Dah! Mimi mkenya nakumbukuka nikienda Botswana kutoka Nairobi hadi Arusha hadi Mbeya hadi Tunduma hadi Lusaka, Zambia hadi Victoria falls hadi Gaborone. Safari ilipendeza Tanzania nchi mazingira ya kupendeza.
That's the Southern Highlands of Tanzania.. Never ever forget that it was the resolve and dedication of Tanzania's Founding Father Mwalimu Kabarage Nyerere that through these arteries of Tanzania landlocked Zambia was able to overcome the blockade by the then racist regime in South Africa
Hapo pazuri aishee isipokuwa lazima uangalifu kwa dereva,nawaona hawajali,hata boda boda anapita hivo,siku moja nitafika huko Mungu akinijalia,Kisumu-Nairobi-Arusha mpaka huko
Barabara za wenzetu huku oman kunamilima mikubwa,lakini wakijenga barabara wanachimba kuhakikisha inakaa sawa,siyo pembezoni ya mlima gari ikipinda inalala,wakati sehemu yenyewe ni hatarishi,kuchimba chini zaidi inasaidia kuepusha ajali,gari kwenyekona inalala hii ni sababu pia kutokea ajali,kwakuelemewa na uzito wa mizigo upandemmoja hatimae kupinduka
Poor road.....ombeni raid maghufuli awapanulie barabara aweke climbing lane na guard rails Huo Mlima nishaupitia Mara nyingi nikienda kitai songea kubeba makaa
Dah! Mimi mkenya nakumbukuka nikienda Botswana kutoka Nairobi hadi Arusha hadi Mbeya hadi Tunduma hadi Lusaka, Zambia hadi Victoria falls hadi Gaborone. Safari ilipendeza Tanzania nchi mazingira ya kupendeza.
That's the Southern Highlands of Tanzania.. Never ever forget that it was the resolve and dedication of Tanzania's Founding Father Mwalimu Kabarage Nyerere that through these arteries of Tanzania landlocked Zambia was able to overcome the blockade by the then racist regime in South Africa
Niko Burundi hapo lipapitiya wakati nilikuwa naenda mbeya tanzania kuzu waburundi tunawapenda mno🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Tunawapenda pia
Dah! Ktk safari MUNGU ndo Anajua jaman 🙏🙏🙏🙏
Tanzania yetu nzurii jamani, nikipita hapo huwa na enjoy sana scenery na hizo kona ni utalii special 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Yaan me nimtanzania halisi lin nimeshangaa kuona nchi yang inavivutio vizur hivi sijawahi kufik iringa mungu nijaaliye uzim inshaa Allah nitaenda
Karibu sana
Beautiful landscape. Uma aventura percorrer essa estrada. Saudações do Brasil.
Jinsi nilivyoangalia nimejikuta nimo ndani yahilo gar nauoanda mlima kitonga hongera kwa picha nzur
Hapo pazuri aishee isipokuwa lazima uangalifu kwa dereva,nawaona hawajali,hata boda boda anapita hivo,siku moja nitafika huko Mungu akinijalia,Kisumu-Nairobi-Arusha mpaka huko
Wooooow so beautiful I wish one day ntaenda
Hiyo chuma ya ALSAEDY ni balaa 🙌🙌 imewapita kama upepo hao ndo wazee wa kitonga bonyeza hapa kuona 👉9:01
I remember my trip to iringa 2019/2020, nice place ever seen before, I will be back soon
Hapo mnarud dar
Beautiful landscape.....
Just felt good to see al sayeed My favorite bus in green city...Kitonga fire
Ilove that bus
Isee nyc view African is the best guys take care
Ma legendary tuna watch 2023
Wapi AL SAEDYYYYYYYYY😁😁😁😁😁😁😁
Sauliii fayaaaaaa
nimefurahi kushiriki kuona mlima maana sijawaifika uko
Leo nimetalii na bando langu Hadi Iringa vivutio nimeona malori ya mizigo Kama yote karibuni Tanzania
Hahaahaaa
Mbavu zangu
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiii
Watu bhan ndomn huwa mnakufa kwa kujitakia sasa mnavyosem anawapit mnatak kuiga njia yenyew mbay mnasapoti dere awawaishe motual
Hio basi. Noma sana
Twawapenda kutoka 🇰🇪. Hasa kupitia nyimbo zinazocheza kutoka 3:00. Safari njema.
Karibu Tz shem
@@janethkamoga377 Shukran sana 🙏🙏.
Jina LA wimbo naomba tafadhali
Huu mlima sio wa kumpa lena au mgeni aendeshe gari.
Mnajikuta mnaenda wazima, mnarudi maiti.
Duh
Mimi siku yakwanza kugusa gari nilipewa nishuke uu mlima kitonga. Mungu mwema tu
Dah sio poa ivi huo mlima una kilomita ngapi
Hom huk kup good sanaaa
Jamani landscape ya tz nzuri...
Nimeona mbuga mikumi jaman mlima kitonga sijaona kabisa
Wooow full utailii tosha ukipita kitonga
Mazingira mazur kiukweli
Duuu! Mungu afanye miujiza yake
Safi saana nakumbuka home iring zone
Hiyo kitonga ukiteremka vibaya ndio mwisho wako aseee Daaaaah, MUNGU akawafinyie wasafiri wote kusafiri kwa Raha na aman
Kujeni mpande mlima kenya ndiyo mjue nyani sio mbuzi aseee
Nimesikiliza ngoma mpk huo mlima sijuona aseh
Kuna milim Kam hiyo Kenya
On My way to Mbeya kijijiji.....I always love this scene natural habitat
Dereva anaovatek mbele haoni tena jua kilima anabahatisha madereva kama hawa ndio wanaoulisha watu kwa akili zao mbaya
Alsayde ni noma imemkata ile mbaya halafu ikapotea noma usipime Moto wa bas
Mazingira mazuri green na miinuko inavutia sana
Kumbe bando laeza geuka nauli lkanfiksha mlima kitonga? Nshaelewa alicho kiimba sheta...duuh pazury sana aisee.
mziki
Sana aseeeee mwenyw nmeelewa leo
Nmepapend
E
@@edithaemmanuel5690 m
Kitonga kumbe hapatishi sana asee, bara bara pana magari yanapishana vizur sio kama njia ya Mombo Lushoto ile inatisha sana asee
Wameongezea sasa ivi ilijuwa nyembamba kupishana ni shida
Umeonaee
...mbona mlisema dharau halafu baadae mkawa wapole..😂😂😂😂
Siku zote ukiwa safarini usishindane na mabasi...🙌🙌🙌😂😂😂🙌🙌🙌
Imategemea mzazi unaendesha gari gani, ukiwa unatembea kuanzia 120+ hawasumbui
Hadi bodaboda kawachana 11:00 . 😀😀Afu analala nayo kwenye kona, hajali wala nini. 🙌
Nice scenario!! 👍
Uko vizur sn
😀😀
Hi
🤣🤣🤣🤣
Duu uyo al saidy bus hafai
Tanzanian landscape good
Nimepaona kwetu wooòw
Nasikia mh temba ..chege mchiz moks ebwanaeee ilikua noma hiyoo watakua tmk enzi zao izo kr jibaba nimekusikia
Kushuka down Kali hivyo disk zinatoaga harufu hataree
duuuu Nina hizo Kona nitaenda December nitapita hapo nasikiaga kitonga kitonga thanks nimepaona ila Al s sintaipanda Ni noma speed
Na mimi jan mapema nitaingiaa huo mkoaa
Kitonga inavutia Sana love it
Lakn nimbayaa
Dah hapo kwenye mbuyu tumelala siku 4 gari yetu iliuwa gia box
Urgently needs a rebuild....with a climbing lane!
Mpak nmemic home nimeimic tanzania✌️😘
Uko wpi wew
NYUMBANI IRINGA mojaa. INSHAALLAH ipo siku. Kutoka OMAN TO IRINGA
Twende
Barabara za wenzetu huku oman kunamilima mikubwa,lakini wakijenga barabara wanachimba kuhakikisha inakaa sawa,siyo pembezoni ya mlima gari ikipinda inalala,wakati sehemu yenyewe ni hatarishi,kuchimba chini zaidi inasaidia kuepusha ajali,gari kwenyekona inalala hii ni sababu pia kutokea ajali,kwakuelemewa na uzito wa mizigo upandemmoja hatimae kupinduka
Mambo ta fwezaaaaaa
Hilo bus nikiwa abilia naomba kushuka,sehemu yenyewe inatisha jamaa anatembea utasema tambalale hahahahaha.duuu nimeiona kitonga wala haimfai dereva mzembe
Huo mwendo mbona wa hice.....kapande luwinzo au new force utaona shughuli😆😆
@@beatricemlaki3543 hahahhahaaha mm huko staki kabisaaaaa
Uzoefu sasa miaka 30+ mtu kila siku anapita hapo
Daaahh aiseh
Dawa Ni kupanda ndege tu
Hommiies😎😍😭
Noma na nusu aisee
Safi Sana
Kitonga ni mlima wa kawaida sana, tembeleeni sumbawanga ukutane na mlima wa MUZE
Hawajui hao kitu muze au ilemba
I wish one Day niende
Hapo pana faa double w. Pazuri sana
kasalamba juma deleva kama huyo aajibishwe kwamjibu washeria.
chama
Nnilipoteaga njia ndani ya crown anthele
Aisee wa bus ni shida dah
Daah ad nimemic songea
Twende kesho
Ndio mana kunakuwa na maajali ya kipumbavu kabisa kama huyu dereva wa basi bluu mjinga kabisa anaona kama amepakia magunia ya makumbi
Beautiful
Kitonga 😄 hahaha
hizo gari ze wachina mnapenda hata hazina nguvu kapsaaa kwa mlima.....hapo yafaa scania
Hapo gari zina shuka ndg siyo kupanda
usidanganywe ndg yangu.. mchina si lelemama km unavosikia. hyo golden dragon soma HP zake
Mhhhhh ciwez aisée hamna hâta trafic wa kulinda chui n'a Simba hâta umeme hamna chek hilo gza
Nice
Jaman Tanzania kwa pendeza
Kitonga moja hiyo
Pamoja sana
Unamaanisha ilikuwa safarin
Nimeenjoy
Nimekula barabara na mlima kwa macho dah
dereva wa bus amezoea road plus Gari yake kushuka iko vzr na hizo stoppewr zake huwez mfuata huyo anakuua
Ni hatar sana
8:00 😂 eti ilianguka vizuri
Nyie wote mabishoo tu.
Al Saidy 😂😂 si kwa mwendo huo
Inakula mtu hata kwenye Kona 😂😂😂😂
kabisa kaka imempoteza fuso gafla
Mi nainjoi Sana gari ikianza kupanda Kona za hiyovi
Zile hatari.nawatu kwenye basi huwa wanalala usingizi mzuri kweli
Iyovi mbaya kuliko kitonga maana iyovi madereva hawajali kabisa
Khaaa nimeonaa basi imepita kma mkuki au kama imeibiwaaa kuna madereva hawana wogaa😆😆
Unaambiwa dharau hzo😅😅😅eti amkazie dah
Wow
yaan mi nikifikaga hapo moyo unakuwa barid kama upo ndani ya freeza
Haaaa nimecheka,je ushapita kipindi mabasi yanafanya safari usiku nando barabara ilikuwa ndogo
Poor road.....ombeni raid maghufuli awapanulie barabara aweke climbing lane na guard rails
Huo Mlima nishaupitia Mara nyingi nikienda kitai songea kubeba makaa
Al said heshima
Nyc
dereva mwenye hilo basi la blue lililopita nimempenda bure maana ni maasaa masaa hakuna kuremba
Kampuni ya basi ni alsaedy
@@omarylukindo5306 huyo ni dereva hasa nimempenda bure
Iringa hiyo
Bas la upendo mmelionea
Ni noma
Tuepuke mwedokasi.
Milma sijauonaa hadii sasa.
Ukiw hapo ndo utaona
Hapo gari inashuka hiyo na kwa video uwezi ona
Juma
hatali man
auogopi man
Al seady amepita kama kibuli dadek
Good