SIRI YAFICHUKA MAUAJI YA WATU WAWILI DODOMA, KUMBE MLANGO ULIKUWA HAUFUNGWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ค. 2022
  • SIRI YAFICHUKA MAUAJI YA WATU WAWILI DODOMA, KUMBE MLANGO ULIKUWA HAUFUNGWI
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 46

  • @sophialemmpalasu4133
    @sophialemmpalasu4133 2 ปีที่แล้ว +5

    Dah inauma kweli yaan huyo mtu aliye uwa hao watu na yeye auwawe tu

  • @salumdaud1789
    @salumdaud1789 2 ปีที่แล้ว +1

    DUNIA 😭😭

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 ปีที่แล้ว +5

    MSITUCHANGANYIE HABARI HAO NI WAZINIFU TU MKE ALIYEZAA NAE KESHASEMA NI MCHEPUKO WA HUYO DADA NDIYE KAWAUWA

    • @MohammedAli-rh5si
      @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว +2

      Wote 4 wazinifu alozaa hana ndoa alieuwa hanandoa walokufa hawana ndoa

    • @teddyhenry2579
      @teddyhenry2579 2 ปีที่แล้ว

      Wachichana wapunguze uhuni sasa unakuwaje na mabwana wawili

  • @eddimwamba4208
    @eddimwamba4208 2 ปีที่แล้ว +1

    RIP 😭🙏

  • @Elizabeth-777-r3p
    @Elizabeth-777-r3p ปีที่แล้ว

    😭😭

  • @sebastianmichael4031
    @sebastianmichael4031 2 ปีที่แล้ว

    Shikamoo mapenzi

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 ปีที่แล้ว +7

    Dah jmn mbona mauaji yamezd huko tz maana tuaogopa kurud makwetu jmn

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe หลายเดือนก่อน

    Mtajijua wenyewe mmezidi umalaya

  • @khamisbomba8223
    @khamisbomba8223 2 ปีที่แล้ว +2

    Tena mzinif sheria yk kuuwawa?

  • @aminaamina9568
    @aminaamina9568 ปีที่แล้ว

    Kwani mapenzi kitu gani nauliza! mpaka mtu anatoka uhai mungu aninusuru

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +3

    Mhmm shetani kahamia huko sijui shida nini Kwa kweli

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 หลายเดือนก่อน

      Umeshasema ni shetani kahamia huko. Ndiyo shida kubwa hiyo.

  • @mwanaally3236
    @mwanaally3236 2 ปีที่แล้ว +2

    Uzembe acha wakamatwe unasikia unakaa kimya waenda mtu akoroma we wajifungia mtu anakosa msaada anakufa mbuzi sana nyie waekeni miaka ishu moja

    • @rosemaryjoseph2346
      @rosemaryjoseph2346 2 ปีที่แล้ว

      HV ugomvi wa mapanga unaweza ukauamua HV HV tuu muuaji usikite alikuwa amejiandaa au hakuwa pekee yake polisi wenyewe wakisikia uvamizi sehemu wa siraha huwa hawakurupiki tuu lazima wajue huo milio ya bunduki aina gani hakuna anaependa kufa

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว

    Wote Wanahusika Awa Fungeni Wote Awa

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hao waliokamatwa wanakosa gani

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatari sana milango haina vitasa mtihani

    • @HappynessJose
      @HappynessJose 2 ปีที่แล้ว

      Sauda hasan tuishi nchi jiran sasa

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 2 ปีที่แล้ว

    Angeliuwa hilo lidada.

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 10 หลายเดือนก่อน

    Duuu

  • @hamzaeleuter8268
    @hamzaeleuter8268 2 ปีที่แล้ว

    Siri gan imefichuka mbona mnakuwa wahuni

  • @andrewnjelesa8062
    @andrewnjelesa8062 2 ปีที่แล้ว

    Idodoma dya chaga Mulungu cidime

  • @NaftalBarnabas
    @NaftalBarnabas 15 วันที่ผ่านมา

    Punguze wivu n ukatil was knyama

  • @sarahjohn6925
    @sarahjohn6925 2 ปีที่แล้ว +1

    Yan huu msiba Jan tulimzka Dominic boda wangu kabc

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 2 ปีที่แล้ว

    Hyo nikomesha ya usalit achen usalit nyie kna dada kwanza hyo dada akamatwe ndoo source mjinga sana

    • @salehaliy7198
      @salehaliy7198 2 ปีที่แล้ว

      Akamatwe wakati keshauwawa?

    • @upendolema9809
      @upendolema9809 2 ปีที่แล้ว

      Husikilizi vizuri wewe

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 2 ปีที่แล้ว

      Dada yp ndio source make kesha kufa

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 ปีที่แล้ว

      Mbn nyie mnatusaliti na tunawakaushia

    • @ashuuuaisha9122
      @ashuuuaisha9122 2 ปีที่แล้ว

      Akakamatwe wapi wakati ameshakufa

  • @berthandollo3227
    @berthandollo3227 ปีที่แล้ว +1

    Mapenzi ni ufala mtupu

    • @cecygeorge4443
      @cecygeorge4443 ปีที่แล้ว

      Ni kweli ni uchafu mtupu kufanya watu wafe hovyo ni ufala

  • @HasamBwoy
    @HasamBwoy 2 ปีที่แล้ว

    KWA WALE WANAOHITAJI MAMBO YA WAKUBWA KARIBU UYAPATE🍆🍑💦th-cam.com/video/7-V8yFbEk1Mh/w-d-xo.htmlttps://th-cam.com/video/7-V8yFbEk1M/w-d-xo.html

    • @FredMaulid
      @FredMaulid 26 วันที่ผ่านมา

      Mambo ya kubwa ndiyo hayo yanayoondoa watu uhai kiufupi mapenzi ni fumbo duniani Bora hata wanamtumikia mungu mapadre na maccter wanapishana na hii mitihani japo nao wanamajanga Yao huko lakini wana afadhali