 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzungu ndio angepewa kuwa waziri wa utalii na maliasili sio mijitu mingine hii ambayo hiko madarakani

    • @iddimlindo6738
      @iddimlindo6738 4 ปีที่แล้ว

      Mzungu anazungumza kiswahili fasaha kuliko hata huyu mtangazaji mtz wa Daily News.Aibu tupu. Mroki jifunze vema lugha yako. Pole Sana

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 4 ปีที่แล้ว

    Lazima usifie ili usifukuzwe ila angalieni jirani zenu walivyo wapita mbali kw utalii na mambo mengine mengi

    • @husseinloyy1912
      @husseinloyy1912 4 ปีที่แล้ว

      Hujasikia alichokielezea

    • @bonifacebenny2733
      @bonifacebenny2733 4 ปีที่แล้ว

      Majirani wapi hao??

    • @michaelsiweya6500
      @michaelsiweya6500 4 ปีที่แล้ว

      Acha hiyo kauli bwana.. Siyo uzalendo kabisa.. Huu ni ubaguzi... Atafukuzwa kivipi.. Huyu ni mtanzania halisi na ana nia njema kabisa na Taifa la Tanzania

    • @evancesolomon5494
      @evancesolomon5494 4 ปีที่แล้ว

      Sasa afukuzwe na Nani wakati kakwambia mzaliwa wa shinyanga? Hv kwa Nini mtu akimsifia rais Kuna watu mnaumia Sana🤣🤣🤣

    • @godfreymbambe6834
      @godfreymbambe6834 4 ปีที่แล้ว

      Matako wewe kama siyo mkundugu.

  • @mukikibati3519
    @mukikibati3519 4 ปีที่แล้ว +5

    Good job