TAA YA MIGUU YANGU (Official 4k video) Na F.M.Shimanyi-Kwaya ya Mt. Don Bosco- DECOHAS DODOMA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2024
- Karibu kutazama wimbo huu ulioimbwa na
Kwaya: MT. DON BOSCO-DECOHAS
Mtunzi: F.M. SHIMANYI
Sound Eng: F.M. SHIMANYI & DUKE
Kinanda:-DUKE
Video Director: F.M. Shimanyi
Studio: CGen Pro
Mawasiliano: +255765449914
F.M.Shimanyi MUNGU akubariki kwa utunzi uliotukuka
Nawapenda ❤❤❤❤ hakika fanyeni Kaz ya mungu wando zangu talata hizo 👏👏👏👏🙏
Nami sina hofu wala shaka..kweli wimbo huu kwangu limekuwa taa ndani ya roho kufungua mwanga ya mafanikio
Nawapenda ❤❤❤❤ hakika fanyeni Kaz ya mungu wando zangu talata hizo 👏👏👏👏🙏 3:56
Ooh , hello choir members , thanks for this lovely , lively and lavable production.
May OUR LORD bless you always .
Mambo ya shimanyii ndo hayooo... Waheshimiwa nimesubiria sana huo.wimbo na hatimaye Leo Iko livee hongereni watumishiii mbarikiwe
Shimanyi my all time composer. Wanakwaya mmeimba vizuri, na video hii ni noma sana, nimeingoja sana baada ya kuutazama ile ya studio.
Kongole kila mmoja aliyefanya jambo kufanikisha.
So wonderful ❤, it has very inspiring message ❤❤❤❤❤❤. Mbarikiweni sana
Mungu awabarki sana,nyimbo imenigusa,inabariki sana❤❤❤❤❤
Woow what's a great composition....waimbaji mko juu,Mungu azidi kuwabariki
Alleluia!!!!!. At last Taa ya miguu yangu imefika.
A song I have been waiting for like a watchman waiting for the dawn to come.
Be blessed Bro Shimanyi, without forgetting the choir with your sweet voices. Barikiweni mpaka mshangae.
Huu wimbo nimeungoja Sana. Congratulations to all choir members.. you are fire
Wah wah ! Jesus Christ! Very nice
Kazi safi sana na tamu sana Sifa Na Utukufu Kwa MUNGU,heko sana Ndugu Shimanyi,Organist Duke na waimbaji.MUNGU awabariki sana.
composition is so lit
finally nime upata so lovely🥰🥰👌👌
The long awaited song is finally out.. thank you, much love from🇰🇪
Very appropriate for today's Sunday dedicated to the Word of God.Mbarikiweni sana🎉
Niliungoja sana Huu🤗mtamu sanaaaa❤️❤️❤️
Wow....Nice voices...Nice lyrics, Nice melody.
Hongereni.
Deejay Cedric representing Kenya, @fortune shimanyi, hii ni kazi safi na nimeusubiri sana❤❤❤
Hongera sana DECCOHAS kwa utume wa uimbaji
Mbarikiwe Kama kama ninavyo barikiwa na wimbo huu
Big up MUNGU atukuzwe.
Fortune never disappoints, this is amazing
Good work,nice voices,kudos to shimanyi and the team🔥🔥🔥✨
Good song 🎉 nice information
After a long wait finally we're here good job guys
Nawapenda sana Wana mt.Don Bosco Mungu na azidi kuwabariki na neema zake ziwe juu yenu siku zote
F. M SHIMANYI mtunzi Shupavu
Waooh it's so amazing hongera wanadon bosco❤
Wow! Beautiful ❤️,love your songs guys.
I have been waiting this song for the last 3 months thanks shimanyi for this wonderful song
Hongelini sana , Tumshukuru Mungu kwa Hatua nzuri ya Kwaya Yetu , Pia Hongeleni Wana kwaya Wote kwa Kijitole kwa Moyo Mmoja kufanikisha jambo hili , Mwenyezi Mungu awe Nanyi Daima na akawafanye Watumishi wake katika Uinjilishaji Wenu . Mbarikiwe sana
❤❤❤Thanks alot ,this song has been ringing in m mind.The song is well blended and melodious too.keep up
Thanks to God, I was finally waiting for this drop
jamani mimi napata amani sana nikiusikiliza huu wimbo asante san mtunzi na waimbaji mungu awape baraka na neema zake
WE HAVE BEEN WAITING FOR THIS BEST MELODY FOR A LONG TIME;THANKS TO YOU.
Eeee mbona raha kuiba jamn nikusali mara bili mungu ata waja Bure kunakitu atachilia kwenu Wana kwanya🎁🥀🥀
What a Wonderful song🎉🎉🎉❤❤❤❤
Hongereni sana Vijana kwa Wimbo huu taa ya miguu yangu.
Mungu amekuwa NAMI tangu zamani love the song be blessed choir sauti ya wanakatoliki sauti tamu zilizopangika❤❤
Waooooo! Wimbo niliusubri sanaaaaaa
Sauti haziskiki kabisa saut ya kwanza iko sawa bt celewi km rekoding ndo mbaya au vp lkn haujatulia kabisa bd mnahitaji mwalim mtaften mtu anaitwa mhagama atawanoa vzr sana
Labda uko kwenye poor network, 😢 hebu nicheck kwa 0765449914 nikupe official 4k video maana wewe ndo mtu wa kwanza kukuona ukisema kuna sauti haisikiki
Have been really waiting for this hongera sana
Nice song
Hongereni sana
Mungu awabariki sana watumishi
Shimanyi umewafikia sana wanafunzi wa Vyuo
Waooooooooooooooooooooooooh jamani nilisubiri sana hatimaye nimeuona 🎉 pokeeni maua yenu wapenzi 🌹🌹🌹🌹🌹🌹by dada teddy from st. Joseph choir mwecau
Nikisikiliza huu wimbo stress zangu zakwisha mara mia kila siku🎉🎉🎉🎉🎉🎉.plz toeni ingine wapendwa.Mungu wangu shukia Hawa baraka zako ziwamiminikie kama mvua
Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki
Aloo Mbarikiwe saana wataalam🎉🎉❤❤
Waoooooooo! Kakang shimanyi hujawahi kufanya kosa napenda nyimbo zako sana hongera sana kaka pamoja na waimbaji mko juu mbarikiwe sana
Congrats 🎉
Hurraaaaaayyyy, the wait is finally over ...
Mungu taa yangu ❤❤❤❤
Congratulations❤
Hongereni jamani..... ningependa kujiunga nanyi nipo mbali..... Wapi nota tafadhali... asante
Barikiwa sana F.M.Shimanyi na timu yako Mungu akazibariki kazi zenu
Wimbo wa matumaini,hongera sana mtunzi wa wimbo huu,na waimbaji pia Sauti nzuri mno.
Finally imeachiliwa after kungoja for long
yaani nimeungoja mpaka sasa
Incredible beautiful angelic
Huna kazi mbovu mkuu, Hongera sana mkuu shimanyi for every choir sisi hatukupingiiiii
nice one
Safi sana ❤❤❤
Waoooh na batimaye baada ya kuisubiri sanaa 🎉 ubarikiwe sana kaka Shimanyi kwa utunzi wako mtakatifu wa nyimbo za catholic cCGEN Pro ni motoo
Hongereni sana
Ninakushukuru Bwana Fortune Shimanyi wimbo mtamu kweli
Waaaaaauuuuuiuuuuuu❤❤❤❤❤❤
CGen Pro haijawahi kuwa na kazi chafu Congrats Shimanyi Congrats Duke Congrats DECOHAS kwaya TEAM 🔥 🔥 🔥
Nawapenda ❤
Bwana upokee heshima utukufu na hizi sifa watu hawa wanakurudishia wewe na uwabariki na kuwaongezea pia uzidi kuvijaza vinywa vya watu hawa ili wazidi kukuimbia wewe
Thanks, another trending hit in the capital city now approved 🎉
Love the voices❤❤❤❤❤
In love with this composition,,,,, pongezi Bwn shimanyi na waimbaji
Asante
Hatimaye baada ya kusubiri kwa hamu. Hongera kazi nzuri
Woooow at last it's out. I have been waiting all along.
What a great song........
Mr Fortune Shimanyi Mungu akubariki tena sana
Nmeungojea🙌hatimaye sas…Hongereni tena na tena✨nawapenda sana❤️
Amaizing sana ❤
Wimbo mtamu sana❤ pongezi Kwa kazi nzuri
What a soft voices waaao so good one
mpo vizuri sanaaaa....wimbo mzuri na mmepeneza🎉🎉🎉👏👏👏
Av waited for this song .. at last
🎉hit🎉🎉
hongereni sana
Waooh😘😘🌷🌷🌷🥀🥀🥀
I waited for long
Lakini ni God Manze imefika ❤❤❤😊
Am blessed Kwa kwel, hongereeni sanaaa jmniiii 🎉🙌
Waoooooooo🎉🎉🎉🎉🎉
Nimengoja huu wimbo jamani,asanteni sana
Wimbo tamu Sana hongera na mungu awabariki
Nota iko wapi congratulations 🎉🎉🎉
Baraka kwetu
Finally,...Safiiiii
Wimbo mtamu kweli
Wow...
Waaaoh nice song..... hongera sana Mwalimu
What a nice song
Wow❤❤
Baada ya kipande kidogo kuishia patamu hatimaye nzima imepatikan
Thank you Shimanyi🎉🎉Thank you DECOHAS❤❤🎉🎉
Hongereni sana mmependeza mnooo
Nawapenda sanaaaaa nilisbr sanaa hongerenii
Finally
Mungu awabariki sana, kazi nzuri